Duet ya Abubakari Hamza na Neema Swai

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 428

  • @esthershaban6103
    @esthershaban6103 4 года назад +44

    Jaman Kila siku naangalia hii clip wanaimba dada anajua kuimba kwa feeling sijawai kucomment ila imenibidi tu daah 💗💗

  • @DAILYTVonline
    @DAILYTVonline 4 года назад +110

    Kama na wewe umegundua jamaa ndio mshindi wa Tuzo gonga like twende sawa

  • @isayanicholaus3207
    @isayanicholaus3207 4 года назад +8

    Ila hawa watu wasipopewa tuzo bas bss siangalii tena Like twende sawa

  • @rosellaabraham13
    @rosellaabraham13 4 года назад +44

    Kaka ni noma💙💙💙
    Dada pigo za ruby kdg💛💛💛
    Edit : hiyo wooow ya ommy😅😅👏👏

  • @naomylinuc5917
    @naomylinuc5917 4 года назад +31

    Mme Tisha Sana barnaba njoo uone huku Mambo ni 🔥

  • @naurathsayd1107
    @naurathsayd1107 4 года назад +13

    Neema unaumwa mafua mpendwa saut yako leo sio hio kbs..unajua mama🔥🔥

  • @amirkhantz1769
    @amirkhantz1769 4 года назад +3

    Hao jamaaa wametisha sana aisee wametendea haki huu wimbo na zaidi na zaidi🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🎆😘Love this song

  • @enalamichael3339
    @enalamichael3339 4 года назад +18

    Huyu mdada wamrudishe kama walivyo mrudisha hamisi.. anajua sanaaa

  • @mwendwamjukuu0027
    @mwendwamjukuu0027 4 года назад +9

    Bss ya huu mwaka iko levels tofauti saana

  • @wildcarnivore
    @wildcarnivore 4 года назад +7

    Aise ame mlamba Kofi kama umelisikia like tuwe wote

    • @johnsaid9525
      @johnsaid9525 4 года назад

      Jamaaa hakuwa anategemea kabisa😂😂😂

  • @chandewaleo3853
    @chandewaleo3853 4 года назад +82

    jamani LIKE za wapiga Drums

  • @avemushi1355
    @avemushi1355 4 года назад +1

    Najivunia Sana tz nch kubwa vipaj vikuu japo mavaz haya sanifu tamaduni zetu ila elimu tutatoa nakufika

  • @rarmjuly9656
    @rarmjuly9656 4 года назад +36

    For real in this season the winer will from TEAM CBO😉

    • @gulainruvuzomusic5965
      @gulainruvuzomusic5965 4 года назад

      Wafundi wa sauti bongo star 👇👇
      ruclips.net/video/xRuuX0u64Cc/видео.html

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад +6

    Hawa Ni hatari n'a nusu wameimba vizuri n'a Pia wamejua kumiliki stage poa snaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @johnsaid9525
    @johnsaid9525 4 года назад +1

    Daaah wapiga magiter wamewatendea haki kwa kweli wameua kizazi zaidi🔥🔥🔥🔥

  • @irenedaniel2227
    @irenedaniel2227 4 года назад +8

    Neeemaaa....Neeeeemaaaa Neeeeemaaa mdogo angu ... umeuaaaaaaaaa😋😍😍

  • @gracejeremiah8818
    @gracejeremiah8818 4 года назад +7

    Nzur mno nic performance neema u have unique voice

  • @mtokambali3
    @mtokambali3 4 года назад

    Maswai nakuona nakuona, kaka zako tupo hapa mashati na useri tunafarijika sana kwakutuwakilisha. Tunagonga cheers na chupa zetu za banana kiroho safi. Aika Vavae.

  • @jeremiahzacharia7655
    @jeremiahzacharia7655 4 года назад +7

    Kuna. KAZI kumpata mshindi mwaka huu💥💥💥💥

  • @projestkasigwa6390
    @projestkasigwa6390 4 года назад +1

    Aki ya mungu wanajuwa balaaa

  • @paschalmushilu1485
    @paschalmushilu1485 4 года назад

    Nakubal hiyo kaz 👊👊👊👊👊

  • @chesantonio9422
    @chesantonio9422 4 года назад +12

    Napenda Huyu kijanaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @zanuratyohana1136
      @zanuratyohana1136 4 года назад

      Hata mm nampenda cjui kaoa jaman coz namfeel kwel

  • @naomimugambi6169
    @naomimugambi6169 4 года назад +1

    This girl is something else

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 4 года назад +6

    Safii Sana mashaallah oman 001

  • @zubedayunus5745
    @zubedayunus5745 4 года назад +4

    I love this duet

  • @iddybayo5565
    @iddybayo5565 2 года назад

    noma sana dada and bro

  • @lightnessseifu5983
    @lightnessseifu5983 2 года назад

    Jaman jamaniiiiiiiiiiii💯

  • @naomymadanya729
    @naomymadanya729 2 года назад

    Naipenda sana hii aisee walijua kuinogesha sichokagii kuingalia

  • @tanzrealtv2016
    @tanzrealtv2016 4 года назад +5

    team bella ni 🔥🔥🔥

  • @charitebass3857
    @charitebass3857 4 года назад

    Wow wow the Best in all....BELLA tu es le grand Arangeur!!!

