Pole sana mwamba, series Iko sawa kabisa, quality ya audio sawa, location sawa sana, wahusika wachache na wanaelewa majukumu Yao na zaidi ya yote ubunifu wa high quality, kaka Kenya unapendwa na kazi kama hizi zinafanya upendwe Zaidi
Pole Sana Gozi kwa kifo Cha baba! kwa kweli una hekima na busara ya kuelimisha wengi kupitia vipindi vyako vya uigizaji,Kila la hero na mwenyezi Mungu akulinde pia akuwezeshe!!.💝🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎊
Pole sana kaka Allah ailaze pema pepon roo y babaetu amupe kauli dhabit katika kabur rake n wewe Allah akupe moyo wa subra kaka mana kuondokewa n mzazi sio rais😢😢😢😢
Hii movie imenifunza somo kuu sana. kwanza kabisa 1. kuwa mkweli 2. kuwa na upendo wa dhati 3. kuto compromise I like how Hanifa hakucompromise. #kenya we are together with you @Chado Masta @Gozi and @Hanifa
Pole sana gozi Kwa kumpoteza Baba mungu die upeana n anachukua lakin jipe ngufu n pia pongezi Sana Kwa movie zako nitamu sana n pia iyo sauti yako inanimalizanga mm
Kutoka Burundi ndio mara yakwanza natizama kazi yenu kwakweli nimependa hongereni. N'a pole saaana kijana kwakupoteza baba yako. Mungu akupe subra n'a amlaze mahali pema mzazi wako. Nitaendeleya ku wafatiliya tangiya sasa
Pole sana mwenyezi mungu ampe baba yetu kitabu chake cha hesabu kwa mkono wakulia Inshaallah
Pole sana mwamba, series Iko sawa kabisa, quality ya audio sawa, location sawa sana, wahusika wachache na wanaelewa majukumu Yao na zaidi ya yote ubunifu wa high quality, kaka Kenya unapendwa na kazi kama hizi zinafanya upendwe Zaidi
Kweli sana
Zablon damiano @4492@@aligermano3615
@@aligermano3615ninzuli
Pole Sana Gozi kwa kifo Cha baba! kwa kweli una hekima na busara ya kuelimisha wengi kupitia vipindi vyako vya uigizaji,Kila la hero na mwenyezi Mungu akulinde pia akuwezeshe!!.💝🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎊
Pole sana kaka 😭😭😭pamoja na hayo kazi Yako nzuri sana
Pole sana gozi lakini hongera kwa kazi nzuri
Alipo chado hakihalibiki k2 napenda Sana
Pole sana mungu yupopamaj naw
Gozi mtu taratibu mno, na mwenye ueledi wa kujieleza kinaganaga!
Uko vzuri gozi l love
Pole sana Gozi kwa kumpoteza baba😢
Chado kapatikana kabakia macho kodo
Umekutana na mwamba mwenzio
Gozi anaweza
Anaweza tena
Polee sanaa kazi ya mungu haina makosa
Nimempenda gozi hivi uko single from kenya❤
Bro umetisha cn chado mastaa
Iko vizur hiii movie ❤❤🎉🎉
Gozi napenda sana video zako 👍
pole kipenzi kwa kuondokewa na baba mzazi😢😢😢
Pole sana kaka Allah ailaze pema pepon roo y babaetu amupe kauli dhabit katika kabur rake n wewe Allah akupe moyo wa subra kaka mana kuondokewa n mzazi sio rais😢😢😢😢
Nani amefiwa ni mzazi wake
Akh iko sawa wallah keep on going 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bonge la movie 🔥🔥🔥
Pole kaka
Pole sana gozi kwamsiba unatupa vitu vizuri sana mungu aendeleye kukubariki kwakazi unayo ifanya kweli
Mmmh hongereni sana move Kali sana na pole kwa msiba wa baba Yako kipenzi
Pole kwa ilo ila unajua brother 🎉🎉🎉❤❤❤
Pole sana mwenyezi akujaalie moyo wasubra kwa wakati huu mgumu.
Pole mkaka mzur
Pole sana,lakin hongera pia kwa kaz nzur
Hii movie imenifunza somo kuu sana. kwanza kabisa 1. kuwa mkweli 2. kuwa na upendo wa dhati 3. kuto compromise I like how Hanifa hakucompromise. #kenya we are together with you @Chado Masta @Gozi and @Hanifa
😢😢😢 pole Sana gozi
Mababu apa kazi nzuri kakaa nawafollow kutoka kenya
Daa pole sana bro🇰🇪
Pole sana kwa kumpoteza baba Allah ampe kauli thabiti. Na piah hongera kwa kazi nzuri
Huyu mzee wa misumari kila sehemu anadundwa tu 😂
Pole sana gozi Kwa kumpoteza Baba mungu die upeana n anachukua lakin jipe ngufu n pia pongezi Sana Kwa movie zako nitamu sana n pia iyo sauti yako inanimalizanga mm
kazi nzuri ila hapa kwenye nyumba ya gozi imeludia na mission inpossible
Pole Sana kipenzi
Nimefurah kumuona nyau humu ndani😅😅😅😅
Was.safi.sanaaa
Hii movie noma sana ikiwa na super actors wangu nawakubali sana hanifa chado na zigo aka gozi
Akih pole sana mungu ampunzishe pema peponi niwapenda nyote mbalikiee
Gozi pole kwa kumpoteza baba mungu amlaze mahali pema peponi bro na Asante sana kwa kazi zuri series inamafuzo mazuri sana naikupali kazi yako Gozi
Pole sana mimi ni shambiki mpya kutoka kenya
Moyo wacuma pole sana kaka Masha Allah ume nikoshu tu sana
Aww pole sana kwakumpoteza baba yako Mzazi
Oops pole sana gozi kwakumpoteza mzeekazi yamungu Haina makosa ila asante kwakazi nzuri
Shukulan kwa KO gozi kazinzuri s
Pole na msiba gozi
Pole sana,Mwenyezi mungu akupe subra.
