Hongera mapadre wote wakanisa katorik kwakuliona hilo wote tujenge taifa letu kwapamija tubadirishe sheria zote zinazo tunyanyasa sisi wenyewe hongeren kwakuliona hilo nyie ndio sauti yawatu mungu awabarik wote mapadre,maaskofu , nawaumini wote kwaujula Amina . Karibu njombe
Hongereni TEC, kweli ukimya wenu ulikuwa wenye maana kwani mambo haya mazito yasingepatikana, sisi tunaomba utekelezaji ili taifa letu libaki salama kwa muda wote. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania
Well done Maasikofu wa Kanisa Katholiki. Mumetimiza wajibu wenu wa kuheshimika kwa nchi yetu Tanzania kuhusu Miswada mitatu iliyopelekwa Bungeni, HUSUSAN kuhusu "TUME YA UCHAGUZI". Watakaopinga maoni hayo ni wale wale Wanufaika wa Tume ya sasa iliyojaa Makada wa CCM kwa kukibeba CCM kwenye chaguzi zote za Serikali (Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu).
TUNATAKA TAMOKO LA TEC KUHUSU ZAHAMA YA NDOA ZA JIMSIA MOJA, HUU MKANGAMYIKO TUONDOKANE NAO , MAMBO HAYA YANAUMIZA KANISA LETU MAANA HATA MABABA WANAOLISEMEA HUELEA JUU JUU TU,
Hivi maaskofu wa makanisa mengine amwoni haja yakutoa maoni yenu kwakuwa hamuwezi kuchanganya dini na siasa eti ,halafu mkiingia makanisani mnasisitiza matoleo makubwa na mnabuni mbinu za makusanyo lakini kuwafanya waumini wenu kuwa imara kiuchumi hamna mpango,bado hamjui kuwa siasa ni maisha ?
TEC mmesahau suala la ulinzi na utangazaji wa matokeo ya awali vituoni (vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini ya amiri jeshi mkuu ambaye ni rais).... Kuna namna polisi watakao husika kwenye zoezi la uchaguzi kuapa kuwa chini ya mkurugenzi (temporarily) na mchakato wa kuwapata police hao
Kila siku wanatumia mamilioni ya PESA za watanzania kutoa maoni maana kwao maoni ni mradi wa maisha ya Kila siku lkn ukweli hakuna katiba maana wanajua dhambi zao zitajulikana ikija katiba Mpya
Mnawasilisha maoni ya nini kupoteza muda wakati watawala wa CCM hawataki katiba, walioba alishamaliza maoni na wao ndiyo walisimamia lkn Kila siku wanageuka, kataeni maoni ya laana Kwa nchi
Kama serikali na chama chake ni sikivu basi maneno ya hawa watumishi yazingatiwe serikali zote duniani sikivu zina viongozi ambao ni wacha Mungu au miungu ambapo kuna amri wanazoziishi kila siku wanazieshimu ili wasivunje na kuhukumiwa Sikh ya kiama
Fungueni chama cha Siasa tujue kama nyinyi ni wanasiasa Maana katika hii sio Mpya Ina miaka 60 tunaishi kwa Amani Mambo ya vurugu za Kenya Msilete Tanzania, Hapa tunaishi kwa Amani, kutokana na Ulithi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Hilo jamaa linalosema tuna Amani halina akili nzuri kwani hayo maoni yanahusu fulugu au nikutaka haki ziwe zinatendeka!!! Inawezekana famila yake ni wahusika kwenye mambo machafu nchini
Hongera mapadre wote wakanisa katorik kwakuliona hilo wote tujenge taifa letu kwapamija tubadirishe sheria zote zinazo tunyanyasa sisi wenyewe hongeren kwakuliona hilo nyie ndio sauti yawatu mungu awabarik wote mapadre,maaskofu , nawaumini wote kwaujula Amina . Karibu njombe
Hongereni maaskofu Kwa kujali haki za wananchi.
Hongela Sana maasikofu kwa kuajali wananch
Naikubali TEC 100%
TEC mko sahihi sana mnatusemea sisi ambao hatuna uwezo wakusema hadharani
Hongereni TEC, kweli ukimya wenu ulikuwa wenye maana kwani mambo haya mazito yasingepatikana, sisi tunaomba utekelezaji ili taifa letu libaki salama kwa muda wote. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania
Hao hawasikii kabisa,hongereni,
Mposahihi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
Well done Maasikofu wa Kanisa Katholiki. Mumetimiza wajibu wenu wa kuheshimika kwa nchi yetu Tanzania kuhusu Miswada mitatu iliyopelekwa Bungeni, HUSUSAN kuhusu "TUME YA UCHAGUZI". Watakaopinga maoni hayo ni wale wale Wanufaika wa Tume ya sasa iliyojaa Makada wa CCM kwa kukibeba CCM kwenye chaguzi zote za Serikali (Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu).
Hongera Sana maaskofu wetu wakati mwingine serikali YETU inajisahau Kwa hiyo inapaswa kukumbushwa ili isivunje katiba
Ubarikiwe mtumishi
Congratulation TEC
Hongereni sana Maana hawa ccm tumewachoka Niweze tuu kila siku
Wapokea maoni waendelee kuongozwa na dhamiri ya kweli katika utendaji wa mambo yahusu Uchaguzi.
