LISSA MWALA daaah wewe unajuwa kutuchanganya kiukweli yaani raha sio kama raha utupazo sio za dunia hii ila nizakipekee mnoo ukigekia upande wako wako wakushoto anko jay anatulewesha siutani life without simulizi is not complete surely i salute you all you always put a new smile on our lips and a newface look day by day even our bosses wonder coz job never delay when working and listening you guys big up all house of simulizi mix
@@RahelIbrahim-id2likabisa yani mimi nashangaa wanawake wa humu ndani ya simulizi nikama hawana akili hasa ndani ya simulizi za Lisa mwalla ndo usiseme😂😂😂😂😂😂😂😂
Nawaoooo😂😂😂 mnasema leo simulizi mnatupa raha juu ya raha sio ,,,warabu Eee mm bado naumwa na kichwa 😂😂,nimemaliza kibao kipya sasa tunamalizia katrina ,,,LISSA MWALA NA ANKO JAY SHUKRAN ZA DHATI KUTOKA KWETU WASIKILIZAJI ❤❤
Yani wanajua uzunzi haifai lkn bado wanang'ang'ani mke kuoa ni mmoja milele , ni dhahiri hii sheria ipo dhaifu sana tena imewekwa na binaadamu. Sheria ya muumba alietuwekea waja wake ni wanaume ruhsa kuoa mpaka 4. Na itabaki kuwa strong hata km inapingwa. Kwa sababu yeye Mungu Allah ndio alietuumba anahua udhaifu wetu.
Wadada wote wa anko jay wanawazaga kutiwa tu yaan starehe zao n kukojoa hawawaz upendo wa mtu time ya mtu n kulalana tu af hawapat fundsho vzur maan wanaangukia tena kwa matajr uku ktaan bahat haij mara2 na pia simulz zenu n weny yelaaa tu wakat uku uhalisia chokq mbaya tunakutana na choka mbaya wenzetu
Mmh ivi kweli mtu anapata wapi nguvu ya kupenda mtu asie kukojoza yani huo ndo uhalisia bora asiwe na nguvu hizo ila ajali hisia zangu yani afanye vyovyote umalize
Hii 🔥 ❤❤❤❤
Cat umezingua Sanaa lakin pia maisha ni kalata frea nae yamemkuta makubwa mungu atusaidie
🎉🎉🎉❤ ❤ Nawapenda
Ila anko J Maulana kakujalia sauti jaman,na jinsi unvyoitumia kwa sauti za wahusika tofauti tofauti mie hoooooii kwa burudani
Bweege wewe umesababisha mwenzako amekufa
Tunao kimbilika kwenye comment tujuane jmn👋👋❤️❤️❤️.Kwa like
😅
Ila ukipata dada kama Irene umepata ni dada Anakitu na Atafika mbali 😂😂😂😂 mdogo wake akikosea anamsema anakuwa nae bega kwa bega 😂😂😂
Mh ii ni 🔥🔥🔥🔥🔥
I love the story and that background sound make it better this specific one
Asente Sana ANKO JAY nashukuru hi tamu Sana upendo wa mungu si wa mtu na Haki paka Hina time ya true love is God
Jamniii hi simulizii ni tamu
Balaa
Hata mie anko Jay naona Richard mwongo ati anataka mwanamke badala ya mungu. Kisha wapo wapi hawa wanaume wakulea mimba ya dume lingine. Nikonect
Daaaah najiona mtulivu sababu cna tabia za wanawake wa simuliz 😀😀
Hahah hongera Mrembo😊
Kabisa dear maana niwachafu sanaa yaani wengi wanawaza kutiwa tuu ni uchafu mtupu loooh
@@Catherinemichael1995 ni shida ila tatizo wengi wakisikiliza hisia zinawafanya wawe hivyo!
