MAOMBI YA ASUBUHI | Nakutegemea wewe

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 286

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr Год назад +2

    Asante Bwana
    wewe ni mwema .
    Barikiwa Mtumishi wa
    Mungu!!!

  • @EstherMganga-r4p
    @EstherMganga-r4p 3 месяца назад +1

    Damu ya yesu itufunike mimi na watoto wangu

  • @mattiekuyan7108
    @mattiekuyan7108 Год назад +20

    Mbarikiwe, maombi haya ni mazuri sana nimekuwa nikiyaomba na nimemwona Mungu akifanya jambo kupitia maombi haya

    • @marionchao
      @marionchao 7 месяцев назад +2

      Mungu wangu naomba nipendenze na wewe na uniwekee panapo nafasi na nitakuwa na Amani kwa jina la yesu Amen 🙏 🙏

    • @FaithCherotich-fu3zg
      @FaithCherotich-fu3zg 7 месяцев назад

      Naomba ni pate ndowa mazuri na unaiombe Kuna mtu wanataka kunipiga sana kwa maisha yangu

    • @ChristinaKirigiti
      @ChristinaKirigiti 5 месяцев назад

      ❤z​@@marionchao

    • @barakakikoti
      @barakakikoti 4 месяца назад

      aminaaa

  • @Ryndavie
    @Ryndavie 3 месяца назад +1

    Mungu baba wa mbinguni uniweke mahali nistahipo maana wew ndio Masada wangu nangome yangu Amen 🙏🏼

  • @ClaudeBulambo-s7q
    @ClaudeBulambo-s7q 4 месяца назад +1

    Damu ya YESU inene mema kwenye familia yangu AMEN.

  • @akyoo5761
    @akyoo5761 Год назад +3

    I pray my day my GOD shine upon it and be my guide in everything am going to do today .Ameen

  • @princemwanga2318
    @princemwanga2318 Год назад +1

    Amenamen barikiwa sana mtumishi

  • @evemakwega4402
    @evemakwega4402 Месяц назад

    Mungu nashukuru kwa ksemannami na familia juu ya maombi haya ambayo yanafanyika baraka kilamsikunkayokammaisha yangu na familia yangu. Asante Yesu kwa kusema nasi kitipitia mtumishi wako.
    Nakulenda sana Yesu wangu
    🙏

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm Год назад +7

    Damu ya yesu inifunike mm na familia yangu na vyote nilivyonavyo

  • @LevinaLupenza
    @LevinaLupenza Год назад +1

    Ameeen Mungu awe nami ktk siku ya leo kwa jina la Mwanae mpendwaa Yesu Kristo

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 3 месяца назад +1

    Amen. Asante Mungu kwa kulilinda usiku. Mzima wa leo ukaniongoze na siku hii ya leo natamka ushindi katik Maisha yangu Amina 🙏🙏🙏

  • @FausterLawrence
    @FausterLawrence 3 месяца назад

    Damu ya YESU INENE MEMA MAISHANI MWETU ,FAMILIA YANGU NA WATANZANIA WOTE AMEN

  • @virginianjeri3494
    @virginianjeri3494 6 месяцев назад +1

    Bwana amekuwa tegemeo langu. Naomba kibali chako. Asante kwa baraka nitakazo pokea

  • @AntinHawile-rw9fj
    @AntinHawile-rw9fj 4 месяца назад

    katika jina la yesu naamin yakwamba matatizo yote huuu ndo mwisho wake amen

  • @OmethoTeam
    @OmethoTeam 5 месяцев назад

    Damu ya yesu inizingite mm na familia yangu amen❤❤❤

  • @EvelyneNgidos
    @EvelyneNgidos 4 месяца назад

    Damu ya bwana wetu yesu kristo ikatulinde na mipango yote ya maadui zetu mimi na uzao wa tumbo langu wote.nguvu za giza zinazotafutwa mpaķa inchi jìrani ziwadhùru ña kuwaàibisha wao weñýewe amen.

