Alikiba feat Jay Melody - Hatari (Visualiser)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 2 тыс.

  • @laytopiniel7465
    @laytopiniel7465 Месяц назад +49

    Hili ngoma nimelisikiliza karibu wiki 3 na haliboi bado,kama kuna mwingine kama mimi naomba likes

  • @joshuasingano4231
    @joshuasingano4231 17 дней назад +13

    Alikiba fundi jaman uwiiiii

  • @mulangirakimerareaganstarbwoe
    @mulangirakimerareaganstarbwoe 3 месяца назад +75

    How many international fans are here to support Alikiba ♥️✅

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 19 дней назад +9

    Alikiba mbabe sana yaani dogo amekaa kwenye hii ngoma ukubwa dawa....

  • @AsnatySalum
    @AsnatySalum Месяц назад +6

    Ngoma kali sana nakukubali sana ally kiba unatoa kitu roho inapenda😍😍😍💋💋

  • @stephennjuguna2877
    @stephennjuguna2877 14 дней назад +4

    Wow this duo iko on 🔥🔥🔥🔥,I can't get enough of it,,king kiba 👑 on 🔥🔥🔥🔥

  • @necramsonpate
    @necramsonpate 3 месяца назад +532

    Aisee hii ngoma imesimama sio mchezo sijui kuna mwingine ameitazama zaidi ya mara moja gonga like kama unamkubali 👑 Kiba

    • @thethengomba355
      @thethengomba355 3 месяца назад +18

      It's on my repeat mode until further notice 🎉❤🎉❤🎉

    • @jabussein4488
      @jabussein4488 3 месяца назад +9

      Mi toka asubuhi naisikiza mpaka usiku huu😊😅❤

    • @fabianbrian8256
      @fabianbrian8256 3 месяца назад +6

      Same here

    • @euniceongawa5585
      @euniceongawa5585 3 месяца назад +5

      Anywhere there's jay melody it's always a banger❤

    • @susanayuma2434
      @susanayuma2434 3 месяца назад +4

      nashinda nikirudi huku kuitazama😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @disrkmedia2694
    @disrkmedia2694 3 месяца назад +24

    Producer ametisha sana humu ...na verse la kiba Kali sana🎉🎉🎉🔥🔥🔥

  • @asanmuna2738
    @asanmuna2738 23 дня назад +5

    Kama inailudia ii Ngoma kama mm zaidi ya mala 10 gonga link pamoja kweli ii hatali iiiiiiiii new songs 2025🔥💯💯💪💪 🎉🎉🎉

  • @michaelmdoe3256
    @michaelmdoe3256 19 дней назад +6

    Eyooo ft once again, hatari sna🔥💯

  • @brianouko21
    @brianouko21 3 месяца назад +75

    Si Leo nipate hizi likes zenu 😊

    • @LINJEBOYTZ
      @LINJEBOYTZ 3 месяца назад +2

      kijana uko firee 😅😂😅😂😅😂

    • @antidiuscharles7927
      @antidiuscharles7927 Месяц назад

      Hatukupi like angalia video mara 100 kwanza

  • @Mariah-r1o
    @Mariah-r1o 3 месяца назад +35

    Nyie nimewahi mapema tu alafu siombi likes ingekua wabongo Sasa😂wangeomba likes hatariiiiiiiiii

  • @ghhj-ij7xs
    @ghhj-ij7xs 3 месяца назад +121

    Motoooooooo sanaaaaa...kenyans wapi likes za hatari..much love🎉❤❤

  • @dicksontimotheo7617
    @dicksontimotheo7617 Месяц назад +5

    Atimaye namba moja 01.....kazi ipo kwa dully kuja kutoa ngoma kali kama hii

  • @denicegaspar9479
    @denicegaspar9479 3 месяца назад +25

    Ngoma la mwaka bwana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 anaye kubari dondosha like 👋👑👑👑👑👑👑👑👑👑

