Allah akihifadhi na akulipe al akhy kwa juhudi zako. Mpaka sasa umma wote wa kiislamu ktk ukanda huu ushaitambua hii hizbu ssalafy ya sheikh Kassim Mafuta na wenziwe kama inavyoelezwa na wanachuoni wetu wengi ktk kuutahadharisha umma juu yao. Allah awape nguvu musichoke kutunukulia maneno ya maulamaa kuhusu fitna ya hizbu hii ovu iliozuka. Ila Duktuur Islam wala musiwe munamtaja taja saana ktk mambo haya yy ni mtu ametakasika na yupo mbali sana na masuala ya fitna kama hz bali ni mtu ambaye ni zawadi kutoka kwa Allah kwa waislam wa ukanda huu wa lugha ya kiswahili alhamdulillah!
Wallahi, ktk tafiti zangu, Allwah amemjaalia sheikh Muhammad Bachu kumpa uwezo na akili kubwa pmj na ufahamu wa hali ya juu. Ukimsikiliza unamuelewa MashaAllah. Lkn mashehe wengi ni zero brain kwa maana ni failure. Hamnakitu. Allwah amhifadhi sheikh Muhammad Bachu. Kiukweli sheikh Nassor ametuachia mrithi wake MashaAllah.
@@alkitaamiyMihswan-p3j Toa kasoro ili maneno yako yawe na nguvu. Maana hauna cha kukupa nguvu katika maneno yako na kama hauna hiyo maana yake ni wivu tuuuu huo.
Mashallah ndug nikiwa makin kabisaaa kukusikiliza huyo jamaaa watanga atuaambie mtu wa sunna anakaaje napia wao waache kufukuza watu katika sunn za mtu[ s w ]
Mashaallah Muhammad bachu uwepo wako ww nisaw na vita vya uhd kuwepo Hamza like mshambuliaj au ni saw na Lamal yamal streker languvu she inshort Big up
Kwa kweli haya majina, utukufu na kuamini wengine wote wamepotea sio sawa. Cha muhimu ni kumuomba Alla atupe khatima njema na atujaalie kuwa katika haqi juu ya haya tunayoyaitaqidi. Huenda unaemuona amepotea akawa ni.mbora kwa Allah zidi yako. Allah autondolee kibri .
Tume anza kuyaona Mathara yenu masheikh kwa mnavyo kuza umathehebu sana zaidi ya kubuni mbinu mbadala za kuwaleta waislamu tuwe kitu kimoja . Nasaha kwenu masheikh jiebusheni kuugawanya waisilamu
Yaani tumefikia sehemu mbaya kweli kweli na haya ndio malipo ya kupinga kila jambo yaan mtu anakufa badala ya kumuombea kweri mnaelekeza nguvu kwenye majibizano eti kila mmoja anaonesha umwamba wake huku mnamuweka mhusika kwenye wakati mgumu ingawaje inaonekana ndivyo alivyokuwa mwenye akil azingatie
NASIHA NAKUPA SHEIKH MOHAMED NASSOR, WACHANA KUPOTEZA MUDA WAKO KUWAJIBU HAWA MADAKHILA, HAWA HAWANA KAZI WANACHO KIJUA ILA FITNA NA UMBEA KWENYE AKILI ZAO.
Kwani ushajibiwa mangapi ivo unavo taka sheikh Fahad haneni na Abuu fawzan Allah awahifahi wamekujibu na hujajibu chochote ila ww unajulika na ndomaana hujibiwi ukijibiwa ww unabadilisha mada hemu mche Allah akhy utakwenda kuulizwa mbele ya Allah
Akuna alichojibu ww mwambie aje apinge ndno hizby jadida la wanazuoni abibary abu zaid mnaingia hapo hizby jadida watu wa ghuruu na kufukuza watu kwenye sunnah salaf swalehe hawakuwa na mienendo yenu muchafu kama ninyi kutukana watu kuwakufurisha watu bila sababu za msingi 😂😂😂
Assalamualaikum ustadh hata wakichafua inshaallah hawataweza sababu wao wamezoea kuzua Sasa Kila mtu wanamwona mwenzao n makundi yao badala watu wafundisha watu waache bidaa kazi n kutaja hata waliofariki Allah atuepushe n watu kama hao
Huwo ni urongo shekhe bachu aliwabuluza wale masufi sema kweli japokuwa chungu wale hawamuwezi mpk leo wanamaswali 19 hawajamjibu arafu wale mombasa walipanga wapindishe mada ilikuwa urongo katika barazanji wao wakabadilisha gia juu kwa juu kuwa jafari muongo sabu walijuwa wakimrihusu kusonga mbele kuna uchafu zaidi ya ule ndo kampeni yao wabadilishe mada sabu hakki haijawai kushindwa kaka kusema bachu alishindwa kuwatetea ahlu bidaa ni ujahli usio na mfano
كلام الأقران يطوى ولا يروى Nam shekh wangu ikiwa umesoma kitabu chake hicho je umekwisha fanya utafiti wakuangaliya kama labda huwenda alijirejea akaandik kingin kitabu ?
mie saivi naona haya mambo ya madh`hab hayatufai sie waislamu maana kila kukicha kunazuka ugomvi & matatizo na kubaguana wenyewe kwa wenyewe, nashauri haya mambo al akhi bachu achana nayo we usijali wataongea mwishowe watanyamaza tu almuhimu ni kumcha (Allah azza wajalla) hao wengine wote achana nao na sote ni viumbe na watumwa wake yeye mwenyezi mungu (subhanahu wataala) pia endelea na daawa na kuelimisha dini Allah ndie atakae kulipa usitarajie malipo kwa walimwengu ndugu yangu katika imaan.
