Alikiba - Nahodha (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @alikibaOfficial
    @alikibaOfficial  2 месяца назад +485

    Shusha Comment yako hapo chini Niambie umependa nini kwenye wimbo huu

    • @AllyMeshack
      @AllyMeshack 2 месяца назад +19

      Video Kari king

    • @Dtuesdei
      @Dtuesdei 2 месяца назад +9

      Kunyonya maziwa 😅

    • @JojyLuhasa
      @JojyLuhasa 2 месяца назад +8

      Nanona nanyonyeshwa maziwa

    • @JojyLuhasa
      @JojyLuhasa 2 месяца назад +5

      Wanasubiri tuachane ata kesho si si bado

    • @janvierbanzi8738
      @janvierbanzi8738 2 месяца назад +2

      naupenda kiukweli kabisa💝🔐💫💫

  • @EyazMusic
    @EyazMusic 2 месяца назад +8

    INTERNATIONAL

  • @deejayclef
    @deejayclef 2 месяца назад +67

    Nahodha Wa muziki ni King Kiba mwenyewe

    • @abdullahadamuabdullahadamu6093
      @abdullahadamuabdullahadamu6093 2 месяца назад +1

      hii nyimbo kwanza ni kali sana kaka mkubwa na video yake ni hd ya kushiba huna baya king layoo hapa

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi 2 месяца назад +38

    @Alikiba ni King 👑 wa tz 🇹🇿 kamaunakubali liki apa 🎉🎉🎉

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 2 месяца назад +86

    Asalamu walekum bwana yesu asifiwe utakayesoma hio comment mungu akupe maisha marefu kama unakumbali kingi kiba please tujuane hapa kwa like🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ndayambajeshaban3271
    @ndayambajeshaban3271 2 месяца назад +30

    Wee ndio mfalme kwenye bongo music. You're my favourite artist mpaka mwisho wengine sijui

  • @collinswambani8972
    @collinswambani8972 2 месяца назад +31

    Mkali Wa bongo flavour king kiba 👑🇰🇪🇰🇪 give me a like

  • @kagenzikanala109
    @kagenzikanala109 2 месяца назад +5

    Nailed it... unajua mpaka tena

  • @rajabuwiliam5854
    @rajabuwiliam5854 2 месяца назад +18

    Jamani nimechelewa ila naombeni like za mfalume king kama unamkubali

  • @ibrahstar7590
    @ibrahstar7590 2 месяца назад +17

    Nahodha Wangu yupo katulia.

  • @gildohilariomaurus5719
    @gildohilariomaurus5719 2 месяца назад +47

    Lete mambo mfalume wanyoxe watoto

  • @AgOk-b5j
    @AgOk-b5j 2 месяца назад +7

    Yani amazing Sana tu bro ❤❤❤

  • @PaschalMpimbwe
    @PaschalMpimbwe 2 месяца назад +8

    Ooooh nikiwa ndama nanona nanyonyeshwa maziwa

  • @RibinByamungu
    @RibinByamungu 2 месяца назад +2

    Kabisa nafurahi sana. Toka Congo vraiment courage mon frère

  • @moseschoore7587
    @moseschoore7587 2 месяца назад +7

    Napenda melody, yani kila ki2 Sawa, 254 tunapenda ufalme wako

  • @ibrahimmasudi1548
    @ibrahimmasudi1548 2 месяца назад +2

    King 👑 kiba babalao huu muziki umetisha sana na kuenea kwa kasi hongera kiba kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @yustinrockboy4091
    @yustinrockboy4091 2 месяца назад +52

    Wakwaza apa kuishbili official video kama nawe upo na me like zake apa king

  • @JumaGoroto
    @JumaGoroto Месяц назад +7

    King kiba apewe maua yake kabla hajafa ..kweli ufalme ni wake wa bongo ..una inspired

  • @Majid-i9c
    @Majid-i9c 2 месяца назад +6

    Nimependa melody na ujumbe Alikiba anaujua Sana kuimba king forever was bongofleva

  • @WilliamSonoma-q4d
    @WilliamSonoma-q4d Месяц назад +5

    Very perfect video quality ❤🎉

  • @Edgar_49
    @Edgar_49 2 месяца назад +10

    Mungu Akupe Nini Mackmuga. Here we go...... King 👑

  • @SamuelNiconizigiye-xf4ic
    @SamuelNiconizigiye-xf4ic 2 месяца назад +7

    Mfalme wa music duniani napenda king kiba natamani kumuona uso kwa uso from Burundi .

