VIDEO HII ITAKULIZA Bibi Masai amwaga machozi mbele ya MAKONDA Arusha.

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 11

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it Месяц назад

    Naomba zoezi hili lifanyike nchi nzima inaonyesha kunama nunguniko mengi sana

  • @AbdallahKawambwa-lk4pl
    @AbdallahKawambwa-lk4pl Месяц назад

    Nakukubali mwanangu makonda mtu wangu ila inshu ya nape yanape tuu ilikushushs kidogo

  • @alphonsinesingirankabo6274
    @alphonsinesingirankabo6274 Месяц назад

    Government wa Tanzania asanti kwakusaidiya wa masikini

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 28 дней назад

    Huu ni upendo au nikuwatia maumivu watanzania kwaajili ya hali ngumu za maisha na umaskini tulio nao?makonda unafanya vizuri.Je viongozi wengine taifa hili hawana uzalendo hata kidogo yaani waliowengi wanatumia elimu zao kuwanyanyasa watanzania na kuwatia umaskini

  • @OswardMadege-gd7yo
    @OswardMadege-gd7yo 29 дней назад

    Tuelewe huyu siyo anahukumu, anaelekeza nini kifanyike kwa hiyo kwa nini tunaellewa tofauti makonda wewe sikiliza watu

  • @SimbaNaali-fw3zz
    @SimbaNaali-fw3zz 28 дней назад

    Hii nchi imejaa ujinga hii

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j Месяц назад

    Viongozi wakifanya hivi kwa moyo mmoja wataiponya Tanzania,fikiri wanaojua jinsi yakudai hakizao tu wanadhulumiwa je! Huyu hatakiswahili hajui atapata haki mahakamani?

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 Месяц назад

    Ni kweli kila mtu lazima aende kwa mkuu wa mkoa kupata haki ? Na mahakama zitakuwa na kazi gani? Nielimisheni