Makosa sana kuwaweka wanawake watu wazima nyumba moja waume mkijua mnataka kuongeza mke hakikisha una sehem ya kumueka kuepusha shari kama hiz ni ngumu sana kukuaa watu wazma nyumba moja movie inamafunzo makubwa oweni wenye dini wanaume tamaa zinawaponza haya niko hp najifunz
Make mkubwa mashaallah heshima adabu mazungumzo alhamdulillah nakupenda sana bikunwa
Mke ni moja wa pili dada wa kazi😂😂😂 munipe likes zenu apa❤ 🎉
Mambo
Kabisa maneno kuntu 😂🙏
@@zuhurazabiir3769vp
Kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa na ww mume ulipata mke mkubwa mzur mashallah anahekma na kila sifa, haya kiranga gn kilikutuma ukaoe mke wa pili😅😅
😂😂😂😂
Matamanio 😂uja majuto mjukuu
😂😂dah uyu dd simchezo
Na hilo jina kitutu limeingia mahali pake 😂😂😂😂😂ila wake wenza kazi mnayo😅😅😅😅
Makosa sana kuwaweka wanawake watu wazima nyumba moja waume mkijua mnataka kuongeza mke hakikisha una sehem ya kumueka kuepusha shari kama hiz ni ngumu sana kukuaa watu wazma nyumba moja movie inamafunzo makubwa oweni wenye dini wanaume tamaa zinawaponza haya niko hp najifunz
Duuuuh hiv nilivyo huyu tungewezana nae ningempa kichapo cha mwanaukome😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
Umeonaee
😂😂😂😂😂😂Nawapenda sana
😂😂😂😂😂 kwel uyu kitutu kafanana na jina lake ovyoo
Duh ndoa imani kwakwel❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂 mume harogwi kwa mauganga 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapana chezea uke weza 😂😂😂
Nawapenda sana wake wenza south Africa cape town
Duuuh kaz ipo umebalukiwa kuongea mama
Poleni wakewenza nauyo mmemoja wakewenza jiongezeni
Kwani huyu chizi kamtoa wapi hahahahah
Huyo cyo kuigiza tu hafai ni bonge la shangingi
Juba ilo na miguu nje vp Stara ipo kweli hapo
Wake zangu mbna hawapo hivi wako bomba kama marafiki❤❤❤
Yani wewe dada kuect move ii wallah ume haribu vibaya sana una ongea sana na jinsi ilivo picha na wewe tofauti
Uyokaka yakeya kitutu nimushenzi kibaooo❤❤❤❤❤❤
Uyo mwanamke muache hafai kabisa
😂😂😂😂daa ukee wenza huu sijauona mfano wake😊😊😊nimeipenda lakini ❤❤🎉nzuri 😮
Anakwambiya ukweli mukewenza mwenzako jifazi
Mke mudog am chizi🤣🤣🤣
Wakwaza mm🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakuja mm😂😂😂😂
@@TeresaSefuutaweza kwl ??
