MEDITATION TENDO LA KUSHANGAZA LENYE SIRI NYINGI NDANI YAKE, FANYA HIVI UFANIKIWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 92

  • @mahsensaid4079
    @mahsensaid4079 Год назад +17

    Kaka umeieleza tahajud kwa vizur sana kama shehee au mtu mwenye elimu kubwa katika dini ya kisilamu mashalaah.

  • @joycekelvin1895
    @joycekelvin1895 Год назад +9

    Meditation, you connect deeply with your inner soul and it has plenty of advantages such as Overcoming depression, anxiety, and fear. I recommend people on trying meditation.

  • @Rb1_Rabish
    @Rb1_Rabish Год назад +8

    Hi Justin , i follow you 5/5 because you tend to give us education about what we don't know , may god give Yu a long life

  • @sankara144
    @sankara144 Год назад +3

    Asante kwa hii video, tafadhali ningependa utuandalie video kuhusu Annunaki.

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Месяц назад

    Mimi napenda taamuli mara kwa mara,,,naendaga kando ya mto,,,naenjoy

  • @mathewmwamgunda-l1q
    @mathewmwamgunda-l1q 5 месяцев назад

    Asante kwa elim nzuri

  • @mycofood9266
    @mycofood9266 Год назад +3

    Nimekifunza kitu good sana kwenye hii vidio ya meditetion

  • @Dantaata
    @Dantaata Год назад +2

    hapa mzee umetisha sana

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 Год назад +1

    Unazunguka sana sijui ndo wataka Mb zetu ziishe

  • @RoseOdilo
    @RoseOdilo 6 месяцев назад

    Hongera sn umenigusa mno

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Месяц назад

    Justin uko sahihi,,,,,,,,,

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Год назад +4

    Nitajaribu😄😍😍

    • @ahmedysaidy9874
      @ahmedysaidy9874 Год назад

      Usiwe muoga Kuna mda unaweza kusikia vitu vinatembea ndani inatakiwa uvute pumzi uku unaichia unaweza kutumia ata kwa dakika 15 baadae utaona faida kubwa sana.

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 Год назад +12

    Hayo mambo yalisababisha naona maajabu kwenye kabati kubwa la bosi wangu,kila nikijaribu kufanya hinyo macho yangu yanaona vikongwe wadhaifu sana wapo katika kabati,kwasasa naogopa kuendelea.

    • @denisrukangula2227
      @denisrukangula2227 Год назад +1

      😁😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @akbaslismh9874
      @akbaslismh9874 Год назад +1

      😂😂😂

    • @michaelokutoyi1812
      @michaelokutoyi1812 Год назад +4

      Shida Shida kwa haya ulioeleza, umefaulu zoezi la taamuli. Huyo bosi wako ni mshirikina au mmiliki wa kabati hiyo ndiye mchawi. Vikongwe hivyo ni misukule iliyozeeka.

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 Год назад

      😄😂 kweli?

    • @jeromejosiah7292
      @jeromejosiah7292 Год назад +1

      Hahahaaaa nifundishe

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Месяц назад

    Mimi nataka nipate nguvu za kiroho tu🎉

  • @ZawadiMlagala
    @ZawadiMlagala Год назад

    Amina

  • @Bkamandawazam
    @Bkamandawazam Год назад +4

    Achana na hiyo bro naanza leoleo kupiga Tamuli🤣😂

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Год назад +3

    SASA TWENDE KAZIIIIII

  • @Asiyedjali
    @Asiyedjali Месяц назад

    Kiongozi mm natamani sana niishi katika maisha yangu nikiwa mtu wakufanya tahamuli,ss nifanye nini ili nitaishi?