Subhaanallaah! kiukweli haya maneno ya sheikh Suyuut yamevuka mipaka na hawa majadiida hawataona haki abadan mpaka waondoe matamanio ya nafsi zao maana ukitanguliza matamanio ya nafsi kwanza mbele ya haki Allah hawaongozi wanaofuata matamanio ya nafsi
subiri dufu na kasida za minanda ucheze hapa ni elimu dada mpikie mumeo huko hapa ni kwa wale wanaopenda haki na ndio maana vinasomwa vitabu sio porojo.
Hapa lengo ni majadida au ulikuwa unatafuta fursa kutangaza mapungufu ya Imam Suyut (رحمه الله) kupitia mlango wa Majadida? Maana kama ni Majadida ile hoja ya kwanza ilikuwa inatosha!
Shekh muhammad uspate tabu Hao majadida wa znz allah kashawafarakanisha Huyo salim alomjengea mwenzake fitna abuu muawiya hasubutu kukanyaka farouk Kapgwa mkwala pale hakanyaki wala hapewi husband Sasa wanatafunana wao kwa wao Kama walivomfanyia mwenzao sasa ngoma imerudi kwao wanatafunana wao kwa wao
Kama alimama suyuti angekuwa katoka katika uislam katika maneno aliyo yaandika basi wanachuoni wange anza kumtowa wao pasi na shaka na ikisha usilinganisha imam suyuti na abuu muawiya au na doktor islam ni watu mbali mbali ju sawa na nungwi na kibuteni
NB🔥🔥🔥🔥KUNA WADADA BADO WANAANGALIA HII VIDEO WAKAT WAMEAMBIWA WASIANGALIEE, mimi mwezi wa tisa ndo nafikisha miaka 18+ just nachukua hii link nikikua ntaangalia 😂
Lakini mwenyewe SI amesema chukuwa kwa maana ya MUJMAL na sio MUFASSWAL na mbele bado Kuna maelezo Binafsi hayo nimeyasikia ila yahitajia kufanya bahthi na sio ushabiki maana hii ni dini Naam.
Shekhe muhammadi ww ni salafi wa kweli kuliko hawo kinamafuta hizb jadida wametupa mipaka kweli Allah awaongoze we ni simba wa allh katika kutetea sunnah ya mtume
Mimi binafsi niliwafuatilia kwa muda ya miaka minne hawa salafi jadida lkn nimeona hawana issue isipokuwa kuwaandama waislamu wenzao. Ukiwauliza mbona makafiri wamuwashambulii? Jibu lao ni “wale ni makafiri hatuna shida nao “ sisi tunapambana na bidaa tu
hakika mbora wetu ni yule anaejiita muislam na kisha baada ya hapo akafuata quraan & sunna yake ibni abdillahi nae sio mwengine ila ni mtukufu wa darja mtume wetu (muhammad swalallahu alaihi wasallam) sasa haya mengine yanini mie salafi mie ashaari mara shia, nk. Aya sasa nawauliza haya yote yanini ikhwan fil imaan yana manfaa gani kwetu kama wafuasi wa dini yetu hii tukufu ya kiislamu ebu angalia maadui wadini yetu walivyotudhorotesha waislamu sababu ya udhaifu wetu wa haya makundi turudini katika mshikano wetu ule aliokuwa nao mtume wetu na maswahaba wake.
mmh Mh Mh, Hii MAJADIIDA HAWATAIJIBU LABDA WAJIPANGE KWA MIAKA ZAIDI YA MIILI, maana muhadhara WA Dr. WA TANGA walikaa miaka miwili wanatafuta Namna ya kujitetea.
Me nasaha zangu nikwamba waislam wote tunatakiwa tuifuate manhaj salafi chamsingi tujuen yakwamba hii manhaj so yaqasim mafuta wala sio ya Muhammad Bachu chamsing kwetu sisi kwanza tumuombe allah atuthibitishe katik manhaj hii pia tuisome tena kwasana tukishasoma tutaijua hii man haj kwan wanaruambia wanawazuon wanasema isome haki utawajua watu wahaki nausifuate watu kuitafuta haki. wallaah a alam
Lkn fanya urud na kule kenya ukaweke sawa kisiwan Lamuu kuhus jiwe lenu na msing kun shek Katk Rehema wetu tv kuhus kuping jamb hil nenda kamuweke sawa
MUHAMMAD BACHU Mimi nilitamani ifanyike niqash ilmiyya baina ya ahlusunnah Mada ziwe 2 1 nyinyi mahizbi vs sisi si mahizbi 2 nyinyi majadida vs sisi si majadida HIVYO TUUU ILI TUJUE CHUNGU NA TAMU
Huu mzigo wa kiitwa Suyut mjinga utaemda kuujibu mbele ya Allah Maana kama mtu anetafsiri kitabu cha Allah sidhani na ana vitabu vingi vya dini sidhani kama anastahili kuitwa mjinga pamojabna mapungufu aliuokuwananayo
Muhammad bachu hawa wafuasi wako watafika pahala watamuona Suyutwi si lolote si chochote kwa tafsiri zako wanazozihifadhi. Na kama unachomtuhumu sio itikadi yake imam suyutwi basi utakua unamfanyia dhulma. Wallahu lmustaan
Mimi nauliza swali👇 Ustadh Muhammad Bachu unalinganisha kosa la Abuu Mu'awiyah na kosa la Imaam Suyuth. Je Imaam Suyuth katika zama zake aliwahi kupewa radd kuhusiana na suala hili ? Je katika zama za Imaam Suyuth walikuwepo wanazuoni wakubwa na kumnyamazia Imaam Suyuth hadi akafariki hivo? Tukija kwa Abuu Mu'awiyah Je alipewa radd au hakupewa? Na alipopewa radd je alikubali au alikataa?
