NURIA: SIMULIZI TAMU YA SAUTI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 66

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 месяца назад +8

    Asante sana Victotia kwa usimuliaji makini wa hadithi yenye mafunzo mengi ♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹👋💃

  • @kibibi7826
    @kibibi7826 3 месяца назад +15

    Muandishi umeongea uhalisia wa Ndugu wakubwa ambao wanajitoa kwa wadogo zao kipindi icho huna kitu yani ukiwa mkubwa alafu uwe hauna pesa dharau,masimango na dharau na kusemwa pia kwa mwanaume au wanaume au wake za wadogo zetu....yani kama ujawai pitia hiyo changamoto ni ngumu kuelewa utaona kama ni simulizi ila wengi wanapitia kilochoandikwa na kusimuliwa😢😢😢tujitoe kwa mipaka ili kueka akiba ya kesho incase lolote litokee😊😊Much love from kenya Mombasa

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 3 месяца назад +10

    Daah nizuli sana hii simulizi inamafunsisho mengi na matamu ya kusisimua MashaAllah ❤❤, 🇴🇲🇴🇲 kweli nimeamini rafiki ni mama ako mzazi atandugu nae awaminiki

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 3 месяца назад +6

    Simulizi tamu ina mafunzo mazuri mashaallaah

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 3 месяца назад +8

    Nuria mjinga sna saw saw na helen tu huruma zke zinampnza ungeuliwa ww ndo ungekuwa kma ndugu yko ndo mbaya jinga sna ww unaacha kumsikiliz mwnmme aliyekupa maisha unaenda kuamin kma mdogo wko ndo kaonew mpka mtt wko anabakwa kwa ujinga wko

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 3 месяца назад +7

    Simulizi ina funzo kubwa san kuhusu undugu . Asante sana ❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 месяца назад +9

    Ee Mwenyezi Mungu nipe moyo kama wa Nuria,moyo wa dhahabu wakusamehe🙏

  • @MamaShukran
    @MamaShukran 3 месяца назад +3

    MashaAllah nzur Sana nimeipenda

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 3 месяца назад +8

    Hizi ndio simulizi zknazofaa katika .jamii..nimejifunza mengi sana ee mola niajalie moyo wa msamaha kama wa Nuria na .....

  • @SteveKilonzo-x7h
    @SteveKilonzo-x7h 2 месяца назад +2

    Marshallah simulizi kama movie hivi.

  • @ZainabuFeiysalii
    @ZainabuFeiysalii День назад

    ❤❤❤ honger sana nuria mungu akulindeee

  • @gagabossladygaga-ko2mv
    @gagabossladygaga-ko2mv 3 месяца назад +6

    ❤❤❤❤

  • @ZainabuNasibu-v2k
    @ZainabuNasibu-v2k 3 месяца назад +8

    Jamn nimekuwa wa kumi na Tano like zangu

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 3 месяца назад +5

    Wao❤❤❤

  • @laurentadelitus79
    @laurentadelitus79 18 дней назад +1

    Story nzuri na inamafunzo

  • @dusabezubeda
    @dusabezubeda Месяц назад

    Asante sana kwa simulizi yenye u kaguo nzuri na uchungu pia ila kila anae nyenyekea na kutendea wengine wema yeye ndie huumizwa na aliwo watendea wema haijali ndugu yako wala asie kuwa ndugu yako maranyingi wa rudisha mabaya

  • @YumiiArbaz-wz4rg
    @YumiiArbaz-wz4rg Месяц назад +1

    Nuria ww nikiwembe sana zoazoa kbs😮

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 3 месяца назад +5

    ❤❤❤🎉🎉

  • @SaidahMwinyi-p3z
    @SaidahMwinyi-p3z 2 месяца назад +2

    Hatari

  • @Aishamzamilu
    @Aishamzamilu 3 месяца назад +5

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 3 месяца назад +10

    Subilini niwafungulie mlango kwanza jman mtanikanyaga😂😂😂

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 3 месяца назад +7

    🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉

  • @FaudhiaIssa-g1z
    @FaudhiaIssa-g1z Месяц назад +1

    Pole sana Nuria

  • @ZainabuNasibu-v2k
    @ZainabuNasibu-v2k 3 месяца назад +6

    Wa tatu

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 3 месяца назад +11

    Yaani siku hizi hakuna cha damu nzito kuliko maji juu wasiohusiana nask kwa damu ndio wanaotustiri kuliko ndugu wa damu

    • @Aishwaraimasiennah
      @Aishwaraimasiennah 3 месяца назад

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg damu sikuhizi si nzito nikama ilitiwa maji🤣🤣

