Ila Kai bwana | Mzani wa Mapenzi EP 60

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 11

  • @rachelKizumbe
    @rachelKizumbe 14 дней назад +2

    Uzaifu wa mwanamke ni kusikiliza kama hutaki kupotea usimpe mtu mda wakumsikiliza

  • @KHADIJAKIGA
    @KHADIJAKIGA 12 дней назад

    Kai Ananikera sana JAJI Alimtesa sana mwanzo Akawa kama Anamlazimisha Sasa Musa Kajileta Badala Atulie Amlee Mwanae Na Baba yake Bado Anagawa Kama Njugu

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 15 дней назад

    Huu kweli ni MZANI WA MAPENZI

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 17 дней назад +2

    Kai Yuko sawa mana huyu jamaa amekuwa akimbeza mda mrefu Kai alipomuhitaji

  • @AzizaJuma-p7x
    @AzizaJuma-p7x 17 дней назад +1

    Kai ana pepo la ngono mussa namuonea huruma bdo atasumbuka tuu

  • @ShofaShofaa
    @ShofaShofaa 14 дней назад

    😂😂😂😂kai et acha bwana

  • @MwajumaKitenge-s5i
    @MwajumaKitenge-s5i 17 дней назад +1

    Kai ni malaya aliyeshikanika pole musa anayepambania huba lake lilirudi kama mwanzo

  • @YenaelMchomvu-lz5ek
    @YenaelMchomvu-lz5ek 16 дней назад

    Kwelii anapepo la ngono

  • @MussaRasul
    @MussaRasul 16 дней назад

    Kamamaa kai nae anaigawa kibingwa