SHEILA | Part 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии •

  • @AnnaShao
    @AnnaShao 3 месяца назад +55

    Kazi nzuri Sana sheila bint likoma Mungu akuongoze
    Km una mkubali shey shey gonga like apaa tujuane❤

  • @danielndimwa3613
    @danielndimwa3613 3 месяца назад +20

    Hatamim pia nampenda san shey shy naomben like hata kidogo

  • @Songeagirl1
    @Songeagirl1 3 месяца назад +8

    Jamani shey shey wangu kumbe kaachia kitu huku na sijuiii🥰🥰 mungu akutangulie kwa kila ukifanyacho Sheila nakupenda mno ❤

  • @FahimuFarao
    @FahimuFarao 4 месяца назад +80

    Kwa kuwa nakukubali shey shey ata ikiwa mbaya nitaifatilia mpk final episode ❤🎉...mungu abaliki kazi yako

    • @shemsafafa3917
      @shemsafafa3917 3 месяца назад

      Kweli kabisa Shy Shy tunampenda kwanza majinaangu Ila tunaimani haiwezi kuwa mbaya

    • @FahimuFarao
      @FahimuFarao 3 месяца назад

      @@shemsafafa3917 yeah kazi anaiweza

    • @FahimuFarao
      @FahimuFarao Месяц назад

      @@shemsafafa3917 kabisaaa yupo vzr kwenye uwalisia wwte ule

  • @SurajiMastori
    @SurajiMastori 4 месяца назад +79

    Well done mate🤝

    • @MarkGabriel-cf8iv
      @MarkGabriel-cf8iv 4 месяца назад +4

      Suraj umepotelea wapi

    • @SHADRACKWANDERA-s4n
      @SHADRACKWANDERA-s4n 4 месяца назад +2

      Suraj mbona umepotea brother......? Tumekumiss sana ...

    • @SurajiMastori
      @SurajiMastori 4 месяца назад +4

      @@SHADRACKWANDERA-s4n nipo kaka hivi karibuni utaniona🙏

    • @SHADRACKWANDERA-s4n
      @SHADRACKWANDERA-s4n 4 месяца назад +1

      @@SurajiMastori kenya tunakupenda kaka

    • @gracekayumba-z9l
      @gracekayumba-z9l 3 месяца назад +1

      Mbn sulaj plan b kaonekana pal mwish

  • @RuthNyatuka-qe3kd
    @RuthNyatuka-qe3kd 4 месяца назад +93

    All Kenyans gather here support lazima tukupe our girl go, go, go

  • @Betty-t9q
    @Betty-t9q 3 месяца назад +8

    Tunakupenda sana kutoka kenya sheyshey ,hongera🎉🎉🎉

  • @Beatrice-z4c
    @Beatrice-z4c 3 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana dada Sheila kwa kutupa moyo tusilie na tusikate tamaa tusimame na tusinge mbele kwa kila jaribu🎉🎉🎉

  • @PaulineNasoro
    @PaulineNasoro 3 месяца назад +3

    Sheyshey Iko vizuri sana dada much ❤️ from 🇰🇪💖💖🌹🌹

  • @medardpetro6720
    @medardpetro6720 3 месяца назад +4

    Kweli umefanania kabisa sheyshey kusema umetokea singida na bila xhaka ni mnyatur

  • @NeyEmmanuely-ji4ki
    @NeyEmmanuely-ji4ki 3 месяца назад +2

    Nakuombea mungu akujalie usonge mbele. Pamoja sana sheila ❤❤❤

  • @Cesiliaadrian
    @Cesiliaadrian 3 месяца назад +4

    Unajituma sn nakupenda bure sheyshey peace and love

  • @NshomaSayi
    @NshomaSayi 3 месяца назад +2

    sheyshey your super woman tuko na wewe bamba tu bamba mpaka final❤❤❤❤🎉🎉

  • @Liliy-q7n
    @Liliy-q7n 4 месяца назад +16

    Sheishei nakupenda sana from kenya bt tumezoe ukiwa jasiri hii inaskitisha

  • @NeyEmmanuely-ji4ki
    @NeyEmmanuely-ji4ki 3 месяца назад +3

    Shey shey kazi nzuri sana dada angu naitazama hii film nahis kotokwa machoz

  • @BechuuHonex
    @BechuuHonex 3 месяца назад +3

    Good Good🔥🔥🔥

  • @NdayisengaKhadidja
    @NdayisengaKhadidja 4 месяца назад +4

    Nakupenda sana Sheila wangu❤❤❤❤

  • @johnkizengamadika-k2k
    @johnkizengamadika-k2k 3 месяца назад +5

    Dada Sheila napenda kazi zako naomba mungu akuwezeshe, nakufwata toka Congo RDC mudi Kolwezi

