DUDU BAYA ASHINDWA KUVUMILIA SAKATA LA MGANGA TAZGINIOUS AZUNGUMZA KWA UCHUNG

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 апр 2024
  • DUDU BAYA ASHINDWA KUVUMILIA SAKATA LA MGANGA TAZGINIOUS AZUNGUMZA KWA UCHUNG

Комментарии • 108

  • @bizoboy1168
    @bizoboy1168 Месяц назад +9

    dudu baya mungu akuweke miaka mingi sana kuna vitu vingi sana najifunza kupitia wewe

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад +9

    Nakupendaga sana Dudu baya! Kwani una hekima na busara.Hilo liganga lifungwe maisha au kuchomwa moto hadharani,linamrusha mtu mshahara wake tena pesa kidogo tu,Mungu ashughulike na hao walokuwa wanalikingia kifua.

  • @BakariChinowa
    @BakariChinowa Месяц назад +3

    dudu kweli we ni konki kuna vitu vingi sana najifunza kupitia ww kwene maisha yangu tupo pamoja endelea kutema madini

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 Месяц назад +3

    Dudu baya huna baya kwa maneno yako mazuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 Месяц назад +3

    Mwamba mungu akupe miaka migi unajua mengi sana

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 Месяц назад +2

    Hakika DUDU BAYA unahekima ishi miaka mingi🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AmnaAmna1-xs3rx
    @AmnaAmna1-xs3rx Месяц назад +2

    Yani huyu kaka Ninampenda bure kwa maneno yake❤❤❤❤

  • @josie27697
    @josie27697 Месяц назад

    Hongera sana dudubaya mtu mwema sana na unsjitambua maana unamshuhudia Mungu wetu wa kweli na ki ukweli hawezi akakuacha kabisa barikiwa sana .

  • @AmirMahenge
    @AmirMahenge Месяц назад +1

    Dudu baya hongera sana umeelimisha watu uko vizuri sana, ubarikiwe

  • @talents7934
    @talents7934 Месяц назад

    Dudu Baya nakukubali kwa sababu Unamkubali Mwenyezi Mungu 🙏🏼🙏🏼

  • @AnnasteraElias
    @AnnasteraElias Месяц назад +3

    Upo vizuri Dd baya..

  • @Dafetty
    @Dafetty Месяц назад

    Subhannallah mtihani wallahi. Allah atunusuru kwakwel

  • @KasichanaKaingu-wx7kr
    @KasichanaKaingu-wx7kr Месяц назад +1

    nakuchek live nkiwa +254mombsa kenya oe unaposema kuhusu mashoga huwa unawumiza hao mafreemanson xna big up xna mwamba

  • @twahamitingi4028
    @twahamitingi4028 Месяц назад +2

    Ukiachapombe unakua nakilisana dudubaya hongera Sana kwabusarayako yoteulioyaongea

  • @user-xm9wr1lk4t
    @user-xm9wr1lk4t Месяц назад +2

    Wewe dudubaya mbona ulimdhulumu nyandu tozzy

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md Месяц назад

      Hata ukifanya dhambi na ukajitambuwa na kutubu Kwa Moyo mungu atakusamehe zote

    • @user-fu2gz2lq1j
      @user-fu2gz2lq1j Месяц назад

      Kweli kabisa Dudu baya Hana baya

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад

    Mtakutafuta sana ndugu yangu nipate Ushauli wa maisha mungu Akubariki Kwa Elimu mzuri sana 🙏 ❤

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 7 дней назад

    hiki ndicho kipaji cha Dudu Baya.. kuzungumzia maneno yanayoathiri jamii kwa knaga ubaga!!

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Месяц назад

    You are so genus men and mature 👌👌👌

  • @kassimomary216
    @kassimomary216 12 дней назад

    Kwenye hili dudu baya sikuungi mkono maana hakuna unacho kijua hebu fuatilia mkasa vizuri

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Месяц назад

    Mie nikuite dudu zuri maana unaelekea kuzuri sana. Unafaa kuwa mwalimu wa kufundisha neno la mungu. Endelea hivyo. Tunafurahi

  • @furahaabonga6642
    @furahaabonga6642 Месяц назад

    Mungu atuurumie

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny Месяц назад

    Karma hiyo, Wakati wa Mungu ni Wakati Sahihi 🙏Ukiuwa kwa upinde utakufa kwa Upanga, Mganga wa Mbaazi atateseka mnooo

  • @mwananganzi
    @mwananganzi Месяц назад

    Facts

  • @christophermwashiozya5178
    @christophermwashiozya5178 Месяц назад +2

    Ni milion 5 Dudu sio kumi ukiwa na m.5 unatakiwa uwe na ulinzi wa askari wakusindikize.

