Bony Mwaitege - TAFUTA AMANI (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 май 2024
  • Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    MUNGU AKUBARIKI SANA.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 77

  • @luciakavuthi3045
    @luciakavuthi3045 21 день назад +1

    wakti mwingine huwa nacheza mke mwema, ndiyo bwana siku yote. nitaongeza huu wimbo kwa list sasa! barikiwa sana mtumishi

  • @deborahemmanuel8797
    @deborahemmanuel8797 27 дней назад +1

    Kununa sio dawa Kama kuna shida sema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏barikiwa Sana Baba tunapona,,,,

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 25 дней назад +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wimbo nzuri sana keep up 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lodricktitto9386
    @lodricktitto9386 25 дней назад +1

    Sijawah kukuchoka unaubariki moyo wangu na wa Mungu pia, neema kubwa na ikubebe.

  • @Janeonyango-gl8dh
    @Janeonyango-gl8dh 23 дня назад +1

    Asante sana kwa wimbo nzuri,,,mungu azidi kukulinda mtumishiwa mungu..kuwa na amani hii duniani kitu ya maana

  • @modestkonga9318
    @modestkonga9318 28 дней назад +5

    Siku zote tunajivunia hekima ambayo Mungu amewekeza ndani yako,na unachokiimba ndicho unachokiishi,Mungu akutunze kwa kutuonyesha njia ya utumishi mwema kwenye kizazi hiki kinachohitaji mafundisho mengi,na hekima nyingi,but wewe umeweza kukileta kizazi hiki kwa Yesu,kwa nyimbo na shuhuda zipo,hakika wewe ni fahali kuu katika ufalme wa Mungu❤❤❤❤

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 26 дней назад +1

    Neema ya bwana yesu ikubebe all your songs are on the high level

  • @james008BOND7
    @james008BOND7 28 дней назад +8

    Neema ikubebe na ivunje Sheria mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏 umbali huu YESU ni Ebenezer 🙏🙏 Mombasa Kenya tunabarikiwa Sana na nyimbo zako🙏🙏🙏barikiwa sana papa🙏

    • @bonikyalii5747
      @bonikyalii5747 28 дней назад +3

      Ata Mimi nipo Mombasa,,nabarikiwa na nyimbo zake sana🙏🙏

    • @BakariCharan
      @BakariCharan 28 дней назад

      Ata mimi Niko mombasa Ngoma imeweza kabisa​@@bonikyalii5747

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  27 дней назад +2

      Asante sana ndugu yangu

    • @james008BOND7
      @james008BOND7 27 дней назад +1

      Neema ikubebe na ivunje Sheria mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏 utafika mbali kwa uwezo wake mwenyezi MUNGU 🙏​@@BonyMwaitegeOfficial

  • @mropeamadeus54
    @mropeamadeus54 28 дней назад +5

    Nimependa sana MUNGU wetu wa BWANA yesu kristo akutuze🙏

    • @user-ku9ts1iw9d
      @user-ku9ts1iw9d 21 день назад

      ubarikiwe mpendwa nipe namba yako nikupe sadaka upeleke injili mbele

  • @user-gg8yn7yd6z
    @user-gg8yn7yd6z 27 дней назад +3

    Mungu akubaliki mtumishi Wa mungu bonny mwaitege 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ChristinaKawinda-pe3tk
    @ChristinaKawinda-pe3tk 24 дня назад

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu najisikia amani kusukiliza nyimbo zako

  • @ezrakayagambe5926
    @ezrakayagambe5926 27 дней назад +1

    Asaante Mungu kwa kutuponya🙏🙏🙏

  • @juliusmhelo
    @juliusmhelo 19 дней назад

    Kiukweli mtumishi hongera sana kwa wimbo wenye maneno yenye hekima kubwa. Mungu akuinuwe zaidi

  • @ChristinaKawinda-pe3tk
    @ChristinaKawinda-pe3tk 24 дня назад

    Kweli kuishi na watu si raisi bali Mungu aingilie kati maishani mwetu
    Mtumishi Mungu akulinde sana ili uendelee kumtukuza Mungu

