WAZIRI MKUU AMHOJI BABA LEVO "ALIKIBA AMECHANGIA TUNATAKA DIAMOND MCHANGO WAKE, MPIGIE HARMONIZE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 206

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 Год назад +61

    Nampenda tuu waziri mkuu ...Mungu azid kumtunza

  • @allenonesmomwebembezi6248
    @allenonesmomwebembezi6248 Год назад +82

    Daaaah!! Baba Levo na Mwijaku mnafanya kazi kubwa nyie wapuuzi

  • @rukydaudy3005
    @rukydaudy3005 Год назад +35

    Ally kiba ni wet wte .hapa nimepnda sana

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 Год назад +6

    Joti amepigwa na kitu kizito😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃

  • @mcmwitatv1951
    @mcmwitatv1951 Год назад +32

    Watanzania tunapenda sana kuishi katika ufeki.

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 Год назад +22

    Na mngekua na michango km hivi kwa ndugu zetu wanaoteseka kwa kukosa huduma, maradhi yanavowasibu hakika tungekua mbali sana, hapo tulipo Kuna mtu anateseka kwa elfu moja tu😭😭😭😭

    • @fatinamsuya1305
      @fatinamsuya1305 Год назад +2

      Acha tu ndugu yangu inauma Sana alafu inauma tena😢😢😢

    • @abdallahmakombo3866
      @abdallahmakombo3866 Год назад +3

      Halafu shida si kuugua TU,
      Mambo mengi!!!
      Kwa hiyo
      Hata yanayofanyika ni sehemu ya maisha !!!
      MAISHA ni kuyaishi na ndio yalivyo TU haijalishi watu wana shida KIASI Gani!!!

    • @sheryphamwenevalley6124
      @sheryphamwenevalley6124 Год назад +3

      @@abdallahmakombo3866 jitambue shida zinatofautiana, km ww hujui shida Kaa kimya, nchi mazezeta wengi ndio mana hatuendelei

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 Год назад

      Uondoukweli aisee

    • @geofkabo7843
      @geofkabo7843 Год назад

      Kunakuishi halaf kunakudumu pia kunamaisha. Tuelewe kitu kimoja ila ni ngumu kuelewa ila tuseme kuishi ni kuchagua

  • @Xavierdecristo
    @Xavierdecristo Год назад +7

    King kama king 👑👑 salute kwa king

  • @issahhussein1922
    @issahhussein1922 Год назад +23

    "Usiniangushe" akapiga na bismillah 😅 nimecheka sanaa

  • @Gabby-jm8
    @Gabby-jm8 Год назад +23

    😂😂😂😂😂 imekaa vizurii aiseeh🙌🙌🙌

  • @ahmedmohammed2410
    @ahmedmohammed2410 Год назад +11

    Naipenda Tanzania yangu❤

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 Год назад +35

    Dar, hakuna nchi kama tanzania bhanaa. Mungu endelea kutulindia amani yetu?

  • @turatashewaukweli
    @turatashewaukweli Год назад +28

    Alikiba atabaki kuwa king siku zote

    • @georgejohny6422
      @georgejohny6422 Год назад +1

      Kivip ss king kwako,,,hyo n king mavi au kipusa😂😂

    • @olicendayihimbaze4074
      @olicendayihimbaze4074 Год назад

      Karare bhana wewe ndo mavii​@@georgejohny6422

    • @SuleAmber-lw2tx
      @SuleAmber-lw2tx Год назад +1

      ​@@georgejohny6422Ulitaka awe King nani😂😂 kwendraaaa hukoooo mchawiii weweee

    • @Faredasaid67Fareda
      @Faredasaid67Fareda Год назад

      ​@@georgejohny6422Wivu tu

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Год назад

      ​@@georgejohny6422kwetu kama wew sio king ni kwako mavi wew sura kama nyani wa Lubondo.. Huoni baba levo anasema alikiba ni WA kwetu sote 😅

