NDUGU WATEMBEZA KICHAPO KWA MUUGUZI, WALINZI BUGANDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 фев 2018
  • Walinzi watatu na Muuguzi mmoja wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza wamejeruhiwa baada ya kutembezewa kichapo na ndugu wa mgonjwa aliyefariki dunia wakiwatuhumu wafanyakazi wa hospitali hiyo kwa uzembo uliosababisha kifo cha ndugu yao.

Комментарии • 7

  • @janethjackson5370
    @janethjackson5370 6 лет назад +1

    Jamani siku yake ilikuwa imefika
    ,bora mkawape kichapo walomuua akwilina

  • @gracejonh4022
    @gracejonh4022 2 года назад

    Wauguzi wa bugando mna matusi na kejeli sn mmekomeshwa nimefrah sn wangepigwa kabisa mashetani hayo

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 лет назад

    Jamani vioja aviishi TZ

  • @twinaweloyceissack6076
    @twinaweloyceissack6076 6 лет назад

    halafu wauguzi was Bugando wana kauli mbaya sana, yawezekana walipigwa kwa ajili ya kauli zao za ovyo

  • @twinaweloyceissack6076
    @twinaweloyceissack6076 6 лет назад

    Ila Dr Hospt imechakaa sana, nilikuwa na mzazi was operation hapo Bugando siki ya kwanza kanyimwa haki ya kulala private wakati alistahili, siku ya 3 kawekwa private , mamaweeee, hicho chumba no hatari, wahusika wanatakiwa kufanya ukarabati sana katika Hospt ya Bugando

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 лет назад

    Miaka 80 si mzee kabisaa wamekosea

  • @mkongwijudith8457
    @mkongwijudith8457 6 лет назад

    Hao wanandugu wawajibishwe