BABA LEVO na MWIJAKU wapigana mbele ya DIAMOND/ DIAMOND awaamua WASIVUNJANE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 85

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 2 года назад +3

    From Mozambique 🇲🇿. Mwijaku tayar ndo umikuja WCB

  • @ag-rabbitzenj1379
    @ag-rabbitzenj1379 2 года назад +5

    yani hawa usicheke dahhh😀😀😀big up ..yani hadi raha

  • @geophreymlewa3863
    @geophreymlewa3863 2 года назад +3

    Nyie watu wawili mnaakili nyingi sana Baba Levo na Mwijaku big up sana ma broo haondoki mtu mjini hahahaaaaaa

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 2 года назад +5

    Inapendaza sana Tanzania moja 😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @queeniesamantha3073
    @queeniesamantha3073 2 года назад +4

    Mwijaku na Babalevo munakicekesha sana muendey mashindano kweli kwenye media 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @future4574
    @future4574 2 года назад +3

    upepo wa harmonize na kajala umeboma upepo Paula na mama yake umeboma upepo harmonize kujivika dress umeboma na matukio simba akinguruma porini ujue

  • @alainmuhindo2137
    @alainmuhindo2137 2 года назад +3

    Simba babalao 🔥🔥🔥🔥

  • @tonygee5680
    @tonygee5680 2 года назад +3

    Unbelievable eti kuna management hapa

  • @mrjohn4446
    @mrjohn4446 2 года назад +4

    Diamond inabidi awe makini sanaa na watu anao waleta karibu yake, minaamini kitu kimoja kumsamehe mtu sio shida, Bali snitch ni snitch tu , awe makini sanaaa na watu wake anavyowaleta karibu yake maana sio wote baadhi yao wanampenda na kumkubali kwa moyo mmoja, kati walio mzunguka Kuna madui wengi karibu yake awe makini sanaa

  • @mcnyota
    @mcnyota 2 года назад

    Alafu Rick Media sauti yenu mbaya sana

  • @princessbim6096
    @princessbim6096 2 года назад +4

    Baba levo chawa mpaka anakera

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 Год назад

    Awa wanajua kutafuta pesa awagombani nyinyi munawatukana machawa ndio machawa lakini wanahingiza pesa nyingi Awa wana Fanya siasa eti wana gombana kumbe riski inazidi kuhingia

  • @TRAINERNGANGA
    @TRAINERNGANGA 2 года назад +8

    wakenya tunapenda mwijaku saaana

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 года назад +3

    Mambo ni mooooootooooooo

  • @msafirimfilinge5774
    @msafirimfilinge5774 2 года назад +5

    Baba levo C.O wa machawa.

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 года назад +1

    Mwijaku na baba levo nawakubali Sana

  • @asyakareem2416
    @asyakareem2416 2 года назад

    Kumbe uchawa ni kazi dah

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 2 года назад +13

    Hawa watu wanajua kutafuta hela 🤣

  • @vodacomhalotel8096
    @vodacomhalotel8096 2 года назад +2

    huyu mwijaku anafuata maslahi,ni km bendera ikifuata upepo.🤓😎🙄💀🤯🤬🙄🧐

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 2 года назад +4

    Babalevo yuko juu Yanga Hoyeeeee 💛💚

  • @omarihamadumetishasanalava4725
    @omarihamadumetishasanalava4725 2 года назад +3

    Machawa

  • @kalistotv8795
    @kalistotv8795 2 года назад +3

    Babalevo nomaaa

  • @kassimussimachanoh6971
    @kassimussimachanoh6971 2 года назад

    Ukweli nivizuri kuwana kampuni za kubeti, napo da hiyo kienyeji kwa nini hapo ndio naamini hao ni machawa. Ila ujiko kwa, daa er Salam yanga. Africa na simba. S. Club. Wasafi kwa wate hapo nimependa Big up...