Hiyo so hoja ndugu muulize shekhe wako anasoma kitabu cha suyuti ndo hoja imetolewa ikiwa anasoma vitabu hivyo na vinamakosa na ww unaitakidi kuwa mtu alopinda afai kusoma vitabu vyake mbona mafuta wenu anamuhesabu ulamaa wa ahlsuna wal jamaa udhuru ipi imetumika kumpa na udhuru hiyo imtoe abu muhawiya ninyi kama alivyobainisha hapo juu bachu kasoma maneno ya mwanazuoni Abdul salamu na shk abubakary abu zaidi ni hizby jadida ni kweli hawajakosea sifa zote mnazo kuwafukuza watu katika sunnah ovyo ovyo na weepesi kukufurisha wtu kama khwariji hata shekhe utheemiy alisema katika fatuwa yake watu. Haooo haawana usaafi kitu taffuteeni pa kujjifichia masalafi swalehe hawakuwa kama ninyi leo mienendo michafu kutukana watu kuwasengenya watu 😢😢😢
@@AbdulIssa-o7e kwani kwenye vitabu ni mwanachuoni yupi katika salaf hajawahi kukosea❓Je ni Imaam Suyuth peke yake ndio kakosea kwenye vitabu vyake ama❓
@@SugowFarah-up3db hayo so majibu tunataka majibu ya kiilimu ninyi mnaojiita salafi majadida + ( salafi hawakuwa na tabia chafu kama zenu tafuteni pa kujifichia sawa shekhe bubakary kasema hizby jadida sasa mnajinasibisha katika usalafi ndo shekh swale ibn utheemeny kawatahadharisha watu na kundi hili la kijadida kasema watu hao so masalafi kitu dawa gani ya kuwafukuza watu kwenye sunnah dini mmeifanya uwanja wa mpira kwamba refa muda wowote anatowa red card bila kosa halali nyi watu wa matamanio na allah awaongozi watu wapenda matamanio na ghuruu
Hii imekurahisishia wewe kama msomi,au hujaona ili uende kuangalia na kuthibitisha kwa ushahidi,sikuhizi watu wanakwenda na ushahidi,maana angetoa yote haya bila ya ushahidi..ungalidai ushahidi wapi ipo au umetowa,hivi ndo itakiwavyo kwa sasa
Alifanyiwa radd na abul abbas akawekewa na sauti zake akiwasema watawala kwenye mimbari leo anajifanya salafi… kutukana watawala kwenye mimbari ndio manhaj ya salafi… sema zama hiz wajinga wamekuwa wengi na hawaa zimewajaa watu hvyo hawaioni haqq
@@saidimkwinzu9106Inakusaidia nini wew Abuu Muawiyah kuwa Salafiy au kutokuwa salafy???.....wew kama wew yan inakusaidia nn...Maadam unaijua mising ya dawatusalafiyyah basi ishi nayo,mambo ya kumdiscuss mtu ambaye ashafariki sion kama ni vizur......Mtakalia tu kumjadili badala ya kumuombea dua
@@ABUUBAAZNYUNGU kama unalijua Hilo ingekua Haina maana Kila siku kumshambulia sheikh Islam Wala barahiyan Wala msingeita wenzenu mahizbi wakat hujui hata mtu huyu kapindi au hajapinda katika misingi inayomtoa kwenye usalafi ndo mana tunahitaji majibu Faida ambayo nitapata kama sheikh Muhammad bacho atajibiwa na sheikh kasim mafuta au muwakilishi wa sheikh kasim mafuta Mimi nitaangalia je na Mimi nimo kwenye makosa Kwa dalili makosa ambayo kafanya Abuu Muawiya hadi akatika katika usalafi! Me nataka kupima mana nimesoma baadhi ya vitabu ikiwemo رفقا أهل السنة بأهل السنة. Alichotaja hapo sheikh Muhammad bacho Nikasoma pia kitabu Cha sheikh Muhammad naswir diin kinaitwa السلفية حقيقتها وسماتها Na vingine zaidi nataka nistafid kama ukweli utakuepo Mimi nitachukua maamuzi mana napenda haqqi ndo mana nataka nijue Kwann Abuu Muawiya katolewa kwenye usalafi kakhalif nin
Yaani siku izi hata kusoma dini tu imekuwa shida jamani hizo nguvu za mabishano wangewekeza kwenye kuieneza dini ya Allah ata ningeona ni wa maana yaani wanaacha kuwaongelea akina shekhe sule wenyekusema kufunga majini ni sawa wanakaa wakibishana wao kwawao 😏😏😏
@@mwanaidiconstantine mbona hayo ya kina sule Muhammad nasoro bacho kayaongelea zaidi ya mara4 hukuona? Na je Kwan si alikua anamradi pia huyo sule na vile vile ni dini pia iyo anasomesha hata hapo alipo saivi anasomesha pia
@@ABUUBAAZNYUNGU Kama wasipojibu bas hawana hoja na Muhammad bacho nae kasema Ivi sio lazma ajibiwe na sheikh kasim mafuta hata akijibuwa na kijana wa sheikh kasim Kwa niaba ya sheikh kasim mwenyewe yeye Hana shida lakin waweke wazi hivyo vigezo vya kumuita Abuu Muawiya kua ni hizbi watoe dalili
Amna lolote majadida habar yenu kwisha mpo katika ghuru na si dini shekhe kasoma maneno ya wanazuoni hapo walotaja hizb jadida mje mkanushe kivitabu so kimajungu dini mmeingeuza uwanja wa mpira mnampa kadi nyekundu mumtakae na bado hiki chuma kinawanyosha kweli mpo katika zana tuuh! Mnachojuwa nyie matusi na kufukuza watu katika sunnah salafi swalehe hawakuwa hivyo tafuteni pa kujificha😂😂😂😂
NA ALLAH akupe afya njema na maisha malefu na akulinde na kila shali za viumbe
Yaani muhamad bachu nna mpenda sanaaaa kwa ajili ya Allah sio mnafiki Allah akuhifadhii.