  • @zomasamweli
    @zomasamweli Год назад +26

    Mweshimiwa lile sio gorofa ni ngazi za kuwekea matenk😂😂😂

  • @Josephkp629
    @Josephkp629 Год назад +3

    Joti hii shughul 😊 auonekan kabiss 3:54

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 Год назад +12

    Joty kazimwa kinoman😢😢😢😢😢😢

  • @hassanwaziri912
    @hassanwaziri912 Год назад +1

    Hawa wajamaa wanachekesha Sana kwakweli🎉🎉🎉

  • @yasser_yosa255
    @yasser_yosa255 Год назад +35

    Dh ila mwijaku kaupeleka uchawa kwenye level za juu😂😂😂

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Год назад +1

    Aahhhh ety hile siyo ghorofa ni ngazi za kuwekea ma-tank😅😅😅

  • @consolathambuya2239
    @consolathambuya2239 Год назад

    😂😂😂😂 Dah! Joti alivyonyamaza hapo, Ila mwijaku anavyoomba Harmonize asimuangushe dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Markhomestz
    @Markhomestz Год назад +5

    Eti hapokeagi simu zake 😂😂😂

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Год назад +11

    😂😂😂😂 eti jumba la 1.3B?? Hivi huyu Mwijaku anajua 1.3B Tsh?? Afu anakuja kuchangia laki??😂

  • @giztony2009
    @giztony2009 Год назад +5

    Hili senge linajikutaga linajipendekeza kwa watu na kujifanya yupo karibu yke mbona leo halijapokelewa simu@ poor mwijaku

  • @ilakizajabari8291
    @ilakizajabari8291 Год назад +3

    Joti kayakanyaga kukutana na vichaa zaidi yake 😂😂😂😂

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Год назад +8

    Safi sana mwijaku 😂😂😂

  • @mbarakasaidi8243
    @mbarakasaidi8243 Год назад

    Hapa kwajoti bora angelala tu😂😂😂😂😂😂

  • @kaizangaile4469
    @kaizangaile4469 Год назад

    Hongera sana PM

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz Год назад +18

    😂😂😂Mjini shule wadau sio vyeti😂

  • @Joviti175
    @Joviti175 Год назад +4

    Baba levo na mwijaku mbona mmembania joti?

  • @nuruhhussein167
    @nuruhhussein167 Год назад

    Kasimu majariwa ❤ ishi tu miaka yote kwa kweli

  • @meedyshow8807
    @meedyshow8807 Год назад +8

    Doto magali angekuwepo .ange wapigia matajiri watano tu lingeisha

  • @piniellaizer-t7b
    @piniellaizer-t7b Год назад +2

    mwamba sanaa mheshimiwa waziri wetu wa nguvu

  • @babazizu1255
    @babazizu1255 Год назад

    Mh rais mh mziri mkuu itifak izingatiwe nimependa hamasa hii aisee ht timu ye2 ikiona hvyo mnaipa moyo mungu awalinde aisee

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 Год назад +8

    King🎉🎉🎉🎉🎉

  • @linetshavu
    @linetshavu Год назад +2

    Nimependa Waziri mkuu anavyochangamsha genge na machawa pro😂

  • @SalehMdoe
    @SalehMdoe Год назад +1

    Bismilah rabil aghalameen 😂😂😂😂mwijaku dah

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 Год назад

    Dotto Magari Unaona Hao Wamba Wanavyo Pewa Heshima na Serikali

  • @koyiasunga9785
    @koyiasunga9785 Год назад +1

    Joti yaani kafunikwa na baba levo na mwijaku

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Год назад +2

    Hapa kama una stress zinatoka 😂😂😂

  • @Mrpromotiongroup
    @Mrpromotiongroup Год назад

    MH.waziri mkuu Mrpromotiongroup wana mchango wao wa mipira org kila mwaka mitatu

  • @AggreyHamisi-og2fm
    @AggreyHamisi-og2fm Год назад +20

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 laki moja , mwijaku 🙌🙌🙌

    • @happinesstvm.
      @happinesstvm. Год назад

      3k ya kenya 😂😂😂😂

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Год назад

      Hahahaha,,,

    • @talents7934
      @talents7934 Год назад +2

      ​@@happinesstvm.Ya kenya inafanyaje hapa Tanzania?? Mbona wakenya mnakuwa wajinga sana? Mnalialia Unga hamna kama mateja ila bado mnatufuatilia tu nikimpigia simu waziri awafungie mipaka hapa mtakufa nyie kama kuku😢

