Good job lissa mwala na uncle j Amaizing story muhusika ametulia ajaliwa kabisa na wengi ni mmoja tu Muhusika ajapigwa huyu na Ramso wake 😂😂😂 safi Inaisha hutumani iishe ❤❤❤❤❤❤
Anko j ne nmkenya niko lebanon ..hakika simulizi zako nikiwa na Bluetooth zanifanya nisahau kelele zote za mwarabu na stress zote wanayonipa familia ..mungu akubariki
Asante Sana anko jay kwakweli since nianze kusikiliza simulizi zako nafarijika Sana Mungu akubariki Sana
Ubarikiwe sana 🙏
Piga kazi anko jay mishabiki yako namba 1 wasimulizi zako
@@lovenesshadson3559Mungu Akubariki 🙏 Ahsante Sana
Anko jmn duuh asant san kwahii kwakwer
Shukran sana kwa simulizi tamu Anko Jay,sauti yako wueeh sisemi kitu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakupenda Sana ank jay kwaizi simulizi zako.
Mashaallah anko jay
Anko j mungu akuongoze jmn👍
anko jay tena umetisha
❤❤❤❤❤ nampenda sana simulizi zako
Mie pia napenda saaana
LISSA MWALLA kipenzi mis u tunainjoi na simulizi tamuuu kipenzi mungu akubariki kwa kazi ya mikono yako🥰🥰🥰🥰🥰
Naenjoy na simulizi za lissa mwalla na Anko jay wangu jaman moto juu ya fire one love bn wana simulizi mix 💚💙💜
Me nishakua mlevi wa simuliz zake
Anko jay wake weweeeeeeeee❤️❤️❤️❤️❤️💖.acha tukupende tu jmn unajua kitupa vitu roho inapenda🎉🎉
Anko jay❤ unatisha saaana aisee yaaan mungu akuongoze sana 😊😊
Hadithi nzuri sana ahsante sana anko j na mtunzi lisa mwalla
Ahsante sana
Kweli mapenzi ni upofu tena uchizi pia
Anko j napenda saaana story zako Una sauti taam saaana
Wazazi wakati mwingine tunawakosea sana watoto wetu na hatuwezi jikubali kuwa tunakosea
Good job lissa mwala na uncle j
Amaizing story muhusika ametulia ajaliwa kabisa na wengi ni mmoja tu
Muhusika ajapigwa huyu na Ramso wake 😂😂😂 safi Inaisha hutumani iishe ❤❤❤❤❤❤
Hii simulizi ni nzur jmnii , so mwaaaah ✍️✍️✍️
Anko jay simulizi zako zaacha nikitoka huku niolewe bt ❤❤❤❤❤❤❤
Mm hupenda sana simulizi, Zinanipa raha sana
Mwachane na anko jay ako kwawakati wake ata akijiaifia ni kipaji chake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤🇰🇪
Kuna hii alafu kuna chizi fresh ndio simulizi zangu bora sana shukrani sana Dalisa ❤️❤️❤️❤️❤️
Enjoy
Ata mimi chizi iliniua kabisa
simulizi zote za Lisa mwalla naisi zinafanana sijuwi kama mimi tu ndiye naona ivo jmn
Ukweli kabisa yaani ata unaskiza but unajua what will follow next
Daaaaaaaaaa anko jay unavyo jisifia kamaaa uy mvaaaa miwani
Tuko pamoja ❤❤❤
Pamoja saana🎉🎉🎉🎉
Anko j na kimombo chake hataree tunainjoy xaan kiukweli ✌️❤️🥰
❤❤❤❤ I like it jamn ni nzuri sana Yan nimejifunza meng
😀😃😄 simulizi ipo parfect
Saaaana
Mzuri kama anko jay
Waooooooh Big up Xana Ankonjay
Asante sana anko jay Kwa simulizi tamu mungu akubariki
Nikisikilizaga simulizi zako jay nacheka San 🤣🤣🤣🤣🤣yani unanifulahishaga San 🤣🤣🤣🤣
Asante ank j kwa kunigunza lissa mwala nakupenda pia ❤❤🎉🎉nimeboeka nasikiliza zilopita nlikuwa sijkuwa mwanafamily...
Mmmmh mambo moto moto kwa mtunzi wetu lissa love u😊😊 Asnt anko j kwa kutuburudisha😊
Kabisa Anko
Mapeñzi upofu kweli😅
Wale wa kuchelewa mmmhhh tufika natumai wazima wote humu shukrani Risa Mwala na Anko J kwa simuliz Nzuri mnayisha Sana tunawapenda
Anko j
Naomba utuandalie story nzuuuuuuuuuri, sana inayoendana na ile ya WEWE NI WANGU, nmeipenda sana ile simulizi.
Ina mafunzi sana naomba pl.
