Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha. Angalia maelekezo Hapa: ruclips.net/video/qDFAKzYyttg/видео.html
Bella kafanya makosa Sana kumtoa bss yenyew itakosa mashabik Kama uyu jamaa ayupo me akirudi ntafatilia bss asipo rudi BC safatili tena bcc Kama upo pamoja namm gonga like
Bella kama waeza mtoa huyu jamaa,kweli mayb mko na watu wenyu,ntazidi kusema ivio,nakumbuka na wafutilia kutoka mbali,jamaa anaimba bongo fiti lingala fiti na pia Rhumbah sasa uuuuiiii apo ndio anakil kabisa,na makosa kubwa Bella we Watambua Rhumbah na wamtoa,bure kabisa nyie majaji wa mwaka huu,na kama ni sura Mungu ndie hupeana,
@@neemakilango7445 alafu bongo vituko vingi Kuna vipaji vikubwa lebo kubwa hazichukui lakin kutwa Kuna watu hawajui kuimba wanapiga kelel tu lakin kutwa Wana wabrand mhm Kama official Lin nae eti na yeye katoa video si ujinga huu kupoteza tu mziki wabongo kuonekana kila kitu hatuwezi 🙌

Bella naona kaogopa dogo atakuja kumpa changamoto kwenye aina ya mziki wake ndo maana kamtoa maana dogo anajua mpaka homa Imagine hiyo ni Live aisee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mimi kweli nitaomba number zama dam Rita walicho kifana mwaka huu kwasisi tuliko mbali siyo pow jee bongo star search 2020 imeisha malizika nambo mafasiriyo kwa number zangu za whatsaap +27719006560 one day issak loketo tumiya akili usitumiye nguvu loketo issak l'homme fort
Ulingonga nyoyo za mashabiki sana ndugu yangu hongera sana Bella alifanya kitu kibaya sana Bella jitahidi kujitafakari sana hata kama ikipita miaka kumi wimbo huu bado utakuwa kwenye chat

Ebwana cikuwaigi kukoment lakin kwa brother issa we ndio wakwanza we unajua wanae mkubali gonga like ili tutambuane
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: ruclips.net/video/qDFAKzYyttg/видео.html
@@geofreychengula7530 yaeh
@@malecom
l
p00
p
Kishee nilimkubal Sana uyu
Kwa bolingo hatar napenda bolingo kanikosha Sana
Bella kafanya makosa Sana kumtoa bss yenyew itakosa mashabik Kama uyu jamaa ayupo me akirudi ntafatilia bss asipo rudi BC safatili tena bcc Kama upo pamoja namm gonga like
Huwezi jua labda wanatizama na mvuto wa sura 😂😂😂 maaan bongo bhna
@@minahally6897 🤣😂
Bella kama waeza mtoa huyu jamaa,kweli mayb mko na watu wenyu,ntazidi kusema ivio,nakumbuka na wafutilia kutoka mbali,jamaa anaimba bongo fiti lingala fiti na pia Rhumbah sasa uuuuiiii apo ndio anakil kabisa,na makosa kubwa Bella we Watambua Rhumbah na wamtoa,bure kabisa nyie majaji wa mwaka huu,na kama ni sura Mungu ndie hupeana,
@@petermilimo8755 May be anaogopa atamzid umaarud koz hawa watu wako ovyo sana
@@neemakilango7445 alafu bongo vituko vingi Kuna vipaji vikubwa lebo kubwa hazichukui lakin kutwa Kuna watu hawajui kuimba wanapiga kelel tu lakin kutwa Wana wabrand mhm Kama official Lin nae eti na yeye katoa video si ujinga huu kupoteza tu mziki wabongo kuonekana kila kitu hatuwezi 🙌
Licha BSs imeisha narudi kumtazama Tena🔥🔥
Eti alafu alitolewa mapema sana
Hata Mimi hii ni 2024 June ila narudia,huyu mwamba walimtoa sijui Kwa nini
yes yes yes from Congo anaweza yes 👍👍👍🇨🇩🇹🇿
Mrudisheni huyu dogo..Bela ameondoa ladha ya BSS kumtoa huyu dogo..Dogo ni Fundi sana kuliko wote...plzzz Anajua sana...kipaji na ni Star
Unajua amemtoa kwa nn sababu ni kwamba huyu dogo atakuja kuimba like him
@@emmaventuresafaris110 Fact
@@emmaventuresafaris110 hatar
Ana Roho ya kwanini...huyu ni zaidi yake
@@charlesmwambinga4355 daaaaah mbona wametoka wakal kbao jamaa anaimba vzur lakin sio Wow
Kila nikisikiliza hii naenda kuskiza na original nagundua hii Ni Kali kuliko orginal Issa Arudi ase anajua Sana🔥
Kweli
Mkali Sana
Hiingoma inaitwajee please
@@shedrackmabanda8585 associe fally ipupa
Sasa huyu jamaa ametoka tokaje?!!! Huu ni udwanzi kwakweli, jamaa anajua mpaka kapitiliza, pure talent
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: ruclips.net/video/qDFAKzYyttg/видео.html
ametokeakongo
Anajua sana mpaka raha
Bella anaroho mbaya sana alijua atakuja kumfunikia😭
@@dommyomolo9678 mbona yuko jini ya lebal yake kwasasa
Huyo Sio mkongo kweli hongereni BSS kwa kujua vipaji.