@@mporipori99anastahili hongera kweli
@@Catherinemichael1995kabisa,tabia nyeusi tiiii
Ila anko j 🤣🤣umenishinda tabia
🔥🔥🔥
❤❤❤❤ una tupeleka vizuri kaka
Kwa kwel braiton na katalina big up nimeipenda hii simuliz kwa kwel utam utamuni
Kama ww ulivyo Grace utamu
Katrina hongera sana hata ss wasikilizaji tumefurahi tulimpenda bryo
Tamu sana ❤❤❤ namafunzo mazuri
Story nzuri mpaka stamani iishe jamani 🤗🤗♥️♥️♥️
Waoooo very nice story very good
Waaoow Shukrani simulizi mix kwa mwendelezo
Anko Asante San ila mmejua kutuwek roho juujuu jmn ila big up sanaaaa guys
Anko j asante sana unatusimulia vizuri sana Na hitaji t-shirt
🔥🔥🔥🔥
Madame lissa mwalla Mungu akupe afya bora Mr. Anko j Mungu abariki kazi yako navutiwa sana na sauti yako saana simuliz zako nazipenda sana
LISSA MWALA daaah wewe unajuwa kutuchanganya kiukweli yaani raha sio kama raha utupazo sio za dunia hii ila nizakipekee mnoo ukigekia upande wako wako wakushoto anko jay anatulewesha siutani life without simulizi is not complete surely i salute you all you always put a new smile on our lips and a newface look day by day even our bosses wonder coz job never delay when working and listening you guys big up all house of simulizi mix
❤❤❤❤❤😂 thanks dada
Thanks smix for good story God bless you
Wallahi simuliz tamu sana da wew Katrin huna msimamo da
Tabia ya kuendekeza mwili
@@RahelIbrahim-id2likabisa yani mimi nashangaa wanawake wa humu ndani ya simulizi nikama hawana akili hasa ndani ya simulizi za Lisa mwalla ndo usiseme😂😂😂😂😂😂😂😂
Ghaiiii kwan unasauti ngapiiiiiiii kiukweli nmependa hii story be blessed 🙌
Simulizi nzr sna nimeipenda couple ya katrina na Braiton ila katrina Ana mapnz ya dhta lkn hna maamuz kma mwnmke hna msimamo ❤❤❤
Tamaaa utashindwaje kuwa na maamuz ya kudhibiti mwanaume 1?kwa uhalisia maisha hayo si usodoma na gomora ?
Asante Lissa mwala kwa simuliz nzuri xaan😘asantee pia anko j wetu msimuliaji wetu pendwa mweny manifesto Yako sauti yak nzuri inatufanya tunainjoy Zaid🥰🔥🔥🙏🙏
Katrina nakugawa bure simulizi nzur Sana 💓
Uuuuwii mbn simulz nzur san jap kuwa sijawahi kufany mapenz mmmh kka j sister Lissa 💖💚💋💋nawapenda san
Mmh uongo
Hivi anko jay unampenzi 😘😘😘😘😘😘😋😋maana mie mtoto wa kikenya taàbni kwa sauti yako 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️😍😍😍😍😍
Weeewe😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉nice🎉🎉🎉
😅😅😅😂😂Dah! hii simulizi Katrina and braiton kweli utamu utamuni napitaa miee 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣🤣
Mm
@@fjggoxfh9502 wewe Nini Tena 😄
@fjggoxfh952 mbona waguna
Yn Katrina wewe na Bryton, na Richi wote ni Mitambo 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
duu we Katrina Malaya wewe Yani
Waoooo mnanifuhisha jama anko j love you
Nawaoooo😂😂😂 mnasema leo simulizi mnatupa raha juu ya raha sio ,,,warabu Eee mm bado naumwa na kichwa 😂😂,nimemaliza kibao kipya sasa tunamalizia katrina ,,,LISSA MWALA NA ANKO JAY SHUKRAN ZA DHATI KUTOKA KWETU WASIKILIZAJI ❤❤
Hahah
Anko jay umetisha simulizi nzuri sana ❤️❤️❤️❤️❤️
Stori ni nzuri mno
Asante Sana Lissa Na ako Jay Kwa sauti yko nzur
Katrina mweee nakugawa bure Umetushindaaa drama mwisho mwanzo. Thks Anko Jay tunapata mafunzo sana!!!!
Lissa mwala🔥🔥anko j uko juu✌️✌️
Hii simulizi kiboko yaani moto🔥🔥🔥🔥
Amaaa kweli hii top ya simulizi huchoki kuirudia hongera zako Anko
Lisa
Yani wanajua uzunzi haifai lkn bado wanang'ang'ani mke kuoa ni mmoja milele , ni dhahiri hii sheria ipo dhaifu sana tena imewekwa na binaadamu.