    • @jrsaid4270
      @jrsaid4270 Год назад

      ​@@happinesstvm.Sasa we wa Kenya unahusikaje huku ni Tanzania kiherehere inakusumbua

  • @stevenbupamba4161
    @stevenbupamba4161 Год назад +8

    nzuri hii

  • @derickdenis4223
    @derickdenis4223 Год назад

    I love my country

  • @j...876
    @j...876 Год назад +19

    JOTI kazima kweli!!!😮😮

  • @eddyempire9797
    @eddyempire9797 Год назад +14

    Ndo uwezo wangu, nmetoka kwenye ujenzi😂

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Год назад +1

    Hahahhahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahaa waziri mkuu leo umejionea mambo aisee wanachekesha sana hawa watu

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 Год назад +14

    Ngazi za kukwea kwenye matenk

  • @mohamedsalum9465
    @mohamedsalum9465 Год назад +1

    Wizara ikichangia millioni 8 pesa za wizara si ni pesa za wananchi jamaniiiiiii

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 Год назад

    😃😃😃😃😃hapa palikua patam

  • @ibrahjoel7283
    @ibrahjoel7283 Год назад +2

    Masikini joti😅😅😅

  • @geralddeus1434
    @geralddeus1434 Год назад

    Ila hawa jamaa wametoboa kiboya mnooo😂

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Год назад +1

    Daah apo ndy nimejua iyo nyumba ni bosheni akuna kitu laki moja

  • @AggreyHamisi-og2fm
    @AggreyHamisi-og2fm Год назад +28

    Yaaan mtu kajenga nyumba ya 1.3B afu anatoa mchango wa laki 1 😂😂😂🙌

  • @JumanneJumanne-i2j
    @JumanneJumanne-i2j 4 месяца назад

    Mm nitachangia laki Moja ni uwezo wangu

  • @angelmunduli3391
    @angelmunduli3391 Год назад

    Jmn Joti😢😢

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 Год назад +2

    Harafu utasikia wizara hazina hela ila ninyi watu muwe mnakumbuka

  • @priscillahmushi4475
    @priscillahmushi4475 Год назад +2

    Jamani majaliwa awe Rais tuu

  • @JacquelineMahumbe
    @JacquelineMahumbe Год назад

    Barikiwa mkuu

  • @greaterjustin2231
    @greaterjustin2231 Год назад

    Palipo na MWIBA mwijaku na Baba levo wengine hawapenyi cheki joto alivofichwa

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 Год назад

    Waha waheshimike Tz 😂😂😂

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py Год назад

    Baba leo kasalit amri mfalme niwetu sotee😅😅😅

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c Год назад

    ❤ Tanzania

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas Год назад

    Ghorofa la B mchango laki shenzi kabisa huyu😂😂😂

  • @aronbenjamin670
    @aronbenjamin670 Год назад

    😂😂😂😂😂 mwijaku ni balaaa

  • @renamalima5558
    @renamalima5558 Год назад +2

    Wizara wanachukua zile zile za Wizara Na Matumizi ya ofisi ndio wanaahidi. Wengine wanatoa zao mfukoni.mbona kama maigizo. Serikali inatoa Pesa mfuko huu Na kuweka mfuko mwingine. Kile kile ndio Yale yale

    • @talents7934
      @talents7934 Год назад +1

      Wachache sana wenye Akili wataelewa hii sanaa ya Maigizo yani wizara inachangia? Kwani wizara inapataje fedha zake? Au Inafanya biashara? Eti wamechangia si ni Sawa na kutoa fedha mfuko wa mbele kupeleka mfuko wa nyuma? 😢 Elimu inahitajika sana kwetu sisi Watanzania nimecheka huku Nalia Eti wizara imechangia Milioni Nane😢😅😅

