IRENE: SIMULIZI YAKUSISIMUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 276

  • @irenemsuku1897
    @irenemsuku1897 2 года назад +14

    Jmn anko J 🥰🥰🥰🥰 na dada lissa bigup sanaaa ✌️❤️❤️❤️ story ya jina langu nmeipenda sanaa nmejifunza thanks 🙏 🙏🙏 simuliz mix ✌️✌️so amizing sanaaaa❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰

  • @husnalalu008
    @husnalalu008 2 года назад +16

    Ila anko wewe unajua. Acha 2 tuseme ukwel hii simuliz inamengi sana ya kujifunza masaa 7 ya halali kabisa yani i like it and i love guys simuliz mix

  • @DAUDFARES
    @DAUDFARES 11 месяцев назад +2

    kudadeki, wanaume jaman watakuwa wakeanza kwenda jehanam kwahali hiii duuuuu!!! amakwel majuto nimjukuuu , pole kipenz mungu atawalipia hao wapuuiuz

  • @evelynanyango7859
    @evelynanyango7859 Год назад +2

    Thanks alot msimulizi na mwandishi simulizi nzuri sana,nimefurahi sana pia inanifunza katika maisha.be blessed.

  • @RachealMwaganjoni
    @RachealMwaganjoni 5 месяцев назад +1

    Irene marafik zko wote walikusaliti pole snaa dear, ila Mungu akipang lake lazima litimie,asante sna ankojay ❤❤

  • @aishabakari7362
    @aishabakari7362 2 года назад +8

    Nashukuru nimeimaliza salama nzuri na inamafunzo pia nimeipenda sana

  • @bettymkiwa955
    @bettymkiwa955 2 года назад +11

    Waaaah much love Kwa mtunzi pia na msimulizi I'm in Saudi Arabia but simulizi hizi zimekua zikinipa furaha sana

  • @NatashaHope-ot1cw
    @NatashaHope-ot1cw 10 месяцев назад +1

    Asante sana akojay kwa simulizi nzuri sana nimjifunza.na sitaacha kumwomba mungu God bless you all

  • @roberobee7685
    @roberobee7685 2 года назад +7

    MashaAllah Anko jay kiboko👏na kujisifu jmn leo nimepata funzo wakati mwingine jisifu jipongeze mwenyewe angalau moyo ufurai 😍sio kusubiri usifiwe wakati hao wasifuji hawapo🤣🤣

  • @NeemaCosmas-s5p
    @NeemaCosmas-s5p 22 дня назад

    Anko jay na lisamwala asantee sana chukueni maua yenu🎉🎉🎉menu

  • @lissamwalla501
    @lissamwalla501 2 года назад +9

    Anko J, nkmekuvulia kofia. Lov uuuu🔥🔥🔥🔥❤❤❤umenitendea haki sanaaaaa

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 2 года назад +8

    Nzuri jmn Asante anko j

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 2 года назад +9

    Wow wow 🙌🙌🥰😻

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 2 года назад +17

    Asante kwa simulizì nzuri kumbe Lulu ndio alkuwa akiwa roga daah tuwe makini na marafiki

  • @tracymasangula213
    @tracymasangula213 2 года назад +6

    Congratulation dear lissa mwalla na anko J congratulation coz unasimulia vizur sanaaah❤❤🙏

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 2 года назад +14

    Woow simulizi zuri sana hapa nime jifuza kitu katika maisha🥰

  • @MagdalenaMollel-y4x
    @MagdalenaMollel-y4x 4 месяца назад +1

    Da!kweli unaweza hisi unapitia changamoto ila kunaaliyepitia zaidi ,ongera sana dada iren mungu azidi kukupigania jaman

  • @jovinajoseph511
    @jovinajoseph511 2 года назад +7

    Ni nzuri jamani ubarikiwe kaka

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 2 года назад +5

    Asante Anko J kwa simulizi nzuri yenye mafunzo Rey mungu anakuona hongera dashe.