Allah akihifadhi na akulipe al akhy kwa juhudi zako. Mpaka sasa umma wote wa kiislamu ktk ukanda huu ushaitambua hii hizbu ssalafy ya sheikh Kassim Mafuta na wenziwe kama inavyoelezwa na wanachuoni wetu wengi ktk kuutahadharisha umma juu yao. Allah awape nguvu musichoke kutunukulia maneno ya maulamaa kuhusu fitna ya hizbu hii ovu iliozuka. Ila Duktuur Islam wala musiwe munamtaja taja saana ktk mambo haya yy ni mtu ametakasika na yupo mbali sana na masuala ya fitna kama hz bali ni mtu ambaye ni zawadi kutoka kwa Allah kwa waislam wa ukanda huu wa lugha ya kiswahili alhamdulillah!
دعوة السلفية دعوة الحق
Mungu akuhifadh Muhammad bachu ❤❤
Masha'Allah !!!..full confidence
Wallahi, ktk tafiti zangu, Allwah amemjaalia sheikh Muhammad Bachu kumpa uwezo na akili kubwa pmj na ufahamu wa hali ya juu. Ukimsikiliza unamuelewa MashaAllah. Lkn mashehe wengi ni zero brain kwa maana ni failure. Hamnakitu. Allwah amhifadhi sheikh Muhammad Bachu. Kiukweli sheikh Nassor ametuachia mrithi wake MashaAllah.
@@salehrashid-fx9rq alie thibitisha tafiti zako nani?sio kila ukionacho wewe sahihi ndiyo usahihi.
@@salehrashid-fx9rq yani Muhammad kwako wewe ni shekhe? mh haha
@@alkitaamiyMihswan-p3jpunguza ushabiki
@@alkitaamiyMihswan-p3j
Toa kasoro ili maneno yako yawe na nguvu.
Maana hauna cha kukupa nguvu katika maneno yako na kama hauna hiyo maana yake ni wivu tuuuu huo.
Elimu ndogo sn
Hpo.hakuna mfanano wala mizaha ktk Quran hio ni Lugha Rudia ktk Fani za Balagha
Mashallah ndug nikiwa makin kabisaaa kukusikiliza huyo jamaaa watanga atuaambie mtu wa sunna anakaaje napia wao waache kufukuza watu katika sunn za mtu[ s w ]
Maa shaa allah sheikh kipenzi cha watu
Mashallah allah akuhifadhi namabaya sheikh bachu uzidi kutupa faida
Salamu zako izo toka kwa Shaykh Abul Abbaas حفظه الله
Abul Abbas ana nini. 😂
Hongera sana HIZBIY
Allah awahifadhi mashekhe WA kisalaf abuu fadhwili kasiimu mafuta
Mashaallah Muhammad bachu uwepo wako ww nisaw na vita vya uhd kuwepo Hamza like mshambuliaj au ni saw na Lamal yamal streker languvu she inshort Big up
Subiri majibu yake kabla ya kumpa kongoleee
😂😂😂m nasubiri majibu 2😂@@laisamaujud1157
@@suodymmbaga6583 sasa nyie mkisema na kuhizbisha😊 masheikh ni sawa sisi tukijibu ni kiki
@@suodymmbaga6583hamuna hoja z kuwez kumjb huy kw 7b nyny hamusomeshwi munakairushw t..
Kwa kweli haya majina, utukufu na kuamini wengine wote wamepotea sio sawa. Cha muhimu ni kumuomba Alla atupe khatima njema na atujaalie kuwa katika haqi juu ya haya tunayoyaitaqidi. Huenda unaemuona amepotea akawa ni.mbora kwa Allah zidi yako. Allah autondolee kibri .
Allah akuhifadh shekh Muhammad
Allah akuhifadhi sheikhe kwa kazingumu ulionayo❤
Amiin
Bachu mashaallah unajuwa kojenga hoja wew talent
Tume anza kuyaona Mathara yenu masheikh kwa mnavyo kuza umathehebu sana zaidi ya kubuni mbinu mbadala za kuwaleta waislamu tuwe kitu kimoja . Nasaha kwenu masheikh jiebusheni kuugawanya waisilamu
Maasha Allah shekhe Allah akuhifazi
Yaani tumefikia sehemu mbaya kweli kweli na haya ndio malipo ya kupinga kila jambo yaan mtu anakufa badala ya kumuombea kweri mnaelekeza nguvu kwenye majibizano eti kila mmoja anaonesha umwamba wake huku mnamuweka mhusika kwenye wakati mgumu ingawaje inaonekana ndivyo alivyokuwa mwenye akil azingatie
Nyinyi wote ni mahizbi munafudisha mabinti na wake wa watu bila ya pasia..wakati hadithi na ayat zipo zakukataza
NASIHA NAKUPA SHEIKH MOHAMED NASSOR, WACHANA KUPOTEZA MUDA WAKO KUWAJIBU HAWA MADAKHILA, HAWA HAWANA KAZI WANACHO KIJUA ILA FITNA NA UMBEA KWENYE AKILI ZAO.
