MAKONDA AMUWAKIA MKURUGENZI - ''USINIPIGE MKWARA - UNAFAA KUFUKUZWA KAZI - MLIPENI PESA ZAKE''...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2024
  • MAKONDA AMUWAKIA MKURUGENZI - ''USINIPIGE MKWARA - UNAFAA KUFUKUZWA KAZI - MLIPENI PESA ZAKE''...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 216

  • @ManuuNgingo-cs3hx
    @ManuuNgingo-cs3hx 4 месяца назад +9

    Huyo so mkurugenzi hafai hao ndo wanaomuangusha mama hongera makonda kwa kazi nzuri

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 4 месяца назад +20

    MAKONDA tunakupenda ❤❤

  • @user-wu9zz1bm9h
    @user-wu9zz1bm9h 4 месяца назад +7

    Namuombea sana mama Samia makonda aongezewe meno kama Kuna kipengele kinacho weza kumpa mamlaka mweshimiwa makonda kiwekwe ili aweze kuwatumbua papi Kwa hapo awe waziri awe mkurugez awe mkuu wa mkoa yeyote anae fanya kazi kiuzembe na mazoea wapigaji awe anawatumbua kwamakonda kama kunywa maji tu wengenyooka wale wazembe na wapigaji.

  • @ManuuNgingo-cs3hx
    @ManuuNgingo-cs3hx 4 месяца назад +4

    Huyo so mkurugenzi hafai hao ndo wanao rudisha maendeleo nyuma hongera makonda kwa kazi nzuri

  • @AbdulmalikFedrick-ct7nb
    @AbdulmalikFedrick-ct7nb 4 месяца назад +10

    Mueshimiwa makonda wafundishe
    Alha akufanyie wepesi inshallah
    Umsaidie mama yetu kipenzi

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 4 месяца назад +25

    Makonda hakika unanikosha sana ,ukuu wa mkoa umekusaidia sana kuwa mzoefu wa mambo ya Halmashauri najua hakuna hawa watendaji watakudanganya

  • @jumakiwande2441
    @jumakiwande2441 4 месяца назад +9

    Asante sana Mama Samia Kwa kuona mbali na kumuibua Mwenezi mwenye Maono sasa Chama kipo kazini

  • @user-fm2ng3vj9l
    @user-fm2ng3vj9l 4 месяца назад +3

    Muheshimiwa makonda nakukubali sana ila muombe Mungu ulinzi mkubwa na mimi nakuombea katika jina la Yesu. Akili kubwa haihitajiki kwenye jamii ya wapumbavu wengi. Mengine nitaongea nikipata wakili. Nawasilisha.

  • @alexanderdustan8872
    @alexanderdustan8872 4 месяца назад +8

    🎉Makonda the great salute borother

  • @timothjustine661
    @timothjustine661 4 месяца назад +7

    Ukweli Wangu nafurahishwa Sana na ww makonda big up

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 4 месяца назад +6

    Nilifurahi sana kuona makonda karudi tena kwa kazi anayostahiki kabisa. Watanyooka tu

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 4 месяца назад +9

    Makonda mtumishi wa Mungu..msema kweli ni mpenzi wa Mungu jamani...huyu kijana ni mpambanaji....ni kiongozi

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 4 месяца назад +6

    Mungu akuweke Makonda

  • @user-hh4us7kb5q
    @user-hh4us7kb5q 4 месяца назад +5

    kmbe Mwenyezi Mungu ametpatia Jpm tena.

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 4 месяца назад +8

    Nimekupenda Bure makonda

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 4 месяца назад +5

    Mama Samia tunataka viongo kama makonda,wananchi wanateseka hawaelewi wakashitak wap??

  • @AffectionateFood-rz5sv
    @AffectionateFood-rz5sv 4 месяца назад +11

    Hii ndiyo Ufuatiliaji na Tathmini ya ccm kwa utendaji wa serikali kwa wananchi

  • @mashaurifloribert1396
    @mashaurifloribert1396 4 месяца назад +6

    Majina yangu ya Sasa ni Paul Makonda🔥❤️

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 4 месяца назад +10

    Makonda namuelewaga Sana
    Mungu azidi kumlinda...