I don’t really understand the language well but, this guy has the vocals.. Uganda we love you.
Really
Please ,name of this song
uyu ndio Alistairy kuwa mshindi, sijui kwanini Bella alimtosa uyu fundi
kilasiku napenda kumchek uyu mtu
sichiki kuongalia hii Ngoma,
Huyu jamaa asee 🔥🔥🔥🔥🔥
Bss mnachagua watu kwa kujuana, huyu dogo ni mzuri Mara 100 ya shadrack
Huyu chalii alikuwa anatoa show siyo kushindana...
Anajua saana
Nampenda bureeee kila la kheir Nina iman kwa uwezo wa Mungu utafika mbal japo umetoka lkn ww ni kiboko yaoooooooooo 💯 💯 🙏
Kashatoka Yan bss hii cjui mxh d kaandaliwa
Kabisaaa mkali issa bas tu
@@kennedymwalunu3945 acha tuone mwisho
@@nainaiblack6736 kabisa yaan
Hata Harmonize ilikua hivi saa hii ako wapi? Hamuezi zimaa nyota ya mtu. This guy is going far
Kuna watu wanaweza imba nyimbo yako mpk ukaenda washtaki😀😀😀maana sio kwa talent hii mamaee
Jamaa anajua bhan
Kila siku naweka MB kwa ajili yako wew hatariiiiii nakuomba ukaze ndug yang usikate tamaaa
Waga schoki kuangalia🥰🥰
Mhhh huyu bwanaa mdogo ni nomaa snaa mpeni taji lake...tuu
Hivi bss huyu jamaa wamemuachaje master j na upala wake huyu hakumuona
Daaaaaaaah...hyu ndo alikua mshindi hii season I say🙌🙌🙌
Huyu jamaa yupo wapi mludisheni atupe burudani
Duuuuuu ni noma anajua mpaka anakeraaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nice mungu akutanguliye kwakazi yako nakkukubali issa utafika mbali
Wooooow...one of my favourite Fally songs. He did justice and more to it
Inaitwaje Hii nyimbo
sitochoka kuangalia kitu hiki
I like this guy he know
Issa Nakukubal sana sijui kwa nini zile million hukuzipata weww
Dah kijana anajua balaa kuiba 👍
nimesikiliza mara karibia 10, kaimba kwa utulivu sana, na anachoimba unakisikia vzr, wapiga vyombo wametulia
Dah huyu jamaa amenifanya nirudie kumsikiliza zaidi ya mara tano,jamaa anajua aisee.
Huyu mwamba ndiealiekuwa mshind wng wa BSS 🔥
Unaweza
The best performance ever seen on bss. 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 my winner.
Suree till now
Huyu jamaa ni mwisho ! He is musician ! I really like him
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: ruclips.net/video/qDFAKzYyttg/видео.html
Anajua sana
Nairudia tenaa kuingalia hii bonge la show daaaaa
@@geofreychengula7530 daaaaaaa basiiii wametoa ladhaa kabisaaa sijui sasa huwa wanaangalia kigezo ganii hawa naooo
Ebwanaweeee kaka uyu kaua sana ameinyoosha sana hii nyimbo ya nyoshi
Abdul walimuonea jamani 😢😢😢
Issa umeishi Congo Nini? Upo good
Poa
Alikosaje huyu jamaa aa jaman
Wow wow wow
Jamani dogo anajua mpaka kero
Bella naona kaogopa dogo atakuja kumpa changamoto kwenye aina ya mziki wake ndo maana kamtoa maana dogo anajua mpaka homa Imagine hiyo ni Live aisee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbona kwasasa yupo kwenye lebal ya bella
Kweli kabisa dogo mkali sana
Mkali sana
Yuko vizur
Abdul wewe ndio sababu ya Mimi kuupenda huu wimbo
Daaah marioooo wa Bss 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Ivi uyu sindo anajiota mavoice kwasasa
Jamaaa hatari sana
Bro ukishindwa kutoboa ujue nicheki unaweza sanaaaaaaaaaaaaa
Duh tz kuna vipaji
Kaka uwa ananikosha mno kashikiliya moyo wangu kwa kuimba kwake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi kabisa. Bongo wapenda muziki kweli. 🇰🇪
Just speechless here, that's super amazing 🤩
Fally pupa wetu wa bongo one love issa
Navopendaa nyimboo za fall ipupa huyuu kakaa aliniwamilaza jmn anajuaa kuimbaa mpk anaboaa 💋💋💋
Inatwaje hii nyimbo
umependeza sana na mtoto wako kipenzi changu ❤❤❤❤❤
Jamaa ametishA mamae😂😂😂😂😂😂
Daaah inaumaaa sana kumtoaa abdul fundi sana wakuimbaaaa.