  • @juliusmhelo
    @juliusmhelo 19 дней назад

    Hongera sana kwa wimbo wako wenye maneno ya hekima sana, Mungu akuinuwe zaidi

  • @FollowGospelSingers
    @FollowGospelSingers 28 дней назад +3

    Barikiwa kaka yangu pokea 🎉🎉🎉 yako kazi nzuri sana kaka yangu

  • @user-io2rj2yp5d
    @user-io2rj2yp5d 28 дней назад +3

    Hit after hit Mtumishi Bony Mwaitege

  • @eliamanirakiza5127
    @eliamanirakiza5127 27 дней назад

    Amani kitu muhimu sana,ubarikiwe mtumishi kwa ujumbe huu mzuri

  • @JudicaelleGatali
    @JudicaelleGatali 25 дней назад

    Aaaah ya bony que Dieu vous bénisse abondamment mon frère je vous aime très fort ,❤❤❤👀👀 bon travail Que la grâce du seigneur soit avec vous ❤❤car les paroles qui sortent de ta bouche ma changé 🎉🎉 oui tu es l'homme de Dieu. que ta famille y compris et toi vous êtes béni amen que le talent là sort encore et encore si j'étais aussi à Tanzanie j'allais prié à ton eglise , Que Dieu te donne encore et encore la force de le louer et de le servir c'est beau de voir l'homme de Dieu on menaient les âmes perdues au seigneur ❤❤👍👍👍🙏🙏🙏🎉🎉🎉bon travail

  • @juliusjamanda7313
    @juliusjamanda7313 25 дней назад

    Wimbo mzuri ... Christina Shusho skiza huu wimbo

  • @ENOCKSAM1015
    @ENOCKSAM1015 28 дней назад +1

    Safi baba ❤❤❤❤good work 👏

  • @jumajoseph-uw6lr
    @jumajoseph-uw6lr 23 дня назад

    Mungu wa mbinguni azid kukutumia mtumishi wa Mungu

  • @ClaudMwakalasya-pz1mw
    @ClaudMwakalasya-pz1mw 14 дней назад

    Shemu langu nakukubali ujawahi kukosea nakupenda bule

  • @bishoppetermugendi5546
    @bishoppetermugendi5546 27 дней назад +3

    WIMBO MZURI SANA MUNGU AKUBARIKI NDUNGU YANGU

  • @user-sh3en3xj6x
    @user-sh3en3xj6x 27 дней назад +1

    Be blessed papa😊

  • @nkungujackson7092
    @nkungujackson7092 18 дней назад

    Barikiwa sana bony mwaitege

  • @bloodofjesus7542
    @bloodofjesus7542 27 дней назад +1

    Tuletee wimbo boomplay

    • @user-io2rj2yp5d
      @user-io2rj2yp5d 27 дней назад

      Natamani hata mm pia auweke nimeutafuta boom play huu na mwalimu nikaukosa

  • @mathsngasadm3093
    @mathsngasadm3093 28 дней назад

    Fantastic and interesting work 🎉
    Hongera sana kaka yangu

  • @aaronmailuofficial251
    @aaronmailuofficial251 28 дней назад +1

    Wow...kazi njema hii ,baraka tele 🎉🎉🎉🎉

  • @oswardfenias9270
    @oswardfenias9270 26 дней назад

    Very well song, barikiwa kaka

  • @NicholasNnko
    @NicholasNnko 25 дней назад

    Mungu azidi kubariki baba

  • @HappyMsuya-og7ok
    @HappyMsuya-og7ok 28 дней назад +2

    Ameni mtumishi

  • @SuperSub-de2dz
    @SuperSub-de2dz 28 дней назад +1

    Baba yangu nyimbo hii imenigusa sanaaa

  • @user-pf2mz3bn9k
    @user-pf2mz3bn9k 28 дней назад +1

    Nice song 🇰🇪🇰🇪

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 28 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉 barikiwa mwana wa Mungu

