Duet Ya Margaritha Patrick Na Yusuph Nizar

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 610

  • @malckmizgodfrey3858
    @malckmizgodfrey3858 4 года назад +310

    Kama unamkubaliii rapa we2 gonga like

  • @haysamoscar3738
    @haysamoscar3738 4 года назад +61

    Alooh! Wanaomkubali huyu fundi gonga like hapo💪💪🇹🇿

  • @maliampazi7786
    @maliampazi7786 4 года назад +9

    Kam unamkubali yusuph nizar bas usipite bila kugonga like

  • @careenolotu9903
    @careenolotu9903 4 года назад +7

    Kama unajua huyu ndiye mshindi wa bss gonga like tumsapoti 👌👌😻😻😊

  • @saraphynarajabu
    @saraphynarajabu 4 года назад +54

    gonga like kama unaamini Yusuph ndie mshindi wa BSS2020

  • @esthermosses5475
    @esthermosses5475 4 года назад +247

    Jamani na mimi nipeni likes zenu wote mnao mkubali huyo kaka 🥰

  • @chamgwankojuma704
    @chamgwankojuma704 4 года назад +174

    Oyaa wanajuaa saana...Kali kuliko ata official music... Wanae niunga mkonoo..Leo ndo nimejua hi I ngoma kallii..master

  • @adamdemarch5565
    @adamdemarch5565 4 года назад +171

    Aseee wameimba vizuri na ngoma imesikika kuliko hata song Original waloimba Nandy na Nenga
    Kama unaamini hilo dondosha comment lako hapa twende sawa

  • @samwellazaro9480
    @samwellazaro9480 4 года назад +129

    Rap si kitu Cha mchezo kitendo Cha rapper huyo yusuph nizar a.k.a yuzzo mwamba kuwashawish majudge na sio majudge hata me na ww katushawish an kitu kikubwa jamaa anaweza saana 🔥🔥🔥🔥

    • @princeibra2042
      @princeibra2042 4 года назад +1

      Mkali sanaa 👊🏻👊🏻👊🏻

    • @samwellazaro9480
      @samwellazaro9480 4 года назад

      Jamaa anatisha

    • @watchme5678
      @watchme5678 4 года назад +1

      So wakawaida aisee

    • @heavenlightskawa2845
      @heavenlightskawa2845 4 года назад +1

      Sanaaaa

    • @samwellazaro9480
      @samwellazaro9480 4 года назад +3

      Jamaa ingekuwa maamuz yang bas ningempatiaaa ushind tu mapema aseee maana anajua had anakeraaaa namaneno yake duuu😂🔥🔥🔥🔥🔥

  • @solomonlemalikoroinnko6104
    @solomonlemalikoroinnko6104 4 года назад +7

    Yusuf na magaritha nawakubali Sana na mungu awe pamoja nanyi,like zangu zote ziende kwenu,by lemali nnko from arusha

  • @hezekiahelbertonline6831
    @hezekiahelbertonline6831 4 года назад +26

    Daaaah this is one of my favorite electric performance I ever seen,unajua hii kitu wamefanya mpaka zaidi ya Coke studio🔥🔥👊👊

  • @samwellazaro9480
    @samwellazaro9480 4 года назад +28

    Kabla ya kifo Cha mende ujue kuna mbuz kagoma kwendaaa🤣🤣🤣🤣mwambaaaaa🔥🔥🔥@yusuph nizar daaa🙌🙌🙌

  • @Isaac.001-x3s
    @Isaac.001-x3s 4 года назад +112

    Huyo jamaa anarap had nashindwa kutype. Anajua

    • @gulainruvuzomusic5965
      @gulainruvuzomusic5965 4 года назад

      Ume sikiza hii?
      👇👇👇👇
      ruclips.net/video/xRuuX0u64Cc/видео.html

  • @masibosvlogmasibos9738
    @masibosvlogmasibos9738 4 года назад +46

    Team master ni fire moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰😍🇰🇪

  • @princeibra2042
    @princeibra2042 4 года назад +16

    Safiiii sanaa Yusuph aka Yuzzo Mwamba wewe kwangu ndie mshindi mpk sasa 👏👏👏🙌🙌🙌

  • @wondersshabysendly1490
    @wondersshabysendly1490 4 года назад +19

    Hawa wa2 nawapenda hatare nimekuja kurudia hii k2 baada ya kuona mpo kwny 4 bora wanao amin yusuph na margarita wanajua comment plz