Mungu wambinguni awabariki sana
Maoni mazuri yafanyiwe kazi kwafaida ya taifa la leo na kizaz kijacho ,ongera TEC
TEC Mungu awalinde kwa umakini wenu
Asanteni MUNGU awabariki
Mungu awatangulie mko sahihi
Sauti yenu maaskofu inafika mbali.
HONGERENI TEC MPO VIZURI SANAA WAPAKWA MAFUTA WA BWANA
Yazingatiwe na yatekelezwe🎉
Mungu azidi kuwaongoza
Huu Ndio Umisionari na Utumishi uliotukuka kwa Kanisa kusimamia Haki na Amani kwa Wananchi wa Taifa la Tanzania.
Mungu awabariki sana
tuko pamoja
TEac ❤❤❤❤
Hakika kanisa ,misikitj linamaliza kazi nZuri wa maoni ya Katiba mpya sambamba na serikali yenyewe
Asante maaskofummmetoa mwaga mkubwa ktk hili
Mungu awatangulie ktk kutetea haki.
Serikali inaleta vurugu kwa kuvunja katiba.
❤❤❤
Haya aliyoyazungumza Baba Askofu, tuyapate kama tulivyopata waraka
This is YEC
TUNATAKA TAMOKO LA TEC KUHUSU ZAHAMA YA NDOA ZA JIMSIA MOJA,
HUU MKANGAMYIKO TUONDOKANE NAO ,
MAMBO HAYA YANAUMIZA KANISA LETU MAANA HATA MABABA WANAOLISEMEA HUELEA JUU JUU TU,
Hivi maaskofu wa makanisa mengine amwoni haja yakutoa maoni yenu kwakuwa hamuwezi kuchanganya dini na siasa eti ,halafu mkiingia makanisani mnasisitiza matoleo makubwa na mnabuni mbinu za makusanyo lakini kuwafanya waumini wenu kuwa imara kiuchumi hamna mpango,bado hamjui kuwa siasa ni maisha ?
TEC mmesahau suala la ulinzi na utangazaji wa matokeo ya awali vituoni (vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini ya amiri jeshi mkuu ambaye ni rais).... Kuna namna polisi watakao husika kwenye zoezi la uchaguzi kuapa kuwa chini ya mkurugenzi (temporarily) na mchakato wa kuwapata police hao
Pamoja na huu unyenyekevu wote ila serkal ya ccm itaziba maskio
Sikio la kufa halisikii dawa
Kila siku wanatumia mamilioni ya PESA za watanzania kutoa maoni maana kwao maoni ni mradi wa maisha ya Kila siku lkn ukweli hakuna katiba maana wanajua dhambi zao zitajulikana ikija katiba Mpya
Mama Samia kaa mbali kabisa MITA elf 29 hatutaki uteue mtu we ni mgom bea subiri uchakuliwe siyo kuiba kura
Saut ya mungu
Mnawasilisha maoni ya nini kupoteza muda wakati watawala wa CCM hawataki katiba, walioba alishamaliza maoni na wao ndiyo walisimamia lkn Kila siku wanageuka, kataeni maoni ya laana Kwa nchi
Maoni ya TEC ni dhahiri na kamilifu ambayo yanahitaji kuzingatiwa ili Uchaguzi uwe huru na haki.
Kihele Hele Cha MAKONDA Hakita tubabaisha
Baada ya kushinda issue ya Bandari mmehamia kwenye tume!! MIAKA YOTE MLIKUWA hamuioni?
Kama serikali na chama chake ni sikivu basi maneno ya hawa watumishi yazingatiwe serikali zote duniani sikivu zina viongozi ambao ni wacha Mungu au miungu ambapo kuna amri wanazoziishi kila siku wanazieshimu ili wasivunje na kuhukumiwa Sikh ya kiama
Eti mchengerwa ana kifua kikubwa
😂😂😂😂
Hapo mchawi ni Ccm hawataki kutoka kwenye utawala lakini siku Ccm watakapotoka kwenye utawala sizani kama kunakurudi kwao kwny utawala
Ina maana haikuonekana mpaka
mtoe na maoni pia kuhusu kauli ya papa kuwabariki wale jamaaaa
Wew ndo walewale wanaosubiri kufa
UKWELI USEMWE JAPO MCHUNGU UTASEMWATU
Fungueni chama cha Siasa tujue kama nyinyi ni wanasiasa Maana katika hii sio Mpya Ina miaka 60 tunaishi kwa Amani Mambo ya vurugu za Kenya Msilete Tanzania, Hapa tunaishi kwa Amani, kutokana na Ulithi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Kumbuka hivi vichwa vimesoma kuliko hata walioko madarakani
Wewe Bwana unasema Tuna Amani,Si kweli ss ni waoga,Ndani yetu tunapekechwa.
Hilo jamaa linalosema tuna Amani halina akili nzuri kwani hayo maoni yanahusu fulugu au nikutaka haki ziwe zinatendeka!!! Inawezekana famila yake ni wahusika kwenye mambo machafu nchini
Nyie ndio wale wanufaika Robo komaa ushinde ila jaribu kutumia hata sudusi ya akili yako
niile ya kuteuliwa na Rais huu naufanya kama ni tume batili
hatuitaki hiyo tume ya mchongo
❤❤❤❤❤
Ina maana haikuonekana mpaka