Nyie acheni kumuhukumu binadamu mwezenu nyie wenyewe niwachafu nikwavile tu mungu kaficha uchafu wenu mm sitaki kusema kuwa nikweli au niuwongo ila anaye jua ni yeye mwenyewe
Wandish wa habari wanafanya interview na chawa ..au hawajui maan ya chawa kama anauzibitisho mwambie awape na sio kutuletea maneno aliyoyasikia atakufa vibaya na uchawa wake
Usimnyooshee mwenzie kidole kumbuka kuna vingine vinakuangalia acheni unafki
East african Mwijaku anatudhalilisha
Cuz Ulaya tupo muda mrefu sana
Mwijaku Acha Uongo we baba muogope Mungu uwo utimu unaoleta wewe eti umenunua Kiwanja umeulizwa na Nani ilo swali ukue we baba
Jamani hii duuh
By the way uyu muamba anaongea point sanaa swiz beat ni nan kama Piddy ashakula mpka Usher,Justin Bieber mond ni nan
Bonsoir
Achaa ukumaaa we fala
Mimi ndie Nilienda malekani mnanikatilia😂😂😅
Vp
Yes kk
Mbona alikiba Nayeye alikuwa na arkelly nayeye alitafunwa
wanaongea kuhusu p diddy wala sio R.kelly
Mwamba hebu nione faili lako la shule kwanz😂😂
Wandishi wa habari mchonganishe habari za baba levo zinamhusu nini alafu mwijaku anamwogopa baba levo
WACHAA UONGO MWIMJAKU AKUNA NYUMBA YA DOLA 16.000 MUONGO MKUBWA😂
Nyie acheni kumuhukumu binadamu mwezenu nyie wenyewe niwachafu nikwavile tu mungu kaficha uchafu wenu mm sitaki kusema kuwa nikweli au niuwongo ila anaye jua ni yeye mwenyewe
😂😂😂😂
Cumejitahidi Mwijaku kuongea ila hujaongea jipya pia hujaonge msingi wowote katika ushuhuda
Msipende kueneza uchafu jamani mnafundisha nini jamii?mnauhakika lkn ?hata iweje mnaeneza machafu?
Mwijaku utafika mbinguni umechoka sana nakwambia
Interview yenu mbona unatoka kwenye madam ya mwanzo kabisa ??
Wandishi wa habari mungu anawaona na huyo mwijaku hajui lolote ila nyie ndio wachonganishi mtu huwezi enda kwake alafu usipone
Acha mambo ya kikuma kama ww unamtaka P DID SEMA
1003 Una Walks
Wew umesha kazwa
Mbwa huyo aende huko
Mbona wa tanzanie kama muko aye. Kina fally. Mbona alingiya mû nyumba ya p didi me atupanike
Acha uongo
Wandish wa habari wanafanya interview na chawa ..au hawajui maan ya chawa kama anauzibitisho mwambie awape na sio kutuletea maneno aliyoyasikia atakufa vibaya na uchawa wake
Nyie wenyewe ni wachafu wakutupwa vile vile mnaona yawenzenu tu
Pi diddy
Mutowe uo falaa😂😂😂😂😂
English where are you I'm stuck in the comment section
Mwijaku 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 ,
😅.😂😂😅😂😂
MUITO MATRECO ECE SENHOR FALA MAL COM OUTRO SENPRE
Usifuate mambo ya kuambiwa mmbeya mkubwa wewe mwacheni mtoto wa watu.
😂😂😂
awa wabongo wajinga sanaa sas hii ni interview gan iyo ya kifala
umelazimishwa ukoment??
Hate mwijaku at ur own risk
😄😄😄😄mafuta ya pididy
😂
mwijaku mbinguni utapasikia acha kuchafua watu, ebu simama kwenye nafasi Yako ya uchawa huko kuchafua watu unavuka mipaka
Ni kweli kabisa
Wewe kichwa kibovu punguza maneno wewe ni mnafki
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