  • @PotipherVEVO
    @PotipherVEVO 11 месяцев назад +1

    My Favorite Performance from Yusuph Nizar 🎉

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 4 года назад +13

    Yusuf umetisha bro❤️💯💯

  • @aminakipingu8100
    @aminakipingu8100 4 года назад +11

    Kaimba kumshinda bilinasi nikweri like hapa

  • @esthershaban6103
    @esthershaban6103 4 года назад +50

    Jomoni nampigiaje kura Yusuph mkaka ni mkaliiii jamaniii 💗💗💗

    • @princeibra2042
      @princeibra2042 4 года назад +1

      Download app ya StarTimes then ukifungua utaona sehemu imeandikwa kura za jumla bonyeza hapo itakupeleka moja kwa mpk washiriki.
      Cha kufanya nenda mpk group D utamuona kwa picha na jina la Yusuph Nizar then gusa neno kura na utaweza kumpigia kura Tano kwa kila siku 🙏🙏🙏

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 4 года назад +1

      @@princeibra2042 ngoja na mm niende chap

    • @princeibra2042
      @princeibra2042 4 года назад

      @@beautyibrahim8428 ❤️❤️

  • @sameersaid5058
    @sameersaid5058 4 года назад +16

    Huyu jamaa yuko vizuri sanaaa🔥🔥🔥

  • @watchme5678
    @watchme5678 4 года назад +22

    Yuzzo mwamba the best rapper on the shaw ever

  • @mishaelmisana7674
    @mishaelmisana7674 4 года назад +7

    Yaan hii show jmn naipenda sana bahati mbaya kwetu hakuna hata TV jamn

  • @rachealkitawa2153
    @rachealkitawa2153 4 года назад +8

    yani uyo kaka more 🔥🔥🔥🔥🔥penda yeye sana

  • @4realstudio728
    @4realstudio728 4 года назад +6

    Nyie ni 🔥🔥 nyie ndo wasanii wakubwa mjao TZ

  • @watufulanitv
    @watufulanitv 4 года назад +11

    Watching from Ukraine nice boy flow good...this show is hot...

  • @Peteremassawe20003
    @Peteremassawe20003 4 года назад +4

    Sijawahi comment kwa kweli @masterJ bigup sanaa

  • @hadijahussein5328
    @hadijahussein5328 4 года назад +31

    Tunaosema hy ndo mshindi wetu 2021 tujuane kwenye like👇👇

  • @mshangapeter6566
    @mshangapeter6566 4 года назад +31

    This duet was lit.. Walikiamsha sanaaaaa...

  • @tamalijafari4305
    @tamalijafari4305 4 года назад +1

    Huyu magaritha ako na kipaji tangu advance alkw anaimba kwaya ya ukwata go go mommy 😍😍😍😍 u killed it wallah🔥🔥🔥

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 4 года назад +55

    Oyaa weee billnenga akasome mzee huyu jamaa anachana mpaka mistari inachanika

  • @jafarijumanne2404
    @jafarijumanne2404 4 года назад +1

    Huyu kaka yusuph Ni moto wa kuotea mbali hongera sana kaka mshindi wa bss

  • @dogoshushaa6150
    @dogoshushaa6150 4 года назад +5

    Noma sanaaa,jamaaa amechana mixtari kuntu sanaaaaaaaaaaaaa

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 4 года назад +9

    Yussufa mkali saaana waku raper 🔥🔥🔥
    Duet kali🔥🔥🔥

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 4 года назад

    We Mdada umefunika balaa Ongeza bidii Mbn Upo ✔️

  • @ayshwaryadecute6467
    @ayshwaryadecute6467 4 года назад +10

    Hawa watu wameua jana Yan kl mda narudia daah kwel master j alkuwa n vipaji tupu nngetmn wote wawe top ten il mshnd n mmoja tu , ila kiufup show ya yn ndo imefunika saana hongeraaaa. Master

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 4 года назад +11

    Noma aisee...kura zitaamua maana daa wote mafundi

  • @glorynyoni1771
    @glorynyoni1771 4 года назад +6

    Daaaaaa yuzoo n fireeeee

  • @happymwashiwawa3764
    @happymwashiwawa3764 4 года назад +3

    Sina kitu yakulongea mumeuwaaa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yohanajoseph6364
    @yohanajoseph6364 4 года назад +3