  • @RayaRidhwanShehe-xx9cq
    @RayaRidhwanShehe-xx9cq 2 месяца назад +9

    Nahodha wangu np nae zanzibar

  • @sharafijaribu5590
    @sharafijaribu5590 2 месяца назад +6

    Kwel we ni king of the king unavaa kifalme kabisa

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 2 месяца назад +18

    Wa Congo 🇨🇩 mko wapi? Mnipe liké zangu hapa chini
    👇

    • @InesRubakare
      @InesRubakare 13 дней назад

      Tupo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩king forever

  • @JosefjemsiNgosha-lw5nf
    @JosefjemsiNgosha-lw5nf 2 месяца назад +14

    Imekaaaa kimataifa zaidiiii👊👊👊👊

  • @LudovicAlfredy
    @LudovicAlfredy 2 месяца назад +5

    Yaaan everything is good KING KIBA KING 👑 mfalme wa bongo flaver

  • @GeorgeSafari-s8z
    @GeorgeSafari-s8z 2 месяца назад +2

    Mfalme kama mfalme,maziwa unanyonyeshwa sio😊😊😊what a simple and sweet video from the King himself

  • @sumailally
    @sumailally 2 месяца назад +3

    Bado atuja choka kusikiliza ngoma 🎉🎉🎉🎉🎉 zidi kutupa raha mashabiki zako King Kiba

  • @YunucMarjeby
    @YunucMarjeby 2 месяца назад +10

    My favorite song unajua sana mkubwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @anorddevi1185
    @anorddevi1185 2 месяца назад +14

    King kiba 👑 mfalume wa bongo fleva🔥🔥🔥🔥🔥👑👑👑👑👑

  • @EnockSontonga-bg7im
    @EnockSontonga-bg7im 2 месяца назад +5

    Fire 🔥 📛

  • @MZTIMES
    @MZTIMES 2 месяца назад +78

    Nirikuwa niki isubiri kwa hamu saana 😮😮😮.

  • @DavidMuhingwa
    @DavidMuhingwa 2 месяца назад +5

    Nakukumbali kakangu unajuwa

  • @kennedymatiko6830
    @kennedymatiko6830 2 месяца назад +6

    Kali sana, nimependa ubunifu video ni kali kweli 🔥🔥

  • @juliuskitao7839
    @juliuskitao7839 2 месяца назад +11

    Yeeebaba chukua 🎉🎉🎉 yako nahozaaaaaa

  • @Deogratias-d3l
    @Deogratias-d3l 2 месяца назад +12

    Sijui kuimba ila haka kawimbo nimejitahidi kukashika mwanzo mwisho ❤️💯🙌🙌

  • @VictorBwasama
    @VictorBwasama 2 месяца назад +7

    Music mzur video qaliii Asante sana mfalume🔥🔥🥰

  • @HOUSEOFCONGOMOVIE
    @HOUSEOFCONGOMOVIE 2 месяца назад +9

    King of king .asante bro naitwa kiba toka congo

  • @Khadijaaa-f5g
    @Khadijaaa-f5g 2 месяца назад +6

    Mpango mzima kiba❤❤❤❤

  • @chaduachadua8917
    @chaduachadua8917 2 месяца назад +15

    Umeme king

  • @kennedymatiko6830
    @kennedymatiko6830 2 месяца назад +12

    #kingkiba

  • @MaryamuLoty
    @MaryamuLoty 2 месяца назад +9

    Nakuku Bali Toka naikiwa mdogo mpaka Leo ❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mbate250
    @Mbate250 2 месяца назад +23

    Alikiba niwe Wang 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🎉🎉

  • @SamuelOuma-uy2ci
    @SamuelOuma-uy2ci 2 месяца назад +8

    Mfalume siku zote

  • @WendoJuma
    @WendoJuma 2 месяца назад +14

    Masterpiece

  • @TofoliAbel
    @TofoliAbel 2 месяца назад +11

    King kibaaaa,

  • @rashlyblacksaud1766
    @rashlyblacksaud1766 2 месяца назад +9

    Classic Video....
    Pure bongo flavour
    Yebaba

  • @patrickgibore2096
    @patrickgibore2096 2 месяца назад +5

    Ngoma ya moto balaaa kiukweli pokea Maua Yako King🎉🎉

  • @JumaIddi-j1l
    @JumaIddi-j1l 2 месяца назад +4

    Ngoma Kali

  • @jusabakari5278
    @jusabakari5278 2 месяца назад +6

    Kingkiba the singer and musician i appreciate generally.

