Usilale kesha na RADIO SAFINA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 74

  • @EmmySamson-e8v
    @EmmySamson-e8v Год назад +4

    Bwana yesu asifiwe naomba kuuliza dar radio safina channel gani

  • @StellaVicent-ob9ju
    @StellaVicent-ob9ju Месяц назад +1

    Kupitia maomb haya naomba mungu mpenz wangu Frank apate kaz mungu amuepushe n ndoto mbaya ulinz wa mungu uwe juu yake

  • @AngelskawaPrinces
    @AngelskawaPrinces 5 месяцев назад +2

    Mungu awainue viwango vya juu

  • @geraldchristopher3835
    @geraldchristopher3835 2 года назад +2

    Mbarikiwe KBS watumisshi wa safina redio

  • @everlinykiritta5688
    @everlinykiritta5688 2 года назад +5

    Kwajina layesu nipate kibali kazini kwangu maboss wanikuli nawafanyakazi wezangu wanikubali kwajina layesu kiristo🙏🙏

  • @evakisoka2416
    @evakisoka2416 Год назад +2

    Barikiwa sana Radio safina naomba kujua kama mmefika Dar?

  • @marthamshana7561
    @marthamshana7561 4 года назад +3

    Mungu awabariki watumishi kwakazi mzuri mnayo Fanya

  • @roseurio711
    @roseurio711 5 лет назад +3

    Amen amen mbarikiwe sana watumishi wa MUNGU..naomba MUNGU redio safina ifike na huku Dar.Amen

  • @NaishooJapheth-h7m
    @NaishooJapheth-h7m 5 месяцев назад +1

    Bwana yesu kristo asifiwe naomba kuuliza kwa morogoro mnapatikana katika masafa yapi!!

  • @elizabethconstantine4723
    @elizabethconstantine4723 3 года назад +1

    Ee mwenyezi mungu tetea maisha yang

  • @priscaakyoo8572
    @priscaakyoo8572 6 лет назад +3

    napenda sana kusikiliza safina FM Mungu azid kuwainua watumishi wake na kuwapandisha ngaz za juu kwan bila yy hatuwez

  • @seranyanje4381
    @seranyanje4381 6 лет назад +3

    Bila Mungu hatuwezi kweli yesu nimueza ...anasema yy ameyashinda yote ...wapendwa duniani mnayo dhiki lkn jipeni moyo asema bwana wa majeshi ameen

  • @AngelskawaPrinces
    @AngelskawaPrinces 5 месяцев назад +1

    Mungu nisaidie katika maisha yangu

  • @juliawanjiku2322
    @juliawanjiku2322 3 года назад +1

    Hakika Mungu Ni yote katika yote.. nakupenda Yesu kristo..shuka kwangu leo🙏🏼🙏🏼

  • @edelyngemela4639
    @edelyngemela4639 Год назад +1

    Ahsante yesu kwa wema wako.

  • @samwellenes486
    @samwellenes486 2 года назад

    Naomba Mungu anipe mume bora

    • @livingtv6171
      @livingtv6171  2 года назад

      Imani ni kipokeleo cha maombi yako na iwe hivyo katika Jina la Yesu pokea

  • @StellaVicent-ob9ju
    @StellaVicent-ob9ju Год назад +1

    kupitia maombi haya mama yangu n mzima

  • @nehemia9023
    @nehemia9023 6 лет назад +3

    ameeen kweli safina ime2,toa mbalisana imetunyanyuwa toka chini na ss tuko juu

  • @ruthedward6587
    @ruthedward6587 2 года назад +1

    Mbarikiwe Sana

  • @imaninamahubirichanelimani7601
    @imaninamahubirichanelimani7601 6 лет назад +4

    Amen tukeshe maana atajui cku wala SAA ambayo bwana wetu YESU ataludi hallelujaaaaà SAFINA forevermore

  • @neemamichael277
    @neemamichael277 3 года назад +1

    Jmn niombeeni nimefukuzwa na mumengu nilie ishi nae 5 nasasa ameoa nimekat tamaa sijui nielekee wap nimeshnda mungu nisaidiee

    • @livingtv6171
      @livingtv6171  2 года назад +1

      Mungu msaidie na umvushe ktk pito in name of Jesus

  • @jenifafilipo8690
    @jenifafilipo8690 4 года назад +1

    Nakupenda Jesu nifunike

  • @Zamoyoni-ys9wo
    @Zamoyoni-ys9wo 9 месяцев назад +1

    Tunabarikiwa

  • @RajabCayvan
    @RajabCayvan 8 месяцев назад

    Kwajina la yesu nifunguliwe kiuchumi

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 года назад

    Mungu awabariki sana kwa kutuletea humu maana wengine tupo mbali na tz tunahitaji maombi 🙏

