Familia ya Mateo lelio chuwa wa kibosho otaruni tunakushukuru mungu kwa zawadri ya uhai mungu mwenyezi atulinde Kijiji chetu na vijiju vya jirani, aponye wagonjwa,awape amani watu wote,uweza wa uwezo wakusomesha watoto,uweza wakuwa na nyumba nzuri,biashara nzuri,magari,na wakutumikie yesu wakuwa na afya ya roho Naya mwili,waishi mda mrefu mungu
Mimi na familia yangu nakutumainia bwana yesu kwakuwa ulisema ktk kutoka 14'14 watapigana nami nami tanyamaza kimya kwakuwa yesu Vita nivyako yesu, bwana yesu wewe ndio unaona yesu, pendo Mateo l,chuwa
Pendo Mateo chuwa napokea ahardj zangu ktk dam ya yesu ktkk jina la yesu, kwakuwa mungu alinifaham tangu tumboni sitakufa nitaishi nisimulie mungu alionitendea mungu kwakuwa ulisema ktk Filip 4,13 ninaweza mambo yote mungu
Niliwahi kufunguliwa kupitia redio hii mwaka 2012 nikiwa Arusha nilimuona mungu akitenda kwenye maisha yangu adi Leo bad namuona mungu akizidi kunitetea
Wanasafina mungu awabariki sana nabarikiwa sana na vipindi vya radio safina Mungu wa mbinguni azidi kuwainua neno la Mungu lizidi kutangazwa duniani mwote
Living tv bwana asifiwe tunaomba uwe unatuwekea video hata watu wanavyofunguliwa na wanao shuhudia tuon utukufu wa Mungu kwakwel hua napata aman watu wanavyoshuhudia ukuu wa Mungu hua naamin ktk mapito ninayopitia siku moja nam nitafika madhabahu ya safina nishuhudie tu kwan mm nimemkosea nn huyu Mungu ata asinitete ktk mapito niyapitiayo Mungu wetu ni wa haki na atanifanyia njia mahali pasipo na njia
Na waambie tunasikiliza sana safina kupitia internet tupo nje ya nchi yan pale mtandao unakata alafu maombi ndio yamenoga natamanigi niingie kwnyw cm niwafate huko ukumbin jaribu kuwaambia na hao wanavyoshuhudia waongezag na wao sauti bhn alafu tunahitaji kutuma sadaka kwa njia ya money gram ila tunakosa mawasiliano na watumish hatuna namba za watumish ili tuwasiliane na Daniel Lema ili tumtumie na nikituma nimpe njina kamil la mtumaji na namba za sir ili atoe sadaka money gram jmn tushiriki baraka za Bwana
from kenya am samwel gabriel i got the service of the day, am i got blessed so much. othieno may god keep you
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Familia ya Mateo lelio chuwa wa kibosho otaruni tunakushukuru mungu kwa zawadri ya uhai mungu mwenyezi atulinde Kijiji chetu na vijiju vya jirani, aponye wagonjwa,awape amani watu wote,uweza wa uwezo wakusomesha watoto,uweza wakuwa na nyumba nzuri,biashara nzuri,magari,na wakutumikie yesu wakuwa na afya ya roho Naya mwili,waishi mda mrefu mungu
Aaamen kweli nabarikiwa sana sana niiskikizapo radio safina mbarikiwe sana watumishi wamungu mungu azidi kuwatia nguvu
Ameen
Mimi na familia yangu nakutumainia bwana yesu kwakuwa ulisema ktk kutoka 14'14 watapigana nami nami tanyamaza kimya kwakuwa yesu Vita nivyako yesu, bwana yesu wewe ndio unaona yesu, pendo Mateo l,chuwa
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Amen Mimi sio masikini
Pendo Mateo chuwa napokea ahardj zangu ktk dam ya yesu ktkk jina la yesu, kwakuwa mungu alinifaham tangu tumboni sitakufa nitaishi nisimulie mungu alionitendea mungu kwakuwa ulisema ktk Filip 4,13 ninaweza mambo yote mungu
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Niliwahi kufunguliwa kupitia redio hii mwaka 2012 nikiwa Arusha nilimuona mungu akitenda kwenye maisha yangu adi Leo bad namuona mungu akizidi kunitetea
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Wanasafina mungu awabariki sana nabarikiwa sana na vipindi vya radio safina Mungu wa mbinguni azidi kuwainua neno la Mungu lizidi kutangazwa duniani mwote
Ubarikiwe sana mtumishi nimeonja utamu wa yesu ♥️ ashe na le , ashe lengai.!!
