MAOMBI YA ASUBUHI | BWANA niokoe

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 425

  • @AlexiaMapunda
    @AlexiaMapunda Год назад +3

    Nimebarikiwa na maombi ya asubuhi

  • @andongolilemwakibwili9650
    @andongolilemwakibwili9650 Месяц назад +2

    Amen Amen mtumishi wa Mungu napokea kwa Imani

  • @moumou2856
    @moumou2856 Год назад +2

    Eee Bwana nibariki adui zangu wasipate furaha juu yangu...ameeen

  • @rosemhina6114
    @rosemhina6114 11 месяцев назад +4

    Bwana Yesu, asante kwa kunibariki kupitia sala hii. Naliinua jina lako. Nifunike kwa damu yako ya thamani yesu wangu. Amen!

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 Год назад +3

    Damu ya YESU inene mema kwaajili yangu ikanifutie adha zote na dhiki zote ,mikosi laana na mabalaa maishani.Amen

  • @rashackgodwilly714
    @rashackgodwilly714 5 месяцев назад +2

    Amina ❤

  • @catherinebarn1493
    @catherinebarn1493 Год назад +3

    Asante.kwa maombi haya ya asb. Mungu akubariki sana

  • @FortunataMacha-cl2to
    @FortunataMacha-cl2to Год назад +1

    Mungu akubariki kwa maombi haya mazuri ubarikiwe mtumishi

  • @OliverMponda
    @OliverMponda 3 месяца назад +1

    Asante mungu kwa kunilinda salama mimi na familia yangu pigsna nao wanaonifutilia mimi na familia yangu wachomwe mikuki kwa jina la yesu

  • @shamiramsoke1365
    @shamiramsoke1365 2 месяца назад +1

    AMEEN AHSANTE YESU🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JoycenyellaJoyce
    @JoycenyellaJoyce 7 месяцев назад +2

    Damu ya YESU ikanene mema juu yangu na juu ya watoto wanguuuu katika jina la YESU Kristo aliye hai Amen

  • @victoriashelutete
    @victoriashelutete Год назад +5

    Amina napokea kwa jina la Yesu ndoa yangu leo itapona 🙏🙏😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @elizabethmkude9452
    @elizabethmkude9452 10 месяцев назад +1

    Amen mtumishi nimebarikiwa na maombi haya ya hasubui

  • @sarahmashala2682
    @sarahmashala2682 Год назад +4

    🙏🙏🙏 tumebarikiwa sana kwa maombi haya mimi na mama yangu. Mungu akubariki Mtumishi wa Bwana

  • @JescaKaihula
    @JescaKaihula Год назад

    Napokea kwa Jima yesu amina ubarikiwe sana mtumishi.❤❤❤❤❤❤

  • @NaimaYahya-b9u
    @NaimaYahya-b9u 8 месяцев назад +3

    Asante kwa maombi ya ssubuhi siku ya Leo Nina lman adui zangu wameangamia kwa moto wa mungu ameniiii ❤❤❤❤❤

  • @christerbellaangelo4783
    @christerbellaangelo4783 11 месяцев назад +1

    Amen Amen AMEN 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏

  • @RudahidwaMitima
    @RudahidwaMitima 9 месяцев назад +1

    Napokea katika jina la yesu

  • @FransiskaJohn-fq1nf
    @FransiskaJohn-fq1nf Год назад +10

    Kila ninapoamka nafuatisha maombi haya na mungu ananilinda mno ,amen

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango Месяц назад

    🎉Amina asante sana mtumishi wa Mungu kupitia jina la yesu Kristo wa Nazareth! UBARIKIWE SANA!

