NERIA: SIMULIZI FUPI, part 02 By Ankojay

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 317

  • @KanadeMrangu
    @KanadeMrangu Год назад +8

    Nampenda sana joeli .Robi na mke wake Mungu awabariki sana❤❤❤❤❤❤❤for them

  • @fatmasaleh1067
    @fatmasaleh1067 Год назад +12

    Lisa mwalla Dada angu pamoja na anko Jay ukweli Mungu awabariki Sana mnajitahidi kutufunza mambo mengi Sana, ❤❤❤❤❤

  • @KaviraDivine
    @KaviraDivine 9 месяцев назад +10

    Mapenzi yani uma bora niwe yatima wamapenzi dhaaaaa mungu atu saidiya sana

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +10

    ❤❤❤ love you too much anko Jay mapesa mungu akubariki kwa simulizi nzuri sana zenye mafudisho

  • @safiya9319
    @safiya9319 Год назад +6

    asante sana lisa nwalla🎉hongera kwa simulizi nzuri. asante anko jay. hongera🎉🎉🎉🎉😊

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад +2

    Haaaaa,hongera mapacha 3 ,Neria Upate aman na utulivu sasa jaman khaaa

  • @annahmwenda
    @annahmwenda 8 месяцев назад +1

    Daaah mama huyuuu 😢😢😢kanikeraa kweliii yaanii

  • @jackilnemtinangi5592
    @jackilnemtinangi5592 Год назад +10

    I can't wait for part three jaman🥰🥰

  • @janethdaud201
    @janethdaud201 Год назад +7

    Lisa asante kwa simulizi nzuri yenye mikasa na mafundisho❤

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 Год назад +4

    Ahsante ankojay ❤️❤️ lissa mwala mtunzi mahiri

  • @GloriaMassawe-kc3fj
    @GloriaMassawe-kc3fj Год назад +4

    Ni nzuri aki, pia mm nimejiunga na wapenzi wa simulizi za uncle jay nampenda sana

  • @brownestomihi
    @brownestomihi 4 месяца назад +3

    Wanao tuumiza ni watu wa karibu😭😭😔😔😔

  • @tiffusumaiya1342
    @tiffusumaiya1342 Год назад +6

    Mama Neria anakuja mjini 😮sina imani na huyu mama aya tuedelee kusikiliza

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Год назад +12

    Niko ndani..hope the spirit of rejection itaishia and find the love of her life.and everything goes well

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +8

    Asanteni kwa burudani na elimu Lissa Mwala na Ankojay Mungu awabariki sana

  • @evelynlyimo1557
    @evelynlyimo1557 Год назад +8

    Neria unapitia misukosuko eti kama uko baharini kwenye thorubaa.ila upo duniani..part 3 itakuwa more fire..thanks anko J😊

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 Год назад +7

    Nimechelewa but kazima niskie sauti jay ❤❤

  • @JacklinBeatus
    @JacklinBeatus 10 месяцев назад +1

    Mama mchawi huyu kha anakera sanaa,pole sana neria

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 3 дня назад

    ASANTE. SANA. ANTY. LISA. SIMULIZI. NZURI. SAN. TUENDELEE🎉🎉🎉🎉🎉😊🇹🇿🇮🇹🔥🔥🔥

  • @joykatakana1099
    @joykatakana1099 Год назад +12

    Kwa kweli huyo mama neria ana hitaji wa mama vichwa ngumu wamsute mpaka ajione ako uchi wa mnyama pombavu kabisa mama neria tena na ushenzi juu

  • @FaudhiatSaidy-ky4yf
    @FaudhiatSaidy-ky4yf Год назад +2

    Waooow pacha wa3 nimefurahi sana jamn

  • @ramlabazizane6734
    @ramlabazizane6734 Год назад +2

    ama kweri Mama Nema mzazi mubaya ira yeyote hawezi kuziba yenye mungu ariye panga Neriya mutegemee Mungu yuko atakuepusha na hawo mabara Asante Anco jeyi simurizi nzuri sauti nzuri mafunzo mengi

    • @AishaSalumu-h6f
      @AishaSalumu-h6f Год назад

      Huyu mama NEMA mjinga sana pumbavu zako humpendi mwanao kwa kumzaa unaakr timamu kweli