❤🎉😊hongera anko jay kwa simulizi yako binafsi
Hiii imenitowa machozi mapenzi haya dah❤❤❤ hongera sana anko jey
Asante anti lissa kwa simulizi nzuri yenye mafunzo
Shukrani anko jay wetu 😍😍allah azidi kukuhifadhi ili tuzidi kuinjoy da lissa mwala love you 🌹🌹😘
Waoooh amazing anko jay i love yóu nice work
Usijali anck jtuko pamoja na tuna ❤❤❤❤
Nakwambia anko j weeee wanisisimua sana
Kazi anaiweza sana
Asante anok j nikisikilisa simulizi nafarijka san mung akubariki tunakupenda san❤❤
Anko ujambo simulizi nzuri sana lakini na ngonjea sana EMMY siku njema ankoj
1:08:25 hongera anko J kwa story tam
Kumekucha yaani tuko ewani saa izi na simulizi ya anko jay twende kazi sasa kusikia simulizi iyiiiii❤
Kwakweli
Twende leo sasa❤na anko jay kwaubora wake ❤❤❤
Yaaaan mwandishi na msimuliziz woootee mashaaalah wananogesha hatar😘😘😍
Kwa kweli ninzuri sana asante anko j
Ni nzur
Asante anko j nalisa mwala simulizi Tamu mno mungu awabaliki
Be blessed My Anko Jay ❤❤
Jaman wanaume mpo mjue na aina za mitongoz kumbe kunamitongozo mizur kha nimecheka sana 😂😂😂
My wangu lissa mwalla ujawahi niangusha bila kumsahau mapesa anko Jay Mungu awape afya tele vipenzi wetu
Congrats 🍾🎉 anko jay you’re the best ❤❤️🥰
Jaman Anko asant kwa simuliz nzur haki😘😘😘😘😘😘
Hiyo sauti ya anko j hasa akisimulia kumlenga kijana handsome unanimaliza kabisaaaaa
❤❤❤ nimeipenda san
Yanii hili chimbo la lisa mwalla nimelipenda ni bandika bandua mpaka raha yani🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 ngoja kwanza nisikilize
Asante Anko jay nime enjoy bn story tamu😘👌💜💙💚one love wana simulizi mix.
❤❤❤❤❤❤ nimeinjoy jmn na simulizi tamu
Wow congratulations Lisa mwalla na anko jay shukrani haijalishi nimechelewa ila tupo 🎉🎉🎉🎉🎉tunajifunza mengi🎉🎉🎉🎉🎉
Nakusikiliza Kwanza ndiyo Ni comments😂❤❤❤❤ mwandishi Lisa mwalla ubarikiwe Na anko j Mungu akupe Maisha mazuri❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️
Asante stufio
Anko j ake asantee kwa simulizi🥰❤❤🥰❤🔥🔥
Anko j ne nmkenya niko lebanon ..hakika simulizi zako nikiwa na Bluetooth zanifanya nisahau kelele zote za mwarabu na stress zote wanayonipa familia ..mungu akubariki
Leo nmekua wa 6 like nyingi Kwa anko wake weeeeeeee❤️❤️❤️❤️😊
00p000
😊
@@hanifaal1556😊
Naona umekuja kivingine❤
Kweli Kuna mapenzi ya dhati nimejifunza kitu .
Mapenz ya kweli yananoga saaana
asante 😊
Asante saaana
❤❤😅huwa nacheka tu bt asante kwa hizi simulizi 🎉🎉
Ankojay big up unajua kusimulia vizur❤
Yani apa nikazi na anko jay na Lisa mwalla na injoi balaaaaa
Kwaku jisifia anko Jay hujambo 😂😂
Na hajambo haswaaa,nataman nijue kabila lake
😅😅😅😅😅😅😅😅 biolosi😅😅😅 ila Anko J wew mpuziii kabisaaa wew😅😅😅😅😅😅
Keep going ✌🏾
Always
Asante sana kwa simliz nzuri 👌
Nzuri saana
Anko jay usisahau kuleta simulizi ya Lisa na Alvin part 9
Pamoja sana Anko!
Nakupendaa sana anko Jay, nitafanya kitu kwaajili yako, maana napenda simulizi zako
Ahsante sana 😊
Karibu sana,,,
Ukifanya nijulishe tuungane
Wow tulikua tumengoja sana
Anko J napenda umavosimulia yaani unanichekesha kweli ukicheka mie nijiwezi kwa kucheka utafikiri sio simulizi ni jambo la kweli Mungu akuzidishie😅😅❤
Ahsante sana 🤝 tuendelee kuwa pamoja
@@ankojay_ anko sichoki kukuambya napend sauti Yako your the best❤️❤️❤️❤️
@@ankojay_hongera saana,kwa simuliz hii umejitahid sana kupitia coment za wasikilizaji wako,unatia moyo saaana
@@sabinamasangwa293kweli kabisa
Yaan cjawah kuickiliza simuliz aliyosimulia anko j nikakosa kuirudia rudia daaaah✌️❤️🔥Lissa Mwala simuliz zako ziko hot xaan🔥🔥❤️🥰🙏
Ahsante sana
@@ankojay_ni nzuri kwa kweli
Ila Anko simulizi zako zinaniguza duh ❤❤❤🎉🎉🎉
Ankojay napenda unavyosimulia na kucheka unatufanya mashabik zako tuzid kufulah unatupa fulah sana
Ahsante sana 😊😊🙏
Saaaaana
Asante Anko wetu tupo humu tayari mambo ni moto
Goood work anko jay❤❤❤❤❤❤
❤❤❤ankoj wetu love you more ❤❤
Asante sana anko Jay kwa simulizi tamu
Niatimayako munguakipanga❤inatimia
Jmnii watu hawalali hpn chzea hkk unkle jay umjua kututkaa mbnaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 anko j ukubani umenifuraisha sana
Jamani mimi napenda sana simulizi za lissa mwala jmn
Congratulations 🎉uncle J, your the best 👌.
Thank You My dear
Uncle Jay unapenda kujisifia weeeeee
Very nice anko j❤
Ila nzuru sana namupenda sana Lisa mwala
Nakupend bur
Ahsante sana
Napenda simulizi ya lisa mwala
Ni nzuri saana
Asante anko jey napenda ukijisifia Hadi Raha ❤❤❤❤❤
Mmmmmh,anko j kwa kujisifia tu hujambo,,,,,lkn sawa,raha jipe mwenyew usisubiri kupewa