  • @marymohammed-wf8tr
    @marymohammed-wf8tr 8 месяцев назад +1

    Mungu wauruma nakukimbilia wewe unisaidie nakujibu ombilangu baba😭🤲

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Aminaaa MUNGU akubariki mtumishi kwa maombi haya Asante

  • @zubedambilinyi6426
    @zubedambilinyi6426 Год назад +1

    Ameeni

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 9 месяцев назад +1

    Watesi wangu wafedheheshwe kwa jina la Yesu kwa jina la Yesu milango ya baraka na uponyaji iliyofungwa ifunguke asubui hii kwa Jina la Yesu
    Mtumishi Ubarikiwe

  • @LizzyOfficial-g5g
    @LizzyOfficial-g5g 2 месяца назад

    AMEEN 🙏 BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU 🙏 18/11/2024

  • @KhatijaKumbuka
    @KhatijaKumbuka 2 месяца назад

    Ee Mungu unishindie,unipiganie kwajina la Yesu

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 7 месяцев назад

    E bwana yesu. Naomba nitembee na zaburi 7:1-2 Naomba

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 Год назад

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏

  • @damarisabdueli3604
    @damarisabdueli3604 Год назад +2

    Amen 🙏❤

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 Год назад

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @emachangale769
    @emachangale769 Месяц назад

    Amen. Amen. Nimepokea kwa jina la Yesu

  • @RachellRamadhan-f9k
    @RachellRamadhan-f9k 21 день назад

    Amen amen mungu baba akubariki sana mtumishi wa mungu

  • @annegunga3738
    @annegunga3738 3 месяца назад

    Baba nakushukuru Kwa maombi haya,naomba kibali Cha Kusoma Biblia na kuenenda sawa na mapenzi Yako YESU KRISTO Mimi na familia yangu

  • @NasriHasan-tv7vy
    @NasriHasan-tv7vy 9 месяцев назад

    Asante bwana yesu kwakuniamsha salama mimi na familia yangu, naomba damu yako inifunike na familia yangu kila sehemu nitokapo na niingiapo Amen

  • @jenifadaniel7752
    @jenifadaniel7752 Год назад +1

    Amina! Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa maombi mazuri ya asubuhi

  • @CarolyneNerima
    @CarolyneNerima 7 месяцев назад

    Naomba Mungu hii amponye mtoto Shamiri mukoya mahali alipo katika hospital ya kakamega.kwa Damu ya Yesu

  • @sabinachimbuvu5409
    @sabinachimbuvu5409 Год назад

    Amina Napokea Kwa Jina La Yesu Ubarikiwe Mtumishi

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Amina mtumishi barikiwa Sana kwà maombi haya Asante Sana 🙏

  • @naomingoti288
    @naomingoti288 9 месяцев назад

    MUNGU azidi kukutunza Sana shambani mwake mtumishi wa MUNGU

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 Год назад

    Asante mungu Kwa kunilida usiku umeniamsha salama mm na watoto wangu family yangu mshaburizi ya watu wambya naifuta Kwa damu ya yesu nifunike Kwa damu yako damu yesu inifunike watoto wangu damu yesu ifunike na kila changamoto nizinazo kuja kwangu damu ya yesu ifunike kazi zangu katika jina la yesu kirsto Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @NaZ1-o5k
    @NaZ1-o5k 2 месяца назад

    Ee mungu unilinde family yangu wanao nao pigana nasi pigana nao Amen

  • @edithasichalwe2520
    @edithasichalwe2520 10 месяцев назад

    Ninakushukuru Mungu Kwa kunilinda usku mzima na kuniamsha salama ni upendo wako na huruma zako nmeamka salama 🙏kambarik na mtumishi wako huyu Kwa maombez mazur.🙏