Ni muhimu sheikh Muhammadi Bacho Allah amuhifadhi kufany hiv Kwa sababu ndio anainusuru Deen.. In Shaa Allah
Kwani ushajibiwa mangapi ivo unavo taka sheikh Fahad haneni na Abuu fawzan Allah awahifahi wamekujibu na hujajibu chochote ila ww unajulika na ndomaana hujibiwi ukijibiwa ww unabadilisha mada hemu mche Allah akhy utakwenda kuulizwa mbele ya Allah
Akuna alichojibu ww mwambie aje apinge ndno hizby jadida la wanazuoni abibary abu zaid mnaingia hapo hizby jadida watu wa ghuruu na kufukuza watu kwenye sunnah salaf swalehe hawakuwa na mienendo yenu muchafu kama ninyi kutukana watu kuwakufurisha watu bila sababu za msingi 😂😂😂
Wayahudi waanzilishi wa kundi potovu la Kiwahabi kwa hakika wamefanikiwa kwenye baadhi ya malengo yao dhidhi ya Uislamu duniani kote.
Assalamualaikum ustadh hata wakichafua inshaallah hawataweza sababu wao wamezoea kuzua Sasa Kila mtu wanamwona mwenzao n makundi yao badala watu wafundisha watu waache bidaa kazi n kutaja hata waliofariki Allah atuepushe n watu kama hao
Huyu Bachu ni bingwa sana wa talbis na ndio maana mamrui hakuweza kufua dafu akaaibika yeye na mahizb wenzake….
Huwo ni urongo shekhe bachu aliwabuluza wale masufi sema kweli japokuwa chungu wale hawamuwezi mpk leo wanamaswali 19 hawajamjibu arafu wale mombasa walipanga wapindishe mada ilikuwa urongo katika barazanji wao wakabadilisha gia juu kwa juu kuwa jafari muongo sabu walijuwa wakimrihusu kusonga mbele kuna uchafu zaidi ya ule ndo kampeni yao wabadilishe mada sabu hakki haijawai kushindwa kaka kusema bachu alishindwa kuwatetea ahlu bidaa ni ujahli usio na mfano
Acha hasadi babu
Kumekucha...nyiee hamuogopi Majadida mbona mtakoma Ma Shaa Allah Tabarakallah Allah akulipe
Mzee wa ufasaha, au Mtto wa Simba mwana wa simba
كلام الأقران يطوى ولا يروى
Nam shekh wangu ikiwa umesoma kitabu chake hicho
je umekwisha fanya utafiti wakuangaliya kama labda huwenda alijirejea akaandik kingin kitabu ?
Sasa ndo mujibu, mbona mwaogipa ????
Masha Allah Allah akuhifadhi
Dakika ya 15:25, hayo maneno yanafanana na maneno ya Muhammad Shamsudin As-sururi. Ibn Bachu ushaweka wazi manhaj yako.
Allah atuifadhi
Bachu wanyoshe haki itabainika tu wew pigania haki ata wakikukejeli
mie saivi naona haya mambo ya madh`hab hayatufai sie waislamu maana kila kukicha kunazuka ugomvi & matatizo na kubaguana wenyewe kwa wenyewe, nashauri haya mambo al akhi bachu achana nayo we usijali wataongea mwishowe watanyamaza tu almuhimu ni kumcha (Allah azza wajalla) hao wengine wote achana nao na sote ni viumbe na watumwa wake yeye mwenyezi mungu (subhanahu wataala) pia endelea na daawa na kuelimisha dini Allah ndie atakae kulipa usitarajie malipo kwa walimwengu ndugu yangu katika imaan.
Watanyooka tu Hawa ndugu zetu bi idhni Allah.
Kwahio nyinyi mahizbiy mumenyooka ,,?,,uhizbiy ni uvundo jameni...
@@ABUUJAAFAR92😂😂😂mwambiee mafuta.atoke jikoni. Aje ajibu kwamaaan. Wanajifanya. Hawna mujaamala. Uone. Kama. Atawezaa kumradd huyo. Mwanachuoni. Mkubwa
والله قد بلغتَ وأنصحتَ ❤🤲
Ahllwa awahifadhi walimu wetu hakika wewe ndio ngao pekee ya Ahhalusuna.
Acha ujinga kama nani huyoo mpk awe nguzo
Dah huyu jamaa, eti anafananisha makosa ya maulamaa tena mfasiri na kijana wa mtaani...
maashaallah Allah akuhifadhi ww ni Simba
Subhaanallaah! kiukweli haya maneno ya sheikh Suyuut yamevuka mipaka na hawa majadiida hawataona haki abadan mpaka waondoe matamanio ya nafsi zao maana ukitanguliza matamanio ya nafsi kwanza mbele ya haki Allah hawaongozi wanaofuata matamanio ya nafsi
Hayo maneno ya suyutwi umesomeshwa au umefata ufahamu wa Sheikh Muhammad Bachu tu? Inawezekana ufahamu wake ukawa ni wa makosa. Wallahu aalam
Ukiyasomesha na wewe kwa huo ufasaha na usahihi kwetu itakuwa ni faida. Tupeni nasi hizo faida.
Endelea kutoa faida sheikh Allah akubarik
Makosa kama haya Anayo Kishki wa Tanzania.....ila husema sio aya vipi Anajumuishwa na Suyuti?