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 3 месяца назад +5

    Ongela sana da Sheila.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @Elishamashiku
    @Elishamashiku 3 месяца назад +8

    Shey shey yani mpaka nikiangalia natokwa namchozi kazi nzuri tokamuanze kutoa mov zwnu sjawai kuona mov kama huo munguakuongoze kumalize kazi yako nipo mwanza 😊😊😊

  • @NasrahMsiagi
    @NasrahMsiagi 4 месяца назад +3

    Uko vizuri sheyshey Allah ajaalie kazi zako ❤❤❤❤❤

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 3 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana shey shey wee ndio unafanya tuchangamke😊😊

  • @MercyKahindi-go2nr
    @MercyKahindi-go2nr 3 месяца назад +2

    Let's support our baby girl sheyshey nakupenda Sana kutoka kenyaaa❤❤❤ twende naloo😊

  • @RuthMwende-qv7jo
    @RuthMwende-qv7jo 3 месяца назад

    Shey shey ww ni rafiki yangu sana na penda KAZI yako shine shine ur girl Ruth from kenya❤❤❤❤

  • @YusuphYaredy-e6e
    @YusuphYaredy-e6e 3 месяца назад

    Hongera Shey Shey kwa kupata mawazo hayo mungu akujalie usonge mbele zaidi unajua dada

  • @DanielMoirange
    @DanielMoirange 3 месяца назад +2

    My shei shei, big up Sana God akupeleke far

  • @BlacketSmith
    @BlacketSmith 3 месяца назад +4

    Sheyila nayichi burundi napenda micezo ya firme❤❤❤ kp zebu nora dibozi na muzerikoma ❤❤❤

  • @AgripinaGervas-i7i
    @AgripinaGervas-i7i 3 месяца назад +2

    Waoo shey shey,,
    More love❤❤

  • @OmarysD
    @OmarysD 4 месяца назад +2

    Iko poa sanaa pamoja na malesa ❤❤❤❤❤

  • @AgnessLeonard-j6y
    @AgnessLeonard-j6y 4 месяца назад +8

    😂😂😂😂😂ila huyo mtoto

  • @EliwazaAshery
    @EliwazaAshery 4 месяца назад +2

    Mungu akusimamie katika Kaz zako dadangu home girl wangu nakupenda sana❤❤❤

  • @MercyMervyn
    @MercyMervyn Месяц назад

    Uko sawa sheila mungu akupe nguvu zaidi

  • @JoyceMichael-i3n
    @JoyceMichael-i3n 4 месяца назад +1

    Waooo sheyshey kazi yako zuri sana nakupenda sana

  • @WedsonLungu-hx4mh
    @WedsonLungu-hx4mh 3 месяца назад +1

    Sheyshey umayaaza vizuri endelea tuko pamoja

  • @SharifaRashid-tg9kx
    @SharifaRashid-tg9kx 4 месяца назад +3

    Sheila kazi nzuri mungu akubariki ufike mbali zaidi

  • @Faithispah
    @Faithispah 4 месяца назад +9

    Shey shey nakupenda Yani ata huezi amini 🥰🥰 nipo qpa Na wewe mpaka kukuche,,,,shabiki wako kutota Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BintiMweluhanga
    @BintiMweluhanga 4 месяца назад +3

    Dada sheila umeupigaa mwingi ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BennyMabendi
    @BennyMabendi 3 месяца назад +4

    Nilikuwa nimezoa kumuona Shey shey kama komando hatari amebadili style kazi nzuri sana