  • @MarryfinaMassawe-zd5ez
    @MarryfinaMassawe-zd5ez 5 месяцев назад +1

    Ameen ubarikiwe mtumish kwa kutuongoza ktk maombi

  • @marieHeriMarie
    @marieHeriMarie 4 месяца назад

    Damu ya yesu Christ. Itufunikie Mimi na jamaa Yang Amina

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 4 месяца назад

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi Kwa maombi MUNGU akubariki sana

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 Год назад +2

    Amen Amen endelea kutufundisha ili tupate kuujua ukuu wa Mungu ili Mungu,pia atuweke panapo NAFASI

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 Год назад

      BWANA YESU ASIFIWE Nakuomba utazame hi video na MUNGU AKUBARIKI
      ruclips.net/video/MzLw337zhTI/видео.html

    • @hadijamhezi
      @hadijamhezi Год назад

      Amen nakukabidhi siku yangu ya leo

  • @JackFrank-bo9oj
    @JackFrank-bo9oj 7 месяцев назад +1

    Mungu akubariki mtumishi kupitia maombi yako

  • @OmethoTeam
    @OmethoTeam 5 месяцев назад

    Damu ya yesu inizingire mm na familia yg amen

  • @ElizabethKivumbi
    @ElizabethKivumbi 5 месяцев назад

    Mbarikiwa mtumishi. Napokea maombi haya kwa jina la Yesu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Год назад +1

    Ameen.Mungu aibariki siku ya leo

  • @vestinasylidion7548
    @vestinasylidion7548 4 месяца назад

    Asante mtumshi damu ya yesu kritu ikwe nguzo ya family yangu na kufafunika kw damu tako bwna

  • @ConsolataSanga-eq4md
    @ConsolataSanga-eq4md 4 месяца назад

    Damu ya Yesu ikanizingire mimi na familia yangu.amemi

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb 3 месяца назад

    Asante MUNGU kwa kunifikisha siku ya leo ❤

  • @EmanuelKimu-kk2ee
    @EmanuelKimu-kk2ee Год назад +2

    Hakika na iwe hivyo kuanzia Sasa na siku zote na daima na milele ilu mapenzi ya MUNGU yatimie amen

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 Год назад

      BWANA YESU ASIFIWE Nakuomba utazame hi video na MUNGU AKUBARIKI
      ruclips.net/video/MzLw337zhTI/видео.html

  • @NasriHasan-tv7vy
    @NasriHasan-tv7vy 8 месяцев назад

    Amen ubarikiwe mtumishi kwa maombi haya ya asubuh

  • @virginianjeri3494
    @virginianjeri3494 11 месяцев назад +1

    Aamen katika jina la Yesu Kristo... Nakutegemea wewe

  • @cynthialove1790
    @cynthialove1790 9 месяцев назад

    Jina la bwana lipewe sifa,, Amen 🙏💕🙏

  • @moumou2856
    @moumou2856 Год назад +3

    Damu ya yesu juu yangu,damu ya yesu juu ya mume wangu, damu ya yesu juu ya watoto wangu, damu ya yesu juu ya familia yangu

    • @adelambaye1298
      @adelambaye1298 Год назад

      Amina mtumishi kwakuniongoza maombi haya barikiwa Sana 🙏

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 Год назад

      BWANA YESU ASIFIWE Nakuomba utazame hi video na MUNGU AKUBARIKI
      ruclips.net/video/MzLw337zhTI/видео.html

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 4 месяца назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nakufunika damu ya yesu kirsto aliye hai Amen 🙏🙏

  • @VeiceMwaluko
    @VeiceMwaluko 4 месяца назад

    Nakushukuru sana mtumishi wamungu kwa maombi ya asubuhi

  • @MerryMkalawa-lx2ge
    @MerryMkalawa-lx2ge 2 месяца назад

    Ameen mtumishi kwa maombi yenye guvu ya mungu barikiwa sana

  • @Felista-qx8xv
    @Felista-qx8xv 4 месяца назад

    Amen mtumishi naami nguvu ya mungu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 4 месяца назад

    Ameen Mungu naomba unitangulie ktk njia zangu siku ya leo

  • @KristinaPatrick-x8g
    @KristinaPatrick-x8g Месяц назад

    Aamen ubalikiwe sana mtumishi wa mungu 🙏🙏

  • @johariomari-le5zc
    @johariomari-le5zc 9 месяцев назад

    Mungu akubariki mtumishi Mungu azidi kuju jaza nguvu kwamaombi Aya Asante Mungu kwa neemahii Amen ubarikiwe na Mungu🙏🙏🙏

  • @SumaiyaRichard
    @SumaiyaRichard Год назад

    Amen .Mungu akutunze naakubariki mtumishi maombi yote uliyo tuongoza siku yaleo nayakawehivyo yote yakatembee nasi siku nzima amen 🙏☺️

  • @AsmaIssabu
    @AsmaIssabu 2 месяца назад

    Baba niongoze kwenye maisha yngu

  • @francoisealimasi3999
    @francoisealimasi3999 3 месяца назад

    Asante yesu kwa upendo wako kwangu.