  • @BecksonBrow-n6o
    @BecksonBrow-n6o 6 дней назад +1

    Nakukubali janja langu kiba

  • @jayson.chanel.9870
    @jayson.chanel.9870 2 месяца назад +7

    Mfalme wa BONGO FLEVA king 🤴 🙌 👏 ♥️

  • @Best_tz
    @Best_tz 2 месяца назад +3

    King huna baya Kaka 🎉🎉🎉

  • @Dr_Cayden_Official
    @Dr_Cayden_Official 2 месяца назад +12

    Kali kuliko ❤ nakubali❤

  • @BosimuneneTv
    @BosimuneneTv 2 месяца назад +9

    Hii Ngoma kali sanaa

  • @empafricatv
    @empafricatv 2 месяца назад +23

    Nahodha ya Bongo FLAVA 🎉🎉🎉 ALI

  • @N.F.classic
    @N.F.classic 2 месяца назад +3

    Daaah Nakubali 🎉Ume tumia Ubunifu mkubwa sn 🎉Video 📹 kali sn

  • @richardmloha1762
    @richardmloha1762 2 месяца назад +13

    Eeh sasaaa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @geohmakerseven
    @geohmakerseven 2 месяца назад +9

    Wangapi wampenda ukipusa alio onyesha King 👑 KIBA

  • @AFRO-io5qp
    @AFRO-io5qp 2 месяца назад +137

    Kama unamkubali alikiba naupo CONGO 🇨🇩 like apa✌️

  • @reaganke53
    @reaganke53 2 месяца назад +10

    video quality it's soo perfect📌

  • @FabriceKadio
    @FabriceKadio 2 месяца назад +47

    Wakwanza south afrique 🎉🎉🎉❤

    • @brunokisubi
      @brunokisubi 2 месяца назад +1

      🎉

    • @FabriceKadio
      @FabriceKadio 2 месяца назад +1

      Wimbo uyu siyo yetu Siba single tuende tulale😂🎉❤

    • @FabriceKadio
      @FabriceKadio 2 месяца назад +1

      Ni atari Kaka ya wapenda naho🎉❤😢

    • @FabriceKadio
      @FabriceKadio 2 месяца назад +1

      Kings Uta tu uwa na love 🎉❤😂

    • @FabriceKadio
      @FabriceKadio 2 месяца назад +1

      🎉Najona nashanganyikiwa 🎉❤😂

  • @chidi_don
    @chidi_don 2 месяца назад +5

    Kali sana hi ngoma na video imetulia sana bro king Kiba 🔥✊🏾💯

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 2 месяца назад +9

    Nahodha my favourite song ❤by king kiba 🔥🔥🔥🙌

  • @kingcheater2554
    @kingcheater2554 2 месяца назад +5

    Wao wao

  • @husseinally7822
    @husseinally7822 2 месяца назад +4

    King kama King asante kwa kutuweka kwa hewa

  • @MAZINGER7
    @MAZINGER7 2 месяца назад +12

    yebabaaaaaaaaaaaaa 🕺🏻

  • @Diasdigital-gm
    @Diasdigital-gm 2 месяца назад +3

    hilo goma nalikubali sana

  • @WellingtonDzuya-pt8fj
    @WellingtonDzuya-pt8fj 2 месяца назад +4

    Mziki niwako king aki

  • @YohanaIsharaGedeon
    @YohanaIsharaGedeon 2 месяца назад +4

    MTU WA maana sana Tz mfalme kiba, suis au Congo🇨🇩

  • @RosemarieSheeqoh
    @RosemarieSheeqoh Месяц назад +1

    Finally umeimba kuhusu nahodha coz you've always driven me Crazy...lots of love from Kenya