  • @conslataadhiambo774
    @conslataadhiambo774 2 года назад +5

    Asante sana anko jey kwa simulizi nzuri ya mafunzo nimejifunza kitu. Napenda simulizi zako zenye unasimulia zinakuanda za maana sana naisikiliza nikiwa Kenya 🇰🇪 napenda sana kusikia

  • @tracymasangula213
    @tracymasangula213 2 года назад +4

    Aiseeee nimefurah kusikia jina langu uwiiiiih tracy🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️❤❤🙏

  • @nashaldy1804
    @nashaldy1804 Год назад +3

    Napenda hio background song.anko j umenimaliza

  • @Khadijasufian-v8c
    @Khadijasufian-v8c 2 месяца назад +1

    Nmejifunz k2

  • @raiyaanyusufyusuf17
    @raiyaanyusufyusuf17 2 года назад +8

    Nilipoiona simulizi masaa saba nilisema ah acha IKAE!!! Ilipoanzishwa kwa madakika nikaifwatilia....si nimerudi mwenyewe huku kwa masaa 7. I can't wait for the bits and pieces ni mwendo wa mfululizo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 года назад +18

    Wanaume Wanaume wanaume nimesema mara tatu mna uwezo wa kuvaa ngozi ya Kondoo kumbe ndani nguruwe mwituu

    • @Edna-w3z
      @Edna-w3z 7 месяцев назад +1

      Yaaan jaman 😭🙌🏻hapana kwakwel

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 2 года назад +9

    Nimejifunza kutoamini friends na pia niliwahi jifunza nvr to trust men who look innocent na pia mume akijua umejua mabaya yk ndio hufanya dhahiri.mungu awe pamoja na ss wanawake tunapitia mengi

  • @fatmasaidfhghj9801
    @fatmasaidfhghj9801 2 года назад +5

    From Kenya. Nilikuwa namsifu sana Ray kumbe duh ni mbwa. I say men men

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 Год назад +1

      😂😂😂😂😂 wuwiiiii mbavu zangu jamani 😂😂😂😂

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 2 года назад +7

    Hongera sana lisa simulizi zako nzuri sana mama ❤️❤️❤️❤️Ankoj always never disappoint ❤️

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 2 года назад +7

    Huyu Irene anakishipa cha ngono jamani ila anabahati Man Sha Allah Tabaraka Allah mm huwa nasikiaga tu simu ila bahati sina🤭🤭

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 2 года назад +4

    Jamani simulizi nzuri saaaana mashallah🥰

  • @irenekaijage1659
    @irenekaijage1659 8 месяцев назад +1

    Story nzuri sana 🙌

  • @jacklinebundi8213
    @jacklinebundi8213 2 года назад +6

    Santii kwa simulizi tamu nimeenjoy sana.💖💖💖

  • @silviakipingi3778
    @silviakipingi3778 2 года назад +3

    Asante Kwa simulizi nzuli inayotufundisha tusikatetamaa tumwombe mungu balikiwe sana

    • @najma1450
      @najma1450 2 года назад +1

      Yan huyu dasheli mmh anapeleka moto yan akimuowa watapigana mpaka achubuke mapaja

  • @irenemacool6491
    @irenemacool6491 2 года назад +21

    Finally nimepata Simulizi ya jina langu ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @tracymasangula213
      @tracymasangula213 2 года назад

      Congratulation dear irene😂😂❤

    • @tracymasangula213
      @tracymasangula213 2 года назад +1

      Na mimi pia jamani nimesikia jina langu kwenye hii story nimefurah ety❤❤❤

    • @angelantinda1009
      @angelantinda1009 Год назад +1

      @@tracymasangula213 hahaah

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад

      Simuliz ya jina lako vip na hiyo tabia ya wajina wako?..tabia mbaya mno

  • @OmanOk-lx9td
    @OmanOk-lx9td 6 месяцев назад +1

    Kweli mume mwema huletwa na mungu 🎉🎉🎉🎉

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 года назад +10

    Kwa hakika hii simulizi nimeisikiliza kwa umakini wa hali juu ingawa ni yakutunga lakini walahi nimejifunza kitu kwamba dunia hii ina neema nyingi sana zilizotuzunguka sisi wanadamu neema ambazo huwezi kuzijua mpaka neema hizo zikutoke

