HANS: MAKOCHA WA AFRIKA MAJINA MAKUBWA UWEZO HAWANA/ FADLU SIO KOCHA MKUBWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 112

  • @dennieantonio3314
    @dennieantonio3314 Месяц назад +4

    Geoff to be honest you are f*ckin smart kwenye kazi yako..hujibu tu ili ushindane unajibu in smart way

  • @mosesregnald7117
    @mosesregnald7117 Месяц назад +2

    Huyo Geof ana akili sana na uwezo wake wa kuchambua mambo ni mkubwa sana . Huwa nawasikiliza wakijenga hoja kati ya Geof na Hans ,nimegundua yafuatayo . Mosi Hans analazimisha hoja ikubaliwe bila kuzingatia critical reasoning, comparative analysis and rational theories. Keep it up Geof . I always learn a lot from you . Una uwezo wa kuchambua soka la ndani na nje ya Tanzania.

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 Месяц назад +5

    Huyu geof leah ilibidi awe skysport huko na kina owen anachambua EPL

  • @sultanhamis9292
    @sultanhamis9292 Месяц назад +8

    Hana jina ,ni kocha mchanga ndio Anataka kutengeneza jina Simba

  • @yusufuhassan6524
    @yusufuhassan6524 Месяц назад +2

    Jeff Yuko sahihi anajua vizuri football ya Africa na historia yake ..ukimsikiliza vizuri unaweza kupata kitu tofauti..shida ya Hans ni kujiona anajua zaidi kuliko wengine

  • @jumambalu5794
    @jumambalu5794 Месяц назад

    Geof🙌🙌🙌 very smart guy...
    Hoja ndogo sana...eti good signing wanafanya Yanga kubattle..wakati unafanya good signing at your low level wenyewe wanafanya at high level...who knew Wessam Abu Ali? Dieng? Etc

  • @ibrahimkimweri2329
    @ibrahimkimweri2329 Месяц назад +3

    Geof kaongea kitu kikubwa sanaaa mwenye ufaham mzur ataelewa sanaa

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 Месяц назад +8

    Hovyo maswali ya Geofray!!? Hans una mapungufu Yako,lakini Kwa kiwango fulani uko juu zaidi kuliko Geofray! Mwacheni ubishi na mapenzi yake!!!

  • @BarakaJamesNnko
    @BarakaJamesNnko Месяц назад +1

    Hans unajua Ila Geof ni kiboko ila kwel mnajua wote Good analysis

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 Месяц назад +3

    Ukubwa ni safari na hauji kimiujiza, bali unatengenezwa hatua kwa hatua! Hakuna mtu aliyezaliwa na meno, meno huota baadaye! Sidhani km ni sahihi sana kutumia muda mwingi kuzungumzia watu badala ya kuzungumzia 'issues'.

  • @CostarcostarcostarCostar-tx4yk
    @CostarcostarcostarCostar-tx4yk Месяц назад +2

    Nakuela geof ww mwamba Hans dogo sana kwenye gem

  • @babawataifa3725
    @babawataifa3725 Месяц назад +4

    HUYU GEOF LEA ANAITWA GOOGLE USIJIINGIZE KWAKE VIBAYA

  • @richardnyarugenda9769
    @richardnyarugenda9769 Месяц назад

    Kiukweli GeofLay ana takwimu ila Hans ni mchambuzi wa kisasa zaidi.❤

  • @makambatimbertraderscompan311
    @makambatimbertraderscompan311 Месяц назад +1

    Fadlu Devis amepita Timu Kubwa Nyingi Tu tena akiwa Kocha Msaidizi namba 1 Amefundisha Mamelod, Orlando,Amazulu nakadhalika,Pia ametoka Raja Casablanca kuipa Ubingwa wa Morocco Juzi kabla ya Kuja Simba SC utas

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Месяц назад

    Kati ya watu waliotombwa na Pi didy, Hans ni namba moja kwa Tanzania

  • @visitDar2011
    @visitDar2011 Месяц назад +2

    Hans mtoto mdogo kazoea vichwa avarage vya Wasafi, Geofrey anajua mpira fatilia hata post zake, Hans hoja zake ni GSM na Mo nani ana hela ? , vitu simple.