Upewe maua yako
Upewe maua yako
😃😃
Maisha ya ukeweza so pw kabisaa nayachukia ilembaya sema nini hakuna namba kupambana mayo chapeke Yako kaburtu
Hahaha pasua kichwa wake wadogooo
Good, good movie 😊
Uyukitutu anasura mbaya yakukauka kama ndimu ilioanikwa juwani ixiii😏
Cyo haki kudhalilishana
Ipo vizuro dda
Wewe mwanamke ACHA roho mbaya
Mwambie ukweli wake
hahahaaa duu hii kali nimecheka jaman
Kitutu mchokozi 😂😂😂i
😅😅😅ukewenza rahaaa sana
😂😂😂😂
Mna owa owa mpaka unaenda kuowa machizi 😂
Ya kuswalia Eid😂😂unaswali kumbe 🤔🤔🤔
Kitutuu unajua kuwa huna uzuri heti😂😂😂😂😂
Mashaallah bii mkubwa
Yaani mwanamke kamahuyu hafaikuwa mke hatakuwa nduguyako
Maisha ni uvumilivu
Wewewe kitutu
Mke Mkubwa nimke mzur San mashaanllah jmn
Mwana kulitafuta mwana kulipata kesho aowe tena
Tamaa sa wanaume sinawaponza wenyewe
Mmmh.Mke Pili shetani
Hiiii ni balaà
Huyu simwanamke wa kweli n tamaa tuu amejaza
😂😂😂😂😂😂😂ukewenza bwana
Dah anakejeli hatar
Yanii huyuu kitutu ana uchawii ndn yake syoo buree
Mwambiye siyo musarabu
Anasheriya
Never mabalaaa
Mm nataka niwee watatu
Uyu ajafudwa mwanamke mwenye laaana
😂😂😂😂
😂😂😂 nimecheka kwa sauti
Yaan coo poa
Yan mm mwenzen uke wenza siuwezi ata kdg
😂😂😂😂 Yaani kitutu
Kuna chakujifunza ap😮
❤ibadaaa
Mambo ninayozungumza ni sensitive
Ndio maana uke weza siuwezi😂😂
Kazi ya waislaam poleni
@@ellahjonas4881 Mimi ni muisilam lakini siwezi
Pole ya nini tena, sio lazima tatizo wanaume wa africa sunnah yenye wanapenda ni ya kuoa oa hovyo @ellahjonas4881
Penda sana daa Kitutu❤❤❤
Anakupenda pia
😂😂😂😂😂 jamani
Kaka naomba uachane na huyo mwanamke ni pasua kichwa🎉🎉🎉🎉
Soon ataipata
kazi ipo kwakwer
Ni kweli jaman wake wenza waskae pamoja
Uke wenza shikamoo
😂😂😂
Kuimba kwenyewe hajuwi bwana Kazi anayo Kwa make mdogo😊😊😊😊😊😮
Mfukuze huyo mwanamke akufaei kabisa
Soon ataipata
Huy mke kiboko
Hhh shemeji amefunga
Like brother like sister
Nawakubali wake wenza
Mbona apo make simuon labda uyo dada mweusi uyo mwingine simuelew
Sijuw nikulize ww ww
Na nyie waislamu mnazid koa oa
Mwanamke ana nongwa huyu
Kitutuuuuuu
😂😂😂
@@NYANDE182 nimefurahi kumkuta huku maana nampenda huyu dada,,,aisee movie tamu kazeni Buti mtafika mnapohitaji,,naamini mungu atawabariki
Mke mkubwa ndio mke kweli yaan ukipata mke km huyu utainjoi sana
Wemwanamuke aca loho mbaya mwezako analoho zuli utaachika kaziako
Mwambie ukweli wake
Mm napenda niwe Kama yy
Yani ukewenza na machungwa bola chungwa
Kwel ata ww acha
Duuuh kavua nashungi siyo shida zake mbwe mbwe kama zote wake wenza mnakazi
😃😃😃😃
❤😂
😂😂
Uke wenza shughul ujipange kulogwa
mambo vp jaman haya yako
Apana ana mimba
Ama kweli Uke wenza haujaslimu maisha hayo siyawezi heri niwe single daimani wa abadani mke mwenza kachachuka kama mchuchula😂😂😂😂ala!!!
Wewewewewe ushirikina
Mimi siku moja tuu nampa taraka 40 anaondoka
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
We noma taraka 40 xio poa
3 nibora niswahihi
❤
kaka wa ovyo ww unamsaidia kuvunja ndoa dada yako
Ata mm naona
Ivi niulize sawali wanaume wameisha mpakanikubali kuwa mukewapili
Duuuuh😢
Ndoa inasili sana unaweza kuishi na mtu ukamfanyia yote tisa ila ukamiss kitu kimoja hicho ndo kikaleta shida
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Apo naunga mkono
Huyu mwanamke tuseme anamimba au vp mbona mtihan sikwa mume sikwa mke mweziwe sikwa mama wa watu yy anatukanat kwaukweli ni mtihan mkubwa
😂😂😂😂