    • @kamalissabig4631
      @kamalissabig4631 Месяц назад

      Escot ya Police n kuanzia Million 30 na kuendelea sio 10 wala 5

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    nakupeda unamajibumazuri 😂nikwena zabizoteyeyekazofanya umenichekesha

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z Месяц назад

    Dudu baya ashindwa 😂kujizuia na alie kubali kujizuia😂

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    nayeyebaba yakekauwawa nayotehayo mungualikuwa nataka kumuumbuwa kwaaliyokuwa akiyafanya kawadhulumwengi sana hatimaye mungu kamuumbuwa kawaibiyawayuwengi kwakuwadanganya

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Месяц назад +3

    Kweli konk ukosawa 1000

  • @DenisSamwelmapunda
    @DenisSamwelmapunda Месяц назад +1

    kaka uyojamaa niwakutaifishwa kwanza pia ztua kali zakisheria zichukuliwe najua tz kilakitu tuko imala shelia zipo jela ipo afungwetuu kwanza zurumant alafu unamgeuza mbuzi mwezio uyo afungwetuuuu

  • @ZainaFatma
    @ZainaFatma Месяц назад

    Mtihan kweli kabisa dudu baya maneno yapo sahii kabisa

  • @kiumbekiumbe4711
    @kiumbekiumbe4711 Месяц назад

    ❤❤❤

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 Месяц назад

    Mm ninachokupendeaga Msukuma ww huwa unasimama straight tena Bila chenga Hongera saana
    Ss ww ni Dudu Zuri 💪🏽🙏🏼

    • @sebastiankatalle2732
      @sebastiankatalle2732 Месяц назад

      Umenivunja mbavu "street" au straight😂😂😂 weekend yng umeifanya iwe ya furaha

    • @mkambamaulid447
      @mkambamaulid447 Месяц назад

      @@sebastiankatalle2732 Huo sio mwandiko wangu 🙏🏼💪🏽

    • @sebastiankatalle2732
      @sebastiankatalle2732 Месяц назад

      @@mkambamaulid447 hahah pamoja sana

    • @Ernestlaiza
      @Ernestlaiza Месяц назад

      ​@@sebastiankatalle2732 uzuri umelewa,

    • @user-bl7pt3dc8x
      @user-bl7pt3dc8x Месяц назад

      Hii mbn yupo sahii its "straight "

  • @mathiaskipinge2782
    @mathiaskipinge2782 Месяц назад

    We unalipwa untethered dude baba uko sahii

  • @bobg611
    @bobg611 Месяц назад

    Dudu baya ni kaa mganga..

  • @niceTZA
    @niceTZA Месяц назад +7

    Dudubaya yuko sahihi kbs jaswa kwenye suala la pesa hapo. Madola mengi tunyoona kwenye mitandao watu wanapost huwa ni feki. I mean ni printed tena mengine yameprintiwa na printer za kawaida kbs kwa ajili ya kushtutia video. hata hapa TZ nina rafiki yangu alikua na dola 20000 feki kazi yake kuuzia sura kwenye mitandao kuwatisha watuuuuu. ila life limepiga balaaaaa

  • @juliomgandu1041
    @juliomgandu1041 Месяц назад

    Naqubali Dudu baya the legendary 👊

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    kwelikabisakabisasanatena sonatina hawakufungi siutatowa rushwa kanisa hahaha yani divorce. iliwamshidesana senate hanatena atakurukambalishetani

  • @user-hn6tz2mx5v
    @user-hn6tz2mx5v Месяц назад

    Hii Chanel nintimu manyau mmh ukwel utajulikana

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 Месяц назад

    Baba Mungu Awe nawe kwa kusema ukweli Mtupu

  • @fatumamaro8726
    @fatumamaro8726 Месяц назад

    Mwambaaaa 👌

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    piyanakuwazurimwafanyakaxi uliyonawapi.umuuwemtu halafu umpigiyesim nduguwa Mareham kiudanganyifu

  • @user-cy5ck8lh4j
    @user-cy5ck8lh4j Месяц назад

    kweri kbs hayo yanafanywasana

  • @user-us6ee5dr8r
    @user-us6ee5dr8r Месяц назад

    Huyu Jamaa Skuizi ni Shule ya hekma na mafundisho, Sio Dudubaya tena now ni Godfrey Tumaini

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Месяц назад +6

    Sasa inabidi ufungue chanel yako nawe ufaidike

    • @user-fu2gz2lq1j
      @user-fu2gz2lq1j Месяц назад

      Kweli kabisa vp Hawa jamaa Wana mtumia kwa faida Yao !!!

  • @MsJabalkiss
    @MsJabalkiss 20 дней назад

    KWELI KUISHIWA KUBAYA MBONA HAMJAMFATA DIAMOND AMA MSANII YEYETO WA MUZIKI ILA MUMEMFATA DUDU ILI ANGALAU AJULIKANE KUTOKA HABAR ZA MUZIKI HADI KHABARI ZA WAGANGA DAH

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    kwaniniesigempigiya.babayake akampiyaya kakawamarehem etinasikiyakunamtu anatokwadam swalikamahilo agempigiya babayake amuulize

  • @furahaabonga6642
    @furahaabonga6642 Месяц назад

    Kwenye zambi kakaangu akuna anaeziupuka.