  • @peteremmanuel7425
    @peteremmanuel7425 Месяц назад

    Mimi naona kila timu au gaifa lina angalia njia bora ya kuwafikisha huko. Una angalia kitu kinaitwa matrix table. Kipi uanze nacho kutokana na stand yako.

  • @zuberithabit897
    @zuberithabit897 Месяц назад +1

    Hance unavitu vingi vya kujifunza Kwa Geof, toa hoja Kwa fact co kubisha bisha tu.

  • @E_mwafrica-dc2zm
    @E_mwafrica-dc2zm Месяц назад +1

    Hans bhana cjui point zake huwa anazsoma wap kinavurunda kila wkt

  • @CostarcostarcostarCostar-tx4yk
    @CostarcostarcostarCostar-tx4yk Месяц назад +1

    Hans boya sana ujui mpila

  • @pinomjata678
    @pinomjata678 Месяц назад +2

    Kwani kuwa na jina mpaka ajulikane Tanzania? Anaweza asijulikane Tanzania lakini sehemu nyingine anajulikana. Kabla ya Gamondi kuja Yanga Wa-Tanzania walikuwa wanamjua?
    Tatizo la Hans ni mjuaji sana halafu anachokijua yeye ndio anataka kionekane sahihi. Anatakiwa aelewe kwenye football kila mtu ana mtazamo tofauti na kuna ku-agree na ku-disagree.

  • @yusufuhassan6524
    @yusufuhassan6524 Месяц назад +2

    Geoff achana na kijana huyo hajui chochote ..Mzee tumeanza kukufuatilia Toka upo clouds fm...

  • @MiziziMti
    @MiziziMti 13 часов назад

    Huyu jamaa aliye vaa blue ni ziro kabisa!

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Месяц назад

    Hans ni shoga wa yanga asiejielewa

  • @microssadamu7556
    @microssadamu7556 Месяц назад

    Safi sana kipindi kitamu sana kwa Hilo battle la Hans na geofray

  • @ChurchillShakim
    @ChurchillShakim Месяц назад

    Leo ndiyo nimejua kuwa Hans ni kilaza, huyo kocha aliyemtaja aitwi 'Sveni' huyu dogo sijui amesoma wapi! The pronounciation is 'Swen' and 'Sveni' kisha ajue kutumia 'r' na 'l'.

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 Месяц назад

    Nawapenda wote

  • @kelvinfussi5210
    @kelvinfussi5210 Месяц назад +2

    Fadru hana jina Tanzania ili huko kingine wanamjua

  • @claudesimukoko1436
    @claudesimukoko1436 Месяц назад +1

    Tumekuelewa hachana na uto mauwani, kwa uchambuzi uyo bado ni mchanga.... Big up bro

  • @mirajibendera8795
    @mirajibendera8795 Месяц назад

    Hii ndio sehemu pekee ya michezo ninayoiamini

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Месяц назад +1

    Asa huyu wa pili ndio mchambuzi

  • @JohnMbogo-c1n
    @JohnMbogo-c1n Месяц назад

    Sio watanzania tu huyo kocha hajulikani popote kama ni kocha labda kama mnabishana kwa upumbavu wenu tu jambo ambalo tushawazoea

  • @ChandeJunior
    @ChandeJunior Месяц назад

    Hansi sijawahi kukuelewa kabisa mdogo wangu coz huchelewi kubadilika badilika

  • @jeremiahbabalove5446
    @jeremiahbabalove5446 Месяц назад

    Hans nakukubari sana ww ni mchambuzi Bora ila geff anatumia nguvu nyingi tu

  • @nixonmwezimpya9522
    @nixonmwezimpya9522 Месяц назад +1

    hakuna mtu ambaye hajulikani ,sema kwa tanzania baadhi ya watu hawamjui na sio kusema hajulikani kwan kazaliwa mbagala?