  • @DenisMafie-lc7io
    @DenisMafie-lc7io 4 месяца назад +5

    Mungu akulindi makond

  • @esterelias8137
    @esterelias8137 4 месяца назад +1

    Makonda gombea urais baba. Nakupenda sana mtetez wa wanyonge mule mule kama baba hatari john pombe magufuri

  • @barikimollel7890
    @barikimollel7890 4 месяца назад +7

    Tunakuekewa Sana Mhe Ila Monduli umetupita hujatuskiliza Sisi kero Zetu
    Tuna Changamoto Mingi Sana

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 4 месяца назад +2

    Hongera sana Makonda hakika wewe ni mtetezi usie na makando kando

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 4 месяца назад +5

    Makonda ni magufuli aliyefufuka
    Mola akupe urais ,umrithi mama Samia

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 4 месяца назад +14

    Nilisahau kuweka bondo bila sababu
    toka enzi ya magufuli sasa naanza upya watumishi wazembe sana

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 4 месяца назад

      😅😅muongo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 месяца назад

      ​@@shubebunyesi542kiberenge kinafagia njia treni uko nyuma😂😂😂😂😂

  • @user-mp4yt7ps5q
    @user-mp4yt7ps5q 4 месяца назад +2

    Makonda Mungu akulinde

  • @zennahassan1597
    @zennahassan1597 4 месяца назад +2

    Mwenezi makonda wakurugezi wengi ndivo walivo awakipendi chama hao masinichii hawatufaiii embu ondoaaaa haooooo piga kazi babaaaaa

  • @shikuhata
    @shikuhata 4 месяца назад +2

    Mungu akusimamie

  • @shariffasaid837
    @shariffasaid837 4 месяца назад +3

    Santeee baba absolutely nimependa hioo

  • @santinosabugo2114
    @santinosabugo2114 4 месяца назад +4

    mkuu wa mkoa nakukubali mama makonda endelea kukiwasha

  • @user-di3qq1jf7z
    @user-di3qq1jf7z 4 месяца назад

    Good Job brother.....we rocking with you

  • @user-qy7he6cl8w
    @user-qy7he6cl8w 4 месяца назад +4

    Makonda akigombea uraisi hatukuachiiii

  • @user-bp2qv3yr2b
    @user-bp2qv3yr2b 4 месяца назад

    ❤❤❤Nakupenda kiongozi mpenda haki makonda hoyeee

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 4 месяца назад +7

    Makonda for president

  • @CarolinJoseph-op5zw
    @CarolinJoseph-op5zw 4 месяца назад +4

    Mwenezi taifa halmashauri zinatupa umasikini

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda 4 месяца назад +2

    Wakati wa kampeni ndo mnajifanya kujipendekeza kuwwsaidia wana nchi tukiwapa kura mnasahau yote tz. 🇹🇿 Bana siasa nyingi wizi mwingiiiiiiiiii ,,, mkombozi ni ✌️✌️✌️📢

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 4 месяца назад

      Maandamano ni haki yenu. Mngefanya na nyie mikutano kukusanya hayo matatizo ya wananchi na kuuasemea mnazani mngekosa kura. Shida mnakuja na matatizo ya familia za wachache mngesaidia kuzunguka kama huyu tuone haki za wananchi.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 месяца назад

      ​@@isaacmwaseba9972muda umefika kiberenge kinafagia njia 😂😂😂😂😂

  • @TheresiaKaruhanga
    @TheresiaKaruhanga 4 месяца назад

    Makonda you are good

  • @frbm1729
    @frbm1729 4 месяца назад +1

    The next President

  • @abuujr87
    @abuujr87 4 месяца назад +1

    safi👏👏👏👏👏

  • @user-sn9yp3sc2f
    @user-sn9yp3sc2f 4 месяца назад

    Mimi binafsi mheshimiwa makonda alipikuwa mkuu wamkoq was darsalam nilimkubali Sana,nakunwombea na nilikuwa nasema atarudi tu kwa nguvu za MUNGU,aliporudi kwakweli niliona Kama nimimi nakumshukuru MUNGU kwa Sasa picha halisi ndo inaonekana kwa watumishi was umma

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 4 месяца назад

    Mkuu wa mkoa nakupenda sana dada angu

  • @user-sn9yp3sc2f
    @user-sn9yp3sc2f 4 месяца назад

    Mimi naitwa Paulo napenda Sana kutetea haki,namkubali Sana mheshimiwa makonda anavyotetea , wanyonge MUNGU akulinde Sana wajina wangu

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 4 месяца назад +1

    In JPM's VOICE

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 4 месяца назад

    Yan wakurugenzi kuna maisha nje ya ofisi!!

