ALIKIBA ATWAA TUZO KUBWA/ DRAKE AIKATAA ROLLING LOUD/ AIPA HESHIMA AFRIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 140

  • @LucasMpendaAmani-e2n
    @LucasMpendaAmani-e2n 2 дня назад +59

    King kiba 👑 hapa Tanzania tunashindwa kumpatia heshima yake lakini Nigeria wamejua umuhimu wa king kiba Africa ndo maaana wakampatia hii tuzo king kiba wewe ni kiooo Kwa jamiiii 🔥🔥🙌🙌

  • @S.Smart.Records
    @S.Smart.Records 2 дня назад +21

    From USA 🇺🇸🇺🇲 Alikiba he is recognised in my country I have been learning some swahili words by a Kenyan friends because I love swahili 👌

    • @adorateurpaulbukuru6864
      @adorateurpaulbukuru6864 2 дня назад +3

      we love you too Dear, l'm from DR C.O.N.G.O🇨🇩Lubumbashi WANTANSHI City 🏙✌️
      Big 🆙 to King KIBA👑

  • @JustineMpinge-y1d
    @JustineMpinge-y1d 2 дня назад +34

    Tatizolahii inchiyetu tunasaport sana ujinga ila wenzetu wanajuwa sana kuanga lia samani ya watu muhimu 👸👸👸👸👸👸👸 ALIKIBA qnajuwa sana

  • @Peresi-t1d
    @Peresi-t1d 2 дня назад +29

    Asante king kiba kwa kutuwakilisha kimataifa

  • @FoodRecipes-r8i
    @FoodRecipes-r8i 2 дня назад +29

    Hii week kaka Yangu yupo on trend Sana Hatari Kila Kona Ni ally 🎉🎉🎉🎉 big up kaka

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 2 дня назад +22

    Uyo mwamba kwangu mm ndio msanii bola sana wakuimba live ata sio live kiba ajua sana sema watanzania tunapenda ujinga ndiomana ufatamiziki ya kijinga na ujinga ndio ss unatufaa kwakua niwapumbavu sana ss kuiga ndiozetu ujinga kuiga mazuri atujui kabisa ila watanzania aisee niwajinga sijapata kuona. Ongela alli kiba mungu akujalie afya njema na maisha mema 🙏 wako shabiki yako 👑

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 2 дня назад +38

    Acha niweke comment Alikiba ni king wa Afrika , , kwa sababu Alikiba anapata tuzo ktk lugha ya kiswahili , tuamini 😂 kuwa kiswahili ni lugha ya Afrika 😂😂

  • @Davivancee
    @Davivancee 2 дня назад +11

    Huyu ndo msanii wng tangu kujitambua kwng na kuanza kupenda bongo flavor nampenda sana my king

  • @LameckZahooh
    @LameckZahooh 2 дня назад +20

    King ni mmoja tuuu

  • @RajabuDaffah
    @RajabuDaffah 2 дня назад +10

    Daaaah nmechelewa kuipatya hii lakn co mbya
    KING 👑👑👑👑👑👑

  • @SangoHaste
    @SangoHaste 2 дня назад +13

    Unyama Sana king Kiba ❤❤❤🎉🎉

  • @CosmasCos
    @CosmasCos 2 дня назад +8

    Kwann ss tunashindwa kuheshimu vya kwetu ila inchi Zingine ndo zinajuwa umuhimu wa kingkiba ❤

  • @bonifacemfaume9788
    @bonifacemfaume9788 2 дня назад +7

    King is King only.Hongera sana Alikiba kwa tuzo kubwa Africa na Duniani

    • @saidikiumwa4484
      @saidikiumwa4484 2 дня назад +2

      👑 hakuna kama 👑 👑 nimmoja tu Ally kiba ye baba

    • @bonifacemfaume9788
      @bonifacemfaume9788 2 дня назад

      @@saidikiumwa4484 unajua hua kuna wasanii huwa wanadhani kuiga vitu vya wenzetu ndiyo kuwa bora kimusic au kwa maisha tunayoyaishi kumbe siyo hivyo sasa KING kiba kawapa somo hiyo tuzo hawana na bado zile wanadhani wangezipata hazija patikana