    Huyu rapa ni genius ase🔥🔥

  • @laurenciamushi2576
    @laurenciamushi2576 4 года назад +2

    Dah..... Grt more good performance...... Excellent guys keep it up

  • @pendoemily42
    @pendoemily42 4 года назад +1

    Namkubali uyo kaka mungu akupe ushindi

  • @marqueenog8754
    @marqueenog8754 4 года назад +1

    Yusuph nizar anajua sana hd majudge wanatambua hilo moto wakuotea mbali sana wew

  • @RandyMwanaKin
    @RandyMwanaKin 4 года назад +1

    Wa Congo tunapenda Bss... watching from USA 🇺🇸
    #randykinamber

  • @jackiejackie5170
    @jackiejackie5170 4 года назад +20

    This year's bss is 🔥🔥🔥

  • @angelamisango5130
    @angelamisango5130 4 года назад +3

    And Yusuf won...congratulations Yusuf I loved you right from the start may you shine

  • @heavenlightskawa2845
    @heavenlightskawa2845 4 года назад +4

    Yuzooooo ur the best...u know...u do en u feel the music

  • @najmahasan779
    @najmahasan779 3 года назад

    I proudly of that.....wako juu sana Masha Allah.....Allah bless her....nimependa sana

  • @abdulikarimhamadi7145
    @abdulikarimhamadi7145 4 года назад +2

    Dahh!! Huyu jamaa noma sana

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 4 года назад +57

    I feel for the judges coz.. The game is so tough.. I pray for them to make the right decision.. Coz.. It is very hard to decide for the best artist.. Coz.. Everyone is talented

  • @eddowkivuko6601
    @eddowkivuko6601 4 года назад +2

    Sasa hii ndoile inayotakiwaga 💟💟💟

  • @mkizerhbc
    @mkizerhbc 4 года назад +11

    My Gee yuzzo mwamba✊

  • @jafaryshuigwa9162
    @jafaryshuigwa9162 4 года назад +4

    Yaani brother Yuso Anajua mpaka anakera

  • @aishamohammed5347
    @aishamohammed5347 4 года назад +1

    Wallah wanajuaa khaaa. 😘😘😘😘😘😘😍😍😍

  • @honeymzigo7555
    @honeymzigo7555 4 года назад +2

    Hatariiii kubwaaaa na Nusu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il 4 года назад +65

    Mi mumeo kama umeme, nikiondoka nikirudi hakikisha unasema uooo😂

  • @albertdaniel5337
    @albertdaniel5337 3 года назад +1

    Idris arudi next season pia his good for the show

  • @agnessmsimbe6705
    @agnessmsimbe6705 4 года назад

    Ni hatareee na nusuuu wote wanajua ila huyoo brother Ni noumaaaaaaa😘😘😘😘

  • @machibuladeus9075
    @machibuladeus9075 4 года назад +1

    Huyo brother duh next level anajua sana

  • @KeiboChampion
    @KeiboChampion 4 года назад +4

    All the way from 254 kali sana

  • @yusufsharifu3064
    @yusufsharifu3064 4 года назад +11

    Band wanastahili pongezi🔥🔥

  • @carolemutua7281
    @carolemutua7281 4 года назад +12

    These guy's are lit 🔥🔥 what???

  • @maryamsuleyman1049
    @maryamsuleyman1049 4 года назад +7

    Idriss unanifurahisha sanaa wallah😂😂😂

  • @vivianatieno296
    @vivianatieno296 4 года назад +4

    They killed this show

  • @hibra8126
    @hibra8126 4 года назад +39

    The rap was dope 👌

    • @lumierembilizi966
      @lumierembilizi966 4 года назад +1

      the first verse was his own writings as well, wow!

    • @zennahmtoto1867
      @zennahmtoto1867 4 года назад +1

      Sanaa

    • @gulainruvuzomusic5965
      @gulainruvuzomusic5965 4 года назад

      Hawa ndio walimu wao...
      👇👇👇👇
      ruclips.net/video/xRuuX0u64Cc/видео.html

    • @hibra8126
      @hibra8126 4 года назад

      Talent of magnitude he is on high level i believe he is a waiting star soon to flourish.

  • @nellydickson9323
    @nellydickson9323 4 года назад +1

    Wow kipaji wametisha htr yan ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ayoubkasheku211
    @ayoubkasheku211 4 года назад +1

    Idriss😂🙌🙌🙌🙌daah unajua kunigesha mambo 🙌

  • @michaelbobu109
    @michaelbobu109 4 года назад +34

    Kama kuna mweny kumbukumbu kama mm master J alisema kuvaa kitambaa ni wakina mama yeye kavaa nn😂😂

  • @charlespaulsechonge963
    @charlespaulsechonge963 4 года назад +7

    Niatari hiyo duet more than other

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 4 года назад

    Dah... #TeamMaster katisha. Rapper Hatari🔥🔥🔥 Patrick 🙏🙏🙏🇰🇪✅✅✅

    • @dadychaps7527
      @dadychaps7527 4 года назад

      @Margaritha Patrick karibu Maggy. Nawatakia mafanikio bora katika sanaa ya mziki. Hakika mnaweza.

