Maoni mazuri sana Baba Askofu Bagonza! Kama nia njema kweli ya kusahihisha nchi iende vizuri zaidi na kuchangia kuleta HAKI, DEMOKRASIA kwa kiwango cha juu zaidi na kuwa na taasisi zilizo HURU na NGUVU zaidi yote uliyo pendekeza yachukuliwe na yafanyiwe kazi. Nakuunga mkono!
Asante sana Askofu Bagonza kwa maoni na ushauri wako wa “ki-Mungu”. Nakubaliana na Wewe kwa “asili-mia kwa mia”. Mungu azidi kukupa HEKIMA, BUSARA, NA MAISHA YA MILELE.
Wewe mtumishi wa Mungu Bagonza unajitambua watu Kama nyinyi mlipaswa kuiongoza nchi ,angalia viongozi wenzio Kama wanaongea chochote wamenyamaza kimya utafikili hawapo inaudhi sana
Hongera bagonza kiukweli Kama awamu ya tano Nchi yetu iliingia kwenye ujima chaguzi ndogo zilikuwa nyingi na Tena anaye unga juhudi huyo huyo anarudi kugombea nafasi ile ile Kodi zinatumika vibaya kwenye uchaguzi unao mleta Yule Yule. Kiukweli niliudhiwa Sana na mfumo wa hovyo kabisa isiwe hivyo ilivyokuwa.
Kura ya kila raia iwe na uzito wa uwakilishi sawa.Katika majimbo,wawakilishi wawakilishe idadi sawa ya raia.Kuna wawakilishi wa majimbo yenye idadi ya raia tofauti sana katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jamani maisha ni tozotozo kama Samia anamwogopa mungu aondoe tozo tiba ni kubwa hospital,sukari juu mama kimya wamasai mapori yamenyakuliwa Loli na ngorongoro, kwenda msomera je ni haki kwa sasa kunyimwa Kila kitu,tiba jamani,shule,
Mimi Nina pendekeza selikali Ili wafikie watu wakutoka maoni watufate, kayak Hadi Kara Ili kuwafikia wadaunzaidi kama ilivo kua kwenye lasimu ya walioba sio tutengeme wachache tu wenye fedha, ndio waende dodo wakati wao ni wajibu wao kutufuta huku tulipo wananchi
Chombo bila watu ni chombo gani hicho na pasipokuwepo na mtu mwenye mamlaka basi itakuwa ni maajabu labda watuambie ni nchi gani hapa duniani haina msemaji wa mwisho haya maoni ya kuwa kila mtu awecna sauti hii ni hatari sana haijawahi kutokea labda tanzania ndo itakuwa ya kwanza
Vyama ni lazima mnataka kuleta vichaka vya watu na vurugu kisa kutokuwa na chama ni nchi gani hapa duniani mgombea hana chama acheni fikira za alinacha
Omari Kapula pole sana, kwa kuchangia usilo lijuwa!!! NCHI nyingi duniani zenye demokrasia ya kweli zina WAMGOMBEA binafsi. Uliza kwanza kabla ya kudandia HOJA. NAKUJULISHA KUWA UDINI NI DHAMBI MBAYA INAWATAFUNA WENGI BILA KUJUWA!!!

Shukrani sana
Akili kubwa jamani. Natamani watu kama hawa ndo wangetuongoza. Tunaongozwa na akili ndogo😭😭😭
Hayo ni maoni yako huwezi kusema serikali haina akili kisa askofu kasema
Maoni yako Mazuri sana watu kama hawa ndo wanapaswa kuliongoza taifa mdau wanaotuongoza hawajali wananchi wanajali matumbo yao tu uko sahihi kbs
Asante askofu mungu yuko pamoja na nyinyi kwa mchango wenu
Watumishi wa mungu ni sehemu ya ukombozi wa wananchi balikiwa watumishi,😊
Amen 🙏
Interview nzr, na elimu safi kabisa. Tumejifunza na tunaiomba serikali itusikilize na sisi wananchi na watu kama Askf. Bagonza
Ahsante Sana. Tunaamini serikali imesikia maoni haya.
Safi sana Baba Askofu, Bagonza
🙏
Mh.Baba Askofu ubarikiwe mno, nimekuelewa! Taifa lina hazina ya watu!
Asante sana Asikofu Bagonz Mungu awabariki sana
Kweli baba tunajinamizi kubwa sana liondolewe pongezi sana baba.@Asikofu Mungu akubariki sana baba
Mizengwe ni mingi baba ahsante kuisemea,tufikiri na kukubali ambaye anasifa mtu binafsi.
Shukrani kwa maoni
Asante sana Askofu Bagonza kwa maoni na ushauri wako wa “ki-Mungu”. Nakubaliana na Wewe kwa “asili-mia kwa mia”. Mungu azidi kukupa HEKIMA, BUSARA, NA MAISHA YA MILELE.
Amen 🙏
Kashekwa asante kwa interview hii. You are good. Asante Baba Askofu, binafsi umenielimisha na nimekuelewa
Ahsante kwa kufuatilia mjadala huu.
Hapo baba Askofu,lazima katiba mama iguswe.
Shikamoo baba Askofu,nimeipenda hii.
Ccm,niwaoga wa,katiba na,tumehuru ya,uchaguzi,wanajua kuwa tumewachoka.