  • @AdamMbwana-p6n
    @AdamMbwana-p6n Месяц назад

    Huyu hans mchambuz uharo anajifanya anajua kila kitu na kuzalimisha hoja zake sasa simba tatizo tulikuwa tunajua wachezaji ety

  • @fareedkhalipher3590
    @fareedkhalipher3590 Месяц назад +1

    Hans Amna kitu hapa

  • @emmanueljohn9155
    @emmanueljohn9155 Месяц назад

    Geof you are right broh hans is always gumbling on his facts he cant even defend what he said when he faced critical qns😅

  • @FeruziAbdalla
    @FeruziAbdalla Месяц назад

    Hans nikuma mamae huyu cndo halikua anawasifia walibya wamesajili wachezaji wa galama akiwepo mabululu leo hii hanabadilika uyo dogo ni kiazi kweli

  • @AdiliMalewa
    @AdiliMalewa Месяц назад

    Uyu jamaa anafikili kila mtu anajua

  • @clintonjomanga7959
    @clintonjomanga7959 Месяц назад

    Hans tatizo anataka kuwa mchambuzi mkubwa kwa pupaa 😂😂

  • @mwambambaleasajilelucas3938
    @mwambambaleasajilelucas3938 Месяц назад

    Kama ilivyo tu kwa wachambuzi, majina makubwa lakini uwezo kijiko cha chai😂

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Месяц назад

    Hana jina sisi tumekuelewa,, huyo Jeff watu wakizungumza yeye anatoa kwenye reli

  • @rasheedseleman9779
    @rasheedseleman9779 Месяц назад

    Mna sound kama wasafi kias flani

  • @amedeuskimario8895
    @amedeuskimario8895 Месяц назад

    Hans uko sahihi huyo ndonga anakubishia tu

  • @KareemMandela-d5l
    @KareemMandela-d5l Месяц назад +1

    Kinachomsumbua hans ni shabiki wa utopolo ndo kinachomfanya Anakua mbishi

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl Месяц назад

      jofu ni shabiki wa makolo ndo maana anabisha kila kitu, wewe kabla ya kutambulishwa na simba ulimjua huyu fadlu?.

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Месяц назад

    We Hans unafikiri uchambuzi sawa na ukocha una uwezo hata wa kufikiri au ????

  • @IptisamImaan
    @IptisamImaan Месяц назад +1

    Hapo kuna shabiki wa simba na yanga

  • @bartholomewasorael6616
    @bartholomewasorael6616 Месяц назад

    Geoff Fadlu Davis jina analo isipokuwa tu hana umaarufu tofautisha jina na umaarufu ... Alikuwa na jina ndo maana alikuwa anakaimu kocha msaidizi kwa hiyo ni umaarufu ndo hakuwa nao sasa ndo anaupata kupitia Simba SC

  • @abednego3876
    @abednego3876 Месяц назад

    Geof ana hoja dhaifu, kama watanzania tunajifungia tumemjuaje Mokwena, au Motsimane? Hoja za kioymbavu

  • @YahyaAbdulla-wq8rj
    @YahyaAbdulla-wq8rj Месяц назад

    Na nyinyi mnaamini mzize ana miaka20 au😂😂

  • @kabwangaselemani5228
    @kabwangaselemani5228 Месяц назад

    Hans upo sahihi

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Месяц назад

    Hapa ata haina maana ni upumbavu tuu

  • @BarakaMwaikenda-ty1bt
    @BarakaMwaikenda-ty1bt Месяц назад

    Mwana yanga huyu

  • @abednego3876
    @abednego3876 Месяц назад +2

    Geof hafai kukaa hapo aende akabishane vijiwe vya Gahawa. Au arudi claus.