  • @abdillahissa5336
    @abdillahissa5336 4 года назад +1

    to be honesty mwaka huu kuna vipaji sana daaah🙌🙌🙌

  • @glorymaembe2737
    @glorymaembe2737 4 года назад +15

    Fire 🔥

  • @leilasiela672
    @leilasiela672 4 года назад +8

    They nailed it.......

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il 4 года назад +10

    Idris na Ommy wanaichangamsha sana bss

    • @lailatuyusuf9131
      @lailatuyusuf9131 4 года назад +1

      Kumbe uliona broo nacheka mpaka naskia kulia

    • @DrNick-hg6il
      @DrNick-hg6il 4 года назад

      @@lailatuyusuf9131 yani saivi nikiwa stressed nskuja kuangalia bss😂

    • @lailatuyusuf9131
      @lailatuyusuf9131 4 года назад +1

      Wallay inachangamsha sanaaaa

  • @amanikasonga5626
    @amanikasonga5626 4 года назад +1

    Waooooo ilikuw atar😗😗😗😗

  • @ashercute7985
    @ashercute7985 4 года назад +1

    Wameuaaaaaa yan ni fireeee

  • @wizomdanandatz9130
    @wizomdanandatz9130 3 года назад

    Wooow haman hii ni nzur san hongeren san jamn nimeipenda hyo

  • @imaculatadominic7005
    @imaculatadominic7005 4 года назад +7

    kijana wakiume unajua sana weweeeeeee

  • @gigynation8067
    @gigynation8067 3 года назад

    Namiss saaana ii pafomanse

  • @SaraaSaraa-i1j
    @SaraaSaraa-i1j Месяц назад

    Naipenda sana❤❤

  • @cliffd8732
    @cliffd8732 4 года назад +6

    Yusuph🔥🔥

  • @rahelkiteka
    @rahelkiteka 3 года назад

    Wow!! Best i had never see!!!😍😍

  • @neemasilyvie8189
    @neemasilyvie8189 4 года назад

    Waooo!!!
    Patrick na yusuph nyinyi mue washindi 2020

  • @stellagodfrey2229
    @stellagodfrey2229 4 года назад

    Jamaa anajua sana mpeni hela zake tu

  • @tiffahtailoringtiffahstyli9505
    @tiffahtailoringtiffahstyli9505 4 года назад +29

    Waoooh so funny guy's😘😘😘😘🔥🔥🔥

    • @nainaiblack6736
      @nainaiblack6736 4 года назад

      Daaaah Kali nimewaelewa sanaaaaa duet yao

  • @wandemtawa8695
    @wandemtawa8695 4 года назад +1

    Mnajua mpaka mnakera bigup yuzoooooo

  • @deloveman820
    @deloveman820 4 года назад

    Duh uyu nizar ni noma

  • @halimamgaza838
    @halimamgaza838 3 года назад +1

    Wangap wanarudia kucheck hii performance 2022

  • @mwastynhand4421
    @mwastynhand4421 4 года назад +1

    Kama unaaamin wametisha gonga like

  • @bahatinakasongo5788
    @bahatinakasongo5788 4 года назад +5

    Moto🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ashurahassan2066
    @ashurahassan2066 4 года назад

    Atalisanaaaaaa

  • @lavyongudu7842
    @lavyongudu7842 4 года назад +3

    Wameimba vizuri🔥🔥

  • @cholobwaxcrazyton2976
    @cholobwaxcrazyton2976 4 года назад +1

    Hatareeeeeeeeee master j hatarii

  • @brenderdennis4346
    @brenderdennis4346 4 года назад +4

    Omy una vituko sana🤣😂😂😂😂

  • @shacqeumhunter8516
    @shacqeumhunter8516 3 года назад +1

    From 254 ...this show is damn lit....

  • @alluhdavison8913
    @alluhdavison8913 4 года назад +3

    Naqubal sanaaaa keep it up keep shining

  • @ge_fflex
    @ge_fflex 4 года назад +1

    Yusuph katisha iyo duet mmeuwa sanaaa

  • @josephbayi9805
    @josephbayi9805 4 года назад +5

    yaan cjawahi comment humu ila hii clip kila cku lazima niangalie daah mkaka anajua kurap

  • @janealex4992
    @janealex4992 4 года назад +1

    Call mingiii mingiii ad nimsahau ex , ewuuuuuuuuu billnenga u'r🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @oliverben8010
    @oliverben8010 4 года назад +3

    Fire inaamsha🔥🔥🔥