  • @FrancisSamson-i3o
    @FrancisSamson-i3o 4 месяца назад +5

    ❤❤nawatabua suraji ,shella I mean team Binti nyoka

  • @YusuphYaredy-e6e
    @YusuphYaredy-e6e 3 месяца назад

    Shey umetukumbuka watu wa singida,mara chache sana wasanii kukubali kwao nice

  • @StacyChebet-j2t
    @StacyChebet-j2t Месяц назад

    Congratulations 👏🎉🎉❤ Sheila kwa kazi nzuri

  • @margaretmatoke-vp9vt
    @margaretmatoke-vp9vt 3 месяца назад +6

    Nice work shey shey

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 3 месяца назад +1

    Sheila Safi Sana kipenzi ❤❤❤nakupenda may❤

  • @AmidauingirwaAminata
    @AmidauingirwaAminata Месяц назад +1

    Kazi njema sheyshey

  • @MwanapiliSidi
    @MwanapiliSidi 3 месяца назад +1

    Love❤❤ sheyshey congratulations 👏👏👏

  • @kura.the.boy-
    @kura.the.boy- 3 месяца назад

    Nakubali sana dada shey kazi kali hakun kulala hakuna kukata tamaa unyam mwingi san

  • @FaridahAtieno
    @FaridahAtieno 4 месяца назад +7

    I like how people are minding their business in Dar😂 ingelikua n uku kenya kwetu kila mtu angekua amesimama kukuangalia they shey😂😂😂😅😅😅

    • @MELVINBBY
      @MELVINBBY 3 месяца назад

      Toa ujinga hpa kenya which lbda kijiji cha kwenu ndio washamba nongwe hii

  • @therealanusmile
    @therealanusmile 3 месяца назад +2

    All dhe best familiar 🎉🎉🎉

  • @IsayaMsabila
    @IsayaMsabila 3 месяца назад +4

    Safi saaana 🎉🎉🎉🎉

  • @ShafiJuma-z6p
    @ShafiJuma-z6p 3 месяца назад +2

    Sheila umeipatia sana nimeioenda❤

  • @annamarymakala1233
    @annamarymakala1233 3 месяца назад +2

    Well done queen mother ❤❤

  • @AyshAbdallah
    @AyshAbdallah 3 месяца назад +1

    Lete vitu shei shei Zur sana movie

  • @JeanBosco-q5u
    @JeanBosco-q5u 3 месяца назад

    Kazi nzuri sheyshey tunaipokea vema sana

  • @Family-i2d
    @Family-i2d 4 месяца назад +6

    Wow wow good job shy keep going 🎉🎉❤❤

  • @neemajoshua-jv7oo
    @neemajoshua-jv7oo 3 месяца назад

    Duh shei shei nimekukubali hongera unaweza

  • @FarudiniMkwahe-bf8hs
    @FarudiniMkwahe-bf8hs 3 месяца назад +1

    Musicheleweshe kazi naimani mungu atajalia kuinua mikono yenu kazi mzuri sana 🙏🙏🙏

  • @minanietienne-sz8xu
    @minanietienne-sz8xu 3 месяца назад +2

    Keep up sister shei shei where u going we are all together

  • @KingSAMWANA-KE
    @KingSAMWANA-KE 3 месяца назад +1

    napenda ujasiri wa huyu binti kifilamu 🎉🎉

  • @armandokihahira
    @armandokihahira 3 месяца назад +1

    l like this movie so much please don't give up cause is it your future💯💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @ShamilaAbdul-n8b
    @ShamilaAbdul-n8b 3 месяца назад +2

    Ichi kitoto nacho kipo vizuri kweli yaani😊

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 3 месяца назад +1

    Congrat my best actor, Next episode plz ❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NewtonOkoko
    @NewtonOkoko 3 месяца назад +1

    Much love from Kenya shey shey

  • @RemtahNanzala-k3k
    @RemtahNanzala-k3k 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤ jikaze shey shey

  • @mechne803
    @mechne803 2 месяца назад

    Unapata wapi njaa wakati mdogo wako haujui yuko wapi jaman . Kaz nzuri 🎉🎉🎉

  • @YusufuAaron
    @YusufuAaron 4 месяца назад +2

    Kazi nzuli Mrs sheyshey nakuunga mkono na Shere nitakufanyia kama zote nawakilisha nikiwa uku Rwanda 🇷🇼 nakupenda sana Sheila wa ....😂

  • @princejay-z1d
    @princejay-z1d 4 месяца назад +2

    Big up my sstr shey shey #unaweza

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 3 месяца назад +1

    Hongera twende kazi sheyshey❤❤❤

  • @JastinJaphet
    @JastinJaphet 3 месяца назад +1

    Umeanza vizur nakuombea umalize vizur

  • @DRAMKakola-j2n
    @DRAMKakola-j2n 4 месяца назад

    Nous te suivons depuis la RDCONGO, sheyshey la Queen 👑 MOTHER 14 fois toujours.

