@@danielkombe9212 Thanks for getting back: Check kwenye dk ya 2:00 - 2:10. Wakati wa ku-transition to the ben pol song, wimbo uko na sauti ya juu kuliko wakat wanaongea. Try kuweka any mix yenye kuonyesha volume spikes utanotice wakat inatransition to the song sauti ina shoot. Some other scenario kwenye below timestamps 3:43 - 3:57 8:40 - 8:45 6:58 - 7:03 7:06 - 7:12
Ubunifu wa hali ya juu sana mnavyoangalia kwa umakini utadhani kweli mtu anaingia stejini hongereni sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tunao subiri ya #CHUGA tujuane 🔥🔥
Kama hawajawahi kukuboa weka like hapa
Nimewahi nipeni like zangu
Chukua kudadeki
12:35 🤣🤣😆😆Eliud wewe utaniua mbavu zangu
Tumekupa like zotee
Waombe Eliud na Usweger
Umempa nani
Na enjoy sanah Nikimuona uswege murder bado mkaniongezea eliud hadi raha big up sanah mabro wangu
kumbe lishirikina bhana,home boy eliud🥰🥰
😂😂😂😂😂
Every day you have been giving us new surprises, congratulations for a good job, the whole BOFLO star search team🔥🙌🏿
Hivi likes huwa zinawasaidia nini maana siwaelewagi watu wanaombaomba likes kwann..!?
Fashion tu
Safi kabisa ila sehemu ya bishock mnehuwa saana big up usweng na Eliut
"Chief jaji utakuja kupata ya ngoswe kitovu Cha uzembe"😂😂😂🤣 Eliudi una vimaneno vinachekesha sana
Siajamuona mchizi Dark Master mjukuu wa Chimwaga
😂😂😂😂mmeitendea haki Dodoma japo singida hakuna alie pita
Duh jamaa mko vzr sana sana mno kabisaa ELIUD &USWEGE uko fresh sana
Mbeya tunawasubir Kwa hamu Boflo star search 😂😂😂🙌🏿🔥
Mb city lini😁😁
No matter inapendeza au haipndz tutasuport home talents good work mabroder ♥️🇹🇿 ♥️
Tunaosema ELIUD like nyingi 😂😂
Boflo hatari gongalike pliz nimewahi
Ben Pol ni kondakta mziki umemuacha zamani sana
𝐌𝐛 𝐳𝐢𝐬𝐢𝐣𝐞 𝐳𝐢𝐤𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐳𝐞𝐞😂
Hii BOFLO ni fire 🔥 nawangoja mbeya😁😁
Hata ikiwa kesho tutafika tyu🤜🤛👊🤝🤝🤝✌️✌️✌️
Nimecheka sana kwa Bushoke jaman🤣🤣🤣
Mmetufanya tuyajue makabila ya wasanii wetu asee..
Mc : mi na matunda matunda wapi na wapi
Me:😂😂😂😂😂
This is next level of creativity
Kbs
It's true &🔥🔥
KWELI
Hii boflo starsearch kwang mim ni zaid ya bongo starsearch yenyewe ya kina Ommydimpo na madam lita 🤣🤣
Nzr sana
chifu jaji kweny hili hakuna kubishana mama tunaenda nae Dar 😂😂😂
Mi na matundamatunda wapi na wapi 🤣🤣😅
Piga kelele mbili kwa moni yake na jiji kuna toto kuna toto 😂😂😂
🤣🤣🤣Yaan nyie meanza na mgogo mwenyewe kabisa 😂😂😂
I love your show.....love from🇶🇦
13 MINUTES KABLA YA KUANZA 😄😄
Alafu uswege bhn sasa akuimbieje wwe aimbe mumjaji..hapo ndo mnapokosana na jaji eliudi🤣🤣
Mpaka hapa Boflo Kigoma inaongoza
More than 🔥🔥🔥🔥. Mkuje mbeya now twawasubili kwa ham
Bushoke😂 apelekwe dar akarefresh mind, mana kapitia mengi mno 😂
🤣🤣🤣🤣🤣 atafika anaburuzika
🤣🤣🤣
Waiting for Arusha
Nasubir mkoa wenye vipaji Green city
Nakubal sanaaaa mablazaa🔥🔥🔥.....ila mkija huku mwanza MC ELIUD abadilishe hiyo suti 😂😂🤣🙌🙌
Mmenifurahisha Kwa bushoke
😂😂😂 niko hapa nacheki boflo star search dodoma 🖐️
Nyeramumo😂😂😂😂eliudy uko na tabu
Nikiunga MB napitiliza kuangalia Boflo ......
