Nazmin Hassan Ahsante sana, achari ya ndimu itabidi mungojee kwani sasa ni siku za baridi hata jus sio Kali, nilitamani kutengeneza siku za summer lakini kulikua Na mvua nyingi nikashindwa
Shukran Sana dadangu kipenzi yani huu ndio mchuzi haswa mm hupenda kuita mchuzi asili.Allah akupe umri thuili na Afya njema uzidi kutuelimisha tusivyo vijua.
Asalamu aleykum warahmatulahi wabarakat mashaaAllah mashaaAllah mchuziiii unavutiya sana na mimi leo ntapika InshaaAllah shukrannnn habibty Allah atikil afya amiin
Sijafanya video bado lakini ni sawa na viungo vya pilau ila napunguza mdalasini na cumin hua sifanyi nyingi sana , video ya viungo vya pilau ipo hapa kukupa idea ruclips.net/video/K9QmWjPyhYo/видео.html
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLEASE FOLLOW THIS LINK ruclips.net/video/QOKMXucJ_6s/видео.html
Asante nmepata kitu,..Plz naomba jinsi ya kupika dagaa la mwanza
Mimi nipo Marekani nikijaaliwa kupata dagaa wa mwanza nitaleta
Nilitaka nishangae huweki nyanya ya kawaida kumbe ipo
Hata mim napendaga kukaanga mbatata na supu kutia mwisho
Ukishaanza iva napenda unakuwa mzito na unapendeza
uko vizuri sana dada asante kwa mapishi tunajifunza mengi sana kutoka kwako
Mashaa Allah thabaraka Allah
Mwanamke kupika bwana. Aah kwa raha zangu, shuti mume hatokiii. I love this. Asante Mrembo . Nimepika, jamani mmmmh asante.
Mambo si hayo, nashkuru umependa ahsante kwa kunijulisha
Mashallah
siri ya mwanamke mkakamavu
siri ya mwanamke mkakamavu hongera naamini na mimi nitajua
siri ya mwawww.tenor.co/uopb.gif www.tenor.co/uopb.gif 👿👿👿👿👿👿👿👿👿👿👿👿👿👿
Shukran daa kwa mafundisho muafaka ya upishi,Uendelee kutufunza wengine wetu hatujielewi.Hongera
Mabaro baro wa ulaya huyu dada anatùokoa sana jmnii...mungu azidi kumueka
I discovered this channel yesterday na nimejifunza mengi already shukran dada
Karibu sana
Wow 😋 unanitamanisha mpenzi Wali nazi mboga ya kisamvu na mchuzi wa nyama dah chakula cha nyumbani hicho nimekimiss shukran habibty Kwa mapishi zaidi
Shukran dear, sometimes tunakua busy kutafuta mapishi mapya na haya ya zamani mazuri sana very simple
One one my favourite channel.
Hujatuorodheshea city dada, Asante sna kwa mapiahi nazury
mashaallah nafatilia sana mapishi yako naomba unifanyie achar ya ndimu
Nazmin Hassan Ahsante sana, achari ya ndimu itabidi mungojee kwani sasa ni siku za baridi hata jus sio Kali, nilitamani kutengeneza siku za summer lakini kulikua Na mvua nyingi nikashindwa
Hapo ni Mimi na sima Kisha nitulie na mnazi ndogondogo thanks alot
Shukran Sana dadangu kipenzi yani huu ndio mchuzi haswa mm hupenda kuita mchuzi asili.Allah akupe umri thuili na Afya njema uzidi kutuelimisha tusivyo vijua.
Shukran , ahsante kwa dua njema. Mara nyingi tunashughulika kutafuta vyakula vipya kila siku tunasahau vyakula vya asili kabisa
Aamin Aamin thumma Aamin la ShaaAllah
Ingredients plz
Upo vizuri Sana asantee
God bless u napenda Sana mapishi yako na najifunza vitu vipya
Thank you dear
Welkam 😍
mashaallah dada napenda sana mapishi yako allah akuzidishie
Shukran, Amin
hongera sana ndugu inshallah mungu akupe maisha marefu uzid kutufundisha
Ahsante
I’m addicted to this channel lol literally determines my lunch or dinner lol
Thats funny but thank you!
Me too haha
Ma sha Allah. ...shukran sanaa
mashaallah mchuzi wako nimzuri hapo hatujala tukila jee mungu akulinde
Shukran , ahsante wa dua njema Amin kwetu sote
hongera mama mapish mazur i learn alot
MaashaaAllaah...
its look ssssoo😋😋😋😋😋.
shukran sana kwa mapishi mazuri
Dada fathiya mashaa Allaah
Mashaallah napenda sana mapishi yako
Alhamdulilah, shukran
Thanks dear thus why I love you,familia sasa inaenjoy kupitia Aroma of zanzibar
Mambo mazuri hayo , nimefurahi sana
Asalamu aleykum warahmatulahi wabarakat mashaaAllah mashaaAllah mchuziiii unavutiya sana na mimi leo ntapika InshaaAllah shukrannnn habibty Allah atikil afya amiin
Inshallah, enjoy mchuzi wako
Aroma of Zanzibar aalkm namba urudie vilosa
hudaa hudaa islam Inshallah nikijaaliwa kupika tena
Aroma of Zanzibar insha allah
Mash Allah Baraka Allah kheir 👍
Amin
Maa shaa ALLAH
Nimepika according to recipes.. maa shaa allah.. ni mtam sanaaa
Hongera Ahsante sana kwa support 😘
@@aromaofzanzibar ahsante pia. Na karibu lunch. Na wali wa nazi..
asante kwa somo zuri
waouh i am glad this women is doing this on youtube we have really good food a=shoukran salima
aahh 😋😋😋😋😋😘yani huu mchuxi harufu tu inaleta watu 😍
Yap, hapo kweli kabisa
Sauti nyororo sana,naipenda
asante dada napenda sana somo lako.tutumie viungo sasa.tubione
Viungo vyote niandika description box chini ya tarehe
Asante sana nilipika mchuzi wa ngombe leo ...nimeipenda sana ❤️
Alhamdulilah, thank you for your feedback
Mchuzi waonekana mtamu sana huo ! I love the color!