  • @claraluoga3588
    @claraluoga3588 Год назад +2

    Kaka Justin naomba tusaidie video ya kufungua jicho la tatu

  • @linturenatus3549
    @linturenatus3549 Год назад +1

    Asante

  • @abdilehussen2123
    @abdilehussen2123 Год назад +4

    Hi ni imani ya kiroho yani budha na hindu inatukuza miungu hiyo ndiyo maana hao ndiyo waanzilishi ni ibada za kishetani

    • @Switielie
      @Switielie Год назад

      🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

    • @JanethMgega
      @JanethMgega Год назад

      😆😆😆😆😆😆

  • @davidtz4585
    @davidtz4585 Год назад

    Hamna cha maana zaidi yakutusababishia Vikohozi sugu na kututegua viuno

    • @marigolddiamond161
      @marigolddiamond161 3 месяца назад

      Ama wewe umejua kunichekesha kweli kweli, Haaa haaaa. He ubarikiwe mdogo wangu, Amina.

  • @mbubatv
    @mbubatv Год назад +3

    Nimejaribu mar najikuta nimesizia

    • @yahyachang8531
      @yahyachang8531 Год назад +1

      Eh we unasizia mie adi naogopa

    • @akbaslismh9874
      @akbaslismh9874 Год назад +1

      😂😂

    • @akbaslismh9874
      @akbaslismh9874 Год назад +1

      Naogopa 😮

    • @filbertfaustine7357
      @filbertfaustine7357 Год назад +1

      😄 pole, huelewi, inabid uelewe

    • @aderiderkihupi7240
      @aderiderkihupi7240 Год назад

      UMESINZIA KWAKUWA UMEKAA KATIKA POZI LINALOKUPA USINGZ.
      MEDITATION INATAKIWA UKAE MKAO AMBAO UTAKUFANYA USINZIE ILA UTULIE USICHEZECHEZE HAPO UTAONA MATOKEO YA UTULVU WA AKIL NA ITAKUFANYA UWE NA MAAMUZ KTK MAMBO MBALMBAL

  • @neemamboya8132
    @neemamboya8132 Год назад +2

    Duh.. natamani kufanya lkn naogopa waliowahi kufanya watupe mrejesho basi jmn

    • @ndugutv5417
      @ndugutv5417 Год назад +1

      Hii ni sehem sahihi kupata UTULIVU ili KUPATA vilivyo vyako na kwann umezaliwa,umekuja kufanyaje, kuleta mabadiliko au kuleta mambo mema au mabaya
      Ila hii ni hatua ya awali tu ila Meditation ni hatari na ni nzuri ukifanya hutarogwa na mtu mbaya kwako atatoweka.
      Esotic ni KUJITOA zaidi.

  • @jafarimohamedi7900
    @jafarimohamedi7900 Год назад +3

    Wakwanza

  • @ZuchuKviewshoursago
    @ZuchuKviewshoursago Год назад +7

    Kaka justin naomba nikushauri kitu video zaoo za zamani zilikuwa na jokes nyingi sana kiasi kwamba hata kama hadithi ya serious basi itafika sehemu utafurahi tu hii ililaanisha uliwekeza muda sana kwenye video na kinachosababisha tunaplay video ni main point mfano ukituandikia maajabu ya messi ila karibia nusu ya video itaelezea messi ni nani katoka timu gani na timu gan ikiwa watazamaji wako tunahitaji kujua maajabu ya messi sio history asante.

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Год назад +2

    INASAIDOA KUWA NA AKIL TULIVU KATKA MAISHA YA KILASIKU

  • @chrissgoodboy9993
    @chrissgoodboy9993 Год назад

    Naomba mbinu yakuweza kuvuta hisia kamil

  • @khadijazungu8627
    @khadijazungu8627 Год назад +8

    Naomba kujuwa tofauti ya kitu taamuli na yoga kwani niliwahi kuona watu wanashauri watu wasifanye yoga 7bu kuna ambao wakifanya wanapata kuona viumbe vya kishetani wakiwa kwenye mazowezi hayo

    • @innocentmarco7287
      @innocentmarco7287 Год назад +1

      Yoga ni mazoezi mepesi mepesi ya viungo hayahusiahani na taamuli

    • @jonnyfranco5318
      @jonnyfranco5318 Год назад +2

      Hicho unachokizungumzia ni astral projection

    • @jonnyfranco5318
      @jonnyfranco5318 Год назад +2

      Astral projection inahusisha na kufungua jicho la tatu

    • @majorwayesu5510
      @majorwayesu5510 Год назад

      Meditation and yoga is satanic

  • @nyokaapaschal5734
    @nyokaapaschal5734 Год назад +1

    hii taamul au meditation inatofaut gan na kutoka nnje ya mwili me navojua kila ki2 kizur kina ubaya wake na kibaya kina uzur wake mbona unawaereza tu faida asali zake waereze na athari zake