Acheni majadiliaano mabishaanoo wew lingania dini af wew bachu unapenda shari wew
Mtu akichokoza aachwe akijibuwa ni mabishano😂
Afu ww dada kaa utulie acha watu wafundishwe
Dada tuliaa hapa tunamtetea shekh wetuu abuu muawiya rahimahullahh
subiri dufu na kasida za minanda ucheze hapa ni elimu dada mpikie mumeo huko hapa ni kwa wale wanaopenda haki na ndio maana vinasomwa vitabu sio porojo.
@@saidimkwinzu9106majadidah. Ndivyo walivyo. Hawataki. Kusemwa. 😂😂 Mijadida. 😂😂😂
Mfano kama Wewe Unavo jinasibisha Na Usalafi Haliyakua Si SALAFIYYA!أwewe Ni Mzushi Akhiy
Kinacho niuma masheikh wengine naa wa umri wa baba yako wapi lkn hawaya semi
ILI HAO WAPUUZI WANAOKUFURISHA MASHEKH WANAJIATA MASALAFI JADIDI WAACHE UPUUZI WAO
Nikakaa kwa makini nakuskiliza najua hata unajenga swali kielemu kumbe ni mtupu hvyo sikudhani kaa chini kasome achana na kutafuta umaarufu
mche Allah Al akhe
Hapa lengo ni majadida au ulikuwa unatafuta fursa kutangaza mapungufu ya Imam Suyut (رحمه الله) kupitia mlango wa Majadida?
Maana kama ni Majadida ile hoja ya kwanza ilikuwa inatosha!
LENGO NI KUWAOYESHA HAO SALAFI JADIDI KWANI REJEA YAO KUBWA NI IMAMU SIYUUT
❤
Shekh muhammad uspate tabu
Hao majadida wa znz allah kashawafarakanisha
Huyo salim alomjengea mwenzake fitna abuu muawiya hasubutu kukanyaka farouk
Kapgwa mkwala pale hakanyaki wala hapewi husband
Sasa wanatafunana wao kwa wao
Kama walivomfanyia mwenzao sasa ngoma imerudi kwao wanatafunana wao kwa wao
إنا لله وإنا إليه لراجعون
Kama alimama suyuti angekuwa katoka katika uislam katika maneno aliyo yaandika basi wanachuoni wange anza kumtowa wao pasi na shaka na ikisha usilinganisha imam suyuti na abuu muawiya au na doktor islam ni watu mbali mbali ju sawa na nungwi na kibuteni
Swali mtu akiteleza anakuwa hizbi au anapewa udhuru kwa kuwa bado ni mtu wa sunnah?
TUMIA VITABU (Lete dalili) usilete mipasho ya TAARABU
Allah akuifadh shekh muhammad bachu
Kwa kumtetea shekh abuu muawiya allah amsamehe
Majadida hawawez kuiib kwa sababu ayo maswali hayatiliki mkoko
NB🔥🔥🔥🔥KUNA WADADA BADO WANAANGALIA HII VIDEO WAKAT WAMEAMBIWA WASIANGALIEE,
mimi mwezi wa tisa ndo nafikisha miaka 18+ just nachukua hii link nikikua ntaangalia 😂
Lakini mwenyewe SI amesema chukuwa kwa maana ya MUJMAL na sio MUFASSWAL na mbele bado Kuna maelezo Binafsi hayo nimeyasikia ila yahitajia kufanya bahthi na sio ushabiki maana hii ni dini Naam.
Shekhe muhammadi ww ni salafi wa kweli kuliko hawo kinamafuta hizb jadida wametupa mipaka kweli Allah awaongoze we ni simba wa allh katika kutetea sunnah ya mtume
Kwa kigezo kipi
@@MusaMkata simba wa Allah huyu so khurafi so majadida anawabuluza kule na majibu mpk leo hamtujibu
ماشاءالله
Mimi binafsi niliwafuatilia kwa muda ya miaka minne hawa salafi jadida lkn nimeona hawana issue isipokuwa kuwaandama waislamu wenzao. Ukiwauliza mbona makafiri wamuwashambulii? Jibu lao ni “wale ni makafiri hatuna shida nao “ sisi tunapambana na bidaa tu
Wamewatoa watu kwenye usalafi abuu zagar pia wame mtoa bachu pia wamemtoa hili sifa lakundi ndo lenye tabia ya kukatana
Uko sawa she bachu
Sheikh Nassora bachu naomba namba yako
Wamesema wanawake wasiangalie
Mawahabi munakazi kila mkiamka ni kutaja mabaya ya wanachuoni mema yao mbona hamuyataji mtume asema tajeni mema ya maiti na ficheni mabaya yao
hakika mbora wetu ni yule anaejiita muislam na kisha baada ya hapo akafuata quraan & sunna yake ibni abdillahi nae sio mwengine ila ni mtukufu wa darja mtume wetu (muhammad swalallahu alaihi wasallam) sasa haya mengine yanini mie salafi mie ashaari mara shia, nk. Aya sasa nawauliza haya yote yanini ikhwan fil imaan yana manfaa gani kwetu kama wafuasi wa dini yetu hii tukufu ya kiislamu ebu angalia maadui wadini yetu walivyotudhorotesha waislamu sababu ya udhaifu wetu wa haya makundi turudini katika mshikano wetu ule aliokuwa nao mtume wetu na maswahaba wake.