  • @jasminemurgi4687
    @jasminemurgi4687 5 месяцев назад

    Amen Amen thank lord damu yesu iwe juu yangu na jamii zetu shallom

  • @FransiskaJohn-fq1nf
    @FransiskaJohn-fq1nf 11 месяцев назад

    Amen amen ,nimebarikiwa na maombi haya🙏

  • @gracemwangi4880
    @gracemwangi4880 Год назад +1

    Damu ya YESU KRISTO Juu yangu,Damu ya YESU KRISTO juu ya Mume wangu.Damu ya YESU KRISTO juu ya wanangu. Damu ya YESU KRISTO juu ya wazazi wangu.Damu ya YESU KRISTO MAISHANI MWANGU. Damu ya YESU KRISTO kazini pangu.DAMU YA YESU KRISTO initetee siku zote za Maisha yangu.Amina.
    MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI 🙏 ❤️

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 Год назад

      BWANA YESU ASIFIWE Nakuomba utazame hi video na MUNGU AKUBARIKI
      ruclips.net/video/MzLw337zhTI/видео.html

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b 9 месяцев назад

    Mungu naharibu kila mkosi unaonifuatilia

  • @SadaShaban
    @SadaShaban Год назад

    Asante Yesu umenionekania ktk maisha ya familia yangu, ubarikiwe mtumishi kwakutuongoza ktkt maombi❤

  • @hadijamkini8386
    @hadijamkini8386 3 месяца назад

    Barikiwa Mtumishi kwa kutuongoza maombi

  • @neemajeremiah9401
    @neemajeremiah9401 10 месяцев назад

    Amen, maombi haya yamenisaidia sana

  • @MechackNdembo
    @MechackNdembo Год назад

    Amen mungu awabariki 🙏🙏 kwamaombi yenu Yananibariki sana kila Siku 🎉🎉🎉 mungu azidishe iyo nema tenakabisa🔥🔥🙌🙌🔥🔥🇨🇩

  • @maishamapya2866
    @maishamapya2866 Год назад +1

    Ameni namshukuru MUNGU

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 Год назад

      BWANA YESU ASIFIWE Nakuomba utazame hi video na MUNGU AKUBARIKI
      ruclips.net/video/MzLw337zhTI/видео.html

  • @dfkcic3184
    @dfkcic3184 10 месяцев назад

    Mungu nilinde kila mahali niendapo .niwe pamoja nawe

  • @VctorMenlady-u4r
    @VctorMenlady-u4r 9 месяцев назад

    🙏🙏ubarikiwe mtumishi

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 6 месяцев назад

    Damu ya YESU iwe kinga yangu popote ninapokanyaga.

  • @ElvisLenamunyi
    @ElvisLenamunyi 7 месяцев назад

    Amen nimepokea baraka ya mungu

  • @LindaMnyanyi
    @LindaMnyanyi 2 месяца назад

    Ee mungu ninaomba unifungue katika vifungo nilivofungwa

  • @HAPPYNESMSONDE
    @HAPPYNESMSONDE 4 месяца назад

    Ubarikiwe sa
    na mtumishi wa bwana

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin 7 месяцев назад

    Mungu anilinde na watoto wangu damu ya yesu itufunike 🙏🙏

  • @MwanaidNkuruvi-wj1ti
    @MwanaidNkuruvi-wj1ti Год назад

    Amen mtumishi wa Mungu

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 4 месяца назад

    Amen MUNGU akubariki sana

  • @SaidiMasimango
    @SaidiMasimango 3 месяца назад

    Asante eh mtumishi wa Mungu.

  • @AshuraSalumu-k7h
    @AshuraSalumu-k7h 5 месяцев назад

    Dam ya yesu inifunike mim na familia yangu kwa jina la yesu

  • @irenelucas6323
    @irenelucas6323 Год назад

    Namshukuru Mungu kwa ajili yako kwani nabarikiwa sana na maombi yako. Mungu azidi kukuinua utukufu hadi utukufu.

  • @magretikikwete3140
    @magretikikwete3140 Год назад +1

    Amen Amen mtumishi wa Mungu. Asante kwa maombi 🙏🙏

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 Год назад

      BWANA YESU ASIFIWE Nakuomba utazame hi video na MUNGU AKUBARIKI
      ruclips.net/video/MzLw337zhTI/видео.html

  • @NyamoriPhiles
    @NyamoriPhiles 6 месяцев назад

    Amen mungu units girlie siku ya leo

  • @rosemhina6114
    @rosemhina6114 10 месяцев назад

    Nibariki bwa yesu . Amen!