  • @allencastor7918
    @allencastor7918 Год назад

    Unaonaje ukileta Historia ya Tom na jerry Katuni

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 Год назад +2

    Kaka sio poa nilijalibu lakini mtaa ninaokaa siwezi ata kidogo

    • @judithnjunwa6668
      @judithnjunwa6668 Месяц назад

      Ukifanya zoezi Hilo isiwe na mawazo kaka,,,,tulia tuli,,,mimi kwangu inalipaa

  • @jacklineramadhani2148
    @jacklineramadhani2148 Год назад

    Just Naomba unielekeze vizur kuhusu ile app ya move mm natumi a phone

  • @yahyachang8531
    @yahyachang8531 Год назад

    Ile video yetu kuhusu kuamsha nguvu ya kundarin aujatumalizia au tayar kama tayar naomba link kila siku naifatilia

  • @RoseOdilo
    @RoseOdilo 6 месяцев назад

    Naweza vaa earphones?

    • @RoseOdilo
      @RoseOdilo 6 месяцев назад

      Nikiwa nafanya meditation

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @williamlawrence3698
    @williamlawrence3698 Год назад

    Watu Ahwana nafsi so wataelewaje na maana kiroho iyoh ni game ya akili ,,,izoh wanawaza waindi , wazungu then wao weusi je!? Waambie ukweli iyoh nidimen ya 9 so wakirudisha nafsi zao ni simple Kwa anayejua...

  • @ernstensul6641
    @ernstensul6641 Год назад

    Naomba nini yin Yang

  • @henryj3304
    @henryj3304 Год назад +4

    Hilo tendo ni la kiibada zaidi unapo fanya hivyo ni lazima ujue unamuabudu nani, vinginevyo utajiunganiaha na miungu na mashetani ya dini ya Hindu

  • @josephdeodatus2893
    @josephdeodatus2893 Год назад

    Na nn tofauti ya astral projections

    • @ndugutv5417
      @ndugutv5417 Год назад

      Astro ni Kutoka katika mwili wako kiroho hii ni sehem tu ya kuweza kwenda upapendapo lakini hii unaweza kukusaidia kuimarisha umakini

  • @sunshine-yh6oz
    @sunshine-yh6oz Год назад

    Hivyo vidole mbona Kama wanaweka ishara ya alama ya 666?😳👌

    • @ahmedysaidy9874
      @ahmedysaidy9874 Год назад

      Hiyo ni spiritual ritual ya Lucifer unafanya uikiwa kwenye invocation at the same time una chant kwa kutaja maneno yake ukiwa una vuta pumzi na kuachia apo ndipo utamuona na kuweza kupata TAARIFA kutoka kwake kupitia meditation hli zoezi linauwezo mkubwa wa kuita viumbe wa kishetan au demons ndio maana inataka uwe makini na serious ukifanya masihara itakuwa tatizo kwako.

  • @abdilehussen2123
    @abdilehussen2123 Год назад +4

    Hii ni mifumo ya kishetani

    • @silviagustavo416
      @silviagustavo416 Год назад +1

      No sio kweli

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows Год назад +1

      Duh 🤣🤣🤣🤣

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Год назад +1

      @@nickalreadyknows balaaa 😉😉😉

    • @heriethmuta2903
      @heriethmuta2903 Год назад +3

      Sio kweli hata wakristo uwa wanajitenga kwenye chumba au sehemu yoyote ya utulivu peke yako ili uongee na Mungu na uongeze nguvu za kirohp. Ni nzur sana. Maombi haya yanaitwa maombi ya utakaso na kufunguliwa

    • @yahyachang8531
      @yahyachang8531 Год назад +2

      Ushindwe na uregee fanya utafiti kwanza sio unaropoka tu