Maashallah, ❤❤❤
mmh Mh Mh, Hii MAJADIIDA HAWATAIJIBU LABDA WAJIPANGE KWA MIAKA ZAIDI YA MIILI, maana muhadhara WA Dr. WA TANGA walikaa miaka miwili wanatafuta Namna ya kujitetea.
Yani allah atunusuru mambo yamo katika icho kitabu yame nitisha
Yaani hili linapendavmalumbano na Kila siku linashindwa yeye sijui huwa anatafuta kiki
Swadakta sheikh 😂😂
Muhamad bachu piga hawa jamaa ambao wanaamin kwenye usalaf na cio kweny uislam😂
😅Wanawake tusiangalie kwanini
najua kushaangalia alaf unauliza, mmmh ww huogopi hayo yanayo semwa....??
Kwahy wanawake ndo tusiangalie 😳@@Nuru_ya_sunnah.official
Fact Yani walio okoka ni kundi lao tu, tuliobaki sote motoni, pepo ni Kwa ajili ya salafi majadida tu
Akhi could they be sincere but ignorant? Can we have a good dhana?
vitabu kama hivyo vya Suyutwi vingetiwa moto.kwa sababu havina faida yoyote ila kuikejeli quran
lakin mm ninaumia mnavo msema maiti duuu😢😢
wanawake na watoto under 18- wameambiwa wasingaliee hii
Me nasaha zangu nikwamba waislam wote tunatakiwa tuifuate manhaj salafi chamsingi tujuen yakwamba hii manhaj so yaqasim mafuta wala sio ya Muhammad Bachu chamsing kwetu sisi kwanza tumuombe allah atuthibitishe katik manhaj hii pia tuisome tena kwasana tukishasoma tutaijua hii man haj kwan wanaruambia wanawazuon wanasema isome haki utawajua watu wahaki nausifuate watu kuitafuta haki. wallaah a alam
Matusi na kutoa aibu za watu. Do wanachojuwa majadida
Hahaha sheykh abul faadhil akipelekewa hii video akiona tu ulivyojiweka katika kati ya mabook kama hivyo hatokujibu
Lkn fanya urud na kule kenya ukaweke sawa kisiwan Lamuu kuhus jiwe lenu na msing kun shek Katk Rehema wetu tv kuhus kuping jamb hil nenda kamuweke sawa
MUHAMMAD BACHU
Mimi nilitamani ifanyike niqash ilmiyya baina ya ahlusunnah
Mada ziwe 2
1 nyinyi mahizbi vs sisi si mahizbi
2 nyinyi majadida vs sisi si majadida
HIVYO TUUU ILI TUJUE CHUNGU NA TAMU
😂😂😂😂😂😂
Sipo upande wowote Ila. Naamini bachu. Yuko. Tayari Abul. Fadhwil. Kama. Kawaida. Yake atakataa Kama. Alivyoitwa. Na Abuu. Muawiya. Hassan. Awadh. ALLAH. Amrehem. Mafuta. Akaogopa. Sijui
Ww ndugu yangu umenena na Rai Yako nzuri kama itafanyiwa kazi wallahi...
@NuryaMusa sasa we wataka sheikh abul fadhl afanye niqash na bachu,,,,ikiwa alishindwa ni dj sufi ,alafu utamlinganishaje na abul fdhl ,?
@@ABUUJAAFAR92 Kwa hivyo unatuambia yule Sufi?
((ولا يجرمنكم شنئان قوم على أن لا تعدلوا...))
Sufi kashinda???
😂 astaghafirullah huyo imamu suyuti kumbe alikua mjinga hivyo😮😮😮 bora uache kutafusiri tu mana mm naona aibu utafikir naonekana 😅😅😅😅😅
Huu mzigo wa kiitwa Suyut mjinga utaemda kuujibu mbele ya Allah
Maana kama mtu anetafsiri kitabu cha Allah sidhani na ana vitabu vingi vya dini sidhani kama anastahili kuitwa mjinga pamojabna mapungufu aliuokuwananayo
Muhammad bachu hawa wafuasi wako watafika pahala watamuona Suyutwi si lolote si chochote kwa tafsiri zako wanazozihifadhi. Na kama unachomtuhumu sio itikadi yake imam suyutwi basi utakua unamfanyia dhulma. Wallahu lmustaan
Muhammad bachu ananukuu kilich andikw kwnye kitabu, ila ww unabeba ujasiri wa kumtukana mwanachuon, rekebisha manen yko na lete toba.
@@SaidSeif-d4y
Akhy Chunga lugha yako.
😂😂😂masalafi wacharurana 😂
Imam suyuti ni imam wa masufi na wanafuata bila kuchunguza
Mimi nauliza swali👇
Ustadh Muhammad Bachu unalinganisha kosa la Abuu Mu'awiyah na kosa la Imaam Suyuth.
Je Imaam Suyuth katika zama zake aliwahi kupewa radd kuhusiana na suala hili ?
Je katika zama za Imaam Suyuth walikuwepo wanazuoni wakubwa na kumnyamazia Imaam Suyuth hadi akafariki hivo?
Tukija kwa Abuu Mu'awiyah
Je alipewa radd au hakupewa?
Na alipopewa radd je alikubali au alikataa?