  • @Aziza-z4f
    @Aziza-z4f 2 дня назад +9

    Mashallah king kiba hongera san🎉🎉🎉

  • @BoazNgaye
    @BoazNgaye 2 дня назад +19

    King ni Mmoja tuu King kiba

  • @AliMfundo-q1k
    @AliMfundo-q1k 2 дня назад +14

    Sana King 👑👑👑

  • @chrissjully3154
    @chrissjully3154 2 дня назад +11

    we appreciate congratulations to the king

  • @ronaldopanja59
    @ronaldopanja59 3 дня назад +12

    Ooohoooo huyo king kafanya yake

  • @ALLY_K61
    @ALLY_K61 2 дня назад +10

    King kibaaa 💥💥

  • @herysimon615
    @herysimon615 2 дня назад +10

    King for life

  • @BigPaul-n6j
    @BigPaul-n6j День назад

    Mfalme ni mmojatu, nampa mauwa yake 👑 king 👑 kiba 👏👏👏👏👏🎁🎁🎁🎁🎁📼🎧📺📻📀🎤🎵🎶🎼🎻🎹🎷🎺🎸

  • @JamesJoseph-l4p
    @JamesJoseph-l4p 2 дня назад +13

    Saaaaaafiiiii

  • @AbdallahVerite
    @AbdallahVerite 2 дня назад +2

    Nabi hana eshima kwao ila kiba namkubali toka 🇨🇩✌️

  • @farajakwilasa471
    @farajakwilasa471 2 дня назад +3

    kama unaamini ally kiba aka king kiba ni mwanamziki sio msanii weka like🎉🎉🎉

  • @LidyaJoctan
    @LidyaJoctan 2 дня назад +12

    Mtamuelewa tu mfalme kiba

  • @JamesRohomoja
    @JamesRohomoja 2 дня назад +8

    King is 1

  • @charleslulandalah9785
    @charleslulandalah9785 2 дня назад +11

    Ali Saleh omary kiba

  • @AdamGome-f6x
    @AdamGome-f6x 2 дня назад +4

    King anajua anajua tena sana.

  • @FelinusFelix
    @FelinusFelix 2 дня назад +5

    King 👑 kibaa always ❤

  • @BarakamasudiLweya
    @BarakamasudiLweya 2 дня назад +6

    King kiba 🎉
    ❤❤❤❤

  • @saidjuma9782
    @saidjuma9782 2 дня назад +8

    Yeeebabah 😇 😇 😇 😇 😇 😇

  • @OshamFelesiano
    @OshamFelesiano 2 дня назад +9

    GOAT 🐐

  • @ALLY_K61
    @ALLY_K61 2 дня назад +9

    Mfalume King 👑👑

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t День назад

    Masha ALLAH tabaraka ALLAH bba keyan bila kutumia nguvu zzote

  • @youngfomepr-e2u
    @youngfomepr-e2u 2 дня назад +4

    Ongera mfalme 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 2 дня назад +14

    Waungwana tusisahau kua Ali kiba anamiliki tuzo ya msanii Bora wa afrika 2017 hap bongo kelel ni nyingi lakin hakun msanii anaemilik tuzo hii ni kelel TU na alishinda tuzo hii mbele ya wizkid,mafik zolo, sakodee ,dovido , k o

    • @MohdMkubwa-v8k
      @MohdMkubwa-v8k 2 дня назад +1

      unyama kabisa

    • @EliusPonde
      @EliusPonde 47 минут назад

      Ni elufu mbili na kumina sita alishinda tuzo ya msani mkubwa tz na Africa nzima

  • @ElinajaMlati
    @ElinajaMlati 2 дня назад +4

    King kama king

  • @MachoMidia
    @MachoMidia 2 дня назад +5

    King Moja bongo ila wapo kutetea masilahi ya upande fulani kiba ajawai kuchuja ata siku Moja alikaa kimya miaka mitatu lakini ilivyoludi akawa ktk ubora wake nani ilijalibu kukaa kimya ajaludi ktk bora km Ally kiba mwana dar Salam akawa bora

