MKUU WA MKOA FEKI AKAMATWA MBEYA, ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 июн 2022
  • MKUU WA MKOA FEKI AKAMATWA MBEYA, ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI!
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 401

  • @amanikudeli5297
    @amanikudeli5297 2 года назад +246

    Ndugu zangu watanzania tumuombee msamaha huyu jamaa kwa kugonga like hapa

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 2 года назад +1

      Alitumwa awetapeli 😂😂😏😏😏😏 kila siku wanaonywa hawaelewi akanyee debe tu

    • @SampleKiller99
      @SampleKiller99 2 года назад +3

      Kwa hiyo hizo likes utazipeleka mahakamani sio?

    • @jaggaludegula6826
      @jaggaludegula6826 2 года назад

      @@SampleKiller99 umeona eeh

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 года назад +85

    Kumbe alikuwa anataka kusikiliza kero za wananchi!!!
    Huyu ndo mwamba sasa,big up Dogo.

    • @HappynessJose
      @HappynessJose 2 года назад

      Mkuu wa mkoa yupo ivo alikua anakamata wajinga wengine

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 года назад

      Kanu outsmart mkuu wa mkoa

    • @phbtonny4096
      @phbtonny4096 2 года назад

      Uyu ni mtetez wa wanyonge

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 2 года назад

      @@phbtonny4096 kàaabisaaa

    • @dismasstanslaus5985
      @dismasstanslaus5985 2 года назад

      Ni sawa lakini hiyo kosa mzee,je siku akibadilisha msimamo na kuwaibia nani atakae onekana kafanya hayo ??

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 2 года назад +56

    Mkuu wa mkoa husika..msamehe tuu huyo bwana..nawe UTABARIKIWA..AMEN🙏

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 2 года назад +39

    Apo sawa rc unachewa sana kwenda kuskiliza kero za wanazengo muacheni amsaidie mh rais

  • @mrpambatv3420
    @mrpambatv3420 2 года назад +16

    Kwaselekali hii ya unanijua mimi lazima aumizwe lakini angekuwepo mzee baba JPM kwanza angempongeza na angeagiza apewe nafasi maana amefanya kitu ambacho mkuu wa mkoa hakuwahi kuwaza mama samia tafadhali muite huyujamaa anakitu kichwani tafadhali sana.
    Gonga like kama umemuelewa dogo.

    • @leonardntani8888
      @leonardntani8888 2 года назад +1

      Mpk kaunganisha wawekezaj wa nyuki!!

    • @fatumalikusi7819
      @fatumalikusi7819 2 года назад

      Kijana ana akili sana nimempenda ana ujumbe anataka kuufikisha kwa viongozi

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      Angekuwepo Magu, huyu angenyongwa mara moja. Jiulize ametumwa na nani? Nini lengo lake? Ujasiri huu ameutoa wapi hadi kutumia Account ya Ikulu ??? 🙄🙄🙄 Labda kuna Vigogo behind him🥴Wale wanaotaka kumpima Rais na Mamlaka za Nchi 🥴🥴

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 2 года назад +1

      @@j.c.maxima816 Utakuwa humjui Magu wewe. Unakumbuka kuna watu walikuwa wanazalisha umeme kienyeji? Alifanya nini?

  • @officialjclever9879
    @officialjclever9879 2 года назад +11

    Nimemuonea huruma sana huyu kijana mwenzangu automatically anaonekana kujutia kosa alilofanya wangemsamehe tu maisha magumu jamn kwahy watu wanatumia namna nyingine ya mlango wa pili kupita Ktk maisha

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 2 года назад +18

    Mkuu wa mkoa Mh sana msamehe kijana, ni mahaba kwako yamepitiliza

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 2 года назад +1

      Hakuna bali nyinyi mnaona ni kitu kidogo je angeteteleka akajiingiza kwenye talukukuru au kosa la jinai si angemtia mtumishi wa serikali mbaloni na mpk kuchunguza kifahamike ingetia hasara taifa muda mahakama, polis upelellezi acheni kuwa mashabikia ujinga km ungelikua ni wewe ndo maana watanzania kl kitu mnachukulia utani hii ni kesi kubwa kuiba hasilia ya mtu

  • @f.a6043
    @f.a6043 2 года назад +26

    Msamehe hii ni dunia tunapita lkn asirudie tena msameheni kaomba msamaha tuwe na moyo wa msamaha na MUNGU ATATUSAMEHE na sisi jamani

  • @jaberjohn7556
    @jaberjohn7556 Год назад +2

    He is honest. Kindly mkuu wa mkoa was not doing his work, he was just trying to reinforce. This young man he is smart and wise, trust me he will be a leader.