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Ameeeeen mtumishi barikiwa Sana

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 4 месяца назад

    Kwa damu ya Yesu 🙏

  • @YustaMtimili
    @YustaMtimili 11 месяцев назад

    Amina ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.

  • @IrenaFrance-zk8sf
    @IrenaFrance-zk8sf 5 месяцев назад

    Damu ya yesu ikanilinde amina

  • @leilaadamraymond7344
    @leilaadamraymond7344 Год назад

    asante yesu, sifa kwa yesu.
    asante mtumishi wa mungu. ubarikiwe. nakutakia cku njema.
    amen.❤

  • @SumaiyaRichard
    @SumaiyaRichard 10 месяцев назад

    Ubarikiwe mtumishi

  • @MathaMatha-e8o
    @MathaMatha-e8o 11 месяцев назад

    Ameni barikiwa mtumishi naamini napokea na ntafanikiwa

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 11 месяцев назад

    Asante sana mtumishi, maombi haya ni ya tofauti sana na yana nguvu sana. Barikiwa sana.

  • @PriscaMmasa
    @PriscaMmasa Год назад

    Ameni bwana naomba kupitia maombi haya ukanifanikishie haja ya moyo wangu

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 Год назад

    Amina ubarikiwe sana kwa maombi mazuri

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 5 месяцев назад

    ameen baba nifungulie milango ya risk sikuyaleo ninechoka baba 😢

  • @dinachitungo8795
    @dinachitungo8795 4 месяца назад

    Mungu akubariki sana

  • @HellenAyubu-g5q
    @HellenAyubu-g5q 3 месяца назад

    Ameen mungu awabarik nakuwatunza

  • @GaudenciaMasaba
    @GaudenciaMasaba 2 месяца назад

    Amen Asante mungu.

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm Год назад

    Amina barikiwa sana

  • @ConsolataSanga-eq4md
    @ConsolataSanga-eq4md 3 месяца назад

    Mungu unilinde mimi na Familia yangu siku ya Leo. A I a

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr Год назад

    Asante Bwana
    Yesu , wewe ni
    Mwema kw

  • @lilyMwaisi
    @lilyMwaisi 2 месяца назад

    Ameni asante mungu

  • @kedmondzakaria4299
    @kedmondzakaria4299 5 месяцев назад

    Mungu anibariki

  • @CandyKenya-p8g
    @CandyKenya-p8g Месяц назад

    Ameeen 🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏

  • @emiliemukungilwa2170
    @emiliemukungilwa2170 Год назад

    Damu ya yesu iwe juu ya famillia nzima 🙏amen

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm Год назад

    Amina barikiwa

  • @enelesiwilliam3472
    @enelesiwilliam3472 7 месяцев назад

    Naamini Yesu amesikia maombi haya tulioomba na ametenda

  • @KamiyattiNamusisi
    @KamiyattiNamusisi 6 месяцев назад

    Ewe mungu babw naomba uponyaji😢

  • @HelenaMakao-uf2iy
    @HelenaMakao-uf2iy Год назад

    Amina mungu akubaiki

  • @CandyKenya-p8g
    @CandyKenya-p8g 2 месяца назад +1

    Ameen 🙏🙏🙏🙏

  • @beatricesanga7856
    @beatricesanga7856 8 месяцев назад

    Amen asante sana

  • @RolandKishimbo
    @RolandKishimbo 24 дня назад

    Amen imekua

  • @Eunice254-o7x
    @Eunice254-o7x 8 месяцев назад

    Amen God bless you

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 2 месяца назад

    Ameeeni 🎉🎉❤❤❤

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Год назад

    Damu ya Yesu inifunike siku leo Ameeen

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 5 месяцев назад

    Damu Yayesu Inez’s mema kwenye uchumi wangu

  • @elizaphilimon5349
    @elizaphilimon5349 Год назад +1

    Nakombolewa kwa damu ya yesu 🙏🙏🙏🙏

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 Год назад

      BWANA YESU ASIFIWE Nakuomba utazame hi video na MUNGU AKUBARIKI
      ruclips.net/video/MzLw337zhTI/видео.html

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 7 месяцев назад

    Swala la nafsi kuwa huru nalitamani sana sana mwl ili nafsi zetuziweze kuwa huru tunafanyaje baba Mungu azidi kukutunza