- Видео 6
- Просмотров 1 594 793
Maombi Ya Asubuhi
Танзания
Добавлен 31 авг 2021
MAOMBI YA ASUBUHI | BWANA pigana nao
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya.
Zaburi 35:1-7 | Ee Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami. Uishike ngao na kigao, Usimame unisaidie. Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako. Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya. Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa Bwana akiwaangusha chini. Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia. Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu.
Zaburi 35:1-7 | Ee Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami. Uishike ngao na kigao, Usimame unisaidie. Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako. Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya. Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa Bwana akiwaangusha chini. Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia. Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu.
Просмотров: 281 818
Видео
MAOMBI YA ASUBUHI | Nakutegemea wewe
Просмотров 99 тыс.Год назад
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Zaburi 18:18-19 | Walinikabili siku ya msiba wangu, Lakini Bwana alikuwa tegemeo langu. Akanitoa akanipeleka panapo nafasi, Aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami.
MAOMBI YA ASUBUHI | BWANA niokoe
Просмотров 237 тыс.Год назад
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Zaburi 7:1-2 | Bwana, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe, Uniokoe na wote wanaonifuatia, uniponye. Asije akaipapura nafsi yangu kama simba, Akiivunja-vunja pasipokuwa na wa kuponya.
MAOMBI YA ASUBUHI | Nishike mkono
Просмотров 310 тыс.2 года назад
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Zaburi 37:23-24 | Hatua za mtu zaimarishwa na Bwana, Naye aipenda njia yake. Ajapojikwaa hataanguka chini, Bwana humshika mkono na kumtegemeza.
MAOMBI YA ASUBUHI | Sitaogopa
Просмотров 629 тыс.2 года назад
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Yeremia 1:8 | Usiogope kwa sababu ya hao maana mimi nipo pamoja nawe nikuokoe, asema Bwana.
MAOMBI YA ASUBUHI | Nitatoka Kwa Furaha
Просмотров 42 тыс.2 года назад
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Isaya 55:12 | Maana mtatoka kwa furaha, Mtaongozwa kwa amani; Mbele yenu milima na vilima vitatoa nyimbo; Na miti yote ya kondeni itapiga makofi.
Amen 🙏🙏🙏
Amena amena❤❤❤❤❤❤
Amena amena😊😊😊😊😊amena
Ameeen ewe mungu wangu pigana nao wote wanao pigana na mm
Asante Bwana Yesu kunipa uzima wa kuishi siku ya Leo. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.
Ameen
Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽Asante kwa maombi pastor nimepokea katika jina la yesu Amen 🙏🏽
Asante yesu kwa uzima wa leo
Ameen Damu Yesu inene mema juu yangu siku ya leo
Amen Asante Mungu kwa. Siku nyingine ukawe pamoja. Nami Katik sikunzima ya Leo 🎉
AMEN 🙏
Ameen
Ameen
Amen napokea kwa damu ya yesu
Amen Imekuwa
Amen 🙏
Ameen
Ameen mungu apewe sifa na utukufu nivyake eye alie juu
Amina
Amern Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo
Amne Amne
Bwana yes u asifiwe
Amena amena😊😊😊😊😊😊
Amen
Ameni
Asante kwa maombi haya yenye nguvu za Mungu. Barikiwa
Amen Amen Amen,Mtumishi Barikiwa sana.
Ameen
Ee mungu wangu pingana na adui zangu pingana nawanaopigana na mm
Amen
Amen Ame nimepokea
Asante Mungu kwa asubuh ya leo
asant munguwangu kwaniamsha salama
Amina mtumishi wa Mungu
Nashukuru sana Mungu kwa ulinzi wako kwangu.
Ee bwan niinuwe asubuhi ya leo
Amen
Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo
Amen
Nguvu za shetani, vita za kiroho zishindwe ktk, jina LA yesu
Mungu utulinde situation ya leo
Forgive me lord destroy all bad dreams all what sprite tokaakwajina layesu naifuta kwadamu yayesu
Asate bwana yesu
Amena amena
Amiina bwana utete nao wanaoteta Nami upigane nao wanaopigana Nami amiina
Damu yaYesu ikanene nami pale niangukapo naomba unishike mokono peke angu siwez bali wewe ndio nuru yangu bariki kazi ya mikono yangu na kwaajili ya watoto naomba hayo kwa Njia ya Yesu Kristo bwana wetu Amen🙏🙏
Amen nashukuru
Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo
Asant yesu kwa siku nyingine amina sana
Amen