  • @nyandamisana3630
    @nyandamisana3630 2 года назад +11

    Kwa nini wew usiwe unasikiliza Kero mpaka usaidiwe na vijana wachapa kazi😂😂😂

  • @habarikiswahili
    @habarikiswahili 2 года назад +18

    HII TITLE IMENIFANYA NICHEKE KABLA YA KUSIKILZA.. 'akisiliza KERO'

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 2 года назад +27

    🤣🤣🤣🤣Kijana kaamua kufanya kazi bila jasho😂😂😂

    • @colin8750
      @colin8750 2 года назад

      Akaona ss tunao suffering manamba tu😂

    • @fulgencemark7640
      @fulgencemark7640 2 года назад

      Na bila kudai mshahara marupprupu,vitendea kazi n.k. kazi iendeelee.Vijana wanapenda ;umsaidia rais wao .

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 года назад +16

    *ila haja ibia mtu alafu angelikuwepo mjomba magu angelipewa uongozi wowote maanna anajua vyema kazi yake*

  • @hawaali8371
    @hawaali8371 2 года назад +20

    Ameamua Kusikiliza Kero Za Wananchi, Bila Mshahara😆😆

  • @lama6310
    @lama6310 2 года назад +14

    Kama Nyinyi hamtaki Kusikiliza Kero zetu 😂ngja yeye atusikilize

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 2 года назад +13

    Sasa kama anaweza kutatua kero au kusikiliza kero za wananchi tatizo lipo wapi?

  • @eliyayesu2743
    @eliyayesu2743 2 года назад +28

    Noumaa na nusu lakini alikuwa anamsaidia Rc kufanya kazi maana yupo 2 ofisini.

  • @samwelgodwinofficial
    @samwelgodwinofficial 2 года назад +26

    Legendary 😂😂😂🤣

    • @colin8750
      @colin8750 2 года назад +1

      Exactly legendary

  • @davidmutiba3302
    @davidmutiba3302 2 года назад +70

    Huyu kijana ni mdogo ana elimu gani? Huu ujasiri ameutoa wapi? Nafikiri anataka tu Kufikisha kwa serekali ujumbe: "AJIRA hakuna". Ni kweli ana nguvu na uwezo wa kufanya kazi kama anavyosema afande.Shida ni namna ya kuanza bila mtaji. Mkuu anasema angeenda ofisini kwake asikilizwe, ila sina hakika kama wasimamizi wa ofisi wamgemruhusu. Amechukua short cut ya kufika ofisini, sidhani km hakujua kwamba atakamatwa,mkuu akae naye amsikilize nadhani ana jambo. Wamsamehe tu.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      Hili ni kosa kubwa sana, huwezi kulichukulia poa. Huyu tapeli asipofungwa, wengine wataiga mfano wake, na Tz haitatawalika! Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Maafisa Askari wataanza kuchipuka Nchi nzima!!! Utajikuta unalipa kodi kwa tapeli aliyejiita mtumishi wa Serikali, unatibiwa na tapeli aliyejifanya Dr, unatozwa faini na Askari Polisi feki,... Nchi itavurugika, Wananchi watapoteza imani na Serikali, maana hawatajua nani Kiongozi halisi, nani tapeli, wamuamini nani... Hili ni suala zito la Usalama wa Nchi. Tena Kijana amekwenda mbali kutumia Jina la IKULU!!! 😲😲 Intelligence services zifanye kazi 😶😶

    • @bujashidaniel5537
      @bujashidaniel5537 2 года назад +2

      Kabsaaaa

    • @sadockchengula5542
      @sadockchengula5542 2 года назад +6

      Ila huyo dogo richa ya kuwa amefanya uhalifu pia ni rasilimali kwa nchi. Kwa wenzetu wanamuendeleza kwa njia chanya alafu anaenda kuwasaidia TCRA.Kama ni rahisi kujiajiri basi wenye vitengo waachie wajiajiri wao.

    • @jebellwallace3509
      @jebellwallace3509 2 года назад +6

      Unacho sema ni kweli kabisa,huyo anaonekana ana uwezo mkubwa sana anatakiwa asikilizwe.