  • @salmaabraham4403
    @salmaabraham4403 Месяц назад

    Hans ana akili ndogo saana ya kuchambua

  • @zakayomawalla1085
    @zakayomawalla1085 Месяц назад

    Hawa ni wapumbavu kusema Faldu sio KOCHA

  • @GodfreyMhando-gn7ok
    @GodfreyMhando-gn7ok Месяц назад

    yanga ziz year duuuu

  • @HusseinYusuphsimile
    @HusseinYusuphsimile Месяц назад

    Hans mwenye jina atakuwa baba yako

  • @georgeemmanuel3155
    @georgeemmanuel3155 Месяц назад

    Huyo kocha mkubwa anakuwaje na jina kubwa kama hana uwezo

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Месяц назад

    Jeff usijidhalilishe , Sisi tumemuelewa, coach wengi majina yao yanakuja kujulikana hapaa

    • @mussahamad404
      @mussahamad404 Месяц назад +1

      Kwasababu hamufatilii mpira ila mnafatilia team

    • @T_Darius
      @T_Darius Месяц назад

      we boya tu unafatilia team za Tanzania ndiyo maana hujui kinachoendelea nje, unajuwa tu makocha wakija Tz wa nje hujui, unajuwa kocha wa mamelodi, al ahly, raja? Kwa akiri zako unahisi Gamond ni maarufu kuliko wao kwasababu kila siku unamsikiliza na kumuona Gamond

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 Месяц назад

      @@T_Darius Ukweli ni kwamba makocha wakubwa wote na maarufu duniani wanajulikana, Wewe unakurupuka kama Jeff, hamjamuelewa Hans,, Mantik Yake yeye kuwa sio Muumin wa Makocha wanaofundisha club Kubwa, muhimu kazi ya mtu ndio inamtambulisha, muache ushabiki mbele ya vitu vya fact

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 Месяц назад

      @@T_Darius ukiwa Mkweli jiulize je Huyo coach wa Simba ulikuwa Unamfaham Kabla Kuja Simba? Au wewe ndio umemjua baada ya kuja Simba ndio ukamfuatilia ?

  • @PiusMalisau
    @PiusMalisau Месяц назад

    Mtangazaji simjui jina ila hajakosea kusema fadlu hana jina ni kwel hana jina kwa kumanisha hakuna anayemjua na hakuwahi kuwa na timu kama kiongozi mkuu so ndug mtangazaji uko sawa

  • @killingmleke1810
    @killingmleke1810 Месяц назад +2

    Huyo Hans mnafki huyo

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 Месяц назад

    MAX ndio mchezaji?!😂

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Месяц назад

    Asa huyu wa pili ndio mchambuzi umeona shida watanzania hatuwajui

  • @maase2023
    @maase2023 Месяц назад

    Mechi moja tu kushinda mdomo wote huo duh! Mnazarau makocha waliopita ambao walipigana sana ama nyie hamna fadhila shenzi kabisa

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 Месяц назад

    Hans yupo sahihi lakini

  • @AllyRashid-q9m
    @AllyRashid-q9m Месяц назад +2

    Mpelekeni hans akapimwe mirembe

  • @HassanMdimu-d3f
    @HassanMdimu-d3f Месяц назад

    Hata mokwena amejulikana baada ya kucheza na vilabu vya hapa,huyo gamondi alikua anafahamika?acha kufirwa hans

    • @T_Darius
      @T_Darius Месяц назад

      eti mokwena amejulikana baada ya kucheza na Yanga🤣🤣 Mat@k0 kweli wewe, sema wewe ndiyo umemjuwa baada ya kuja kucheza na Yanga, wewe unafatilia ligi ya Tanzania ndiyo maana hujui chochote kinachoendelea nje ya Tz, kuna wachezaji na makocha maarufu nje ya Tanzanian lakin kwasababu wewe unafatilia tu yanayoendelea ndani ya Tanzania hujui chochote nje unasema waokuja kucheza hapa ndiyo wanapata umaarufu, akiri matope😂😂😂

    • @saadmoohd4200
      @saadmoohd4200 Месяц назад

      Ww ndiyo unafirwa sasa ww unajua makwena tokea achukue timu anajulikana kwasababu kafanya mabalaa kampiga alhaly vipigo vikibwaa

  • @KwellyRyoba-n5s
    @KwellyRyoba-n5s Месяц назад

    Usishangae kwa makocha hata wewe hapo ktk uchambuzi hauna lolote itakuwa hao makocha unaowataja.