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 Год назад +6

    Wow simulizi tamu sana aisei ❤❤❤

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo Год назад +6

    Asante anko jay nakupenda nainjoi simuliz ❤❤❤

  • @MudySalah
    @MudySalah 10 месяцев назад +2

    Nakupenda msimuliaji hadith nzur nalala saa 10 du hatare

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 Год назад +6

    Uncle Jay upo vizuri sana

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Год назад +6

    Finally we endup well thenxs Jay I really appreciate your job God bless you n siz Lissa mwala much love my dear

  • @neutybebz3187
    @neutybebz3187 Год назад +7

    Tuko pamoja 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 Год назад +5

    😭😭😭😭 daaah nimelia sana jamn neria pole haya maisha nimelia sana daaah 😭😭😭😭

    • @tiffusumaiya1342
      @tiffusumaiya1342 Год назад

      Sad again nikajua yameisha eee mungu wangu😢😢

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Год назад +5

    Hi Lissa Mwalla? umbalikiwe sana 🙏 achakwaza 🪑🎧🙌🦻
    Yan ni 🔥 Mungu mkubwa kabisa asante Anko Jay ❣️

  • @fatmahmkuzi
    @fatmahmkuzi Год назад +3

    Jamani mapenzi koma mapenzi shikamoo 😢😢😢 ndo mana nilijifuza kupedwa na kupenda kuwachwa na kuwacha mapnzi mnguu mumoja ndani mmoja ije 😢😢😢😢😭😭😭😭sijapenda

  • @mariamjuma743
    @mariamjuma743 Год назад +5

    Mmmh Anko 💕💕💕 nakupendea hvyo tu 😍😍

  • @hassnakhamis3489
    @hassnakhamis3489 Год назад +1

    Mamkwe yuko vizur mashaalah❤❤❤

  • @milahamees2393
    @milahamees2393 Год назад +1

    ❤asante anko. Mungu. Akupe. Afyanjema na kazinjema. Kwakweli. Unanikosha. Nakupata mafudzo mungu. Akubariki kakangu

  • @GraceDavid-nq4zc
    @GraceDavid-nq4zc 11 месяцев назад +1

    hawa wa mama wenye roho mbaya wanakuonyesha chuki toka utoton alafu ukubwan wanajfanya wanakupenda ni waongo sana ni wakuwaacha2 sio wa kuwajal kabisa🎉🎉🎉🎉

  • @laweluagustino6703
    @laweluagustino6703 Год назад +1

    Alaf nilichokigua ukiwa unasikiliza simulizi bando haliishi ety😂😍😍😍

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Год назад +11

    Leo kidogo nimewahi duuh watu walala humu humu tunasikiliza ili tujifunze vingi hakuna mwanamke mbaya 🥰🥰🥰🥰

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Год назад +2

    Hayo ni mapito itaisha mungu akutangulie dada shukran anko jay

  • @hassinafati3512
    @hassinafati3512 Год назад +4

    Shukrani anko jay da lissa shukrani san 🤲❤️✍️

  • @AmaniHerman
    @AmaniHerman 8 месяцев назад

    Kiukwel neria Ana moyo wa ujasir nmempenda san 🥲🥲🥲

  • @SophiatembaTemba
    @SophiatembaTemba Год назад +3

    😅😅😅😅😅😅😅 jamani ankoj siww umepinga miyayo😅😅😅😅😅❤❤❤

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 5 месяцев назад +1

    Dunia ivi Kuna wa mama kama hao marejeo Kwa mungu neria inuwa mikono Kwa mungu ,mungu Hana deni Kwa mwanaadam

  • @hajjimubarakzakky73
    @hajjimubarakzakky73 5 месяцев назад

    Much love to you lisa asante saana, from +256

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 Год назад +6

    Finally 🥰🥰🥰

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 6 месяцев назад

    Jipemoyo kipezi neria mungu atakusimamia ningekua mume ninge kuoa

  • @ColethaMwenda-qd1ck
    @ColethaMwenda-qd1ck Год назад +46

    Nimekuwa wa Kwanzaa leo naomba like zangu jamn

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Год назад +3

    Akili kichwani mwako Neria😊

  • @beatricesemiti5997
    @beatricesemiti5997 Год назад +4

    Bint Neria sehemu ya tatu imechelewa nachungulia kila wakati

  • @EditaJoseph-zo9dv
    @EditaJoseph-zo9dv Год назад +2

    Nakupenda ankojay nijibu bac jaman kaka

  • @UkhtyKupaza
    @UkhtyKupaza Месяц назад

    😂😂😂😂😂mama achomwe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @EmilyBulimo-bw6ee
    @EmilyBulimo-bw6ee 6 месяцев назад