    • @braykbl4547
      @braykbl4547 2 года назад +1

      Trust

  • @Mkinga_Nyota_
    @Mkinga_Nyota_ Год назад

    Hatali sana

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 года назад +6

    Ukute anakitamani tuu hicho cheo anaonekana wala Hana baya mengine muwe mnasamehe tuu kijana mdogo Sana

  • @theuniversetv2870
    @theuniversetv2870 2 года назад +5

    Anasikiliza kesi Ila bongo🤣🤣

  • @asha.mwambamwamba1774
    @asha.mwambamwamba1774 2 года назад

    Jamaniii

  • @hassanjongo4309
    @hassanjongo4309 2 года назад

    Ok 🤔🤔

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 2 года назад +2

    Sasa shida iko kama jamaa anasikiliza kero 😂😂😂😂😂

  • @shadrackmwakalinga865
    @shadrackmwakalinga865 2 года назад +3

    Nafikiri anatakiwa apewe onyo na kusamehewa.
    Maisha yaendelee. Pia Serikali iangalie namna ya kutatua tatizo la ajira kwa watu wake wote.

  • @kaijagerichard9351
    @kaijagerichard9351 2 года назад +2

    Hakuna cha kumfunga hajamtapeli mtu yeyote alikuwa anasikiliza kero hapa issue kubwa ni kumsikiliza lengo lake ni nini. Kama hajatumia hyo account kujipatia faida ya kifedha

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 года назад +3

    Aiseeee😂😂😂😂
    Mwamba atengwe....😂😂😂😂

  • @khassamful
    @khassamful Год назад +3

    Mpeni kazi huyu bwana mdogo Kama ameweza kuleta wawekezaji mkoani bila shida. Kawa nini msimpe kazi muone uwezo aliyo nao. Kumfunga hakumuongezei chochote. Miaka mitatu jela akitoka atakua bado hana ajira. Serikali ifanye bidii ya kutoa ajira. Kuna wakuu wa mikoa wengi tu hawatimizi wajibu wao na bado wako makazini. Huyu apewe kazi kwenye offisi ya mkuu wa mko, siyo kufungwa. Tufungue macho jamani. 🙈🌞🍀🍀

  • @kauyegeorge3335
    @kauyegeorge3335 2 года назад +6

    Msameheni maana hajatapel mtu alikuw na uchu wa kumsaidia mkuu wa mkoa

  • @malugubrithon1478
    @malugubrithon1478 2 года назад

    Duh

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 2 года назад +4

    Mpeni kazi huyo mkuu wa mkoa kakaa tu

  • @ismailtarimo5612
    @ismailtarimo5612 2 года назад

    achunguzwe kama hajawahi kutapeli asamehewe huwenda ilikua ni namna yakufikisha ujumbe kwa kusikiliza kero za wananchi, na sii ajabu mkuu wa mkoa hajawahi kusikiliza wananchi wake. Uyu kijana alikua na nia nzuri sana kosa lake nikutumia anuani ya ikulu. Wapo marapeli wakubwa mfn wanaotakiwa kupewa adhabu uyo anatakiwa awezeshwe. Anae unga mkono agonge LIKE👇

  • @sknapoleonshoo3145
    @sknapoleonshoo3145 2 года назад +17

    Mkuu wa mkoa mwenyewe anafanana na jambazi sugu x 1000🥲🥲🥲. Serikali ya Tanzania inaongozwa kienyeji sana kama nyumba ndogo!

  • @steventogolai3865
    @steventogolai3865 2 года назад +10

    Jaman msimfunge huyo kijana nindoto zake zabadae, inawezekana mkeka uta tema,

  • @michaelmchodo3307
    @michaelmchodo3307 2 года назад

    Big dream

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 2 года назад +3

    Account inaitwaje nimfolow

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 года назад +2

    Msamehe jmn mzee wngu🙏🙏🙏🙏🙏😪

  • @victorsilayo2736
    @victorsilayo2736 2 года назад +1

    Nataman sana kabla ya kumfanya chochote,,wahusiku wapitie kwanza comment hizi👇,kweli tunaishi chini ya sheria,,ila utu una nafasi kubwa sana katika maisha yetu,,,hata nami naiomba serikali na vyombo vyote husiku kumsamehe kijana huyo

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 года назад +1

    Asomeshwe huenda baadae akaja kuwa kiongoz bora wakupigiwa mfano maana ana kipaji hata aka kubalika,amakosea ila kwa umri wake tumshamehe km hana pesa za kujiendeleza chuo asaidiwe akamalizie jela kubaya istoshe ni mtoto,istoshe bado ana ndoto kubwa sana ktk maisha yk tumsamehe

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 2 года назад +4

    Police anahukumu kabisa....ati Jela au fine...
    Je mahakama itanya nn?

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 года назад +9

    Mwacheni jamani labda kaona kero za wananchi zimezidi kaamua kumsaidia rc hakuna baya alilofanya kwani katapeli pesa?!

    • @anosiata8242
      @anosiata8242 2 года назад

      😀😀😀

    • @bekaashbai1781
      @bekaashbai1781 2 года назад

      Hajatapeli pesa ni akili 2 mi kwatanzania kazi hamna kuna kitabu kinasema wasomi huru gerezani hao ndo wasomi mchana anasema yy ni DC tatizo serekali yetu haina elimu endelevu hivi kuna watu wanapenda kua wasomi wamefeli darasani wamekua njee na elimu miaka 5 akitaka kurudi tena hapewi nafasi ila marekani nafasi hizi ni haki ya kila raiya kwa mfano kua mteja wa unga kua raisi vp tz inapendeza Sana tena inafurahisha inachekesha tz itabadilika kesho

  • @johnynathan5855
    @johnynathan5855 2 года назад +1

    Hahahhaha hvi wananch hawawajui viongozi wao wamkoa kwan

  • @bossmanmtanashati887
    @bossmanmtanashati887 Год назад

    Kaz nzur saaana wasafii endeleen kutuhabalisha vema tunapenda namna ya mnavojituma

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 года назад +3

    Wanaoiba mali z serekali hata kuwahoji hamuwahoji wala hamuwafunguli kesi dogo munataka alipe pesa n jela juu

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 2 года назад +1

    Mbona huyo mtuhumiwa mnamuonyesha wakati MIJITU MINGINE MIJAMBAZI Mnawaficha hamuwaonyeshi ??? mnasema si sheria kuonyesha watuhumiwa????Msifanye Ubaguzi bwana hata hayo MAJAMBAZI MKIYAKAMATA MUYAONYESHE

  • @oscarmkamba4234
    @oscarmkamba4234 2 года назад +4

    Hapo ndo naamin kuwa kila mtu anamawazo tofauti, tumwombe msamaha serikalin imsamehe mwamba wetu bado mdogo ila anamawazo makubwa sana

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      Mawazo makubwa ya kuwa "cyber criminal"!? 🤪🙆‍♂️ Mungu ibariki Tz! 🇹🇿

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 2 года назад +2

    *Lakini kama kero alikuwa anazitatua na wananchi wanasaidika shida iko wapi? hhhhhh tz bana vishoka tupo wengi*

  • @getrudalufega9770
    @getrudalufega9770 2 года назад

    Mama mpe cheo anaweza

  • @herijaphet
    @herijaphet 2 года назад

    Hana tofauti na PANYA ROAD. SHERIA IFANYE KAZI.
    KUTOJUA SHERIA SI UTETEZI. LENGO LAKE NI UTAPELI.
    HAO NDYO WANAOUNDA MITANDAO NA KITAPELI. MNAOTETEA SIYO BURE MNAWEZA KUWA MATAPELI WENZAKE.
    MWENDESHA MASHTAKA FUNGA HUYO KULINGANA NA SHERIA ILI IWE FUNZO. UTAPELI UMEKITHIRI MITANDAONI

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 года назад

    😂😂😂😂😂😂Heeee jamani mungu awastili watoto wetu jamani

  • @juxjemc5768
    @juxjemc5768 2 года назад +5

    Mtihan sana yaaaan ila kikubwa kama hajaiba msaameheni tyu

  • @elishamwakipiti1044
    @elishamwakipiti1044 2 года назад +5

    Sugu angekua mbunge angeenda kumsaidia dogo,,Mana haja tapeli chochote,afu ishu hizi ukifanya kitu unaambiwa ni kosa kisheria hizi Sheria mbona hatupewi kabla ya kukosea

    • @bernardsamwelmapuga406
      @bernardsamwelmapuga406 2 года назад

      Mzee baba umeongea neno zito sana kuhusu sheria nyingi wanazijua wao tu ahhahaaaaa

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 2 года назад

      Wanataka wananchi tujue tu automatically, wakati kuna Watu wanasomea

  • @joelmoron5896
    @joelmoron5896 Год назад

    What! A genius boy anatakiwa alindwe huyo kijana na amejitabiria mema sana dogo anafaa kuwa kiongozi!!!