  • @mambazichristopher3785
    @mambazichristopher3785 2 месяца назад

    Nakushukuru Bwana Yesu kwa ulinzi wako Ameen

  • @LucyMmary-dm5vu
    @LucyMmary-dm5vu Год назад +1

    Asnte yesu❤

  • @GivenSimkoko
    @GivenSimkoko 4 месяца назад

    Ameni nimeami mungu atanilinda ataniponya kwa damu ya yesu

  • @AvelinaNestory-y8l
    @AvelinaNestory-y8l 4 месяца назад

    Damu ya yesu inene memaa katika maisha yangu Amen

  • @ElizabethLaizer-h5i
    @ElizabethLaizer-h5i Год назад

    Amen, Amen na ikawe hivyo Kwa jina la Kristo Yesu Alie hai🙏🙏

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Amen barikiwa mtumishi

  • @jasmisshajra4391
    @jasmisshajra4391 Год назад +1

    Amina sana Mtumishi wa MUNGU kwa maombi ya Asubuhi MUNGU akubariki sana

  • @Godfreykabuje
    @Godfreykabuje 6 месяцев назад

    Mungu akubariki kwa maombi haya mazuri na kila nikiamka nafuatisha Maombi hayo mungu akubariki sana

  • @LilianSande-fo4in
    @LilianSande-fo4in 8 месяцев назад

    Mungu bariki kazi ya mikono yangu niongeze kwa Kila njia

  • @speshoman833
    @speshoman833 Год назад +1

    Ameen 🙏🙏 God bless you ameen 👏

  • @HappyMhagama
    @HappyMhagama 10 месяцев назад

    Ameen mtumishi nimepokea kwajina la yesu mungu akubaliki kwamaombi

  • @elizaphilimon5349
    @elizaphilimon5349 2 года назад +1

    Amen

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 Год назад +1

    Amen na asante sana kwa maombi haya mazuri.

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 Год назад

    Amen Amen Amen Amen Amen 🙏

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Amen mtumishi barikiwa Sana kwa maombi haya

  • @OmanUsers-n5f
    @OmanUsers-n5f Год назад

    Asante Mungu kwa kunilinda na kuniamsha salama naomba Mungu nivushe salama siku ya leo kila hukumu ,mashambulizi yakichawi,roho za Mauti na mabaya yote yaliyopqngwa cku ya leo yasifanikiwe najifunika kwa damu ya Yesu Kristo yenye nguvu kuliko damu zote na sadaka zote Amen

  • @SilverDaploo-rw1mp
    @SilverDaploo-rw1mp Год назад

    Amina biashara ikabarikiwe siku ya Leo pamoja na za wengine pia Kwa jina la Yesu

  • @MaryNyato
    @MaryNyato Год назад

    Amen naiwe hivyo mtumishi wa Mungu napokea🙏🙏🙏

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb 5 месяцев назад

    Maombi ya ushindi Amen

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 2 года назад +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @kakajaymoe8713
    @kakajaymoe8713 2 года назад +1

    Ameen mtumishi 🙏💓

  • @AdelaNgeni
    @AdelaNgeni 5 месяцев назад

    Nashukuru mchungaji kwa maombi mungu asikuache,naamini imekuwa kwa jina na damu yaa yesu aadui hana nafasi mbele yangu,sina hofu nikimwamini yesu kristu.

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 Год назад

    Amen napokea uponyaji wa kichwa kwa Jina la yesu Amen 🙏

  • @ShangaziShangazi
    @ShangaziShangazi Год назад

    Mungu naomba ushindi na amani itokayo kwako amen

  • @abiyambilinyi3862
    @abiyambilinyi3862 Год назад

    Amina napokea kwa jina la yesu leo
    Nitapona vidonda vya tumbo

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Amen mtumishi barikiwa Sana 🙏

  • @dfkcic3184
    @dfkcic3184 Год назад

    Asante bwana yesu kwa kuniamsha.salama..ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @mercykoech1487
    @mercykoech1487 Год назад +1

