Hakuna kitu cha maana kinachomfurahisha mwanaume kutoka kwa mkewe kama heshima,kumbukeni heshima si utumwa,funzo nzuri sana hongera kwa wahusika,wakenya mpo❤❤❤
Nimejifunza kitu maskini vle uaga naforce mapenzi bila mafanikio bora nikae lwa kutulia mume atakuja mwenyewe❤❤❤Asante kaka KELVIN KHAN❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉
Woooow nimempenda victoria bure,ilaaa ctovunja heshima kwa mume wangu nitahakikishaa nafanya yote yanayohitajika katk ndoa.Mdada wa kazi kwangu hapana,maelezo tosha anayo victoria.Mwanandoa yeye hebu mfwatilie vick maelezo yake❤❤❤
@@Dontatv255Kevin hongera sana kwa kazi nzuri ila ushauri tu jitahidi kuwa makini kwenye movie zako matamshi yanapishana na reactions za midomo pia ukiweka english subtitles utafika mbali zaidi
Ndoa nyingi zinavunjika kwa sbbu ya uzinifu. Watu wanazini ndio wanaoana. Na yyte anaezini hata km anazini na mmoja tu wkt hajamuoa huitwa mzinifu na mzinifu yyte haachi hata akioa/akiolewa. Na ndoa ya mzinifu yyte hua haina barka ndio mana haidumu na ikidumu hua na majuto mengi/inaoumulia gas.
Wadada sasa😂😂😂 kila mmja i learn i learn,,, wadada wa sasaiv ni shida tupu,,, wako bize sana na mitandao kuliko kuwapa muda waume zao hii inawakost sana😮
TIZAMA SERIES YETU MPYA HAPA BONYEZA LINK HII ruclips.net/video/V7IXrzvKkAM/видео.html
0pnmko
Blood
Mo
Mi9
1:20 1:21 @@NeemaMhinda-ki7pd
Kuy
5:04
Daaah wanawake kwa sas tunaoa imurad tu🎉
Hakuna kitu cha maana kinachomfurahisha mwanaume kutoka kwa mkewe kama heshima,kumbukeni heshima si utumwa,funzo nzuri sana hongera kwa wahusika,wakenya mpo❤❤❤
Kupitia move zako nimejifunza kuwa mke Bora kwa mme wangu❤️
Ubarikiwe Kwa kujifunza Mimi pia yaani kelele ya kwanza Kwa wahehe wakeeeee
😅😅😅father Bernard tukitembeagq na mabek3 ndoo mnalalamika ❤😂apo chapa ilaleee
Barikiwa sana kaka
Asante kaka
Mh bado huja SEMA 😂😂
Kevin pongezi sana bro Kwa kazi nzuri much love from Kenya ❤️❤️❤️
Baba
Napenda sana movie zako Kelvin zinafundisha kiukweli
Akh cjaoleka ila nimejifunza mengi kupitia hii movie asant sana kaka mungu akubariki nakupenda bure❤❤❤
Duu
Asante sana kelvin ni mafundisho mazuri sana na vijana wengefwatilia vipindi hivi vina msaada mkubwa sana
Nimejifunza kitu kupitia hii movies kweli mbarikiwe wote ❤❤❤❤😊
Be blessed l have learned something
Wow love u so much movie jamn iringa ni kweli kabisa tuna heshima kelvin nice job ❤❤
Ilo ni funzo kwa Wana ndoa ,musimwachie mfanyikazi kazi za ndani zote,❤❤❤
Funzo wanawake wawati wanaume zao nasi wasiwachie majukumu wafanyakazi wa ndani
@@Mpakauseme yes
Congrats kevoh
Ongera Kelvin kw kaz nzr na yenye mafunzo❤❤Mna sisi wanawake mda mwengne tunajisahau kiukwl 😢 Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰🥰🥰
Ni kweli
Ni kweli
😢waoo ilo sisi wanawak mda mwingin tunavhukulian mabwan daahn
Mm hata niwee ninafanya kazi office siwezi andikaa mufinyii wa kazi za ndani ila muko Vizuri much love from kenya 🇰🇪
Asante sana Mr Kevin acha sasa ningoje mke wangu aje kwa mawaidha yako naku watch kutoka Nairobi Kenya.
Akazi keza basore hano nibyo cyane🔥🔥🔥
Umetisha Sana bro,wanawake walioko kwenye ndoa kuleni chuma hicho😍😍
Hahahha
Chuma kizito tna
😅😅
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Ashante sana tumepata funzo. Much love from Kenya
Mafunzo mazuri daktari Kelvin keep it up.congratulation 👏👏👏👏👏👏👏
Hi
Very educated movie for marriages... congratulations Kevin
A
Dada
Ujumbe umetufikia ❤ lv story I want part 2
Hongera Kevin kwa kazi zuri kutoka Kenya 🇰🇪
wew
Daaah nimefurahi sana heshima ya huyo dada wa kazi ❤❤
Duh
hongera sana jaman mko vizur kutunga movie
Nimejifunza mengi kupitia hii stry...Mungu awabariki sana nyote mulioshiriki❤❤❤
Nimekipenda sana inafundish
Hongera kwa nzur wanawake wengi wanajisahau sana wanapopata wadada wa kazi
Nmeipenda kazi yako kelvin ❤.
Wanawake tupate somo apa.
Asante kwa uwepo wako.
Oya kaka Kuna k2 nimejfunza umetishaa
Kwa kweli wanawake tujitambue
poa asante na we
Hi
P
Safii sana Kelvin...Alikuletea mwenyewe mke sahihi...Mpuzi sana Wanawake wasiojua majukumu yao wanavunja wenyewe ndoa zao kwa mikono yao
Kupitia hii movie nimejifunza kumtii mme Wang kelvin hongera Kwa kazi nzur inatufundisha wanawake uwa watiifu Kwa waume zetu❤
Yaan Kama ingekuwa tuzo Bora ya filamu hii ningeipa tuzo ni kazi nzur sanaaa
Woooow kazi nzuri mungu azidi kuwabariki
Nimejifunza kitu maskini vle uaga naforce mapenzi bila mafanikio bora nikae lwa kutulia mume atakuja mwenyewe❤❤❤Asante kaka KELVIN KHAN❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉
Woooow nimempenda victoria bure,ilaaa ctovunja heshima kwa mume wangu nitahakikishaa nafanya yote yanayohitajika katk ndoa.Mdada wa kazi kwangu hapana,maelezo tosha anayo victoria.Mwanandoa yeye hebu mfwatilie vick maelezo yake❤❤❤
Umegusa maisha niliyopitia Kevin,dah, hakika nimejifunza kutoka kwako,,big up.
Uuuuuuh pole eee
Kijana mkarimu nimejifunza mazuri kutoka kwako from kenya
Wewe ni muigizaji
Such a kind of a man she deserve congratulations Kevin.
My name is John we are going to the job 😁
Woooow...thank you Kelvin for such a good lesson
Asant San kelvn hitor zako nzur San ngoj nimesubir mke mzr
Naomba kuwe na utaratibu mzuri wa kuachia kazi zenu,
Hongera Allaah akuongoze🤲
Congratulations my dear kaka mungu akufikishe mbali kwa mafunzo yako
kelvin hongera sana upo vizur kwenye kaz yako ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaz nzur Kaka ❤️❤️ mungu aenderee kukuweka nimejifunza kitu kptia muvi hii ❤️❤️
Chagua sanamu lako tukaliweke wap kelven 👏👏👏👏🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Waoo kazi nzuri sana bro MUNGU aendee kukubariki na kipaji chako
Asante sana
Kasi mzuri kabisa keveni
Watching from saudia arabia, thank you for your story kevo
Kevo ongeraa🎉🎉
Funzo nzuri kwa wanawake kama hao,, victoria congrats
Mafunzo mazuri,asante san🙏
Asante sana 🙌
Pongezi qwa kazi nzuri Kelvin I am Elly watching from kenya
Hi
Vicky Yuko na adabu za Hali ya juu nimempenda buure❤❤
Nakubarii kaka kwa kazi nzuri. Mungu azidi kukupa maono ya kufundisha zaidi.