  • @RamadhaniIssa-d5q
    @RamadhaniIssa-d5q 2 месяца назад +3

    Hongera kaka unajua

  • @obbykicki
    @obbykicki 2 месяца назад +9

    King kiba ni nahodha kweli🎉🎉🎉🎉

  • @BoniphaceDonald
    @BoniphaceDonald 2 месяца назад +4

    Good video king ujawah kosea

  • @huncho_1738_
    @huncho_1738_ 2 месяца назад +4

    Mistari kali mfalme

  • @ChristopherMuna-ny7gp
    @ChristopherMuna-ny7gp 2 месяца назад +5

    Nyimbo nzuri sanaa❤❤❤❤

  • @AthumanbonyeBonye1
    @AthumanbonyeBonye1 2 месяца назад +1

    Toto hilo nahodha mwenyewe nimempenda

  • @kevinolita1367
    @kevinolita1367 2 месяца назад +7

    Mflame siku zote 🎉🎉🎉🎉

  • @idrisananyakata
    @idrisananyakata 2 месяца назад +12

    Sijategemea kabisa ngoma yangu pendwa kwenye starter video haujaitendea haki kabisaa😢😢 video ya laki 3 kweli serious KING 😥😥😥

  • @ingihauksson8326
    @ingihauksson8326 2 месяца назад +4

    my fav song, love from Iceland

  • @juliuspeter6971
    @juliuspeter6971 2 месяца назад +2

    Brooh unajua sanaaaa

  • @elevanjude260
    @elevanjude260 2 месяца назад +4

    Wimbo mzur na video mzur; shabik wako toka tunduru tanzania❤❤

  • @elevanjude260
    @elevanjude260 2 месяца назад +2

    Ngoma kali sana KING KIBA❤

  • @solomonmutuku7224
    @solomonmutuku7224 2 месяца назад +5

    Nice lyrics keep it up Alikiba I grew watching you till now nikona familia.. Kenyan's are proud of you..Bravo

  • @zackaliajohn4015
    @zackaliajohn4015 2 месяца назад +3

    nakubali mzee

  • @IssaHaruna_oficial_channel
    @IssaHaruna_oficial_channel 2 месяца назад +14

    Unaimba mziki wa kudumu kalne na karne hongera saana kiba❤🔥🔥🔥

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 месяца назад +2

    King kiba ujawahi kutuangusha mashabiki zako

  • @octavianeptune2633
    @octavianeptune2633 2 месяца назад +4

    Umetisha kabisa

  • @coco2031
    @coco2031 Месяц назад +2

    Nyimbo zako Huwa napenda hazina tatizo. Big up brother mungu akupe muendelezo mzuri zaidi

  • @ZantoMuhindo-h5j
    @ZantoMuhindo-h5j 2 месяца назад +11

    Nakufata kutoka canada❤

  • @kingmtetezi6670
    @kingmtetezi6670 2 месяца назад +2

    Ngoma kali sana

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 2 месяца назад +6

    Kiba Noma✔️❤️💥💥🔥🔥🔥🔥

  • @MichaelOtieno-yb5sc
    @MichaelOtieno-yb5sc 2 дня назад +1

    Nimependa huyo binti

  • @josee_official-o1y
    @josee_official-o1y 2 месяца назад +4

    Kama Unapenda ngomba ya alikiba nawewe nishabiki mkubwa nipee like bila maringo Kenya tunangoja hii video

  • @neymanlaurent
    @neymanlaurent 2 месяца назад +2

    Nyimbo Kali king

  • @empafricatv
    @empafricatv 2 месяца назад +8

    King 👑 wa mziki HUU

  • @SamosaWorldkenya
    @SamosaWorldkenya Месяц назад +1

    king alikiba apewe maua yake kabla hajafa kweli alikiba ni king wetu

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 2 месяца назад +16

    Tanzania, Kenya na Uganda. Afrika across the world. Tunaokubaliana kwamba huyu ni King na Talented tujuwane hapa 😂😂😂

  • @olicendayihimbaze4074
    @olicendayihimbaze4074 2 месяца назад +13

    King kiba yani wewe uko sahihi 🔥🔥