  • @endruchumbula5943
    @endruchumbula5943 2 дня назад +4

    Unyama sana

  • @Juliusantipas
    @Juliusantipas 2 дня назад +6

    Nakubali

  • @NasriTahmed
    @NasriTahmed 2 дня назад +9

    Oyeee

  • @RashidDiyuka
    @RashidDiyuka 2 дня назад +2

    Kingkiba greatest of all time

  • @abdulrahmanhassan3238
    @abdulrahmanhassan3238 2 дня назад +2

    Kingkiba is 🔥🔥

  • @TeodosiaNzenge
    @TeodosiaNzenge 2 дня назад +2

    Only 1 king!! More loving 2 u ma brodaa, achana na uyo mwambino anaejifanya Yuko juu 🤣 na uyo mwambino awezi score bila p Diddy mazee

  • @marosproduction01
    @marosproduction01 2 дня назад +8

    Nice

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 2 дня назад +4

    King km King🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @emmanuelbundala2490
    @emmanuelbundala2490 23 часа назад

    Nakukubali sana bro kng 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NYOSHI-n3l
    @NYOSHI-n3l 2 дня назад +4

    MJE KWENYE AKAUNTI YANGU MCHEKI BAIKOKO LIVE ❤❤

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni 2 дня назад +8

    King nmoja2

  • @SamweliJaphali
    @SamweliJaphali День назад

    Ongera king kiba ww ndo mwanamzki bora saluti kwako 🎉🎉

  • @KisoiBamba
    @KisoiBamba 10 часов назад

    Hongera saanaaaaaa kiba❤

  • @MachoMidia
    @MachoMidia 2 дня назад +6

    Wanasema afiki kimataifa

  • @RashidDiyuka
    @RashidDiyuka 2 дня назад +3

    Kingkiba

  • @DicksonHerman-cd9hn
    @DicksonHerman-cd9hn 2 дня назад +11

    👑👑👑👑👑💯

  • @FabianMihambo
    @FabianMihambo День назад

    King kiba mungu mubariki

  • @piusimlingi9099
    @piusimlingi9099 День назад

    King 👑 ni mmoja tu Tanzania jmn mkubali mlatae itabaki kuwa hivyo mfale ni mmoja tu

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 19 часов назад +1

    Kuna WATU humu ndani wanacomment ujinga 2 lakini hawaangalii ukubwa wa hizo tuzo na zinahusisha kitu gani! That's why hicho kipengele Chake kimewahi kutoka coz hakina uzito.

  • @khamisathman7171
    @khamisathman7171 2 дня назад +3

    King Kiba 👑

  • @NASMEDIATV
    @NASMEDIATV 2 дня назад +1

    Ali uko njema ❤

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 19 часов назад +1

    Et tuzo ya mafanikio ya maishaaaa!

  • @JayaBlue202
    @JayaBlue202 День назад

    kiba ❤❤🎉

  • @PendoKaaya
    @PendoKaaya 2 дня назад

    Hongera sanah king 👑 of bongo flava

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 2 дня назад +2

    The Goat King Kiba!! Kama Messi 😂😂😂🫶🫶🫶🫶🫶

  • @jackilinuniqueleonard5061
    @jackilinuniqueleonard5061 День назад

    Wenzetu wanajua nini maana ya heshima ila sisi hpa bongo mmmh ? Hongers sana king kibaaaa

  • @papichulomadeit
    @papichulomadeit 2 дня назад +1

    Oy tonny anaelezea vizuri sana story za mbele unyama sanaa

  • @RashidMjbl
    @RashidMjbl 2 дня назад +1

    Duuh huu jamaa hawamuezi...💥🔥

  • @Abdallah-p6i
    @Abdallah-p6i 2 дня назад +2

    Ye baba 👑👑👑

  • @LAMARBASHIRI
    @LAMARBASHIRI День назад

    Endelea kupepelusha bendela wwe ni king 👑👑👑

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 23 часа назад

    King kiba 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 2 дня назад

    King ni mmoja tu #kingKiba

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 19 часов назад +1

    Ukiangalia sifa za mastaa wengine waliopokea hizo tuzo kutoka Nigeria haziendani kabisa na hazilingani kabisa na hizo sifa za Kiba, acheni kukuza ujinga.