  • @florafaustine4637
    @florafaustine4637 4 месяца назад

  • @idrisskiduka8185
    @idrisskiduka8185 3 месяца назад

    Maui wa Mko Mungu skulinde

  • @user-zs1zo2tx1i
    @user-zs1zo2tx1i 4 месяца назад

    Safi sana

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 4 месяца назад +1

    Makonda hoyeeeee

  • @user-vp7qs7fy8r
    @user-vp7qs7fy8r 4 месяца назад +2

    Mimi ni mwalimu .Makonda unanifurahisha saana Naomba namba yako ya simu

  • @MtegekiKaijage
    @MtegekiKaijage 4 месяца назад +6

    Mimi pia nafanya kazi za uzabuni lakini wakurugenzi na maafsa manunuzi wilayani na mikoani ni wasumbufu linapokuja suala la malipo

    • @emanuelpetro9591
      @emanuelpetro9591 4 месяца назад +1

      Hata mimi nafanya kazi za majengo ya serikali kwakweli wanatutesa sana tena sana kuhusu malipo ila kwakweli Mungu anawaona

    • @user-ij9pk5zu2x
      @user-ij9pk5zu2x 4 месяца назад

      Hivi wakichukua wazabuni wa nje wanawalipa au nao wanateseka hivi. Maana kila sehemu wakurugenzi ni shida

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 4 месяца назад

    Safi sana Rc

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 4 месяца назад

    Rc ❤❤❤❤

  • @atotark3889
    @atotark3889 4 месяца назад

    Siasa pole

  • @user-ov3bt3pf1b
    @user-ov3bt3pf1b 4 месяца назад

    Mh Makonda wakazie uzi hao wakurugenzi.wanazungusha watu sana.

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 4 месяца назад +1

    Makonda Jembe Kweli Kweli

  • @brunidamadege3747
    @brunidamadege3747 4 месяца назад

    Kwa kweli viongozi wanajikanyaga saana.

  • @nadynikumbushe1254
    @nadynikumbushe1254 4 месяца назад +2

    Mm najiuliza wakuu wa mikoa na wilaya wanafanya kazi gani ..matatizo ni mengi kila kona dah 😢

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 4 месяца назад

    Makonda nakuelewa sana

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 4 месяца назад +1

    Majizi wakurugenzi

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 4 месяца назад +1

    Huyo hana kazi aondorewe

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 4 месяца назад

    Hujampa ten percent

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 4 месяца назад

    Jaman mmepata mkuu wa mkoa Bomba Sana. Chapa kaz mama na makonda yupo pemben yako

  • @user-ov3bt3pf1b
    @user-ov3bt3pf1b 4 месяца назад +1

    RC kweli una utu wa Mungu. Endelea hivyo hivyo hata vizazi vyako vitasaidiwa kwa kusema ukweli.

  • @daudimwita-bk6mg
    @daudimwita-bk6mg 4 месяца назад

    Inamaana jaman serikali yote huwa inafanya nn mbona haya matatizo ni meng mno?????? Upigaji ni mwingi 😢😢

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 4 месяца назад +2

    Sanaa za Ccm ktk ubora wao wa kuhadaa jamiii!

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 4 месяца назад

      Wachache wataelewa 😂😂😂😂

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 4 месяца назад

      Kila mtu na mtazamo wake

    • @mallemaOg
      @mallemaOg 4 месяца назад

      Kwa maoni yako

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 месяца назад

      ​@@mamachris6811kiberenge kinafagia njia kwa ufanisi wa hali ya juuu😅😅😅😅😅😅

  • @StevenMatiko-yq6vb
    @StevenMatiko-yq6vb 4 месяца назад

    Makondaaa raisi ajaeeeeeeee nakupenda san

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 4 месяца назад +1

    Huyu ndo anafaa kuwa rais wa nchi

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 4 месяца назад

    Makonda safi

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 4 месяца назад +1

    Wakurugezi wapigaji wengi sana

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 4 месяца назад

    Kazi hadi iwe chini ya viwango wakaguzi walikuwa wapi hadi amalize kazi ndio mje mseme iko chini ya viwango, huo ni uhuni mkubwa sana

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 4 месяца назад

    Makonda nilikuwa naona Mb zangu zinaisha bila sababu lakini saiz sijutiiii ,Makonda na jua kali u tube ndio nnaziziangalia saiz