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 28 дней назад +2

    Amen Amen Amen 🙏❤

  • @DonaldDubois-xr1pi
    @DonaldDubois-xr1pi 28 дней назад +1

    Barikiwa sana Wimbo wa baraka

  • @eliajames1387
    @eliajames1387 28 дней назад +1

    Ubarikiwe Sana mtumishi

  • @justinegabrielofficial3210
    @justinegabrielofficial3210 26 дней назад +1

    Amen amen tumepokea ujumbe mzuri wa kutuongoza kufikia hatima nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @frboncoeurmwanza1670
    @frboncoeurmwanza1670 22 дня назад

    Yote ni mungu tu i'm in DRc

  • @Januarypaulo-JaSaPa07
    @Januarypaulo-JaSaPa07 25 дней назад

    Hakika Mungu anakupa vionjo

  • @EsterKodi
    @EsterKodi 27 дней назад

    May God continue to be on your side all the days of your life, your songs have a good message and are comforting

  • @FaizikoyLeonard
    @FaizikoyLeonard 27 дней назад

    Mungu akubariki sana rafiki yangu Bonny nimebarikiwa nikiwa NewYork

  • @shadrackwanjala2761
    @shadrackwanjala2761 28 дней назад +1

    Good work mtumishi keep it up

  • @princeclyde414
    @princeclyde414 28 дней назад +1

    Hakika hasira huaribu mengi

  • @samrecordvwawa9133
    @samrecordvwawa9133 28 дней назад

    Kumechangamka leo 😊

  • @frboncoeurmwanza1670
    @frboncoeurmwanza1670 22 дня назад +1

    mungu asifiwe sana father

    • @frboncoeurmwanza1670
      @frboncoeurmwanza1670 22 дня назад +1

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @frboncoeurmwanza1670
      @frboncoeurmwanza1670 22 дня назад +1

      ASANTE SANA KWA NIMBO ZURI❤❤❤❤❤❤❤

  • @Nicksmall-nw1dv
    @Nicksmall-nw1dv 8 дней назад

    Nice one 🙏🙏🙏

  • @samrecordvwawa9133
    @samrecordvwawa9133 28 дней назад +1

    Mauwa ya producer wa hii nyimbo tafadhali

  • @IsayaMwanjonde
    @IsayaMwanjonde 16 дней назад

    Baba saruti kwako

  • @shadrackbrighton7320
    @shadrackbrighton7320 27 дней назад

    Wow!

  • @andersonmakassy8811
    @andersonmakassy8811 28 дней назад +3

    Ngoma zako zote Kali hujawahi kukosea

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 28 дней назад +3

    Ndo nyimbo tunazoziitaji kwenye hii nchi yetu, ubarikiwe sana mtumishi❤

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 27 дней назад +1

    , 🥰🥰🥰

  • @rosejackson9245
    @rosejackson9245 14 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @BlanchardKilundu
    @BlanchardKilundu 23 дня назад

    ❤❤❤

  • @eliaisack156
    @eliaisack156 27 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @lupastarentartainment7144
    @lupastarentartainment7144 28 дней назад

    ❤❤

  • @Encky3v
    @Encky3v 28 дней назад

    🎉

  • @BENCBOYOFFICIAL193
    @BENCBOYOFFICIAL193 27 дней назад

    🙏🙏🙏💗💗💗

  • @busuruomusee
    @busuruomusee 27 дней назад

    Wimbo mzuri sana barikiwa .
    Ninaweza kukupata kwa njia gani ?

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  27 дней назад

      255 753582739

    • @busuruomusee
      @busuruomusee 26 дней назад

      Asante sana ndugu.
      Nitawasiliana na wewe hivi karibuni.ubarikiwe sana na Mungu.

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 28 дней назад +2

    Tunakutengemea ahuwezi kutuangusha Bonny mwaitege

  • @MwaaziElisha91
    @MwaaziElisha91 28 дней назад +3

    Iam the first person to comment here. 🇿🇲🇿🇲👏👏👏 much love got you man of God please come to Zambia again we miss you