Mnanifurahisha Sana nyie wanyakyusa wa kanielela mumo.😀😀😀😀😀😀
Jaman chemistr hawa mwamba naielewa Sana twende pamoja kwa kunipatia like zenu wadau
😂😂😂😂😂😂Apo mwisho nimecheka mpaka nimelia
Wooooh Safi sanaaaa I like it Mc eliudi
Eliud nakukubali sanaaa bila kumsahau uswege
Kumbe lishirikina😀😀😀😀😀😀
Nimecheka sana mlivopiga story na bushoke😂😂
Mc Eliudi na Uswege 🔥🔥🔥
Eeeeeeh kumbe lishirikina bwana
The sound isnt balanced jaman 😔. Please check it next time. Otherwise god job 👍
Wap mkuu
@@danielkombe9212 Thanks for getting back:
Check kwenye dk ya 2:00 - 2:10.
Wakati wa ku-transition to the ben pol song, wimbo uko na sauti ya juu kuliko wakat wanaongea.
Try kuweka any mix yenye kuonyesha volume spikes utanotice wakat inatransition to the song sauti ina shoot.
Some other scenario kwenye below timestamps
3:43 - 3:57
8:40 - 8:45
6:58 - 7:03
7:06 - 7:12
Eliud anaita NESTI sio NEXT alafu ndio imenoga sasa
🤣🤣🤣eliud unyamwenga mwingi sana😂😂😂
Tunasubiria morogoro sijui itakuaje
Mm nawasubir boflo ya Mwanza na Arusha nicheke zaiz
Jaman mfke mpaka kwetu kunavpaji simiyu🤩🤩
hawa jamaa malegend tunakumbushwa kale asee
Weee singida tumefikiwa😅😅😅
Chief judge amekatch feeling😂😂😂😂
Hawa jamaaa wanajuw mpka wanakera 😂😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏
Inapendeza zaidi yasana
Uswege mngefanya na wasanii wa kusini kama lindi na mtwara
Nakukubali sanaaa brooo zangu one love
Navyo fwatilia boflo search 😂😂😂 uwii
Mbeya lini chief judge🙌 ila ongeza na sauti chief judge kuna mda sauti ipo chini
Mmetisha kinomanoma asee..🤣🤣
😂😂😂nyie mnadhamb jmn
Much love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥🔥🔥
Kumbe lishirikina
Imaging niliibiwa simu juzi kisa kuwa bize njiani kuicheki hii show na bado tunaicheki kwa simu niliyopewa IPO bondi😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣 haw jamaa ni xhida
😂
mmetisha sana hongereni
aisee mko vzr xn kaka zng hongeren cn
3:55 Mc Eliud Pumbavu zako ulitaka nitapike chai wkt naimeza kumbe shirikina 17:04 noma sana
Mnaua kinoma asee nakubal
😃😃ume imba vibaya vibaya 😃
my favourate artist ben p
Good work🙌
Mmenifurahisha saana hapo kwa bushoke 😅😅😅😅
Kaliii aiseee..Next iwe zanzibar
Nakubali
Naenjoe sana awa mwamba wawili
uyu uswege mwehu kabisa 🤣🤣🤣
Eti analizwa na maisha yako nyie ni wachokoz kinoma😂😂😂😂😅
Talented
Njoo Arusha
Wamekuja na mziki waoo🤣🤣🤣
Kimeumana kwa wanya turu like kwao
Mwanza lini
Uyu Jama mwengine ahana sawa
Iyi KAZI nawaisbr
Kwenye kulia nacheka sana mimi
😂😂😂😂😂😂😂Bado tabora kwetu
Nna hamu BOFLO STAR SEARCH ZANZIBAR
Kumbe lishirikinaaa
Si ndo hapo sasa mr puyaka unakuja mitindo hapo.
Kamikaze 😜😜 eti kana mambo mengi tukaache
mi mnavyo tazama tuu ni firee
Mnatisha
Duh nyinyi nouma
Creativity 🙌💥