Aleluya mungu awabariki sana watumushi wa redio safina na wapata mbashara Niko serengeti Mara maeneo ya ifazi ya serengeti park nyamuma hill
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Jaman uku mtwaraa channel ya safinaa inasumbua sanaaa
Mungu naombaunifungulie milango ya baraka hata katika biasharayangu
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Yesu ndio kila kitu,nitamngangania
Ubarikiwe na Bwana
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Jamani baba unahubiri kweli mungu mmbariki baba huyu
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Mungu anatupenda ameen
Mungu anisaidie amen
Amen Amen 🙏
Nibarikiwa sana naomba mtumishi utuombee Niko newala mtwara
Chakukushauri SUBSCRIBE LIVING TV ILIKUENDELEA KUPATA RECORD ZA MAHUBIRI YA RADIO SAFINA HAKIKISHA UKIBONYEZA KITOKEE KIKENGERE ASANTE
Emanuel Mollel Nami Niko mtwara mjini naipenda safina
Mtumish naomba mniombee niweze kupona Mguu w Angu ulio vunjika ni siwez kufanyiwa operation
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Ameen
Naomba namba niko dar es
Leo safina
Ashe yesu christu
Ameeeen
Napokea kwajina nayesu
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Jaman me nipo Zanzibar nawapata Chanel gan huku?
Ameni
Living tv bwana asifiwe tunaomba uwe unatuwekea video hata watu wanavyofunguliwa na wanao shuhudia tuon utukufu wa Mungu kwakwel hua napata aman watu wanavyoshuhudia ukuu wa Mungu hua naamin ktk mapito ninayopitia siku moja nam nitafika madhabahu ya safina nishuhudie tu kwan mm nimemkosea nn huyu Mungu ata asinitete ktk mapito niyapitiayo Mungu wetu ni wa haki na atanifanyia njia mahali pasipo na njia
Mwahija Shaban amen na iwe hivyo kama. Ulivyo amini Mungu wa Madhabahu ya Radio safina akuvushe kwenye Mapito unayo pitia
Mwahija Shaban utukufu na heshima ni kwa Yesu kristo
Weka video
Utaonaje laivu
Imani chazo chake sio kuona Bali imani chanzo chake nikusikia hivyo ni bora kusikia sana kuliko kuona sanaaa
Naombeni namba za kupiga niko dar
Na waambie tunasikiliza sana safina kupitia internet tupo nje ya nchi yan pale mtandao unakata alafu maombi ndio yamenoga natamanigi niingie kwnyw cm niwafate huko ukumbin jaribu kuwaambia na hao wanavyoshuhudia waongezag na wao sauti bhn alafu tunahitaji kutuma sadaka kwa njia ya money gram ila tunakosa mawasiliano na watumish hatuna namba za watumish ili tuwasiliane na Daniel Lema ili tumtumie na nikituma nimpe njina kamil la mtumaji na namba za sir ili atoe sadaka money gram jmn tushiriki baraka za Bwana
God bless safina radio 🙏🙏🙏
amen barikiwa watumishi wasafina radio nikiwa Nairobi nafaa kusikilisa namba ngapi redio
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
ruclips.net/user/liveqmPwL_L-eU4?si=B73sJzH6sYosWUUN
Bwana asifiwe tunaomba n sisi minara itufikie huku jmn tunakosa maombi
amen
Ameeen
Ameen
Mungu ni Mwema wakati wote. Nabarikiwa sana Jaman na Maombi ya Safina Redio Arusha. Lakin wakati mwengine mtandaoni hatuwapati hasa kesha na Safina.
Amen
Mungu awabarik nk mbeya huduma ya maombi itufikie kwa njia ya mnara
Doren Sanka jaman.popote maisha yapo tu
Hatuwaoni jamani
Amen bwana atukuzwe azid kuwapa kibali watumishi wamungu
Amen
Amen
Tunawapat tukiwa omani asante sana tunagunguliw nakubarikiwa asnta mtumishi otieo.
Mbonaa siwaoni jaman
Amen
Mungu awabarik watumishi wotee wasafinaa.naawatiyee nguvu kwakila mnachoenda kufanyaa
amina
da mwapatikana Chanel gan
Jamani wekeni ba si video wapendwa
Amen
Amina
Nabarikiwa sana na maombi yenu biome en nifike ukumbi wa safina Nabarikiwa sana naona kama ndo na nyakuliwa
Amena
Ameni
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen