MJADALA MZITO KUHUSU ZANZIBAR ILIVYOHARIBIKA EPISODE NO 03 (SEMA NASI)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 19

  • @fatmam1997
    @fatmam1997 5 часов назад +2

    Wazee wetu nimewapenda mnooo❤❤❤❤❤❤ wazanzibar halisii😂😂

  • @bushraaljadidi7747
    @bushraaljadidi7747 4 часа назад +1

    Maa shaa Allah tunawapenda wazee wetu ❤ tunakuomba sheikh rashid utuletee wazee wetu kila wiki tuwaskilize.

  • @fay9687
    @fay9687 7 часов назад +2

    Subhanallah mtihani kwenye maharusi pia twawaita waislaam wazima watuimbie watu wanaotembea uchi tutaenda kuulizwa

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 6 часов назад +3

    Kiendelee kipindi hiki bado tunataka tujue mengi zaidi

  • @thedon8467
    @thedon8467 5 часов назад +1

    Hawa wazee Wana elimu kubwa mashaallah Tabarakallah. Allah awahifadhi

  • @abukingkima092
    @abukingkima092 5 часов назад

    Mashallah hawa wazee si dhahabu bali mi lulu na kipindi hichi kizuri maoni yangu kiendelezwe

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 3 часа назад

    Wajina,naomba hawa wazee wetu uwaalike tena hapo Al-fatah tv

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 3 часа назад

    hiki kipindi kinanikumbusha kina mzee Bakari Abeid Mungu awarehemu enzi izo na kipindi chao cha mila na desturiTVZ

  • @maryamkharusy4518
    @maryamkharusy4518 6 часов назад +4

    Hawa watu wazima wakiondoka we will never know our identity

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 4 часа назад

    Hapo kwenye lugha ndio kunaskitisha na waharibifu wa lugha kuanzia viongozi mpk chini huyo kiongozi anahutubia humfahamu hayo maneno alotumia kusema unajiuliza khasaa ndio neno gani tumefikia hapo na vitabu vya skuli vyoote lugha ya kibara vimebadilishwa vyote sio lugha tulioitumia sie

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 3 часа назад

    Usiwakatishe wajina,waache wazee waongee .

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis5406 6 часов назад +1

    Sheikh Rashid na Uongozi wako Nakupongezeni kwa kuweka Vipindi kama hivi. Kwa kwali ni muhimu sana kuwafungua macho watu lakini khasa hawa Viongozi wasiokuwa na Uweledi. Wazee wetu hawa Sheikh Salim na Mzee Talib ni WaZanzibari Kindakindaki. ENDELEA na KAZI MZURI.

  • @alsam4881
    @alsam4881 Час назад

    Serikali ya Zanzibar ipige marufuku watu kuvaa nusu uchi, na pia isiwaruhusu wasanii wa bara akina diamond, zuchu na wasanii wengine kuja kuimba Zanzibar, kwasababu hao ndiyo wanaoptosha kizazi kipya kwa maadili yao mabaya.

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 6 часов назад +1

    Mtihani mkubwa huu maasi yamezidi sasa mama anaogopa hata muacha baba nyumbani na watoto jamani na hilo litoleeni mada

    • @JCMaxima
      @JCMaxima 3 часа назад

      🤔🤔🤔🤔😭😭😭🙆🏾😱😱

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 59 минут назад

    Serikali yenu hiyo inapelekea hayo yote. Utasikia Haki za kibinadamu. Subiri uchaguzi wauliwe watu.

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 6 часов назад +3

    SIASA ZA CHUKI, KUIPUUZA DINI, MUHALI, UBINAFSI, UBAGUZI, UWAJIBIKAJI MBOVU HAYA NDO YANAIMALIZA ZANZIBAR 😢💔

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 3 часа назад

    Usiwakatishe wajina,waache wazee waongee .