  • @nunniznurcky9724
    @nunniznurcky9724 4 года назад

    Waaaaaau so touching so lovely anavyio imba nahisia huyo kaka

  • @abasrich7793
    @abasrich7793 4 года назад

    Mwaka huu n on fire asee Mimi mwenyewe sijui atashinda nani

  • @Zabuflamer
    @Zabuflamer 4 года назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥from Kenya hii imeweza sana

  • @nicksonmapunda6456
    @nicksonmapunda6456 4 года назад +2

    Wow! I love this performance

  • @nicemtengule8681
    @nicemtengule8681 4 года назад

    Huyu kaka anakipaji salute

  • @fredrickrobson6102
    @fredrickrobson6102 4 года назад

    Uneza sema nyimbo niyao 🎉🎊🎊🎊🎊🎊

  • @africanboyamani8640
    @africanboyamani8640 4 года назад

    Mbona nimeipenda sana hii

  • @dr.stanny1903
    @dr.stanny1903 4 года назад +25

    Good chemistry

  • @themagadir
    @themagadir 4 года назад +12

    Beautiful performance. Wow!!!

  • @tonnygraphy7757
    @tonnygraphy7757 4 года назад +1

    Very sensitive i like it

  • @raheemabbas3589
    @raheemabbas3589 4 года назад

    Aboubakar anajua sanaa

  • @RandyMwanaKin
    @RandyMwanaKin 4 года назад +22

    Wa Congo tunapenda Bss... watching from USA 🇺🇸
    #randykinamber

    • @abedkarume9088
      @abedkarume9088 4 года назад +1

      I'm watching from Kuwait the show was Soo wow.nimeipenda mno

    • @janekemunto2347
      @janekemunto2347 4 года назад +1

      Hi

    • @RandyMwanaKin
      @RandyMwanaKin 4 года назад +1

      @@abedkarume9088 indeed yes 😂

    • @RandyMwanaKin
      @RandyMwanaKin 4 года назад +1

      Hi @@janekemunto2347 how are you doing

    • @abedkarume9088
      @abedkarume9088 4 года назад

      @@janekemunto2347 hi too I hope you are very fine

  • @Captain_shiii
    @Captain_shiii 4 года назад +2

    I love this song ❣️ ❣️ ❣️

  • @mozaally2460
    @mozaally2460 4 года назад

    Jamani hyumdada ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 anajuwaaa

  • @paulbundala2111
    @paulbundala2111 4 года назад +2

    Mpiga bass kauaaa likes nyingii kwakee

  • @manjeonline1779
    @manjeonline1779 4 года назад +5

    Chemistry is 🔥 ♥️❤️

  • @mwljuliuskiwovele
    @mwljuliuskiwovele 4 года назад +1

    Hiyo ni kavukavu daaah so amaizing sana

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад +4

    They nailed it waow

  • @rejoicehermes793
    @rejoicehermes793 4 года назад

    Team christian Bella washindi

  • @jacksonkamoye127
    @jacksonkamoye127 4 года назад

    Hatari sana season 11

  • @annafortunatus3056
    @annafortunatus3056 4 года назад

    Nimeipendaje

  • @johnco8756
    @johnco8756 4 года назад +6

    Outstanding 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josephinevicent5494
    @josephinevicent5494 4 года назад +1

    Dahhh mpka rahaaaaa😘😘

    • @gulainruvuzomusic5965
      @gulainruvuzomusic5965 4 года назад

      Mafundi wa musiki ndio hawa sasa
      👇👇👇👇
      ruclips.net/video/xRuuX0u64Cc/видео.html

  • @georgemwandunga5416
    @georgemwandunga5416 4 года назад +25

    Vijana wametisha100% majaji angalieni

  • @mercelineodhiambo427
    @mercelineodhiambo427 2 года назад +1

    This duet is my favorite,,,eeish🔥

  • @izabayowasafibella2265
    @izabayowasafibella2265 4 года назад

    Neema swai🤩😍😍 rwanda

  • @lastqueendouglos9798
    @lastqueendouglos9798 4 года назад +1

    Daah nimeangalia zaidi ya mara nne this guys u kill me

  • @gadielpaulo8925
    @gadielpaulo8925 4 года назад

    hii ndiyo sanaa

  • @christinemangaza5758
    @christinemangaza5758 4 года назад

    Wew team christian Bella Oyeee ❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @efesopesahkinge6379
    @efesopesahkinge6379 4 года назад