    Kwa kweli wanifuraisha Sana wanipunga Sana sisiri Mimi Niko Kenya ubarikiwe sana

  • @faithcherono267
    @faithcherono267 Год назад +3

    Anko jay tupe ya tatu story tamu sana

  • @Alya-np7gm
    @Alya-np7gm 2 месяца назад +1

    Neria nae mjinga kwani hamjui mom yake jmn, khaaaa kanikeraaa

  • @jackilnemtinangi5592
    @jackilnemtinangi5592 Год назад +4

    Hope sijachelewa sanaa. Wacha nieendelee kuenjoy🥰🥰

  • @imanwalid6549
    @imanwalid6549 Год назад +3

    Tamu sana😂❤❤

  • @ChakoriChakori-z1x
    @ChakoriChakori-z1x 2 месяца назад

    😢😢😢😢😢😢 nimelia sana mungu tusaidie 😢😢

  • @MaryamMasudi-n3v
    @MaryamMasudi-n3v Год назад

    Neria pole Sana daaaah Kuna ndugu aiseee wanaroh mbaya yaan najaribu kuvaa kiatu chake hakinitosh kabisa mim vile namachoz ya Haraka ningelia Hatari😢

  • @furahalwaboshi
    @furahalwaboshi Год назад +3

    Pole sana neria 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭pôle sana nasikiya uchungu 😭😭😭😢😢😩😩😫😫😫

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 Год назад

    Honger neria nimependa watot❤

  • @leah5307
    @leah5307 Год назад +1

    Napenda sanaa simulizi

  • @jenniferlicko4736
    @jenniferlicko4736 Год назад +18

    Kuna simulizi zingine unahisi kama movie za kuigiza vile jamaani 😭😭😭😭 sorry NeRia

  • @milahamees2393
    @milahamees2393 Год назад

    ❤ mimi ningeni. Ilatuko pamoja napenda. Simulizi. Zako kakangu. Nakuku bali

  • @anastaziasanga
    @anastaziasanga Год назад +17

    Kwakuwa nisimulizi tuu ila ingekuwa ya kweri ningemfata Neria nimubembereze kwakweli 😭

  • @aminasaid308
    @aminasaid308 Год назад +6

    Asante Sana ankojay unatuburudisha na kutuelimisha

  • @paskaziabulimba8179
    @paskaziabulimba8179 5 месяцев назад

    Pole sana dad neria❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @VictoriaFuka-iz6fi
    @VictoriaFuka-iz6fi 5 месяцев назад +1

    Hivi ankojay mbona mnaweka wadada wazuri hivi jmn muwe mnaweka uhalisia wa wadada wenyewe jmn kama hapa mngemuweka neria😂😂😂😂jamani but i really gets a lesson

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 Год назад +6

    Simulizi tamu ankojay napenda sana 🥰

  • @الالحر-ن1ق
    @الالحر-ن1ق Год назад +1

    You have good storie 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @None-e4r
    @None-e4r 4 месяца назад

    Hiii simulizi nzur ❤❤

  • @FATUMARASHID-q9p
    @FATUMARASHID-q9p 3 месяца назад

    .anko nijibu hukowapi surambaya❤🎉😮😅😊

  • @hellenodhiambo4342
    @hellenodhiambo4342 Год назад +1

    We Neria acha kulialia mingi bana ,utalia mpaka lini na uko na mimba tulia

  • @CleodiaJeremia-se4ym
    @CleodiaJeremia-se4ym Год назад +2

    Jaman tunaomba sehem inayofuata 🙏🙏🙏

  • @حمدانالحويطي-م8ك
    @حمدانالحويطي-م8ك Год назад +3

    Ahsante anko j na mrembo wetu dada kipenzi chetu LISSA MWALA

  • @katalamohamed4305
    @katalamohamed4305 Год назад +2

    Sina sana imani za kishirikina lakini ni yule kuku mama yako alitia dawa za kishirikina kumbuka baba alikwambia pole Neria wangu ❤ 😢 nakupenda sana