Sheria ya muumba alietuwekea waja wake ni wanaume ruhsa kuoa mpaka 4.
Na itabaki kuwa strong hata km inapingwa.
Kwa sababu yeye Mungu Allah ndio alietuumba anahua udhaifu wetu.
Hata hao wanne wanao oa bwana zenu Bado hawawatoshi iwe wanne iwe mmoja iwe kumi mwanaume hajawahi ridhika
Aloo we nakupenda ww na iyo familiako hahahahahah😀😀😀
Simulizi kali😅😅😅
,🤣🤣 mimba ya boya linasubiri d n a🤣🤣🤣
Dah nimefurahi sana
😂😂😂😂😂😂😂jamani eti natikisa tako 😊
Na limetikisika kama lako Queen😋🥰
Nipe bc nilishike
Katrina kiboko ya mende
Nimependa sanaa hii simuliz,,wewe ni moto ankoj.
Yaaan nimejikuta na skip na kumchukua katrina yaaan 😢😢😢😢😢😢
Waooo nice story
Leo ankojay umeamua2. mfululizo
Weuwee anco j tunakojoa huku tuko mbali Bebe zetu asanteeeee 😂
Catherine umepambana dah siamini
Ukome we malaya
Ktk simulizi niliyoisubiria kwa ham bas ni hii wallah
My favourite story of all the time am here kuirudia tena
Wadada wote wa anko jay wanawazaga kutiwa tu yaan starehe zao n kukojoa hawawaz upendo wa mtu time ya mtu n kulalana tu af hawapat fundsho vzur maan wanaangukia tena kwa matajr uku ktaan bahat haij mara2 na pia simulz zenu n weny yelaaa tu wakat uku uhalisia chokq mbaya tunakutana na choka mbaya wenzetu
Mmh ivi kweli mtu anapata wapi nguvu ya kupenda mtu asie kukojoza yani huo ndo uhalisia bora asiwe na nguvu hizo ila ajali hisia zangu yani afanye vyovyote umalize
Nilisubiria kwa hamu sana hii simulizi hakika ni tamu san
Bado 🔥🔥🔥 mkaliiii mnooo
Jamani kumbee nimechelewa lakini sio mbaya nimewahi asante LISSA MWALLA 🥰🥰🥰kipenzi
Nzuri sana asante
Tulisubiri Sana hii part 2 mwaaaah 💃💃💃
😢
Anko Jay asante kwa simulizi nzuri
Kuna. Matangazo. Aka
😂😂😂😂😂. PART 2 IS FIRE🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ANKO JAY
Ila wanawake sisi, eti toa kikoti icho a one tako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Asante kwa simulizi nzuri. It was a great story to learn from and even to tell
Much love ankoj nimeenjoy xn ❤❤❤
Nimewah 👍
Namba one today 😘
Katrina ulizid Bana khaaa
Anko j napenda sana sauti yako 🥰🥰
Uncle J🥰🥰
Kweli malafiki wabaya sana
Yani nimekua naisubili kwahamu
Asante🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Mama. Weee
Nilimiss Sana😍😍😍😍
Shida. Moja uyo dada akatai mbolo😂😂😂
U malaya sana ket
Afadhal huyo flavian alvyojpunguza😂😂😂😂
Angeonja mauti huku anajiona
Asante sana simulizi mix
Hii simulizi nimeiludia kusikiliza maan huku mwisho imenifanya nicheke kuingia na mlango😂😂😂
Simulizi tamu sana ❤️
Katrina nae Malaya Yan jivan kumsaundisha kidgo tu amekubali mbwa kwel uyu
Ila brahi kanichekesh sana et chagua tufe kwenye gar au tukajilipua na mabomu nyumbani
🤣🤣🤣
Katrina nawe haueleweki tulia na mwanaume mmoja, Katrina unaboo sasa
Tatizo Katrina anapenda kutiana
Yani unaona eheee
Nipo ndani
Dah hii simulizi hainish ham❤
Tatizo lako unapenda hovyio na unapenda kutiwa sana
Heiwaaa Shukran sana Anko J na mwandishi wetu Lissa Mwalla🥰🥰🥰
👌🔥🔥🔥❤❤❤
🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wamwisho
Huu Anko Jey yuko vizuri
Maskin rich pole sana