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 Год назад +4

    Tanzania mpaka viongozi wao ni Wasanii na wapenda kiki😂😂😂😂

    • @ahz6907
      @ahz6907 Год назад

      Ndio style nchi zetu zinaongozwa 😂

  • @AlexJumanne-ls5gm
    @AlexJumanne-ls5gm Год назад +2

    😅😅😅 Dah mwijaku laki Moja tu wakati unamiliki gorofa

  • @EzekielTv49
    @EzekielTv49 Год назад

    Taifa stars watafungwa mechi zote,,, badala ya kuwekeza kwenye kelele mngewekeza kwenye kutengengeza wachazaji wa maana

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 Год назад

    Yaani hao chawa hata protocol hawajui mmewatos wapi

  • @mohamedially5330
    @mohamedially5330 Год назад

    Huyu jamaa afya ya akili mbovu sasa kila ukisemeshwa we unasema na nyumba ya bilion 1.3

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 Год назад +1

    Hii nchi inapesa nyingi sana mbana wanaichi tuna njaa hatakama ujitume vp

  • @StellaSeif
    @StellaSeif Год назад +2

    Shule ya msingi chamazi Dovya, Mbagara Temeke tumeagizwa mikeka haina viti!!!

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 Год назад +3

    WAZIRI MAJALIWA NAMPENDA SAANA

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 Год назад +1

    waziri kumbe anaangaliaga udaku

  • @tambajordan5595
    @tambajordan5595 Год назад +3

    😢dah

  • @ndezyafrica_1330
    @ndezyafrica_1330 Год назад

    Babalevo daah❤😂😂😂 eti ngazi ya tenki

  • @Moses-caisedo
    @Moses-caisedo Год назад +3

  • @LudovickMushi-y7y
    @LudovickMushi-y7y Год назад

    Mnaacha kuchangia wamama wanakufa hospitali kwa kukosa 150000 kwa ajili ya kujifungua mnafanya ujinga tu hapo

  • @ManotiMabanza
    @ManotiMabanza Год назад

    Jux. Yeye mbona hachangii au kwakua yeye msomi mwenzenu kasomea CHINA

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by Год назад +1

    Jaman joti sio chawa tafathali msiwe mnamualika kwenye shuhuli za upiga debe

  • @barakajoseph2234
    @barakajoseph2234 Год назад

    Mheshimiwa waziri mkuu ningependa kuchangia sh elfu 50 ni ile tu hamkuweka utaratibu wa kuweka namba ya mchango kutoka kwa wananchi wengne ambao hawakuwa live apo

  • @FredyJohn-v7t
    @FredyJohn-v7t Год назад +6

    Joti 😢

    • @jimmylema8830
      @jimmylema8830 Год назад +2

      Joti kazimwa

    • @ummuwawili
      @ummuwawili Год назад +1

      😅😅😅😂 nlikuwa nina stress sana lkn hii coment imenichekesha sana dah et joti😢

    • @FredyJohn-v7t
      @FredyJohn-v7t Год назад

      😂😂joti anajitahid nae aonekane machawa awaelew😂

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re Год назад

    Mwijaku 😅😅😅

  • @masterkey536
    @masterkey536 Год назад

    Sawa

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 Год назад

    Waziri kazi anayo kwa hawa wehu

  • @JumanneJumanne-i2j
    @JumanneJumanne-i2j 4 месяца назад

    Nimetok kweny ujenzi😂

  • @Tarzan_cat
    @Tarzan_cat Год назад

    Joti amechacha😂

  • @samoramussa5336
    @samoramussa5336 Год назад +5

    Bado sijaielewa nchi hii shikeni kitu kimoja hutujui mpira wala michezo uhalibifu wapesa yanini, kwanini msiwekeze jambo moja mkashinda, ikumbukwe shule nyingi sana tanzania tunalia walimu hakuna, nimajengo tu na alama D.E.F.0 ndozinazidi.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Год назад +1

      We jamaaa unaishi dunia ipi ? Leo hii Michezo ni ajira kubwa tena ya uhakika izo shule unazosema ndio hizo watu kutwa wanamaliza vyuo wako mtaani hata kazi hawana na hawana uhakika Michezo ni ajira kama ajira nyingine so usiidharua kila kitu kina umuhimu wake.