Very nice, wow movie zuri sana, Sasa mwishi mwapendeza sana thanks
Pole sana bro kwa kumupoteza baba yako mungu akusaidie sana
Pole sana kwa yaliyokupata? Lakini kazi safi sana bwana Gozi,,,huwa nakufatilia sana kutoka busia kenya......
Pole sana broo mungu akuzidishie nguvu...
Kutoka Burundi ndio mara yakwanza natizama kazi yenu kwakweli nimependa hongereni. N'a pole saaana kijana kwakupoteza baba yako. Mungu akupe subra n'a amlaze mahali pema mzazi wako. Nitaendeleya ku wafatiliya tangiya sasa
Pole sana brother kwa kumupoteza baba yako Mungu atusaidie
Nimechelewa sn ila natoa pole sn mr Gozi asanteni kwa movie yako nzr kbsa
Nawapenda Bure nahayo maneno ya chugastan from Kenya nawakilisha🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daaah aisee pole sana Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Gozi nakupenda siwezi kuishi bila ww
Pole sana hongera sana kwa movie nzuri
Daah mameno ya mwisĥo yanaumiza sana pole broo
pole sana kaka kwa kupoteza baba ako mzazi😢
Chado nakuambiya nyele ikaota ukinyoa tena nakukataa nakuambiya 😅
Pole sana kk kaziyamungu aina makosa
Na pia pole sana Kwa kifo cha babako Mungu ailaze roho yake mahala Pema peponi
Nice job Mr goze 4good story Congole kwako mwamba
Napenda movie zunu sana big up nawasikiliza kutoka Kenya 🇰🇪 ❤❤❤
Si nitachelewa kazini daaah! Movie kali mno,, hongera gozi.......
Pôle saana baba
Pw wanachama ,nawapenda sana
Aisee hii film mmetisha kinoma iko powa mno.Napenda kuwapa hongera kubwa.
Pole sana kwa kumpoteza Baba...Mungu akupe subra....Aidha ni kazi nzuri sana kaka. inatazamika mbele ya familia
Pamoja sana🎉🎉 Director Gozi 🎉🎉kazi nzur pongezi kwenu team leader gozi🎉🎉
cool tu sana kazi nzuri kabisa
Nzurii sanaaa na inamafunzo sanaa mbarikiwe katika kazi zenu
Pole sana🙏 kaka Gozi kwa kumpoteza baba ..
Pole sana😢 mungu ablaze roho yake mahali pema peponi
Tulete season 2 mana zigo hii movie namkubali sana mukiwa na chado
Pole sana mungu atupe uvumiliv wote tulowah kuondokewa na wazaza🙏🙏🙏
Pole san… pia hongera kw kaz nzuri
Ndomana napenda sana movie zako kaka Gozi❤❤keep going brother..halafu mukeo anapendeza sana akijistri
pole sana mkuu kwa kumpoteza Baba
lakini pia Hongera kwa kazi nzuri
Pôle sana , tena mungu akuwezeshe udutumiye zingine zaiyi
Pole sanaa mwamba moyo wa chuma iko sawa ❤mimi niko america bali nafatiliziya muvie zako thanks bro
Vizuri Sana
Nimeipend san gozi ni nzuri 😊
Ila pole pia kwakumpotez 😢baba
Hiii move ni nzuri vibaya mno 🎉🎉🎉🎉🎉
sorry gozi mungu akutie nguvu and keep going🥰🥰🥰
Pole sana kwa kumpoteza mzee kaka gozi
cool tu sana kazi nzuri kabisa🎉🎉 40:52 40:55 40:56
Mungu akuzidishie maarifa mengine zaidi gozi upo vizulinimependaa
Mashaallah❤Kipenzi Unaweza pole sana
Pole sna gozi kwa kupoteza mzee,,napenda sana kufatilia sana vipindi vyenu wwe na chado🎉🎉🎉from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pole kaka kwa kupoteza mzazi mungu azidi kukufariji
😮😮😮😮❤❤❤nimeipenda xn kazi
Pole sana kaka mungu akupenguvu
Pole sana Gozi kumpoteza Baba
Kwa kweli, hii ni moja ya sinema bora
Pole sana movie Kali sana nmeipenda sana
Pole sana kamanda umetisha japo kwa changamoto hizo asee
❤❤❤wanasema ni tam ajabu chukua maua yako🎉🎉🎉 Gozi😊😊😊
Nimekupenda mno goz kaz nzur kila la gher
Pole sana na mungu akutiye nguvu
Waah pole sana kaka ata nilikuwa natabasamu ila maneno ya mwisho duuuh😢
Movie nzuri sana , na pole kwa kupoteza babako