  • @youngsimple
    @youngsimple 3 месяца назад +11

    Atali Sana moto 🔥🔥🔥🔥

  • @HamisiBakary-y1s
    @HamisiBakary-y1s 18 дней назад +4

    Nimezikiliza kama mala 100 ivi Duh Atali sana🎉🎉

  • @nusurasalumnusura1106
    @nusurasalumnusura1106 10 дней назад +3

    Ili goma ni noma kwa kweli Leo nimeliskiliza kama mara 1000 ivi sio poa 😊😊

  • @ericspuspallelo6965
    @ericspuspallelo6965 10 дней назад +5

    Alikiba ni mmoja Tanzania ❤❤

  • @AlonaAfc
    @AlonaAfc 16 дней назад +4

    Yani hii ngomaaa ilivyooo kuwaaaa haatariiiii mpakaaaa inaunguzaaaaaa nyumbaaaaa good song is very hot guys 😊😊😊😊😊😊

  • @mwakisogocpiliano1793
    @mwakisogocpiliano1793 3 месяца назад +153

    KING wasamehe wote wanaokuchukulia poa wewe ni TUNU YA TAIFA🔥🔥

    • @giztony2009
      @giztony2009 3 месяца назад

      Ww huna hoja kuna mtu anasemwa na kuchukuliwa poa kama mondi? Ulishawahi kuona ameshuka kimziki

    • @AngelmackieCharity
      @AngelmackieCharity 3 месяца назад

      ​@@giztony2009mond anagawa ujugu 😅😅

    • @jumasuleiman7171
      @jumasuleiman7171 3 месяца назад

      Huyo mondi anaimba anabweka siku hiziiiii​@@AngelmackieCharity

    • @AngelmackieCharity
      @AngelmackieCharity 3 месяца назад

      @@giztony2009 sasa naww atashuka vip kimziki na ana mambo ya sirini kibao... #kaliwa

    • @AngelmackieCharity
      @AngelmackieCharity 3 месяца назад

      @@jumasuleiman7171 hahaaa

  • @caephasmulongo3103
    @caephasmulongo3103 22 дня назад +5

    Alikiba uko juu kaka,hii no hatari

  • @SalmaMgeni-h7o
    @SalmaMgeni-h7o 9 дней назад +3

    Nimependa jay kwasabab hajawagawa mashabiki wake❤, kafanya kolabo na mondi na kiba❤❤❤

  • @kingmtetezi6670
    @kingmtetezi6670 3 месяца назад +15

    Hii EP ukianza kuisikiliza huwezi bofya kitufe Cha next maana kila Ngoma Kali yaani 🔥🔥🔥Hatari

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 3 месяца назад +13

    ❤❤❤❤❤maaaad tune. My favourite track so far

  • @JacklineClarence-g1s
    @JacklineClarence-g1s Месяц назад +4

    Nyimbo tamu hongerenì sana iĺove you alikiba and jay melody

  • @docilawanga1086
    @docilawanga1086 22 дня назад +4

    Love this from Kenya❤

  • @mulangirakimerareaganstarbwoe
    @mulangirakimerareaganstarbwoe 3 месяца назад +25