  • @silyadamian5708
    @silyadamian5708 2 года назад +2

    Jmn kero zimezidi kumbe😂😂😂my country
    🙌🙌🙌🙌🙌🙌nywele za mkuu wetu sasa

  • @abedichande2497
    @abedichande2497 2 года назад +2

    sEMA kuna raia wana usubutu sana hahahaha wamsomeshe tu mwana awe kiongozi

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 года назад +3

    Ana ndoto ya kuwa kiongozi maana awatapeli kuwaibia pesa ila anaitaj kero zao ili akazifanyie kazi au kuna utapeli mwngn zaidi ya kuchukua Maoni! Ya mwanaNchi!!!

    • @stevek8318
      @stevek8318 2 года назад

      Huyu kijana haja mwibia yeyote bwana. Hajatapeli mtu. Namuombea apate judge mwenye akili timamu so hawa maafisa wanaomtakia jela tu

    • @victorbugobola2276
      @victorbugobola2276 2 года назад

      Nkwel

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 года назад +4

    Mpeni na yeye cheo ht cha uenyekiti wa mtaa amsaidie rais

  • @johnmasanja1762
    @johnmasanja1762 2 года назад

    🚩

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 2 года назад +3

    Asamehewe tu ni ujana, kwakua hajamuibia mtu basi asamehewe! Gereza siyo zuri kwa vijana wadogo atahalibika kiseikorojia

  • @leonardntani8888
    @leonardntani8888 2 года назад +3

    Toeni ajira!! Kwan hamjajua ishu n nn apo ajiraaaa

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад +1

      Tatizo sio ajira! Mbona hawakufanya huu upumbafu wakati wa Magu? Situlikuwa hatujaajiri kwa miaka 6 mfululizo???

    • @leonardntani8888
      @leonardntani8888 2 года назад

      @@j.c.maxima816 jiulize panya road kipind ya magu mbn hawakuepo na ajira hazikuepo af saiz wamerud!!

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      Wanajua wao wenyewe! Kwa nini wasikate vidole pia, miguu na hata mikono yote?! Wamechelewa kupata hela !!! 😂😂😂

  • @colin8750
    @colin8750 2 года назад +1

    Mazito matatu kwa mwamba😂🤣

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 2 года назад

    Tobaaaa😥

  • @lama6310
    @lama6310 2 года назад

    Huyu sio wa save for save wassup..nahisi namba yake ninayo

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 года назад

    Kiongozi wa kujitegemea 😂😂😂😊bila malipo aisee noma sana huyu

  • @dominickvitus4665
    @dominickvitus4665 2 года назад

    Hao jamaa wa nyuki walitoka Dar kweliiii? 😀😀😀🤣🤣🤣
    Wawekezaji wa nyuki kutoka Dar 😅

  • @charleschoma4216
    @charleschoma4216 2 года назад

    Msamehe

  • @raphaelmtama6548
    @raphaelmtama6548 2 года назад +1

    hahaha🙄🤣 hadi mkuu wa mkoa feki duu

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 2 года назад +2

    Dogo ana maono ya kuwa kiongozi

  • @paiwanjara3502
    @paiwanjara3502 2 года назад

    kampenda mkuu wa mkoa mpeni kazi

  • @fineboyAfrica
    @fineboyAfrica 2 года назад +1

    😂😂😂jamaa anastahili pongezi

  • @tamimtours6934
    @tamimtours6934 2 года назад +7

    WACHENI UHANISI HEBU, TAFUTENI MAJAMBAZI MUWAFUNGE..
    KERO ZIMEKUWA NYNG NDOMAANA KAFANYA HIVO MKUU WAMKOWA YUPO BUSY YEYE MAOFISINITU ,HAFUATI WATU AKAZTATUWA KERO ZAWATU

  • @humphreyswai1458
    @humphreyswai1458 2 года назад

    Mpeni chakula kwanza

  • @mohammedmujjizer5992
    @mohammedmujjizer5992 2 года назад +2

    Najaribu kuwaza vitu vingi sana kuhusu utendaje kaz wa baadhi ya viongoz wangi wao hutoi nafasi na muda kukaa chini na wananchi wao kufaha m kero zao pia kuwafunza sheria so mtu akifanya kosa wao tu ndo wazifahamu ila wananchi hawajui chochot

  • @gililwise
    @gililwise 2 года назад +3

    Alikuwa anafanya practice ipo siku atakuwa mkuu wa mkoa msameheni maana hizo ndio ndoto zake

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 года назад +1

    Umasikini ajira hakuna.