  • @Lilianmbeyu-ev2rw
    @Lilianmbeyu-ev2rw 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤snema iko poa shey shey

  • @AllyJumapili-lc3qf
    @AllyJumapili-lc3qf 4 месяца назад +1

    🎉🎉🎉 we ni fundi sana

  • @Ezems-el6ts
    @Ezems-el6ts 3 месяца назад +1

    Kiukweli sheila una pendeza ukiwa mpole 😜🇨🇩

  • @ZaidiaKhassim-x4x
    @ZaidiaKhassim-x4x 4 месяца назад +3

    Ongera san nzuri

  • @MerryMerry-g1j
    @MerryMerry-g1j 4 месяца назад +4

    Alie imba. Jamani mwimbo haueleweki😂😂

  • @MELVINBBY
    @MELVINBBY 3 месяца назад +1

    Safi sna kamamaa kazi nzuri tupo na ww sambamba much luv from 🇰🇪💜💜

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 3 месяца назад +3

    Uko sawa sana ❤❤❤

    • @masayimedia1320
      @masayimedia1320 16 дней назад

      tunakupongeza kwa kazi unayoifanya sheyshey

  • @OmmyFamily
    @OmmyFamily 4 месяца назад +3

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 dada shey

  • @MelinaMerlins
    @MelinaMerlins 3 месяца назад +1

    Much love from kenya ♥️♥️♥️

  • @jcwformediatv5032
    @jcwformediatv5032 3 месяца назад

    Tamos esperar bom trabalhos mana shey-shey

  • @KingElyon-vo4lv
    @KingElyon-vo4lv 4 месяца назад +4

    Sheyshey songa mbere

  • @AISHA-uu8xu
    @AISHA-uu8xu 4 месяца назад +5

    Nice one...from kenya

  • @Asia-dq3rt
    @Asia-dq3rt 3 месяца назад +1

    Aaaa sheishei mwenetu singida ndo tupo hvo au sio😂😂😂

  • @buru1235
    @buru1235 3 месяца назад +1

    Shila Shila mm nikiwa free WiFi free moods Niko n ww hdi mwisho and thanks for the update next part please 🙏

  • @gastonrajabu3598
    @gastonrajabu3598 3 месяца назад +1

    Kazi njema dada

  • @DanielMoirange
    @DanielMoirange 3 месяца назад

    Sheila nahisi we ni mnyiramba,,,mlailaizer dada

  • @MolkidResaime-k7r
    @MolkidResaime-k7r 3 месяца назад

    Sheyshey mambo
    kazi nzuri sana pia inatufunza kitu💪💪

  • @titusmwange4988
    @titusmwange4988 4 месяца назад +1

    Nice job shey shey

  • @maonyeshowabingo8252
    @maonyeshowabingo8252 3 месяца назад

    I love you so much Sheila Sana❤

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 3 месяца назад

    Safi San sheila nakup🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jubaidamiss2409
    @jubaidamiss2409 4 месяца назад +1

    Next ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @SaidiJoseph-l1z
    @SaidiJoseph-l1z Месяц назад

    Shey shey umetish kusem umetokea singda

  • @khadijashabani-dj8zt
    @khadijashabani-dj8zt 4 месяца назад +5

    Shey shye naomba bas na mimi uniunge kwenye ngurupu lakuingiza namimi najua kuingi dada angu

  • @SolomonmasungaYunza
    @SolomonmasungaYunza 3 месяца назад

    Nakupend san sheyshey 🎉🎉🎉❤

  • @HalimaAli-e4w
    @HalimaAli-e4w 3 месяца назад

    Hongeraa kipenzi kwa kaz nzurii ❤

  • @Paulolugimba09
    @Paulolugimba09 3 месяца назад +1

    Nice work,,I'm behind to support

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 3 месяца назад

    Mm hua nishabiki yako kinoma noma naifatilia mpka mwisho🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @EmmanuelHaule-r5u
    @EmmanuelHaule-r5u 3 месяца назад +2

    Your the best!😊

  • @LoveBadro
    @LoveBadro 3 месяца назад +1

    nkukubl shey shey mzee wa plan

  • @Zadig_Le_Juste
    @Zadig_Le_Juste 4 месяца назад +2

    Kazi nzuri Shey Shey keep up😊

  • @briantunje
    @briantunje 2 месяца назад

    Nataka kuwa pamoja na kikosi chenu cha kuigiza sanaa