    Amen 🙏

  • @heriethmozes8151
    @heriethmozes8151 Год назад

    Ameen napokea katika jina la yesu

  • @martinehussein7261
    @martinehussein7261 2 года назад +1

    Ameen

  • @magretikikwete3140
    @magretikikwete3140 Год назад

    Amen Amen jina la Bwana wetu Yesu kristo libarikiwe milele Amina🙏🙏

  • @Sarahsilvestar
    @Sarahsilvestar 3 месяца назад

    Asante animebalikiwa mtumishi kwa maombi mazuri

  • @sudiadiane
    @sudiadiane 2 года назад +1

    Amen Amen Amen 🙏

  • @EmmanuelMirambo
    @EmmanuelMirambo 4 месяца назад

    Naenda kumuomba mungu❤❤❤😂🎉🎉😢😮😅😅😊a

  • @josettemoukama5705
    @josettemoukama5705 Год назад

    Amen napokeya kwa jina la yesu

  • @annawambura5175
    @annawambura5175 2 года назад +1

    Amen Mungu akubariki Sana Mtumishi

    • @omansaham6362
      @omansaham6362 Год назад +1

      Amen Mtumishi WA Mungu ubarikiwe na Mungu 🙏🙏🙏

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 2 месяца назад

    Amen Amen grory to God

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 9 месяцев назад

    Nisala nzuri sana kwa ulinzi wa Damu Ya Yesu siku nzima

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm Год назад

    Aminaa Tena Amina barikiwa mtumishi Kwa maombi ya hasubuhi

  • @HusseinRashidi-wt8es
    @HusseinRashidi-wt8es Год назад

    Amina napokea katika jina la yesu

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm Год назад

    Ameeni napokea Kwa Jina la yesu barikiwa

  • @hcyfhs566
    @hcyfhs566 Год назад +1

    Ameeeen

  • @saummbaga5767
    @saummbaga5767 2 года назад +1

    Amen,

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr Год назад

    Asante Bwana Yesu.
    Amen Ubarikiwe Mts.
    Sana Kwa maombi haya
    ya asubui.

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm Год назад

    Ameeni napokea Kwa Jina la yesu

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr Год назад +1

    Asante Bwana Yesu Kwa maombi haya ya asubui!!
    Ubarikiwe Mtumishi wa
    Mungu Kwa
    maombi ya Asubuhi yananitia nguvu.🎉🎉

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo Год назад

    Amen amen ,Mungu wangu ni wewe tegemeo langu, unilehemu siku ya leo uniponye,amen amen,

  • @naomingoti288
    @naomingoti288 9 месяцев назад

    Ameeeen damu ya Yesu kristo ikanene mema juu ya family yangu siku yaleo

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Amen mtumishi kwa maombi haya mazuri barikiwa Sana 🙏

  • @ElizabethLaizer-h5i
    @ElizabethLaizer-h5i Год назад

    Amen, Amen na ikawe hivyo Kwa jina la Yesu

  • @stephanomollel1190
    @stephanomollel1190 Год назад

    Napokea kwa jina la Yesu 🔥🔥 mtumishi wa BWANA Amina

  • @BrigtaMsechu
    @BrigtaMsechu Год назад

    Amen Amen mtumishi wa bwana ubarikiwe

  • @NaZ1-o5k
    @NaZ1-o5k 11 месяцев назад

    Amen Asante kwa maombi ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @odettenzeyimana6278
    @odettenzeyimana6278 Год назад

    Amen amen mutumishi wa mungu

  • @bertilashirima3438
    @bertilashirima3438 10 месяцев назад

    Amen mtumishi wa bwana

  • @abiyambilinyi3862
    @abiyambilinyi3862 Год назад

    Nimeamini ninapona kwa jina la yesu na kwa damu ya yesu.
    U

  • @JoyceSikana
    @JoyceSikana Год назад

    Amina nimepokea Kwa jina la Yesu

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr 2 месяца назад

    Asante Bwana Yesu Kwa ulinzi
    wako na kuniamsha salama siku ya Leo.Ubarikiwe Mtumishi wa Bw.❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @MarietaRukag-ch1vr
      @MarietaRukag-ch1vr Месяц назад

      Asante Sana Bwana Yesu Kwa
      Ulinzi wako usiku
      kuchua.❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢🎉

    • @MarietaRukag-ch1vr
      @MarietaRukag-ch1vr 11 дней назад

      Asante BwanaYesu Kwa kutulinda usiku mimi na familia na
      kutupa uzima Leo.❤❤🎉