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 4 месяца назад

    Lini Iringa jamaniii

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 4 месяца назад +5

    Huyu mama mheshimiwa atawanyoosha vizuri TUU... sii wa mchezo mchezo😅

  • @user-ui5xc6sb5m
    @user-ui5xc6sb5m 4 месяца назад

    Makonda wanyooshe Baba

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 месяца назад

    Mmpaka rahaa kwakwelii

  • @matanohassan9667
    @matanohassan9667 4 месяца назад +1

    KWA UHAKIKA MI MKENYA ILA MAKONDA ANANIKOSHA KULIKO MUNAVODHANIA YAANI KIDUME HICHOO MAKONDA MUNGU AKUHIFADHI SANA

  • @user-lc6ce8pb9b
    @user-lc6ce8pb9b 4 месяца назад

    hata kwetu wapoooo

  • @user-oy2fi5qz9n
    @user-oy2fi5qz9n 4 месяца назад +1

    Mkurugenzi afukunze tu,

  • @brunidamadege3747
    @brunidamadege3747 4 месяца назад

    Jamani viongozi mbona mnafanyia hivyo watoto wa sisi wenzenu mnataka wawe wezi?

  • @gsninetz5019
    @gsninetz5019 4 месяца назад

    Ila wasukuma😅😅😅😅

  • @omarisombi9284
    @omarisombi9284 4 месяца назад

    Kwa hili Makonda na kuunga mkono Mia kwa Mia maana Kuna viongozi kadhaa katika Ofisi za Serikali yetu huwa wanajigeuza Miungu watu

  • @user-vq8kk7bq9u
    @user-vq8kk7bq9u 4 месяца назад

    Nakukubal muenez fanya kaz kijana

  • @user-xp4ue1gq4c
    @user-xp4ue1gq4c 4 месяца назад

    Daaah kazi za serekali pita nazo mbaliii utalia machozii

  • @justinleveran6137
    @justinleveran6137 4 месяца назад

    Another JPM in Makonda's body

  • @AmosJuma-wp2pe
    @AmosJuma-wp2pe 4 месяца назад

    Makoda wakibizee hawakujui

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 4 месяца назад

    Weka ndan hao

  • @user-fv1qo5lh8z
    @user-fv1qo5lh8z 4 месяца назад

    Duh eemuumba tusaidie yani tumerudishwa enzizile za kutengeneza migogoro nakuisov ionekane tunawajibika.ila sawatu yotemaisha

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 4 месяца назад

    Sasa kama ipo sashihi kwa wakati ule mbona hukumlipa kwa wakati ule? Wewe mkurugenzi wewe mungu anakuona

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 4 месяца назад

    Hizo pesa zimeliwa na hawataki kumlipa kwa kisingizio.

  • @rogersmaokola3147
    @rogersmaokola3147 4 месяца назад

    Hapo muenezi ndio ninapokukubali hao viongozi wa style hiyo wako wengi, sana roho mbaya chuki n.k ila wanyooshe maana wamelala sana

  • @EmmanuelNaftali
    @EmmanuelNaftali 4 месяца назад +2

    DED HANANG POLE.

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 4 месяца назад

    Watu wanazungushwa ili waeleweke.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 4 месяца назад +4

    Wakurugenzi wanajionaga miungu

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 4 месяца назад

      Kweli ni mateso😮😮

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 4 месяца назад +1

      Kweli kabisaa kila mahali madhaifu rushwa kwa wingi wanainchi wanatezeza

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 4 месяца назад

      ​@@rosetreffert4179 kweli kabisaaaaaaaaaaaaaa.. Kazi hakuna ..mtu akipata kazi anageuka tena kuhujumu Wananchi masikini tena!!!!!?

    • @MariamuSawala-dw1df
      @MariamuSawala-dw1df 4 месяца назад

      Sio wakurugenzi wote! Tanga Jiji tuna mkurugenzi msikivu sana na anajali sana wananchi

  • @CasmitMsofu-ue6qs
    @CasmitMsofu-ue6qs 4 месяца назад

    Malinda anafaa sasa kuwa kiongozi katulia

  • @roryayetuonlinetv8578
    @roryayetuonlinetv8578 4 месяца назад

    Huyo Mkurugenzi ni mjinga Mwenezi Tumbua kabisa

  • @ausog3696
    @ausog3696 4 месяца назад

    Kaongea fact

  • @mwijagenelsoni357
    @mwijagenelsoni357 4 месяца назад

    Kwakweli huyo kawanyima rushwa ndo mana danadana ukute hapo mchawi ata mili 1 ikitolewa analipwa

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 4 месяца назад +1

    Makonda kwa hapo umenena

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 4 месяца назад

    Rushwa tu hapo

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 4 месяца назад

    HAWA WATU WALITAKIWA WASIMAMIWE NA SHERIA 15/1984. IBARA YA 12. MAKONDA AMEONA AISAIDIE HYO SHERIA