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 3 месяца назад +2

      @@Aishwaraimasiennah yalianza zamani juu Nabii yusuf kauzwa na nduguze wa damu katiwa kisimani na nduguze wa damu sasa letu nikiishi kwa tahadhari juu jamii inatuzunguka haitutakii wala kufurahia mema na neema zetu

    • @Aishwaraimasiennah
      @Aishwaraimasiennah 3 месяца назад

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg kweli kabisaa

  • @NasraOmar-i7w
    @NasraOmar-i7w 2 месяца назад +2

    Inauma sana

  • @HidayRashidi
    @HidayRashidi Месяц назад +2

    Duhhh jamanii

  • @RODA-rr1di
    @RODA-rr1di Месяц назад +3

    😂Dawa ya moto ni moto dada kajaaa kwenye mfumooo

  • @HellenJacob-z4v
    @HellenJacob-z4v 2 месяца назад +2

    Mamuh kwann unaniliza tena jmn

  • @khizirially7601
    @khizirially7601 3 месяца назад +3

    Nuria ana roho nzur San daaah❤❤

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 2 месяца назад

      Roho nzuri ama ni ujinga, anafanya mtoto anabakwa mpuuzi sana, ni yy tu na wanaume

  • @GloryLubida
    @GloryLubida 3 месяца назад +4

    Jaman me cjui namna ya kusave hizi simulizi nkijaribu inagomaa

  • @MamaSuzi-d3r
    @MamaSuzi-d3r 3 месяца назад +8

    Kweli Nuria angemwacha mdogo wako angekuua wewe

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela 2 месяца назад

    Simulizi Moja tamuu❤❤❤❤❤nipeni like basi kama umekufunza kitu❤❤

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 3 месяца назад +4

    😢😢🤔

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 месяца назад +9

    Jamani kila jambo linakuwa na sababu ktk maisha yajayo,tusiwe na kazi yakulaumu tu sisi binadamu,😂😂😂 ubaya ubwela na udugu umala 😂😂😂

    • @Aishwaraimasiennah
      @Aishwaraimasiennah 3 месяца назад +3

      😂😂

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 3 месяца назад

      Dada penda penda huyu.japo ni utunzi ila mdada noma anapenda mboo

  • @SallyJemutai-w5r
    @SallyJemutai-w5r 3 месяца назад +4

    Simulizi tabu nimejifunza kitu

  • @NeemaRajab-p2v
    @NeemaRajab-p2v Месяц назад +2

    Simulizi tamu na yenye funzo

  • @GaoLupatu-w7r
    @GaoLupatu-w7r 13 дней назад

    Upo vzr san Dada angu nimetokea kupnd san stor zako

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 3 месяца назад +3

    usiwaonee huruma wanaume...watakuliza. wengi waliohurumia wanaume na kuwasaidia huishia kulizwa tuuu.

  • @janethdaud201
    @janethdaud201 3 месяца назад +3

    Pamoja

  • @missPhD
    @missPhD Месяц назад +1

    Dah😢

  • @MamaSuzi-d3r
    @MamaSuzi-d3r 3 месяца назад +6

    Sasa Nuria utaambulia ukimwi tulia fala wewe

  • @yussufadidja433
    @yussufadidja433 3 месяца назад

    🎉🎉🎉❤

  • @NiyoBuja
    @NiyoBuja 3 месяца назад +6

    Wapili jamani

  • @EvelyneAKIMANA-f9c
    @EvelyneAKIMANA-f9c 21 час назад

    Huyu nuria nimujinga malibo nihapa duniani mudogo wako alivuna alicho panda

  • @EsterDaudi-u8f
    @EsterDaudi-u8f 20 дней назад

    Story nzr san coz inafundish san nimeipend

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 2 месяца назад

    Ila ww dada ni maharage ya mbea, watu wanakaa hata miaka 10 bila mume, ww ni kila mwanaume unampea tu, unafanya mtoto anarepiwa shenzi kabisa, kwani haewezi kukituliza na watoto uko nao😏😏

  • @NuruGerad
    @NuruGerad 3 месяца назад +1

    Nuria nyoko

  • @maryamsimai5395
    @maryamsimai5395 3 месяца назад

    Kupata ndugu kama huyo mtihani kwakweli

  • @richardmasaho3456
    @richardmasaho3456 Месяц назад

    Duuuh

  • @JawahirMadar
    @JawahirMadar 3 месяца назад +2

    Kweli wajinga sana mtu kampa sumu huku shitaki hata polisi ushahidi tosha unge mpata tu

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 3 месяца назад

    Duu Felix Mwenda uko wapi

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 3 месяца назад +5

    ❤❤❤

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 3 месяца назад +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 3 месяца назад +4

    ❤❤❤

  • @IRAKOZEANNEMARIE-r6f
    @IRAKOZEANNEMARIE-r6f 2 месяца назад

    ❤❤❤