    How many international fans here supporting JAY MELODY ♥️✔

  • @MosesMjengwa
    @MosesMjengwa Месяц назад +6

    Bonge la ngoma

  • @verbmacharia4642
    @verbmacharia4642 3 месяца назад +46

    Hatari kweli mambo Moto toka Kenya Kiba🇰🇪

  • @Mussasospeter-b3d
    @Mussasospeter-b3d 3 месяца назад +35

    Yaaan kama mnaanza upyaaaa king na na jay once again nawakubali sanaaa🔥🔥🔥🔥

  • @allenmarco9320
    @allenmarco9320 3 месяца назад +10

    Jay jay jay hatariiiiiiii

  • @Mr_kim_joh
    @Mr_kim_joh 3 месяца назад +18

    kama unamkubali alikiba gonga like hapa

  • @IddrisBarasa
    @IddrisBarasa 9 дней назад +3

    super Ali K

  • @aimefils714
    @aimefils714 3 месяца назад +47

    Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 tumeapprove wimbo hii 🔥🔥🔥🔥

  • @NTAFILMPRODUCTIONS
    @NTAFILMPRODUCTIONS 3 месяца назад +13

    One 💕 from Kenya

  • @vivianamuli8964
    @vivianamuli8964 Месяц назад +4

    My all time favourite king kiba ❤❤❤❤

  • @HunchoMgoms
    @HunchoMgoms Месяц назад +3

    King kiba salute baba ❤

  • @mathiaslaurent756
    @mathiaslaurent756 3 месяца назад +193

    Ambao tumegudundua hii ndio nyimbo kali kuliko zote ndani ya EP hebu tuungane hapa

  • @Eddynation90Eddynation-xk6dh
    @Eddynation90Eddynation-xk6dh 3 месяца назад +15

    Alikibaaaaaa💥💥💥💥💥💥

  • @mercyshamsy4490
    @mercyshamsy4490 3 месяца назад +6

    Now on repeat mode the whole day👌🏿🔥🔥🔥my favourite so far❤❤🇰🇪

  • @its_jaffar22
    @its_jaffar22 3 месяца назад +20

    king akijengewa sanam posta takua wamemkosea..inafaa ajengewe makao makuu ♥️🇰🇪🙌🙌

  • @pmfalila
    @pmfalila 3 месяца назад +31

    Kuna wanamuziki halafu kuna King Kiba. Respect bro

  • @MunezeroVenasiya
    @MunezeroVenasiya 8 дней назад +1

    Hatari ❤❤❤❤❤❤❤💯💯💯💯😃😃😃😃

  • @dmKastron
    @dmKastron 3 месяца назад +22

    Ngoma kali sana Ila kiba Kauwa sana umu ndani Hatarii🔥🔥🇹🇿🌍✊🏿

  • @dianabanga2625
    @dianabanga2625 3 месяца назад +22

    wananiita jay 😍 jay once again

  • @thabityasin3455
    @thabityasin3455 3 месяца назад +13

    Hii kweli hatarii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DorcusKissia
    @DorcusKissia 3 месяца назад +33

    Nimeskiliza huu wimbo niona King kamalza kilakitu hapo bdo sijamskilza jay ngoja nimalzie ntalejea kutoa comment yajumla❤❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @solomonOsam-d1t
    @solomonOsam-d1t 3 месяца назад +33

    Nyimbo bora TANZANIAN KWA SASA NI HIIII

  • @dijomamasuhuko7035
    @dijomamasuhuko7035 3 месяца назад +121

    Wanaokubar j melody anakuja kuwa moto kwenye industr ya bongo like zangu💯

  • @vannytiger-lf1oj
    @vannytiger-lf1oj 3 месяца назад +23

    Tujuaanee apa wanao sema king kasimama saw na Jay kwa mala ya kwanzaaaa Jay kidgoo apoteeeeee

    • @SifranLove
      @SifranLove 3 месяца назад

      Aliposema maumivu sijuagi pale kidogo nikasema jay vipi mala ghafra akasema king usinitanie narudi kwenye melody zangu😅😅

    • @ludatoke2451
      @ludatoke2451 3 месяца назад

      Kabsa kapotea sana ​@@SifranLove

  • @AllyDario
    @AllyDario 3 месяца назад +5

    Hatali sana yebaba🎉🎉🎉🎉

  • @rahmaseif3604
    @rahmaseif3604 22 дня назад +4

    Kiukweli hiinyimbo naipenda sana jamani taratibu baba mutanitoaroho Ali na jei

  • @lemaiyankeretoo4122
    @lemaiyankeretoo4122 3 месяца назад +23

    Alikiba master of vocals

  • @canny255
    @canny255 3 месяца назад +11

    Aisee 🚀

  • @sallysalim147
    @sallysalim147 3 месяца назад +15

    Africa's number one king🎉👑👑🎉🎉🎉👑

  • @EugeniaAnselmo-m3n
    @EugeniaAnselmo-m3n 3 месяца назад +19

    Salute King 🇲🇿🇲🇿🙏❤️

    • @InsilimoAlfaneNacirNacir
      @InsilimoAlfaneNacirNacir 3 месяца назад

      Brother como faço para colocar bandeira de Moçambique nos meus comentários como tu fazes?