  • @CelinaTerry-sj3jd
    @CelinaTerry-sj3jd Год назад +1

    Hakika mung anatenda muujiza

  • @fredynombo2866
    @fredynombo2866 6 лет назад +1

    Amina,tukopamoja,Roho,mutakatifu,atusaidie

  • @pilirashidi5450
    @pilirashidi5450 2 года назад +1

    Ameeeeeeen 🤲

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 4 года назад +1

    Mbarikiwe sana NAOMBA mtuwekee maombi yenye nguvu kama haya kwenye youtube ili sisi tulioko mikoa ya mbali tupokee uponyaji

  • @sirilimichaelpamojasana2033
    @sirilimichaelpamojasana2033 5 лет назад +1

    Radio safina mungu awabariki sana

  • @amanimbwambo9519
    @amanimbwambo9519 6 лет назад +3

    i love safina fm so much,,may god bless it!

  • @estherkoya8410
    @estherkoya8410 6 лет назад +1

    Haleluya nimempta roho MTAKATIFU kupitia somo hili
    Ilkua kama naota nikasema karbu ROHO MTAKATIFU nikisikia mwl unateteka na midomo na wepesi wa mwili

  • @marryezekiel8799
    @marryezekiel8799 3 года назад

    Yesu nakuomba unitowe kwenye hii hali niliyokuwa nayo ya kukoseshwa amani chukuwa yote yesu wangu

    • @livingtv6171
      @livingtv6171  2 года назад

      Kwanza kabisa ukitaka uepukane kukosa amani umkiri Yesu ya kuwa Bwana na Mwokozi wako amani ije kwako in name of JESUS

  • @elizabethconstantine4723
    @elizabethconstantine4723 3 года назад +1

    Siwez kupingana binadamu

  • @veronicamtwevu2398
    @veronicamtwevu2398 2 года назад +1

    Ameen

  • @radiahassan323
    @radiahassan323 5 лет назад +1

    Nazidi kubarikuwa kupitia safina ❤

  • @sophiakigava4065
    @sophiakigava4065 5 лет назад +1

    Amina Amina tukeshe nayo 🙏🙏🙏

  • @kapiriisavictoria4175
    @kapiriisavictoria4175 2 года назад +1

    Amen Amen 🙏 🙌 👏

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 года назад +3

    Bwana asifiwe wapendwa Mie naomben link ya Safina Radio live online

  • @estherkoya8410
    @estherkoya8410 6 лет назад +3

    Natamani maombi ya usiku jumatatu

  • @damaskatabi7188
    @damaskatabi7188 6 лет назад +4

    Uwe unaturushia maombi ya kila jnne ,Alhamis na jma mosi

  • @jeremiahlazaro8929
    @jeremiahlazaro8929 4 года назад +1

    Eemumgu utulinde dhidi ya maadui yetu

  • @neemaneema6825
    @neemaneema6825 4 года назад +1

    Amina

  • @sophiammasy305
    @sophiammasy305 3 года назад

    Naomba link za radio..ili niweze kufuatilia matangazo yenu..nipo mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga

  • @ClaudioEmanuel-m6g
    @ClaudioEmanuel-m6g Месяц назад

    👏👏

  • @elizabethswai1790
    @elizabethswai1790 4 года назад +1

    Niko Baliadi simiyu nasikiliza maombi through you tube

  • @imaninamahubirichanelimani7601
    @imaninamahubirichanelimani7601 6 лет назад +1

    Jesus up

  • @janeameen5180
    @janeameen5180 5 лет назад +1

    sema tuponeneeee

  • @MartinSulle-me7rh
    @MartinSulle-me7rh Год назад +1

    2

  • @imaninamahubirichanelimani7601
    @imaninamahubirichanelimani7601 6 лет назад +1

    ameeeeen

  • @josephmolle
    @josephmolle 6 лет назад +1

    Amen

  • @haridhamohammed5093
    @haridhamohammed5093 3 года назад +1

    Nataka kutoa shuhuda nipo dar nawapata vipi

    • @neilasamwel5657
      @neilasamwel5657 3 года назад

      Amina jmnii tunabarikiwa sana jamni nipo tunduma natamnii mngetuwekea redio huku maan ss tunasikiliza youtube

  • @fredynombo2866
    @fredynombo2866 6 лет назад +2

    Amina,tukopamoja,Roho,mutakatifu,atusaidie

  • @SaitotiKuresoi-s7t
    @SaitotiKuresoi-s7t 2 месяца назад

    Ameen

  • @felistarmarwa3744
    @felistarmarwa3744 4 года назад

    Amen

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 2 года назад

    Amen

  • @JanethUrasa-qs5ot
    @JanethUrasa-qs5ot 9 месяцев назад +1

    Amen