  • @davidmugambi248
    @davidmugambi248 2 года назад +3

    Show biz 1 0 1😂😂

  • @yuzzohcrayze
    @yuzzohcrayze 2 года назад +3

    Hawa machizi 😂😂😂

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 года назад +1

    Hao siyo chawa ni panya rodi mwa mondi

  • @jobodeke7462
    @jobodeke7462 2 года назад

    Apo babalevo alitukosea sana kama mashabiki

  • @pritymoraakirera5066
    @pritymoraakirera5066 2 года назад +6

    Diamond will never go broke

  • @jamalmullerjordan
    @jamalmullerjordan 2 года назад

    Hii wasafi bet n odi bet ya kenya hii wasafi bet n ya mkenya diamond n kama picha tu sio yake

    • @AishaAsumany
      @AishaAsumany Год назад

      Kira kitu cha tz nichenu watching shobo mbuzi ww

  • @axelnshimirimana5147
    @axelnshimirimana5147 2 года назад

    H baba aje kuiga mfano wa mana ya kua chawa

  • @eriqueettours6011
    @eriqueettours6011 2 года назад

    Diamondi huyu manyele mob uneacha tu hivyoo ikiendaaa?

  • @swalhashuaibu
    @swalhashuaibu 2 года назад

    Umaskini mbaya jamani laaaaaa 😅

    • @ebengapierre8826
      @ebengapierre8826 Год назад

      Sio umaskini ni kazi Awa jama wanahingiza pesa nyingi

  • @mixstarboy992
    @mixstarboy992 2 года назад

    Amatembeya nawehu😅😅😅😅

  • @SamirBSam
    @SamirBSam 2 года назад +2

    Acheni upuuzi

  • @abdulally3911
    @abdulally3911 2 года назад +1

    Mwijaku aeleweki akirudi dar atabadilika

    • @jackierama1817
      @jackierama1817 2 года назад

      Ndo ilivyo subir kesho na kesho kutwa atakavyomponda domo😅😅😅

    • @vodacomhalotel8096
      @vodacomhalotel8096 2 года назад

      😀😄🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

    • @vodacomhalotel8096
      @vodacomhalotel8096 2 года назад

      huyu anafuata upepo,km bendera yalipo maslahi yupo

  • @stephanokimbei
    @stephanokimbei 2 года назад +1

    But 😂😂😂🤣🤣🤣😂😂mnatuchanganya hatar levo ni yanga afu ni chawa wa mond mond mwenyew Simba afu jaku ni Simba afu ni chawa wa hamo duuhhhh😂😂😂😂😂🤣

  • @kingsleykenya3445
    @kingsleykenya3445 2 года назад

    Mwijaku na baba levo acheni matani yenu

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 2 года назад +1

    Hivi vichwa hapana wanachekesha kwakweri

  • @faridhassan8906
    @faridhassan8906 2 года назад +1

    Wasenge

  • @lucylucy3678
    @lucylucy3678 2 года назад

    Mwijaku,baba levo hizo tumbo au nini maan mm naona matumbo tu na nyuma kumejaa kama nini khaaa.

  • @fatemazanzibar877
    @fatemazanzibar877 2 года назад +1

    Kwakwel jamani

  • @mkariwanyota4398
    @mkariwanyota4398 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Hawa-ed2hg
    @Hawa-ed2hg 2 года назад

    Wasafi mnajua kumvuta mtu

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 2 года назад

    Yan hawa watu

  • @janeshigami8769
    @janeshigami8769 2 года назад

    Tafadhali Diamond asimpe Mwijaku pesa yeyote......

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu 2 года назад

      Nenda ww.uwa mtu ashalipwa ndo ankuja kufanta vtu adharani

    • @janeshigami8769
      @janeshigami8769 2 года назад +1

      @@mdalamgir-gu9hu Nieleweshe tu bila matusi jameni....

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu 2 года назад

      @@janeshigami8769 pole bt hop cjatukana ama sure of it..

    • @janeshigami8769
      @janeshigami8769 2 года назад

      @@mdalamgir-gu9hu Sawa dada

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 года назад

    Hawa jamaa wanajua kutafuta hela

  • @amzish26576
    @amzish26576 2 года назад

    Hahahahahahaa

  • @Hawa-ed2hg
    @Hawa-ed2hg 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣

  • @sadamramadhan9887
    @sadamramadhan9887 2 года назад

    Hahaha

  • @navanjkiba2439
    @navanjkiba2439 2 года назад

    Hahahahaaaa

  • @prosperitymaarifa1336
    @prosperitymaarifa1336 2 года назад

    Nami nataka nibeti nafanyaje

  • @evelynensanga3330
    @evelynensanga3330 2 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HyasinthaSadiki
    @HyasinthaSadiki 28 дней назад

    😂😂

  • @aliabdullah8819
    @aliabdullah8819 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