    • @samoramussa5336
      @samoramussa5336 Год назад +1

      @@fahadfaraj6474 kwahiyo tulipe ada bila walimu sio, nini namaanisha elim ndio imebaba vyote hivyo michezo haina maana kama vyanzo vyake vimekufa, angalia nikitu gani wanachangisha yani tim zataifa wangesema tunachangisha kwa sababu yakuwekeza vipaji akademi.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Год назад

      @@samoramussa5336 unajina la shujaa wangu wa siku zote nashindwa hata kutoa Maneno makali kinachofanyika ni kuwekeza timu ni nyingi wao hawana uwezo wa kuzimanage ipasavyo ivyo wamehusisha na watu nao wachangie timu zao hapo ni kuwawezesha hao wanamichezo kuna watu kupitia hizo games wataonekana na hata kupata mafanikio ilo ni la sasa bajeti ya elimu iko sufficient kulinganisha na ya Michezo ndo mana kuna mtu yuko radhi mwanae asiende shule ya serikali ila amlipie binafsi lakini kwa hawa wanamichezo wao nafasi yao ikoje kiuhalisia

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv Год назад

      4:23 hakika umishiwa na tafakuri, fikiria upya hii ni nchi sio familia ya watu 20.

  • @charleschao9809
    @charleschao9809 Год назад

    Joti anaonewa 😁

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO Год назад

    Joti kama alitaka kuchangia kitu....!.

  • @bensonwissa5777
    @bensonwissa5777 Год назад

    Mapua kamzima joti😂😂😂

  • @ArikadyMkenda
    @ArikadyMkenda Год назад

    Ila wasanii mpak mpigiw sim siku iz mnapotosha jamii s kam zamn msanii ni kioo cha jamii😅😅

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t Год назад

      Tatizo serikali nayo imezidi michango.

    • @ArikadyMkenda
      @ArikadyMkenda Год назад

      @@FatumaMohamedi-t6t tukiacha michango ni sehem yao wasanii kurudisha fazila kwa jamii maana iyo michango ya serekali inaenda kwa jamiii

  • @yayanews6870
    @yayanews6870 Год назад

    Nice

  • @JustineIshebakaki-ns7fd
    @JustineIshebakaki-ns7fd Год назад

    Wez ao

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Год назад

    Ehh aise ngj ninyamaze

  • @saidmohamed804
    @saidmohamed804 Год назад

    Yan maisha bhan yalivo kuna watu maskin na fukar hawamil hata chumvi na skari yakutmia na wana watot wanalia kwa njaa kali leo hii inafika shm watu wanachangisha hela mabilion il tu watu wakachez mpira innallillah wainnaillah rajuun yan kam mtu haujamfika umaut bc hajui umhm wa kua mzim katk maisha . Watu wapo bsy kuchngsha hel ila dunia izid kuwapambia mapombo y kulahai huku malaikat maut yupo mbion kukusha roho zetu zikahesebiwe .

    • @stanleyngonyani1441
      @stanleyngonyani1441 Год назад

      Sasa unataka kila maskin achangiwe ,ungekua Rais ungeweza acha Ushamba😂😂😂,em tupishe ss na michezo etu

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 Год назад

      Acha kujifanya unajua siasa sana,huo niunafiki

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Год назад

      Hapo kwenye watoto wanaolia njaa, sasa uliwazalia nini kama uwezo wa kuwalisha huna? ,,,,,,, Kwahiyo unawazaa mwenyewe halafu unaidai serikali iwape chakula?

  • @fredyemmanuel4303
    @fredyemmanuel4303 Год назад

    Wanachangia nini mbona Mimi sielewi

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Год назад

    Wijaku leo kwenye mchango analikana gorofa lake eti lile sio ghorofa ni ngazi za kupandia kuweka matank hahahahahahahahhahahahaa ila mwijaku JAMANI

  • @salumuhafidhimtabe
    @salumuhafidhimtabe Год назад +3

    Daaah maskini Joti hawamuoni kabisa

  • @MasanjaMasanja-mz3ll
    @MasanjaMasanja-mz3ll Год назад +1

    Mwijaku umetia aibu ,eti laki moja,

  • @samniza1763
    @samniza1763 Год назад +1

    Machawa wakiwa kazini lol!