  • @salmamwangi4343
    @salmamwangi4343 11 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤imenifunza

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 5 месяцев назад

    Hakuna simulizi iliniumiza kama iyo simulizi.mungu tukinge mitiyahani kama iyo amiin

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад +1

    Unasimulia mpaka unanifanya nitokwe na machoz jaman

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 7 месяцев назад

    Nimechelewa ila nipo tu(duuuuh simulizi hii nikali inamafunzo mengi)
    Katika maisha tusiwazarau watu maana hatujuwi ninani atakaye tuzika na atakaye tusaidiya🎉🎉🎉

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 Год назад +1

    Nimefurahi na simulizi yoko asante sana

  • @MariaNkhambi
    @MariaNkhambi Год назад +2

    Ila Anko J umetisha sana😂, kwenye miayo hapo kama IPO kwenye kitabu kweli. 🎉🎉🎉

  • @marynyamvula5896
    @marynyamvula5896 Год назад

    Ankojey umeamua kutukomecja mpona huachilimzigo neria wetu hayatukomeche

  • @hawabienvenueakimana-uy3vd
    @hawabienvenueakimana-uy3vd Год назад +1

    Tupe part 3 tunaomba Anko jay plz.

  • @CharlotteBuchumi-rf7fb
    @CharlotteBuchumi-rf7fb 8 месяцев назад +1

    Ninge kuwa Mimi ndo neria ninge wafukuza mamayangu na waki na nora hote mahana siwatu wazuri

  • @HappyMshanga-xx1ob
    @HappyMshanga-xx1ob Год назад +3

    Ni 💥❤

  • @PatriciaJaka
    @PatriciaJaka Год назад

    Hongera anko j tunainjoi san ila me bado mgeni umu

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 Год назад

    Patricia Jak karibu kwenye sm,mx kwenye brudani kwenye mafunzo Kwa Anko Jy ferix Mwenda Edgar Mbogo Watoto wanjombe😁😁😁😁😁😁😁😁😁💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔

  • @mwanahawamsafmsafiri
    @mwanahawamsafmsafiri Год назад +3

    Ako dah hii simuliziii dar kweli mapnz yanauma jamn

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад

      Yanauma kuliko ugonjwa wa aina yoyote,hata kansa haiumi hivyo

  • @tiffusumaiya1342
    @tiffusumaiya1342 Год назад +1

    Part 2 here we goooooooo❤❤❤❤

  • @FATUMARASHID-q9p
    @FATUMARASHID-q9p 3 месяца назад

    Sasa. Mbona. Neria mrembo ?❤🎉🎉🎉😅

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +4

    Huyu mama Neema ni mwehu eh!

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 Год назад +1

    Nice ❤❤

  • @NeemaHussein-g4e
    @NeemaHussein-g4e Год назад

    Simulizi nzuri san ❤️❤️❤️

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 Год назад +1

    Very sort like you so much ❤❤❤

  • @ترووكالحارثي
    @ترووكالحارثي Год назад

    Simulizi n nzuri nimeipenda

  • @alisalim2145
    @alisalim2145 Год назад +1

    Sijawah kua wakwanz🙊🤣🤣🤣

  • @NasraJuly
    @NasraJuly Год назад +1

    Jaman wanadamu tuna nin😢😢😢😢😢😢

  • @marynyamvula5896
    @marynyamvula5896 Год назад

    Asante sana ankojey nikowachani jehuyu mama akonakicha ama hebunambieni dada neria jipemoyo muguhatakuacha kamaulipagiwaniwako atarudi kamahukipagiwa siwakohatarudi jitieguvu muguhawezikukuwacha😂😂

  • @HajraChata
    @HajraChata Год назад

    napenda simulizi zako ankojay😊😊

  • @mariamhamad5500
    @mariamhamad5500 Год назад +4

    Tupe dada lissa mwala nasubili kwa hamu sana

  • @ZahidahAli-ys1fg
    @ZahidahAli-ys1fg 5 месяцев назад

    Simliz nzur sana ila inaumixa san mapenzi ban saluti