  • @Dizzoke-i9h
    @Dizzoke-i9h 3 месяца назад +35

    King mfundishe dogo jay mziki❤️👋🙏🙏💯

  • @PolycarpMosha
    @PolycarpMosha 11 дней назад +3

    Kiba anajuuu n mnyamaa

  • @JemimaFrank
    @JemimaFrank 3 месяца назад +13

    ❤❤❤❤❤❤nimependa alipo imba jay melody

  • @AbdyRamadhany
    @AbdyRamadhany 3 месяца назад +16

    Ally nisameh sana nilikuwa sijjiunga mb ila kabla ya yote Acha kwanza nilike pia naku share Kings music 💪💪💪💪💪💪💪💪💪❤❤❤

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 3 месяца назад +29

    𝐀𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐉𝐚𝐲 𝐌𝐞𝐥𝐨𝐝𝐲... mnafanana utulivu na busara!

  • @frankromelus6680
    @frankromelus6680 9 дней назад +1

    Konpa konpa 🇭🇹🔥💯🔥💯🔥

  • @solomonOsam-d1t
    @solomonOsam-d1t 3 месяца назад +8

    WATU HAO NDIYO HATARI TZ BALAAAA HATARI KWELI

  • @Waitarakariuki-hf8bg
    @Waitarakariuki-hf8bg 3 месяца назад +49

    Ni kama mlichokoza King, and you know what he can do Alikiba proving that he is the best hii ni hatarii hata hapa 254 Kenyaaaaaaaaaaaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 King ni mmoja, King Kiba 👑 the only one King 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 3 месяца назад +20

    🎶🎶🎶🎶🎶🎹🎹🎹🎹🎹 This is King 🤴 na mdogo wake

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi 3 месяца назад +111

    WA congo 🇨🇩 na Kenya 🇬🇲 Burundi tukutane apa

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 3 месяца назад +7

    The only visualiser imeingia kwa treding😊🎉

  • @EddytabenMwambegu
    @EddytabenMwambegu 3 месяца назад +11

    Wee alikiba kauwa..mwenye hajui mziki asiache comment hapa...

  • @natureboy972
    @natureboy972 3 месяца назад +12

    Hi hatari kweli 🔥 🔥

  • @kreshhemed9869
    @kreshhemed9869 3 месяца назад +23

    C’est la meilleure chanson de l’année Alikiba tu es le meilleur dans toute l’Afrique 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @b_aime7584
    @b_aime7584 3 месяца назад +11

    🇷🇼🇷🇼 From Rwanda We love you Kiba tunakubari sana please Come to Rwanda You kill this Banga Enough with your Good Voice It's Banger..🔥🔥🔥

  • @sallysalim147
    @sallysalim147 3 месяца назад +11

    I love everything about king kiba... he's a role model to the young upcoming people in the music industry.. right from dressing ❤❤❤❤long life king of music 💕💕💕👑👑

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 8 дней назад +2

    ❤❤❤❤❤Ngoma

  • @lovarbicard4378
    @lovarbicard4378 3 месяца назад +13

    ❤❤❤yani wadume wawili kimuziki wamekutana tena❤❤🎉

  • @zakwetuupdate3387
    @zakwetuupdate3387 3 месяца назад +9

    Huu ni Ubaya ubwela hatari🎉

  • @JohnYahaya-n2h
    @JohnYahaya-n2h 3 месяца назад +12

    Jay chukuwa mauwa yako🎉🎉

  • @riko_g_blessed47
    @riko_g_blessed47 3 месяца назад +13

    jinsi Jay anasubiria kuwakilisha kwenye verse la kwake.. hatarii...they call him Jay once again🔥🔥mob Love bromine