Nimechelewa lakin sichoki kufuatilia donta tv siezi maliza siku bila kuona movie zenu nzuri ❤
Asante sana
@@Dontatv255Kevin hongera sana kwa kazi nzuri ila ushauri tu jitahidi kuwa makini kwenye movie zako matamshi yanapishana na reactions za midomo pia ukiweka english subtitles utafika mbali zaidi
nimeielewaa sana hii broo kazi nzuri unayoifanya mungu azidikukukuinua 💖💖💖
Good boss men good house girl bad women of your boss god bless you brother and house girl umefunzwa kwenu mama wee dada sio mke ni mshenz wa mtaa
Pongezi kwa kazi nzuri,, teaching this perishing generation good morals🎉
More love from Kenya 🇰🇪 😍 ❤ ♥ 💕 💜
love kenya
🙆🙆🙆 tunajusahau sana mungu tusaidie
Wonderful story .educating one expecially to our young souls .nice job
❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana kaka nimejifunza mengi kupitia movie zako mungu akubariki🙏
Daaah ni hakika kabisa kaka, sema ningeweza kupata mawasiliano yako ingekuwa vizuri sana na ningefurahi mno
Ametufanya tuwe na adabu sisi tunaofanya hayo 😂😂😂😂😂
May God bless your talent 🙏🙏🙏
Educative movie to the generation today... Congrats namesake
Duuuu jaman tuwe tunaangalia wanawake wakuowa check huy jamaaa anavyohangaika uzur wa mwanamke tabia bwan anawez kuwe mzur kwasula lakin tabia hamn kituuu
Mamb
Ee!funzo mhimu kwa wanawake wote big up kevin.
Kelvin asante sana kwa movie zako wazidi kunichanua akili my ❤❤❤
Asante sana 🙌
@@Dontatv255 move nzuri kwakweli inamafunzo hongereni
Hongera sana Mtunzi kwa kazi nzuri sana na fundisho kubwa sana kuhusu mahusiano 🎉
Move nzuri sana🥰🥰🥰🥰
Umetisha Saana na Umeupiga Mwingi Mkuu Duuuu Sio Powa Dada wakazi Anauwezo Mkubwa Kuchukua Ndoa ya Mtu Asipo Jielewa Mke wa Boss
Wanawake tupate funzo hapo congratulations Mr Kevin keep up the good work
Imenigusa sana japo bado sijaolewa Mungu nipe moyo wa upendo kwa mume wangu wa badae ❤ i wiish nitamsamini sana
Wasema tu
Maisha ya ndoa ya wiki za mwanzo ni mazuri subir mfikie mwez tu ndo utaelewa mm ndoa
🤣🤣
Hongera sana Kev kazi nzur Vic nimekupenda mhehe wangu❤
Nimeipenda kazi yako Kelvin wanawake tupate somo
Wahehe wenzangu wote mnyoshee mikono juu jomoni❤❤😂😂
Tupo hapa
Katuwakilisha vzr
Kevin katisha hata Mimi Sasa natafuta mhehe Tena nakwenfa huko huko iringa
😂tupo hapaa😂
✋✋✋✋✋
Such a wonderful educating story,,,,congrats
Victoria ana adabu kama waganda duuu thx for educative movie concerning how to respect our husbands and responsibilities to marriage women
Unasumbuka sana KBS ndodunia hiyo mzunguko ila hayo ni ushauri mzuri sana😊🎉
Nakupenda buree😂kakangu ni kweli wanawake tuwatunze wauwe wetu jamani
Weeee ni waume zetu sio wauwee😁😁😁😁😁
@@ZulfahAbdillah-fd5gq 😃😃 jamani binadamu hayuko kamili ndugu
@@cellcelll2151 usijaleeeee shogaleeee😄😄😄😄😄😄
@@ZulfahAbdillah-fd5gq wanikosoa mwenzio
@@cellcelll2151 usijal bhana ni utani too mamii please usikasirike bhana
Yanayoigizwa yapo hii movie ina funzo kubwa sana kwa ss wanawake tuwen makin na ndoa ❤
Aky nimependa heshima ya mfanyikazi ❤ mashallah 💕 congratulations Kevin ❤😂.
