Jamani natokea kenya 🇰🇪 watu wengine wanapitia maisha mangumu shukuru mungu wakati upitii mangumu Jamani gogeni like hapa wenye moyo safi kama huyu mkaka alie msaindia huyu mdada🎉🎉🎉🎉
Dada bak apo apo kwahuy kaka mung n mwem utampa tu mdogo wak mpendwa kwa kupean support kila jamb lina mwanz na mwiso pia jikaz mrs shey shey utampa mdog wak
Astaghafirullah🫢! Kaka kumbe uko na roo mbya ivo! Mwaenzako anakwmbia anahisi kiu umsaidie na maji maskini wamwalia maji mungu akulaani mwanamume ww 😢😢😢na nnavyoona mungu n mwema akamleta saidi apo alipokaribu na Sheila 😢😢😢😢😢
Jamani natokea kenya 🇰🇪 watu wengine wanapitia maisha mangumu shukuru mungu wakati upitii mangumu Jamani gogeni like hapa wenye moyo safi kama huyu mkaka alie msaindia huyu mdada🎉🎉🎉🎉
Yeah
Dar kid nakukubali broo bigup xna
Kwa hii ni mtihani tosha
Keep it up bro
Kabisa
Kaka Darkid uko poa Sana Una kamoyo Ka uluma aliyejua ILO Kaka ana loo nzur tujuane kwenye like bx 🎉🎉🎉❤❤
kama umepitia msoto kwenye maisha mpka sasa na ushavuka changamoto hizo sema amen.na umpongeze sheishei🎉🎉
Ata mm sisemi kitu wallai Kwa hii ndunia Kuna milima n mabonde l say😮
Nakupenda sana dada shey shey kazi nzuri ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nakupenda sana dada shey shey kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Sheyshey nakupenda sana aky waau leo mm wa kwanza like zangu jameni tukisonga❤❤❤
Pahali ya ku pongeze kwa kazinzuri nyiye mna omba like tu
Tunao mupenda sheilah tujuane kwa like from. Burundi
Huwa sijawai kuwa wa kwanza ila nimefika kaxi yako n nzuri daa Sheila mungu akuzidishie, nakupenda sana
Sheyshey hiii movie inanifunza kitu kapiza mungu akupariki sana sana❤❤❤❤
Yeah nikweri
Dada yang Sheila umeuwa upo vizur san na hongera kwa Kaz nzur unaweza San big up kwako🥰🙏🙏
Shey we nimrembo jamani nakupenda❤❤❤❤❤hongera sana kazi nzuri
Mambo nyinyi wote mnao soma hii comment yangu Mungu Mungu awabariki nawenye moyo mzuri kama wa darkid❤❤❤
Much love from Kenya miss Sheishei and Darkid ❤❤
❤❤kazi nzuri sana 👍 hongera shey shey kwa kz nzuri
Sheyshey umejiachia na remote umesahau kabisa kama dogo kapotea😅😅
Wow wa kwanza leo kutoka kenya..wapi like zangu 😅
Hatimae Hamis wa Bss nae ndani ya sheila🥰🥰
In BURUNDI country 🇧🇮 we wish blessings Sheila🙌🙌🙌
Nakpenda bure shey shey basi usiwe unachelewesha😂😂😂❤❤❤❤❤
Darkid kz nzuri penda sana shey anajua sana
Sheyshey nakupenda sana jaman na mmi nipo naombeni laiki zangu nawapenda sana malafiki zangu
Shey shey nakupenda bure Asante kunikumbusha mahali mungu amenitoa
Naangalia kutoka Australia kazi nzuri sana 🔥🔥🔥
Ongera sana commando kipenzi kazi nzuri sana💋💋💋💋
❤❤❤❤❤wedada Mungu akuongoze nakazizako unajua kueka uwalisia daaaah nce
Sheyshey nime muona mtoto unaye mtafuta huku congo ebu njoo😂😂😂
😂😂😂😂
Huyu jamaa aliyemsaidia SHEY SHEY + SHEY SHEY na huyu mdogo ake SHEY SHEY wanafanana 😂😂😂😂
Wanakaa mandugu 😂
@@Unique_girl02 umeona eee 😁
Ni family Moja
@@Araphrqra kweli unauhakika? 😁 usije kuniaminisha uongo
Shey shey huyu jamaa kama ni chali yake lakini huyu dogo ni kama kakake shey
Tulio muona Hamiss wa bss nipeni like bc ila kwann anamshali mwenzie amfukuze sijapendaa😅
Mashallah hongera sanaa shey shey kwa kazi nzur sanaa 🤝🎉❤❤❤
Chukua Maua yako 🎉🎉🎉hayo shey shey Kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤
from kenya i like your movie becoz has moral lesson
Safi kijana wangu hensam wadunia njia mungu aibaliki
Kazi nzuri saana big up
Nakupenda Sanaa sheyshey kwa kazi nzuri
Sheyshey kazi nzur kipenzi nakupenda saan❤❤
Leo nimewahi naomba like zangu ❤❤❤❤
Shangazi Awe zebuu nalikoma bla kumsaha Kp wakwino oya utauwa sanaaa mwangu shey kwanzaa maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sheila pole sana mwenyezi mungu akunusuru
❤❤❤Shei shei kazi nzuri sana ongera nakupenda 🎉🎉🎉
Kaka asante sana kwa kumsaidia saidi kwa chakula mungu akubariki 😢😢😢😢
Jamni tumpe support dda et kipenzi shey shey❤❤kwa kazi yake nzurii🎉🎉
Shey Shey mimi fans KP nimekubali mision zako kwenye PLAN B ikabidi nitafute channel yako. 🔥🔥🔥🌹🌹🌹🌹
Nzuri sana sheyshey nimeipenda Wacha niendelee kujifunza.