  • @zaliafakilavire5689
    @zaliafakilavire5689 Год назад +4

    ❤❤❤❤Nimejifunza kitu shukrn sanaaa ila simuliziii tamu balaa

  • @aseaaaa5812
    @aseaaaa5812 2 года назад +7

    Shukrani san🙏🙏🙏🙏

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 2 года назад +8

    Amen 🙏, n kweli always God's time is always d best,Lissa dada n smix ,tunashkru sana km wana u tube,nimejifunza mengi hadi naona sometimes nisijingize kwenye mausiano,but nafarijika nikiwa ndani ,n huwa hizi simulizi hunitolea strezz,kaka Jay long life are trying

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 2 года назад +3

    Mungu ni mwema Irene ❤️

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 2 года назад +3

    Sitori nzuri kweli

  • @nafsinafsi1932
    @nafsinafsi1932 2 года назад +5

    Asee pole yake Irene ama kweli Simba mweda Polie ndye mlaa nyama wanahume jaman Anko j unapeda kuwasifu sana washikaji ona sasa asate sana Anko j sim tamu nimejifuza kitu💕💕💞

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 2 года назад +3

    Daaah story nzurii xaan jomon na inafundisha pia asante xna anko j 🥰🔥🔥

  • @EstherJoram-gt4lt
    @EstherJoram-gt4lt Год назад

    😊😊❤😊Asante sana

  • @raphaheritier3616
    @raphaheritier3616 2 года назад +6

    Anko inabidi simulizi nyingine uanze kuweka ma épisodes sababu kuna wengine huwa wakifaliya simulizi Zako wakiwa kazini asante bro

  • @bukuruasina427
    @bukuruasina427 2 года назад +5

    Mwaz nilion 7 nikasem siwez kiskiliz daaah Yan Leo najiwek waIm kiskiliz nan kuimaliz sio Leo kbx🤣🤣🤣ACH nill bwan weee 👌kosa la rahisi kweny mpango w Siri kutungeuk limenifany nij ap,🤣🤣🤣sijapend ank j NC voice wew Kak💯💗🇦🇪🇧🇮

  • @JanethShem
    @JanethShem Год назад

    Congratulations Irene kwa ujauzito ❤

  • @reenreen7031
    @reenreen7031 2 года назад +4

    Simulizi nzuri sana yenye mafunzo haswaa,, prayers is the key

  • @mamtuhhassan809
    @mamtuhhassan809 2 года назад +5

    Wow 🥰 jamani mpaka raha yani 😍♥️♥️❤️❤️

  • @sophiebanga9533
    @sophiebanga9533 2 года назад +14

    Lisa anatunga vizuri saana ongera saana keep ♥️ ❤️

  • @cesiliakessy3691
    @cesiliakessy3691 Год назад +3

    Lissa mwalla una kitu utafika mbali 😅😅😅😅happy 7:32:10 hour
    Story zako zina matumaini mapya❤❤❤

  • @juliennetchalinda9612
    @juliennetchalinda9612 2 года назад +6

    kwa kweli ii story ni zuri kabisa yenye mafundisho

  • @IreneLaurence
    @IreneLaurence 7 месяцев назад

    ❤❤❤nzuri sana

  • @FrankJoseph-d2f
    @FrankJoseph-d2f Год назад +4

    Irene' unapepo la ngono likutoke😢

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад +2

    Maisha yasiyo na msimamosiyapendi,,,,,tabia ya Irene siipendi hata kidogo,maisha yako unaendeshwa na rafikibadala ya moyo wako nyoooooh,nimechukizwasaaaana

  • @aminah9557
    @aminah9557 2 года назад +4

    Waaa hii simulizi ni noma sana

  • @heriethmozes8151
    @heriethmozes8151 2 года назад +6

    Nikweli kabisa wakati wamungu ukifka lazma akuinue

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i Год назад +3

    kila mda nasikiriza simuridhi zinanipoteza mawazo na enjoy mno najifunza kwny izi simuridhi zenye kuelimisha na kujifuza kuusu maisha yetu sisi binadamu ❤