Mke au mume mazuri hatafutwi hujileta so my time is always right lesson learned point taken incredible job bro
Much love Kevin una mafunzo mazuri❤
Cģþźñçéz2
Cģþźñçéz2
Move nzur na yenye mafunzo ❤❤❤
Asante tunachakujifunza
Kelvin uko vizuri sana nakupongeza kwa kazi nzuri
Thanks broo kelvin nimejifunza apa much love ❤️ from Kenya
well creative Swahili movie💯
Nzuri n inafunza sana hongera kwako mtunzi❤
Ndoa nyingi zinavunjika kwa sbbu ya uzinifu. Watu wanazini ndio wanaoana. Na yyte anaezini hata km anazini na mmoja tu wkt hajamuoa huitwa mzinifu na mzinifu yyte haachi hata akioa/akiolewa. Na ndoa ya mzinifu yyte hua haina barka ndio mana haidumu na ikidumu hua na majuto mengi/inaoumulia gas.
Inamafunzo ndani yake, watu wanajisahau saña wadada wa siku hizi
Mwanamke ambae hajajifunza kitu hapa.. Hawezi kujifunza sehem nyingine yyte ile.. Mm nasema.. Honger sana brother
Hongera sana kelvin kwa mafunzo mazur
Huwa napenda sana kazi yako mungu akuweke inshallah
Salut kwa wahehe huwa tuna heshima sanaaaa jamani!!
Kazi nzuri sana❤❤❤
Pp
Kelvin nimekuelewaaa kwa uzuri sana pamoja na victoria'haya wanawake jamiii ya mke wa kelvin kaziiii mmeionaaa??? Jifunzenii hapa ❤❤❤❤❤❤
More love from Burundi ❤🇧🇮
Ladies hope tumesoma kitu hapo let's take our responsibilities to avoid this Kelvin umetufunza mengi sana
Yeap tumejufunz kitu🥰💯👏
Daaaah bonge la somo kwa wausika kaz nzur❤
Kelvin mungu abariki kipawa chako ❤love so much😊
Congratulations you really deserve this lady❤❤❤
🎉
From Congo 🇨🇩✌️ nakukubali sn brother 🙌
Asante sana
Nimefurahi kweli kweli😂😂❤❤❤Wakenya wenzangu mpooo?
It's a good movie very educative salut.
Wadada sasa😂😂😂 kila mmja i learn i learn,,, wadada wa sasaiv ni shida tupu,,, wako bize sana na mitandao kuliko kuwapa muda waume zao hii inawakost sana😮
Part 2 jamani ❤❤❤❤
Kazi nzuri kaka mungu akubariki ufike mbali ❤
Asanteee sana nmejifunza , natarajia kuwa mke Bora kwa mume wngu mtarajiwa.........🙏🏻
Congratulations 🎉 Kelvin 👏👏👏
Aseee kazi nzr sana hongereni sana
Waow Kelvin..kazi nzuri sana .. Nimeipenda 🔥🥰🤗🤗
Asant sana kwa filamu yako inafufundisha wadada wote tuwe na heshima kwa wanaume zetu