  • @claudiangowi9628
    @claudiangowi9628 2 года назад

    Yani Kwanza nicheke🤣🤣🤣🤣🤣

  • @afrocushitic
    @afrocushitic 2 года назад +1

    Hii nchi Uhuru umezidi 🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣

  • @hashimsaid5546
    @hashimsaid5546 Год назад +1

    Kama anatatua kero za wananchi ni Bora mkamuacha tu nyie si mmeshindwa,mmekalia wivu tu

  • @reubenlucumay1929
    @reubenlucumay1929 Год назад

    Kwa upande wangu Mimi wampe nafasi huko serikalini ama kama alikuwa anasoma wamsapoti kwa Elimu yake afikie matarajio yake maana hajaunda tume yake ya utapeli na Wala hakuna aliyejitokeza Kusema katapeliwa kwa hivyo ningeomba wamsamehe na kumchunguza kwa kina wajuwe dhumuni yake ni Nini haswa kuchagua Kazi hiyo ngumu ambayo hukwepi mkono wa Serikali

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 2 года назад

    Mbona Hana kosa

  • @rahmayahaya1709
    @rahmayahaya1709 2 года назад +1

    Mpk anafanikiwa kuwapata wananch na kuvuma kuwa mkoa wa mkoa yy mkuu wa mkoa alikuwa wap

  • @marympango9247
    @marympango9247 2 года назад

    Yan kwa muonekano tu naomba asamehewe ...jmn...daah.... Kwanza anatetemeka sanaa...mm moyo unaniuma mnoo.......

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 2 года назад

    Mmh bila woga

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 года назад

    😄

  • @akimuwaziri4089
    @akimuwaziri4089 2 года назад

    Yaan huyo mpeni ajila

  • @musaissa7463
    @musaissa7463 2 года назад

    mbona mm sioni kosa la huyu kijanaaaaaaaaa!!

  • @marwawilliam3648
    @marwawilliam3648 2 года назад

    Mh. Komredi Homera kijana amekosa sana..

  • @abdallahmtale4060
    @abdallahmtale4060 2 года назад

    Please naomba asamehewe na asaidiwe mtaji au kazi.

  • @totmohammedtotmohammed2982
    @totmohammedtotmohammed2982 2 года назад +1

    Nchi ngumu hiii mana mtu unacheka km mazur🤣🤣🤣🤣🤣 jmn muachen tu so kosa lake ttz nchi aliyopo mizar haja tukana awu ajapost vitu vya kishenz bs msameen iwe funzo tu

  • @dalali_professionalwa_dodo8330
    @dalali_professionalwa_dodo8330 2 года назад

    Kijana kaingia pabaya.. njaa jamani..njaaa

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 2 года назад

    Duuuh RC

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 2 года назад +1

    Kesho akitoka jela cheo chake kina msubili...

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 2 года назад

    Jamani nicheke miee hivi mtu mnamuona choko kabisa wananzengo mnamuona anawadanganya ye mkuu wa mkoa🤣🤣🤣

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 Год назад

    🤣🤣🤣🤣mambomengine yanafuraisha tu eti apokea kero zawananchi jmn🤦‍♂️ila msamehen tu jmn bado kijana mdog mno

  • @faridawilliam3255
    @faridawilliam3255 2 года назад

    Daah kijana anatetemeka saana aiseeee,,,daah mumsamehe tuu jamani ajira hakuna mweeee maisha magumu

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 2 года назад +2

    Bongo bhana, yani mimi tu nimemuelew kuw anamsaidia RC kujua kero za wananch, lkn hao wasomi wanamuita tapeli sasa kamtapeli nani? Au ndio wanachelew kuelewa?

  • @happinessmtembausikutehali8364
    @happinessmtembausikutehali8364 2 года назад +2

    Muacheni mtaani hatuskilizwi ww mkuu wa mkoa kaendelee kulala

  • @hebrewscampchurchforallnations
    @hebrewscampchurchforallnations 2 года назад +1

    Ufanyike uchunguzi kwa lengo la kutumia uwezo wake.

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 2 года назад

    Msameheni pia mature kero za wananchi