  • @jawahirkahinmadar1459
    @jawahirkahinmadar1459 Год назад +4

    Huyu sio rafiki mzuri amka bado mdogo

  • @CatherineHenry-iq6sf
    @CatherineHenry-iq6sf 6 месяцев назад +1

    umenifurahisha kumwokota hyo mtoto

  • @FrankJoseph-d2f
    @FrankJoseph-d2f Год назад +1

    Jamani frank🎉🎉🎉🎉

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 года назад +4

    Daaaahhh aiseee yn Simulizi zingne mpka raha haziishi hamu kuzisikiliza ❤❤❤

  • @elizabethbarasa5832
    @elizabethbarasa5832 2 года назад +3

    Mashallah!!! Nzuri sana,pongezi Simulizi mix

  • @chanellairakoze3538
    @chanellairakoze3538 2 года назад +3

    Ankojay mwenyewe
    Big up Xana 🤜🤛
    umesababisha nalala usikuu mkubwa Xana Asante kwa simulizi nzuri🙏

    • @elizabethmburu2210
      @elizabethmburu2210 2 года назад +1

      Weeeeuuuuuuweeeeh inamaana tupo wengi hivi juu kama simulizi ina dawa Sasa hapa imetumaliza Sisi watu walioko gulf heee

    • @chanellairakoze3538
      @chanellairakoze3538 2 года назад +1

      @@elizabethmburu2210 nakwambia nihatr 😅😅nimella SAA tisa ya usiku kisa hiyo simulizi nzuri

    • @edinamassawe372
      @edinamassawe372 2 года назад +1

      Mungu ni mkuu sana jamani mwacheni aitwe mungu.

  • @abrahamnathan4115
    @abrahamnathan4115 2 года назад +10

    Amaizing🔥🔥

  • @carolinekasha9396
    @carolinekasha9396 2 года назад +5

    Shukurani anko jay🙏🙏

  • @dinakiwelu745
    @dinakiwelu745 Год назад +2

    ❤❤❤daaah katika Simulizi nimeickiliza mara kumi kumi ni hii naomba WhatsApp anko jy

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 2 года назад +14

    Anko jay mwenyewe IRENE haya kafanyanini nasikiliza halafu nitakoment tena like zenu wadau wa simulizi mix🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @jacklinemsafiri5948
      @jacklinemsafiri5948 2 года назад +2

      Ulipo nipo 🥰🥰💞💞😂😂

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 2 года назад +1

      @@jacklinemsafiri5948 waooo kipenzi tupo pamojaa kipenzi 🤣🤣🥰🥰🥰🥰

    • @jacklinemsafiri5948
      @jacklinemsafiri5948 2 года назад +1

      @@shadyasalum192 🙏🏿🙏🏿

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 9 месяцев назад +1

      Tabia mbaya saaana ya kuchanganya wanaume

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 2 года назад +4

    Irene unatukosea sana team Ray mpumbavu wewe

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 2 года назад +3

    Maisha ni safari ndefu Sana daah, hongera Irene

  • @suzanajoel
    @suzanajoel Год назад +2

    So nice

  • @janethsambu1723
    @janethsambu1723 2 года назад +4

    Daaah jmn wakati wa Mungu ni wakati sahihi japo tunapitishwa kwenye magumu tusiache kumlilia. Pamoja na yotee ya irene amejua kuniliza huku mwisho hii story ilikua inanitia uvivu kuisikiliza leo nikajilipua😂 nimejifunza mengi mnoo. Mbarikiwe ndugu zetu anko jay,simulizi mix na kipenz chetu lissa mwalla❤❤

  • @missclementsemizigimisscle7458
    @missclementsemizigimisscle7458 2 года назад +6

    Irene kimalaya cha kilokole❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HafashimanaDorine
    @HafashimanaDorine 3 месяца назад +1