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 День назад

    Kama ni kwer basi King 👑👑 kauanza vizuri mwaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ConfusedAlien-xk3sh
    @ConfusedAlien-xk3sh 2 дня назад

    King ni mmoja tu❤

  • @OthmanYusuph
    @OthmanYusuph 2 дня назад

    Mwamba Namuelewa sana King kiba Anastahil kila tunzo zote africa

  • @MkombolyVyakeAgostinho
    @MkombolyVyakeAgostinho День назад

    Pigen like wanangu wa kings music🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @AMRIKINGASH-th6dm
    @AMRIKINGASH-th6dm 20 часов назад

    Legend KING KIBA

  • @FettyMsuya-iw8sy
    @FettyMsuya-iw8sy 2 дня назад

    Mchambuzi nakuelewa sana watamjua sana King Mfalume Hana mpinzani🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VincentGamboMuye
    @VincentGamboMuye 2 дня назад +3

    Soma kizungu alichoandika

  • @MkombolyVyakeAgostinho
    @MkombolyVyakeAgostinho День назад +1

    Salut🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @BabuuAlly
    @BabuuAlly 3 дня назад +10

    P1

  • @gerabisalman-xy8ki
    @gerabisalman-xy8ki 2 дня назад +3

    Hm una msau mkali waoo chidi benz

  • @KwizeraAisha-g2w
    @KwizeraAisha-g2w День назад

    Nufarume❤❤❤❤❤❤

  • @rajabusaid9713
    @rajabusaid9713 2 дня назад +6

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AishaAisha-q7y
    @AishaAisha-q7y 2 дня назад +5

    ❤❤❤❤

  • @NgoshaZedonn
    @NgoshaZedonn 2 дня назад

    Crown kama nawaelewa hiviii nahis nikiifatilia nitainjoy sana

  • @eliud21savage48
    @eliud21savage48 2 дня назад +2

    King kiba anastahil

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 2 дня назад +2

    🌏🌏🌏🎶🎶❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇴🇲🇴🇲🇴🇲. Yeee baba

  • @mlamytz
    @mlamytz 2 дня назад +6

    🎉

  • @AshuraMkini
    @AshuraMkini 2 дня назад

    King ❤❤❤❤

  • @JohnesNjelekela
    @JohnesNjelekela 2 дня назад +5

    🎉🎉

  • @kennedymatiko6830
    @kennedymatiko6830 2 дня назад +2

    🔥🔥🔥

  • @daudiYuta
    @daudiYuta 2 дня назад

    King fire 🔥🔥🔥

  • @joss.nkilio.3537
    @joss.nkilio.3537 День назад +1

    Shida ipo kwenye nchi yetu tunapenda sana kusaport vitu vya Kijinga ndio maana vyamaana hatuvioni hata Kusah aliwahi kuimba,but naipongeza Basata kwa kuliona Hilo kwa King kiba na kumpa tuzo ya Wimbo Bora wa maazi ya Bongo flavour ambao ni Mahaba,kiukweli mziki wa Tanzania ni King kiba🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @eliyaharry8048
    @eliyaharry8048 2 дня назад +1

    Af mbona kama haja post kabsa

  • @mtaalam_mwashigara
    @mtaalam_mwashigara 2 дня назад

    KING

  • @ShukuruEmedi
    @ShukuruEmedi День назад

    👑👑🔥🔥

  • @zuberymwasarai9210
    @zuberymwasarai9210 День назад

    Kama ni kweli alikiba ameuwaza mwaka vizuri sana yani faya

    • @isayamsisika6255
      @isayamsisika6255 День назад

      Kwaiyo uamini.? Kachukua Mond basiiii😂😂😂😂

  • @FAXBOYFaxboy-x3p
    @FAXBOYFaxboy-x3p 2 дня назад

    Tumpatie mauwa yake brow king kiba

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 19 часов назад +1

    Na Vipi mbn kwny tuzo kubwa za muziki za kimataifa hatuoni wakimuweka hata kwny categories kama kweli ndo anasifa zote hizo na anachokifanya Ni kikubwa kimataifa?

    • @erickmillanei4346
      @erickmillanei4346 6 часов назад

      Tuzo Gani ya Afrika ambayo alikiba hana?? Tuambie maana tuzo zote za Afrika ally ashachukuaga 😂

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 дня назад

    Tanzania hakuna wakumfananisha na king kiba 🏮 kiba huwesi kumfananisha na msanii yeyote hapa Tz