Niko tayari kukuchangia uko vizuri issa
Duuh jamaa anajua mnooo can't stop listening to him
Uyu wangemludisha msim huu anajua sana
Sasa hayo mashindano yanaendelea yanini huyo ameshinda hatakama kuna yule kbonge lakin hawez mfikia huyo duh!! Namuona fally ipupa kabsa
Anaimba vzr kafanana Mario
Hatar sana jamaaaa amenisisimua
His more then bella asee 🔥🔥🔥🔥 jamaa anamtisha bella kusema kweli
Kumbe nawewe umeonaaa
Kumbe madam Rita flat screen 😂
I still come back to watch this.bss hamjui mlichopoteza
Hi, if you like it, you can watch the full episodes on StarTimes ON APP, here's the address >> bit.ly/3tjBhsG
Issa jaribu tena bahati yako mwaka huu
This boy should return to competition I swear he's a 👑
Sure Brother 😥
Mimi kweli nitaomba number zama dam Rita walicho kifana mwaka huu kwasisi tuliko mbali siyo pow jee bongo star search 2020 imeisha malizika nambo mafasiriyo kwa number zangu za whatsaap +27719006560 one day issak loketo tumiya akili usitumiye nguvu loketo issak l'homme fort
Mm naona wangekuwa wanaruhusu tucomment top 5 ili wasome nyingi za Nani achukuliwe
Nmerud kuangalia Tim cbo music ilpotoka big up issa
Jamaa anajua sana huyo ndio mshindi wa BSS mkimnyima mmemuonea
Yupo vizuri sana.
Naombeni jina la wimbo alioimba huyo kaka
Huyu mariooo kbs
Anajua huyu jamaaa😍😍😍
Jamaa ni hatari aise🔥🔥🔥aliishia huyu mwamba
Jamani iyo nyimbo inaitwajwe
Thanks for your like, we try to bring you the best
fally ipupa _Associe
You did 1000000000 percent Bro.. you're the best evee
Kama kuna yeyote anafahamu mahali huyu jamaa anafanya live performance tujuzane tafadhali
Kwakuwa anatafutwa mshindi mmoja bas tu, majaji wana kazi. Huyu jamaa alikuwa anaimba hatari.
mbona anaimba utamu uyu jmn❤❤❤❤
Ulingonga nyoyo za mashabiki sana ndugu yangu hongera sana Bella alifanya kitu kibaya sana Bella jitahidi kujitafakari sana hata kama ikipita miaka kumi wimbo huu bado utakuwa kwenye chat
Vizuri sana kijana issa
Bss tunaomba mumrudishe huyu kaka 🙏 maana tumeacha hata kuangalia tena BSS
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: ruclips.net/video/qDFAKzYyttg/видео.html
Amazing amazing ✍️
Bella Una deni la kumlipa huyu kijana umetupa kipaji nje ya mashindano angalia povu za watu....nimeangalia mara 10 hii clip
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: ruclips.net/video/qDFAKzYyttg/видео.html
Wote wanajua ulitaka atoke nan kat ya waliopita il awekwe huyo
Ni agost 2024 huyu mwamba namkubali sijui Kwa nini akuwa mshindi
Du hatariii unajua❤❤❤❤
Ningependa kuwa kwenye mashindano ya bongo star search kenya nairobi naeza regist vp
Yuko vizuri saana
Perfomance bora ya muda wote BSS
Anajuaaaaa🎉🎉🎉🎉
Wa Congo mpo....
Kwa kweli jamaa arudi
Yani balaaaaaa
Nikweli
Ata kama kuna maneno ambazo azi semwe sawa mu lingala ila kijana ame jikaza ✌️
Wajina wangu anajua bhana kuimba respect
Nadhani #Christianbella ameona hii.
Kizazi saana
Maaad talent 💯💯🥳🥳😘😘😘❤️❤️❤️
Huyu jamaa anajua sana popote alipo asiache mziki,
Woow so nice
Jamaniiiii