    Hiyi simulizi inafanana sana na simulizi 2zote

  • @AnnethMichel-cp3tl
    @AnnethMichel-cp3tl 6 месяцев назад +1

    Mapenz raha san jàman hasa ukimpata anaekupenda

  • @RayaKilabi
    @RayaKilabi Месяц назад +1

    Hii simulisi haina tofauti na Lisa bint kimasai

  • @mwavitahussein7275
    @mwavitahussein7275 2 года назад +10

    😱😱😱😲😲😲😲😲😲 7 hours woooooow profit huna listen tu mpaka sikio nili kiri 😂😂😂😂😂😂😂❤

    • @nkurunzizasandrine5091
      @nkurunzizasandrine5091 2 года назад +1

      Hhhhhh ukizubaa na sikio litauma ila acha nisikilize kwanza

    • @mwavitahussein7275
      @mwavitahussein7275 2 года назад +1

      @@nkurunzizasandrine5091 nita maliza story nzima mpaka sikio nita koma 😁😁😁😁😁

    • @nkurunzizasandrine5091
      @nkurunzizasandrine5091 2 года назад +1

      Hhhhh nihatari ila tutasonga nao ivo ivo bwana

    • @betinaMichael
      @betinaMichael 28 дней назад +1

      hahahahahah ni atareeeeee

  • @ruthwanjiku5904
    @ruthwanjiku5904 Год назад +8

    wooow Lisa never disappoints big up

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 2 года назад +3

    Lulu ndio rafiki baana ana mawaidha kama mtu mzima kongole Ankojey big up brooo

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m Год назад +3

    Nikiwa mascat oman imekua faraja sana kwangu

  • @tracymasangula213
    @tracymasangula213 2 года назад +4

    Finally nimemaliza kusikiliza hii story🙏

  • @ygggggg9762
    @ygggggg9762 2 года назад +7

    Daaah anko j umetuweza mmmh 7 hrs haya nikianza sai saa saba mpaka mbili usiku...sikio silangu haaaa haa

  • @happygissy7693
    @happygissy7693 2 года назад +6

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @timesaleh6756
    @timesaleh6756 2 года назад +2

    Ktk simulizi hii imeniliza sana asante dada lissa na anko j 😢nimejifunza mambo mengi sana

  • @SakinawalyokaMamafuxokin-dq4vo
    @SakinawalyokaMamafuxokin-dq4vo Год назад +1

    Tam tam tam sana❤❤😅

  • @KavereSylvia-zg6on
    @KavereSylvia-zg6on Год назад +2

    ❤❤❤

  • @aishabakari7362
    @aishabakari7362 2 года назад +6

    Ngoja nisikilize kwanza

  • @anitamesia3402
    @anitamesia3402 2 года назад +6

    Nzuri sana

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 2 года назад +6

    Hii story ninzuri sana

  • @jacklinekwamboka6245
    @jacklinekwamboka6245 2 года назад +15

    🔥🔥🔥🔥 waiting for more ❤❤

  • @nawmijdodk733
    @nawmijdodk733 2 года назад +9

    Irene kafanyaje twende nalo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 2 года назад +2

    Sauti yako bro ❤

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we 2 года назад +7

    Jaman Leo mwenzen nimechanganyikiw mhhh😜😜😜😜😜nicheke kwanza maana hii simuliz nimeona zaman ila cjuw kwan sijaisikiliza adi kufikia saiv mm wa mwisho ANKO JAY like kama zote juu yko wacha nipate utamu wa IRENE bye kdg🇲🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇬

  • @rasterimani9055
    @rasterimani9055 2 года назад +53

    Kudadeki aya like 10 kwa wanasimulizi mix family kubwa one love

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 2 года назад +5

    Hakika anko jay upoo juu daima ni da hija nairobi

  • @AliBadi-p4i
    @AliBadi-p4i 8 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 2 года назад +5

    Anko j kwa wiki utusimulie ww ata mara tano jamani we like li sauti lako

  • @sharifahkechere1600
    @sharifahkechere1600 2 года назад +1

    Asanteee 😍😍😍😍

  • @RehemMosh-io9bt
    @RehemMosh-io9bt 6 месяцев назад +1

    Jamani ndo maisha yetu tumepitia mule mule wanaume hawa jamani

  • @kevenkeven7381
    @kevenkeven7381 2 года назад +4

    🥰🥰🥰😘😘😘