  • @zackgitonga
    @zackgitonga 3 месяца назад +58

    alikiba wivu huna ata kidogo hubagui wadogo ulivyo mshirikisha jay umenifurahisha kwa saana

  • @rajabuhussein-b1h
    @rajabuhussein-b1h 3 месяца назад +23

    king kama king. hiingoma kilaukiisikia na kuitazama haiishi hamu ngoma inamaneno laiini yanayo vuta hisia

  • @OfficialKilinda
    @OfficialKilinda 3 месяца назад +18

    Nilikua naingojea ngoma kt y King na joy hataliiii

  • @husseinjuma3027
    @husseinjuma3027 3 месяца назад +6

    This song is of another level
    Ngoma itaenda mbaliiiiiiiiiii

  • @Archangeobabe
    @Archangeobabe 12 дней назад +3

    Hatari na Congo 🇨🇩

  • @Boog_p
    @Boog_p 3 месяца назад +9

    Such a beautiful song 😍😘 worth listening whenever someone likes this😊

  • @mbokandotv
    @mbokandotv 3 месяца назад +12

    I love King Kiba,,, wapi Likes from Kenya

  • @orchuperfection5481
    @orchuperfection5481 3 месяца назад +28

    Wameimba kwa kutunong’oneza hawatumii hata nguvu meshindikana 🙌🏻🙌🏻king

  • @dogoshazzy761
    @dogoshazzy761 3 месяца назад +8

    Kingkibaaa

  • @منيرهلافي-ك2ن
    @منيرهلافي-ك2ن Месяц назад +3

    Aik hyo ngoma imeweza

  • @EdisonModest
    @EdisonModest Месяц назад +2

    Jamaa namkubali sana kinoma

  • @ChristianNkam
    @ChristianNkam 3 месяца назад +14

    King❤❤❤❤ umeuwaa hatari sanaa🔥🔥🔥

  • @GalimossJoseMario
    @GalimossJoseMario 3 месяца назад +9

    Alikiba King Kweli 👍👍🔥🔥🔥🔥🔥

  • @allyway999
    @allyway999 3 месяца назад +10

    Mziki mzuri kwawatu safii kuleni mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉 amna baya

  • @hushamkalinde4242
    @hushamkalinde4242 3 месяца назад +12

    Alikiba Mwanangu una sauti 😭😭😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪,nakuombea siku nyingi humu duniani 😭😭

  • @baronsmith5451
    @baronsmith5451 3 месяца назад +6

    My favorite songs 🎉 once a king 👑 always a king💪

  • @mwitarajab2249
    @mwitarajab2249 3 месяца назад +10

    Nani mwingine amesikia sauti ya K2ga + far away beat.hatari🔥🔥🔥

  • @turuthiahussein2023
    @turuthiahussein2023 3 месяца назад +15

    Fevorite song aisee ni motoo 😍😍😍

  • @halimamuhammad7304
    @halimamuhammad7304 3 месяца назад +59

    Katikati ya kibao alikiba dunia mzimma Ni. Number one na jayy so much upendo kutoka Uganda

  • @HEliasSonekam
    @HEliasSonekam 5 дней назад +1

    Nn Mr alikiba tu es un bon vraiment je valid la chanson 9 sur 10 🎉❤😮

  • @edwinoyugi8963
    @edwinoyugi8963 3 месяца назад +8

    King's vocals 🔥🔥

  • @Orinnazaqar6939
    @Orinnazaqar6939 3 месяца назад +19

    Jay has been endorsed now as the new king..the future of bongo music..from a collabo with Simba and with King Kiba..HATARI