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    sonatina wengi

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai Месяц назад

    Kweli kaka mkubwa

  • @thebmcblackmiccatcher3949
    @thebmcblackmiccatcher3949 Месяц назад

    Fungua kanisa. Kadir unavokuwa kiumri unazidi kupata hekima zaidi

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 Месяц назад

    DUDUBAYA USIMALIZE MANENO KUMBUKA DUDUBAYA YULE NA HUYU NA AJAYE YAANI KESHO

  • @user-el7vo4up8n
    @user-el7vo4up8n Месяц назад

    Muwe mnalipa bhana

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Месяц назад

    Hawa waganga wachawi tuachane nao ,sio watu wazuri hata kidogo ndio maana mara nyingi wanasababisha mauwaji nk

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    lakinikwakuwamungu alikuwa anatakakumuubuwa kampigiya kaka wamarehemyotekujichanganyatu kaubuka dhalimmkubwa huyo

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 Месяц назад

    Mapito humfany mtu awe na hekima na amjue Mungu, suffering ilinifanya nikutane na Yesu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md Месяц назад

    Watanzania kweli tukubali jamii yetu imefika pabaya kweli jamani acheni hayo mambo mtalizwa machozi na hao waganga na manabii wa uongo uongo hao wametumwa na shetani kuwakosanisha na muumba wenu

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    sonatina shetani ndoabamuabudu sawakabisa nayotekayafanya

  • @user-ow2jv4vn8b
    @user-ow2jv4vn8b Месяц назад +2

    Sisi waganga tunapondwa Sana Kwa sababu ya wahuni wachachetu tutafanya jambo wesubilitu

  • @rashidNgongomi
    @rashidNgongomi Месяц назад

    Kuanzia mtoa habar dudubaya wote mmetumwa

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    ukovizurisana kaka

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 Месяц назад

    Wewe ni ubongo mkubwa sana!

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha Месяц назад

    Ni kweli mganga kakamatwa?

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 Месяц назад

    Mnapenda na nyie

  • @ianak4
    @ianak4 Месяц назад

    Dudubaya banana na Yesu tu, usimchanganye na binadamu, yeye pekee ndiye Njia, Kweli na Uzima, hachangii hayo mamlaka na mwingine yeyote hususan binadamu

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂 hm kwani yessu ninani nae si nibinaadam ila All AH amempa cheo zaidi kua ni mtume ukisema asi changanywe na binaadamu na yeye pia mibina adam

    • @talents7934
      @talents7934 Месяц назад

      ​@@azizaaziza7996😂kwani Mwammad swalalaaa nae ni nani?

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 Месяц назад

      @@talents7934 mh mmm humjui au una jizima data bc kama Muhammad humjui ni mtume na ni nabii wa All AH kama alivo huyo na bii Issa nyinyi mni kuita yessu yessu

  • @TedyChiguru-sm1nr
    @TedyChiguru-sm1nr Месяц назад

    Umeulizwa linguine unajib mengine

  • @aziza9093
    @aziza9093 Месяц назад

    Nikwelikaka ukosahh

  • @rashidNgongomi
    @rashidNgongomi Месяц назад

    Unauhakika kamakauwa

  • @rutalaurent8542
    @rutalaurent8542 Месяц назад

    Nakubari put in unasema ukweli mtupu

  • @festokastory5282
    @festokastory5282 Месяц назад

    Kila mtu nitapeli ila tofauti ni levo ya huo utapeli lakini kama una tapeli na ukaaminika na watu basi hiyo ndio kazi yako lakini serikalini huwa ina sajili matapeli kweli?

  • @user-vr6lu8tq1n
    @user-vr6lu8tq1n Месяц назад +1

    We jamaa hunakili vizur iv unataja amrita kumi za mungu halafu unasema tumsifu yesu kwann usiseme tumsifu mungu

  • @allyfleva6134
    @allyfleva6134 Месяц назад

    Yani hichi chombo cha habari ni cha hovyo kwani hamna stori zingine acheni utoto yapo mambo muhim ya kutujuza

  • @allyfleva6134
    @allyfleva6134 Месяц назад +2

    Kaka umilipwa umchafue taz maana mnasema taz kamuua mlizi wake je wewe unauhakika acheni shelia ichukue mkondo wake

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 Месяц назад

    muhammad hayuko kwa Yesu. Kama ingekuwa huvyo angejua alikuwa anaelekea wapi na angewaambia waislamu wenzie kuwa uislamu una wokovu na uzima wa milele! Kwa hiyo muhammad hawezi kuwepo alipo Yesu. Dudu usiseme mambo kuwafurahisha waislamu. Waambie ukweli ili wamfuate Yesu na kupata wokovu na uzima wa milele!

  • @ramsostopthisbullshitmanal4002
    @ramsostopthisbullshitmanal4002 Месяц назад

    Acha kutetea matapeli wewe