  • @clementmashambo3092
    @clementmashambo3092 Месяц назад

    Huyu hamns anaongea nn 😂

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 Месяц назад

    Hans ni KIHERERE TU....AU ANAUNDUGU NA MWENYE KITUO CHA MATANGAZO??

  • @shariphsalehe3384
    @shariphsalehe3384 Месяц назад

    Hans una kitu rkn hauinjoi jinsi unavyochambua kutokana una watu wanayokuzunguka ni wabishi sn wachambuzi wenzio wananiboa

  • @nguyamtwartz5413
    @nguyamtwartz5413 Месяц назад

    Hans ushabiki unamfanya apoteze mvuto,,.

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Месяц назад

    Huyu mchambuzi wa mwanzo kumbe sio mfatiliaji max jiulize yanga wamemjuwaje kwasbabau wanamfatilia sisi mashabiki hatumfatiliii

  • @RashdaHussein-y1o
    @RashdaHussein-y1o Месяц назад

    Huyu muhaya anajikuta

  • @ShenyMosses
    @ShenyMosses Месяц назад

    Geof usibishane na mtoto

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 Месяц назад

    Hans wanamuona kijana mdogo ila ana madini

  • @evaristombagwa4459
    @evaristombagwa4459 Месяц назад

    Hans umeanza siasa za mpira na sio uchambuzi

  • @jpmgwama6960
    @jpmgwama6960 Месяц назад

    Jefu si' mchambuzi mzuri anajua tu record, arafu anausimba wa kufa

  • @HassanMdimu-d3f
    @HassanMdimu-d3f Месяц назад

    Ww hansi acha uchambuzi sio fani yako,fani yako ni ushoga

  • @raphaelmwanyika2962
    @raphaelmwanyika2962 Месяц назад

    Sijawahi kuona mtu mrefu akawa mbishi

  • @dryna9512
    @dryna9512 Месяц назад

    Hans akili ni fupi sana

  • @mtakatifutv2101
    @mtakatifutv2101 Месяц назад +1

    Jaman ivi kwel mnamwelewaga HANS??

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Месяц назад

    Hans yupo sahihi,ila Geoff sawa na Jemedar wanachambua kiusimba zaidi lazima wampinge Hans

  • @jovinmbalikila15
    @jovinmbalikila15 Месяц назад

    GEOFF FADLU HANA JINA

  • @marcosidon257
    @marcosidon257 Месяц назад

    Liko wazi fadlu hana jina gef vipi wewe

  • @officiallucar
    @officiallucar Месяц назад

    Hili lijamaa linaongea manini haya, kajamaa kanajiona sana pumbavu huyu

  • @almasially6509
    @almasially6509 Месяц назад

    Huyu dogo akili hana

  • @SophiaJumbee
    @SophiaJumbee Месяц назад

    Uyo gef mpumbavu sana

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Месяц назад

      Unajua mpira au ulianza kuupenda kupunguza stress za vikoba

  • @alexmollel4431
    @alexmollel4431 Месяц назад

    Fadru siyo kocha ni basha wako mpumbavu sana na uchambuzi wenu wa kijinga ajili hakina shenzi ninyi

  • @mosesregnald7117
    @mosesregnald7117 Месяц назад +11

    Huyo Geof ana akili sana na uwezo wake wa kuchambua mambo ni mkubwa sana . Huwa nawasikiliza wakijenga hoja kati ya Geof na Hans ,nimegundua yafuatayo . Mosi Hans analazimisha hoja ikubaliwe bila kuzingatia critical reasoning, comparative analysis and rational theories. Keep it up Geof . I always learn a lot from you . Una uwezo wa kuchambua soka la ndani na nje ya Tanzania.

    • @BarakaJamesNnko
      @BarakaJamesNnko Месяц назад +1

      Yes I can agree Geof anajua mpira nyie mi kwangu namfananisha Na Dr leaky Abdalah

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 Месяц назад

      Hakuwahi kuwa kocha mkuu

    • @ChurchillShakim
      @ChurchillShakim Месяц назад

      Geof anajua anachoongea. Hans ni ameture na hajui lolote katika mpira achilia mbali akili yake ni ndogo sana