Huyu alikiba siyo mtanzania, huyu jamaa ni mkongo 🇨🇩🇨🇩, ila ndo kazaliwa 🇹🇿 tu kiukweli akuna mtanzania anaweza kufanya hivi tunajuwa watanzania wanaimbaga utopolo tu ila mziki mzuri na wanamuziki wazuri wanatokea DRC 🇨🇩. Watanzania unapaswa kumuheshimu sana huyu jamaa ni fundi sana kimziki angekuwa m🇨🇩 kama yuko mbali sana. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Qing km Qing.....waache waungane km kumi nyimbo moja ila ww utabaki mfalme....alot of love from Kenyans in QATAR🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪
Tujuwane wana team kiba ❤❤❤❤
I love this guys for real alikiba my favourite Artists watching you from UK big up 🎉
Realy bro
Team kiba like ukipita hiyu tupewe tuwape kasongoo 😂😂😂
msanii mwenye kipaji chake kisicho na janja janja toka kwa mungu ishi miaka mingi
Congratulations King Kiba from Goma DRC❤️🇨🇩🙏
Hakiba Tone
Nakubali sana music wako King 👑
We ni fundi wa melody Tanzania unatuwakirisha vyema
Salute kwako mfalme 👋👋👋👋👋👋
Saluth kwako King kiba que ❤❤❤❤ from 🇲🇿🇲🇿
Huyu alikiba siyo mtanzania, huyu jamaa ni mkongo 🇨🇩🇨🇩, ila ndo kazaliwa 🇹🇿 tu kiukweli akuna mtanzania anaweza kufanya hivi tunajuwa watanzania wanaimbaga utopolo tu ila mziki mzuri na wanamuziki wazuri wanatokea DRC 🇨🇩. Watanzania unapaswa kumuheshimu sana huyu jamaa ni fundi sana kimziki angekuwa m🇨🇩 kama yuko mbali sana.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Huyu MTU kweli Ni fundi.yani kama Malaika vile .Mungu akuweke bro alikiba
Super one bro, watching you all the way from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Ukisikia mwana mziki ndo huyu alikiba sasa siyo msanii wasanii hawa imbi live band kaka alikiba we ni king 🤴
Qing km Qing.....waache waungane km kumi nyimbo moja ila ww utabaki mfalme....alot of love from Kenyans in QATAR🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪
ally ndio mwamba wa muziki mzur hapa africa unao sikilizwa na kila rika na hata ukiwa na mama mmwe au wazazi unaskiliza bila mang'amng'am
Mwambien na ndugu yenu aimbe live km hajajamba😂😂😂😂😂👋👋🤸🥱🙌🤗🙃✅✅👑😊
🔥🔥🔥 Maua yako bwana King Kiba
It was an amazing performance 🔥🔥❤️🥂
Watu wa Congo tujuane tuko wagapi Mziki muzuri badoow sana 🎉
Hii ni live band or play back. Kama live band jamaa noma King kiba for life much love to you guy
Mfalme wa bongo fleva one love fans wote wa king kiba
Kaka King 👑 mie mdogo wako nakukubali sana
Hatr sana King always my Champ🔥🔥💪💪
From Congo Republic KALEMIE
Tunakubali king kama king👑
Nipeni subscribers zangu wana familia 🙏
Live KING 👑👑👑 unaua sana yaan THE NEXT LEVEL
Napenda nyimbo zako sana🔥🔥🔥🔥🔥
Anajua kabisa yani🎉🔥💫💥❤️🔥🔥😘👌
King 🤴 ni 1 tu King Kiba,,, ao wengine wakamfuate p didy
Nilikua nachungulia kila saa 😂 king 👑 usitucheleweshee bhana 😢❤❤❤❤❤❤
Alikiba i like this,,, you always does better
👑 nilikuwa naisubil hii show kwa ham uipost
Kaka ww ndo finding wa mziiki🎉🎉🎉🎉🎉
My nomba is KING Kiba
Unajua sana
KING atabaki kuwa KING siku zote!
Bravo king
🤴 for life🎉
Kingkiba
One Best Live Music Performer
Perfectly sound in the worldly
Yeah bahbah
Ina wezekana alikiba ni mkongomani kwa sababu anajuwa kuimba sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
King 👑
King 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
My king 🤴
Amazing King 👑 🙌
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉My favourite artist
First
Energy Kama yooote
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉CHUKUA MAUA YAKO
Mfalme ni mmoja nae ni Ali Kiba ❤❤❤
King
O rei king meu chara
Wakenya wenye tuko hapa likes wapi😂😂?
Ndio hawa sisi 😂😂😂
@emilymwaura4409 😂😂😂 basi
Nko apa mkenya mwenzko
😂😂😂😂 Nyie wakorofi jamaa zetu uwiii
@@rukiaiddyyahaya9506 😂😂 unachoma
Kiba to the world! Much love from 254!
Huyu ndio king of bongo freva
❤❤❤❤
King 👑 kiba fire 🚒🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
K I N G 🔥🔥🔥🔥
KING KIBA KATIKA UBORA
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Salute ❤❤❤
❤️❤️❤️❤️❤️❤️king 💯💯💯💯💯💯🔥🔥🔥
Kenya tupo wapi team kiba likes
Kali sana
King kama king 👑👑
Yebabaaaa❤
Congratulations #🎉🎉🎉🎉KING LUCK 56
From USA 🇺🇸 happy new year to all lovers of Alikiba ❤❤
My brother King ❤
msanii wangu bora❤😊
Kweli kua shabiki WA kiba Raha sana yebabaaaa
🎉❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kingkiba 👑
Alikiba ni mmoja tu
💥💥💥💥🌷🌷🌷🌷
King🤴 🔋🔥
Hii ndy levo ya kiba vaa suti piga shoo sio vinjunga na mijasho mingi tushatokaga huko
👑👑👑👑👑🙌
🤴 👑 🦁
Kiba 4 real
King kiba
🔥
From everywhere King the King❤❤❤❤🎉🎉
Yeeebabah 😇 😇 😇 😇 😇 😇 😇
Ali k 4reva 254 tunatambua bro
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Noma
Yaan unajuw mpaka kesho 🎉😂😂
Alikiba we ni balaa lingine kabisa uko moto sana kaka tuna enjoy sana mziki mzuri
This is super lively & cool❤🎉 keep on G
BABA KEYAN 🎉
To be honest,Yule msanii tunatambua Sana hpo kwenu tz Sisi kama wakenya si mwingine ni huyu jamaa ally k 4 real
❤ 😂 I lov alikiba so much
KING 👑 👑 ni mmoja ❤🎉🎉🎉😂
Live inalahayake ❤❤❤❤ asante ali
Watu sahii waswali Waenda mskitini we watupostia show Alikiba
Mbona haupo msikitini
Ni Jumamosi tayar ww 😂
@@MrTzakaSanTz comment yake haina masaa 2
Unafata nn Kwa mitandao we baki tu msikitini yaani watu wasifurahi kila saa msikitini si utakua zombie
@@yogwesaid7435 lol! Kumbuka kesho pia ....
Hiyo live performance 🔥🔥🔥🔥
Next level King👑🫡
Nakubali mzeee
Kinkiba❤❤