    It's fantastic show

  • @gracemaramba2124
    @gracemaramba2124 3 года назад

    Such amazing voice 💞💞💞

  • @donatenyoni2682
    @donatenyoni2682 4 года назад

    Mko vzr ,sauti tamu

  • @estermartin5362
    @estermartin5362 4 года назад

    Kazeni buti mmefanya vizuri sana ,

  • @SilvaMsanii
    @SilvaMsanii 4 года назад +8

    that lady!!!! anafanya nifeel goosebumps

  • @twillahbenaiah2879
    @twillahbenaiah2879 4 года назад +18

    Daah Dada anasaut nzr huyuu

    • @gulainruvuzomusic5965
      @gulainruvuzomusic5965 4 года назад

      sikiza sasa mafundi wa music na sauti 👉👉 ruclips.net/video/xRuuX0u64Cc/видео.html

    • @joycembondo2046
      @joycembondo2046 4 года назад

      Sauti Nzuri Sana na anajituma sema ndo kametoka sasa jamani.

  • @minanicharles3081
    @minanicharles3081 4 года назад +8

    Much respect they doing well number one couple I like that

  • @slimdady5053
    @slimdady5053 4 года назад +4

    Waooow mmeua wanang 😍

  • @julienneakimana9300
    @julienneakimana9300 4 года назад

    Vizuri sasa 👌👌👌👌

  • @suleymanisalum2361
    @suleymanisalum2361 4 года назад +1

    Mbn nzurii sana

  • @celinedioniz8972
    @celinedioniz8972 4 года назад

    Dem,I like them much

  • @sirbinladen786
    @sirbinladen786 4 года назад +1

    Abar zenu ndgu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi saa2:30 usiku bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia RUclips andika sir Binladen 786

  • @ernestjoseph5991
    @ernestjoseph5991 4 года назад +57

    kuna watu wako serious na maisha

  • @allychavala9979
    @allychavala9979 4 года назад

    Haya majaji mnaoshindia kuponda pondeni sasa .. Dadeckh... You got dat yesssss..

  • @boscorutaisile222
    @boscorutaisile222 4 года назад +2

    Waaoo nice kbx nimependa hy 👍👍

  • @yohanakivuyo4261
    @yohanakivuyo4261 3 года назад

    Love you

  • @almunirmaulid5502
    @almunirmaulid5502 4 года назад

    Best show ever

  • @rhodamahewa4155
    @rhodamahewa4155 2 года назад

    Uuuuwiiiii jamen hongereni

  • @jamesleonald536
    @jamesleonald536 4 года назад

    Show kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 4 года назад

    Jaman huyu kaka noma

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 4 года назад

    💯💯💯💯💯💯✔️✔️✔️ Mungu awatangulie 🙏

  • @shardalove1159
    @shardalove1159 4 года назад +3

    Abubakar ni 🔥🔥🔥

  • @delphinkakudji
    @delphinkakudji 4 года назад +4

    Just wow 🔥🔥🔥🙌🏾

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 4 года назад +23

    Huyu Kaka yupo good

  • @seifnassor1077
    @seifnassor1077 4 года назад

    Fantastic amaizing

  • @aziadashaa9016
    @aziadashaa9016 4 года назад

    Atar saaaan

  • @jacklineaugustine2013
    @jacklineaugustine2013 4 года назад

    Team bella imefunika

  • @braytonkimaro7248
    @braytonkimaro7248 3 года назад

    Yes yes

  • @joymkama3353
    @joymkama3353 4 года назад

    Wanastahir pongezi

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 4 года назад +1

    Wameuwa show! 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🇰🇪✅

  • @amosmabena1209
    @amosmabena1209 4 года назад

    Mmmh mwaka huu balaa Kuna watu wanavipaji jaman Yan Hadi unaenjoy ....this is music

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 4 года назад +3

    Huyu mtoto ni Chakula ya WAKUBWA ndomana tunamuacha kidogo but anaimba vizuri
    Na huo ndo ukweli c unaona kifua kimeongezeka kidogo😉😉

  • @wonderwomentv6000
    @wonderwomentv6000 4 года назад

    Awweee team Bella wote wabaki jamani

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 года назад

    Wajei ni file

  • @twahirujuma6703
    @twahirujuma6703 4 года назад

    So nice

  • @jadderhighlang6663
    @jadderhighlang6663 4 года назад

    wow....so lovely 😘😘😘

  • @navanjkiba2439
    @navanjkiba2439 4 года назад

    Mmetishaaaa sana

  • @pamelachemos2543
    @pamelachemos2543 4 года назад

    Duuh,makubwa haya apa walai👏

  • @deuscharlesshija9578
    @deuscharlesshija9578 4 года назад +5

    Perfect combination

  • @gadsonshukuru5519
    @gadsonshukuru5519 4 года назад

    Noumah saaan 💪💪💪💪

  • @beatsbywesternshaa1023
    @beatsbywesternshaa1023 4 года назад

    Uyu msela vox zake ziko na mzuka...uyu dada pia yuko sawa...
    Band pia iko vizuri