Askofu nakupa maua yako asante sana kwa elimu nzuri
Ahsante kushukuru
Asante Sana Kwa maoni mazuri ya kujenga
Ahsante kushukuru
Ogera sana askofu bangonza kwa elimu hii.
Hongera sana baba askofu kwa ushauri mzuri
Mchango huu ni mzuri kwa kuanzia.
Hongela askofu point nzuli
Ahsante
Kwa maoni uangu tena hata wakuu wa mikoa na wilaya wachaguliwe na wananchi wao
Ahsante kwa maoni.
Wewe mtumishi wa Mungu Bagonza unajitambua watu Kama nyinyi mlipaswa kuiongoza nchi ,angalia viongozi wenzio Kama wanaongea chochote wamenyamaza kimya utafikili hawapo inaudhi sana
HESHIMA YAKO BABA ASKOFU MIMI NI MFUASI WENU WEWE MWAMAKULA NA NA YULE ALIETOROKA ASKARI KULE KARATUY
🙏
Hongera bagonza kiukweli Kama awamu ya tano Nchi yetu iliingia kwenye ujima chaguzi ndogo zilikuwa nyingi na Tena anaye unga juhudi huyo huyo anarudi kugombea nafasi ile ile Kodi zinatumika vibaya kwenye uchaguzi unao mleta Yule Yule. Kiukweli niliudhiwa Sana na mfumo wa hovyo kabisa isiwe hivyo ilivyokuwa.
Pole
Kiukweli ni wakati wa CCM sasa ifuate Democracy ama iachie wagombea binafsi
Maua yako Baba askofu!
Jaman we mdada uwa uko vzr,
Yaani unafaa kabisa kuwa mwana habari
Ahsante 🙏
Baba Bagonza sijui wamekuelewa?maana umeeleza vivuri kuhusu mapingamizi.Mgombea binafsi ni wakati wake.
Bila shaka mwenye kuelewa ameelewa.
Asate, Baba askofu umetuwakilisha viruzu uwe na afya njema
Sheria hiz ni za hovyo, hazileti badiliko lolote la maana
Kura ya kila raia iwe na uzito wa uwakilishi sawa.Katika majimbo,wawakilishi wawakilishe idadi sawa ya raia.Kuna wawakilishi wa majimbo yenye idadi ya raia tofauti sana katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ahsante kwa maoni 🙏
Jamani maisha ni tozotozo kama Samia anamwogopa mungu aondoe tozo tiba ni kubwa hospital,sukari juu mama kimya wamasai mapori yamenyakuliwa Loli na ngorongoro, kwenda msomera je ni haki kwa sasa kunyimwa Kila kitu,tiba jamani,shule,
Ubarikiwe baba
Mimi Nina pendekeza selikali Ili wafikie watu wakutoka maoni watufate, kayak Hadi Kara Ili kuwafikia wadaunzaidi kama ilivo kua kwenye lasimu ya walioba sio tutengeme wachache tu wenye fedha, ndio waende dodo wakati wao ni wajibu wao kutufuta huku tulipo wananchi
Ahsante kwa maoni.
Tulipita kweny zama za kiza haijawahi tokea. Yani mtu anahama chama huku alikuwa mbunge arafu kule anaenda tena kuwa mbunge😢😢😮😮
Poleni
Hii ndio hekima
Awa viongozi wanzania ya kuona tz ya miaka 100 mbele sio matapeli wa uchaguzi iyo ni woga kwani viongozi wameiba sana wanaogopa kifatacho ndio ukweri
Chombo bila watu ni chombo gani hicho na pasipokuwepo na mtu mwenye mamlaka basi itakuwa ni maajabu labda watuambie ni nchi gani hapa duniani haina msemaji wa mwisho haya maoni ya kuwa kila mtu awecna sauti hii ni hatari sana haijawahi kutokea labda tanzania ndo itakuwa ya kwanza
Baba Bagonza nakufuatilia
Watatoka wapi hao watu labda malaika kwa sababu wengi wa wananchi wana vyama vyao
Hao watu huru ni watu wa aina gani labda awataje ni kina nani na watatoka wapi
Bagonza akili kubwa sana.
🙏
nakupongoza san ba askofu kwa maon yko ni mema sAn
Ahsante
Watumishi watatishiwa kufukuzwa kazi nyie ccm ni usiku wa giza
Tunahitaji TUME HURU YA UCHAGUZI, sio tume inayoitwa Tume Huru ya uchaguzi wala Tume ya Taifa ya uchaguzi
Kabisa
Matangazo ya Yana haribu kabisa kipindi kizuri ni Bora yatafutiwe ukurasa wake
Pole sana kwa usumbufu.
Vyama ni lazima mnataka kuleta vichaka vya watu na vurugu kisa kutokuwa na chama ni nchi gani hapa duniani mgombea hana chama acheni fikira za alinacha
Omari Kapula pole sana, kwa kuchangia usilo lijuwa!!! NCHI nyingi duniani zenye demokrasia ya kweli zina WAMGOMBEA binafsi. Uliza kwanza kabla ya kudandia HOJA. NAKUJULISHA KUWA UDINI NI DHAMBI MBAYA INAWATAFUNA WENGI BILA KUJUWA!!!
Upo dunia ya ngapi mpendwa? Hata Zimbabwe tu hapo jirani kuna mgombea huru.