Macho yangu au kamanimemuona hamis wa Bss
Na roho yake mbaya maji pia amnyima mtoto
@@biommy6700 sasa sindiyo wamepanga kuect hivo na ww unachukulia Kweli😨
Nkajua nimemfananisha tu
Nimeanza kufuatilia nimependa hii series kazi nzr😊
Kazi nzuri Sana Sheila ❤❤❤
Kazi nzuri 👏👏🔥🔥💥💯
Hapa umetishaaaa komando kipensi usie na vyeti vya serikali❤❤❤❤
Nimependa jamn mmetuletea love la kihindi
Kazi nzuri sheila nakukubali kinoma yani❤❤❤❤
shey shey na sisi Burundi tunakutizamia kazi Yako na tunakupenda❤
Pole Sana mdogo wangu mungu atakusaidia😊
Mense 💔 hierdie boek dié 💥💥 👏👏
Napenda shey sana kutoka Kenya ❤
Mungu akubariki kwa kumusaidia dada sheilla
Darkid hapo sasa..sheyshey darkid kashaa kupenda jamani🎉🎉mapenzi wewe,,ila kazi nzuri kwenu🎉🎉
Kazi nzuri Sheila Nakupenda sana❤❤
Sheila binti likoma kuwa makini daaah😂😂 jamaa anae upwiru huyo
😂😂😂😂
Kazi nzuri saana 🎉🥰🌹
Mambo naona inaenda vyema🎉😂
Nakufatilia Sana Sheila mnatufunza Sana shukrani wapedwa mungu awalinde inshaallah
i love these lady so much sijui nitapata aje namba yake
Nimeipenda❤❤❤ ila ww kaka shetani usijekumuendekeza kama umeamua kumsaidia basi msaidie
Mafunzo tosha safi sana
wakwanza from Congo RDC 🇨🇩 sheyshey bona inachelewa sanaa
Dada bak apo apo kwahuy kaka mung n mwem utampa tu mdogo wak mpendwa kwa kupean support kila jamb lina mwanz na mwiso pia jikaz mrs shey shey utampa mdog wak
Nakupenda sana sheyshey
Dashei💋💋💋💋 nakupend San komand wet wa plan B mzenj ap 🎉🎉🎉 honger kaz nzr
Sheishei komando kipesi sheishei nam jina rangu
Mi natoka Rwanda rakini kaka unarohonzuri mungu akubaliki
Astaghafirullah🫢! Kaka kumbe uko na roo mbya ivo! Mwaenzako anakwmbia anahisi kiu umsaidie na maji maskini wamwalia maji mungu akulaani mwanamume ww 😢😢😢na nnavyoona mungu n mwema akamleta saidi apo alipokaribu na Sheila 😢😢😢😢😢
Sheyshey unapambn Sana dadaanguu utampata Mungu anakuona ❤❤❤
Sheyshey kwa ubora wake ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
I love you sheyshey 🎉❤
🎉🎉jmani kama wahindi eti kaah Sheila unatisha na nusu😊
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
Sheila unafanya kazi zuri sana
Kazi nzuri shey shey❤❤❤❤
Watching from kenya mnafanya kazi poa
Tofauti kati ya mtoto wa kike na WA kiume ndo hii sasa Sheila na mdogo wake😢
😁😁😁🤣🤣🤣sheshe mbona unaaza kujiaciriya umeaza kumtamani uyu kaka
Shey shey mbona mapenz ya kihind. Yameanza🎉🎉😅
Sheyshey love you forever and always ❤❤❤❤❤❤
Movie nzuri sanaa
Shey shey unyama mwingi umu piga kazi
Kazi nzuri ❤❤❤❤
Next Ep iwe kali naona mnaanza kuonesha sign 😂😂❤❤ila mdogo wa shey apatikane❤❤❤
Huyu dogo atapotea iwe kweri make anazunguka saana had kafka huku kwetu
😂😂😂😂😂
Approved hii n Kali sheyshey. ❤❤ Much love ❤❤
Namm jaman sijachelewa sana ❤❤
Nilikuwa naisubiria Kwa hamu sana❤❤
Wao maua🎉sheishei❤
Mtoto mzuri hivi 😂😂😂😂wewe darkid
WAISHA UNACHELEWESHA SANAA TOA MAPEMA WATU WAKUAMIN NDY KUKUZA JINA HVO
Nakukubali my friend
Congratulations Kazi nzur mashaallah ❤
Sheilaaa love you so much my sister ❤❤🎉🎉❤❤🎉🎉
Kazi njema sheyshey...toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Umetisha dadangu kaza Buti sisi tunapenda silizi za mafundisho siyo kutufunza uchawi
Muwe mnaiwaisha basi😂😂
Jamani hii filamu Tena Nitamu kabisa, Yani hiyi Team kp wakwino Muna akili Kali Kabisa 💪💪💪💪💪