Thank you!
Tnx very much sis.Ur videos r really helpful😁😀😀😊
asant dada angu mungu akujalie Inshaalla ngoja niupike sasaivi
Wao shukran jazzakallahu lkheri
Upo vzr dad asanteee
Uko juuu maashallah
Shukran
👏👏👏Alhamdulillah nimepika leo uwiiii watoto wangu wangu amesema mtam sana mom umeweka nn hum ndan 😆
Mashallah
safi sana.....!
Masha Allah 😊😊😊😊soooo beutiful"""""ubarikewe aunt daima
your the best....MashaAllah tunajifunza Allah akujaalie kheri
ma shaa Allah
Umenikumbusha Tz.uwiiii MashaAllah Mungu akuweke.tupe aina ya mchanganyko wa viungo pls
Sijafanya video bado lakini ni sawa na viungo vya pilau ila napunguza mdalasini na cumin hua sifanyi nyingi sana , video ya viungo vya pilau ipo hapa kukupa idea ruclips.net/video/K9QmWjPyhYo/видео.html
She's so beautiful.
My favorite dish so far.. I loved it.. now bado maharage ya nazi
Salam alekum mashaallah
Aleikum musalaam
we ni mnoma sanaaaa love u sanaaaaa
I love you too!
Aroma mm napenda sauti yako wallah MashaAllah
Wooow masha allah
nimepika vyakula vyako kathaa na nitamu sana.shukran.jaribu mapishi kidogo ya keto
Shukran. Sm not into keto. I eat everything moderately
Ahsant sana nifundishe jinsi ya kutengenez bizar ya mchuzi
Nineandilka hapo chini viungo na vipimo vyote
MashaAllah
Mwanamke mapishi hizo nyingine mbwembwe mumy 💕💕💕💕
Mbwembwe kwa sababu ni Fathiya
I'm a 13 yr old and this recipie made everything so simple and easy to understand. Ansante sana wewe ni mpishi wakimataifa
Shukran, na hongera sana kwa jitihada zako
mashallah mumy uko vizur hadi raha
Shukran, alhamdulilah
bas maa ukijaliwa inshaallah
NAAM nimekupata vzr
ooh my dear.paka kesho nitapika ayo mapishi.
Rachelle Bahati, omg you funny😂
Mmh nimemeza mate wallah na hii ramadhani 🤔😋honger mama
Napenda kujua meng zaid kbsa
Thank for good recipes nime penda sana
This is yummy Asante ma😍😋😋
Assalam alekum tamutamu sana mwaaaahmy dear mum
Aleikum musalaam
Samahan naomba kujua.ukitaka kupika pilpili za kuuza unaweka nn?ili isiharibike
Very nice👌👌
mashallah
Nmependa sana hii
Mashallah
asante sana
Uwii hii chakula imenitamanisha sana, inabid nikanunue nyama nitengeneze na mimi.
Ngojea na wali basi!!
Aroma of Zanzibar asante my unavutiaaaaaaa
Nakupenda!!!
Ngai
Yeah nimazuri pia saana tu
MashaAllah 😍😛😙😙😙😙😙😙
mashaallah mchunzi mzuri hongera mumy.
tunasubir viungo tuvione plz
Viungo nimeandika kwenye description box chini ya tarehe dada
Like it yummy
ahsante Sana kwa kutuelimisha
Karibu, ni wajib
Awesome
Mapishi mubasharaa
Asante dada kwa somo lako
Nice nakupenda
Dikokodiko,...... kula kwa macho
I like it
vyema kabisa
Uko vizuri dada
Sweet
thats the real swahili mchuzi right there, with a bit of rice and pili pili on the side including banana, embwana we lol
Absolutely!!!
Aroma of Zanzibar naomba unifundishe kupika wali wa hadesi
KM Vlogs
d
Aroma of Zanzibar vizuri
asantee daa
This is a very simple method I must try it help me God
That's funny hopefully God will hear your cry
Salama, ahsante sana mdogo wangu kwa mafunzo mazuri ila nakuomba sana unijibu ni viungo gani ulivyotumia. Shukran
Mimi najibu maswali yote hapa kwa kila aneuliza. Viungo vyote nimeandika hapo chini ya tarehe kwenye description box
Nice food
Thanks u Mamy wngu 💋💋
U give me nice idea to day I'll try to cook thxns u madam I luv it a lot
Dada nimeipenda sana
Mashaallah ukhuty ila naomba jins ya kupika rost kavu la nyama
Inshallah nikijaaliwa kupika nitaleta
Mapishi yako nayapendaga sana
Ahsante sana
I like that
Nmependa..ntajarbu n mie
asante saaana