Hiyo so hoja ndugu muulize shekhe wako anasoma kitabu cha suyuti ndo hoja imetolewa ikiwa anasoma vitabu hivyo na vinamakosa na ww unaitakidi kuwa mtu alopinda afai kusoma vitabu vyake mbona mafuta wenu anamuhesabu ulamaa wa ahlsuna wal jamaa udhuru ipi imetumika kumpa na udhuru hiyo imtoe abu muhawiya ninyi kama alivyobainisha hapo juu bachu kasoma maneno ya mwanazuoni Abdul salamu na shk abubakary abu zaidi ni hizby jadida ni kweli hawajakosea sifa zote mnazo kuwafukuza watu katika sunnah ovyo ovyo na weepesi kukufurisha wtu kama khwariji hata shekhe utheemiy alisema katika fatuwa yake watu. Haooo haawana usaafi kitu taffuteeni pa kujjifichia masalafi swalehe hawakuwa kama ninyi leo mienendo michafu kutukana watu kuwasengenya watu 😢😢😢
@@AbdulIssa-o7e kwani kwenye vitabu ni mwanachuoni yupi katika salaf hajawahi kukosea❓Je ni Imaam Suyuth peke yake ndio kakosea kwenye vitabu vyake ama❓
@@SugowFarah-up3db hayo so majibu tunataka majibu ya kiilimu ninyi mnaojiita salafi majadida + ( salafi hawakuwa na tabia chafu kama zenu tafuteni pa kujifichia sawa shekhe bubakary kasema hizby jadida sasa mnajinasibisha katika usalafi ndo shekh swale ibn utheemeny kawatahadharisha watu na kundi hili la kijadida kasema watu hao so masalafi kitu dawa gani ya kuwafukuza watu kwenye sunnah dini mmeifanya uwanja wa mpira kwamba refa muda wowote anatowa red card bila kosa halali nyi watu wa matamanio na allah awaongozi watu wapenda matamanio na ghuruu
@@fahmiiidrisa5110 ww mjinga xana hivi unamacho na masikio au akili yako nzima kweli ww au una matatizo ya ubongo kidogo
Abou alifadhili kasim mafuta nilivokua nikîsikiliza dawazake sikuanafaham kua iko katikakundihilo lakuwatoawatu kwenye uislam nasuna nandomana shehkewetubachu kupitîa aya nahadidhi usiwahurumie natunauhakika hawatokujibu tunachokuomba shekhewetubachu wàbainishe hatahuku nilipo wameanza kutukataza uingiandani yamiskiti wasioitaka au isioyao kwahivo hawawatu hawafaikwenyejami hatakubainisha aya hawafaham
Kwani hawezi kutoa mawaidha pasipo kutuonyesha vitabu?nauliza kwa wema
Wewe focus yako iko kwa Bachu au Vitabu😂
Hii imekurahisishia wewe kama msomi,au hujaona ili uende kuangalia na kuthibitisha kwa ushahidi,sikuhizi watu wanakwenda na ushahidi,maana angetoa yote haya bila ya ushahidi..ungalidai ushahidi wapi ipo au umetowa,hivi ndo itakiwavyo kwa sasa
Huyu chizi nin? We unaekewa ushahidi wa vitabu unahoji chizi nin?
Je ni sawa kuisema maiti
Tumuulize. Katelephone. Bwana. Mafuta. Yataaa
Doh sasa yeye kajuwaje abuu muwaiyah sio salafi na wakat muwaiyah aliwatak ndugu zake wakae kwa hoja wamekataa
We ni sawa na debe tupu. Mweupeee kila siku masufi wanakamata makosa yako ya ufahamu na lugha ktk kusoma ibara.hakuna wa kukujibu jikimbize mwenyewe
Na ww umekamata lipi?
Waleykum salam warahmatullah
Mi nashangaaa kina shekh mujahidi wote wanaburuzwa na kasim.mafuta
Mashaallah
Alifanyiwa radd na abul abbas akawekewa na sauti zake akiwasema watawala kwenye mimbari leo anajifanya salafi… kutukana watawala kwenye mimbari ndio manhaj ya salafi… sema zama hiz wajinga wamekuwa wengi na hawaa zimewajaa watu hvyo hawaioni haqq
Hatukatai unalolifanya ila hujui ungewachia mashekhe zetu wakubwa wamrudi Abulfadhli kwasababu huji kitu shekh
Aau sio...kwamba hajui kitu
Hao masheikh ni akina nani?
Mashekh kma dr islam na wengine walio na ilimu
Barakallahu fikum
Hata mm nisalaf lkn sikam salaf hao hhhh😂😂😂
Yes Salafism and Saudi family came from NAJD
Yes it is QARNU SHAITWan
UKIWA MKUBWA BASI WATAKUJIBU WAKUBWA
KWASASA BADO WATAKUANGALIA TUU
@@saidimkwinzu9106Inakusaidia nini wew Abuu Muawiyah kuwa Salafiy au kutokuwa salafy???.....wew kama wew yan inakusaidia nn...Maadam unaijua mising ya dawatusalafiyyah basi ishi nayo,mambo ya kumdiscuss mtu ambaye ashafariki sion kama ni vizur......Mtakalia tu kumjadili badala ya kumuombea dua
@@ABUUBAAZNYUNGU kama unalijua Hilo ingekua Haina maana Kila siku kumshambulia sheikh Islam Wala barahiyan Wala msingeita wenzenu mahizbi wakat hujui hata mtu huyu kapindi au hajapinda katika misingi inayomtoa kwenye usalafi ndo mana tunahitaji majibu
Faida ambayo nitapata kama sheikh Muhammad bacho atajibiwa na sheikh kasim mafuta au muwakilishi wa sheikh kasim mafuta Mimi nitaangalia je na Mimi nimo kwenye makosa Kwa dalili makosa ambayo kafanya Abuu Muawiya hadi akatika katika usalafi! Me nataka kupima mana nimesoma baadhi ya vitabu ikiwemo
رفقا أهل السنة بأهل السنة.
Alichotaja hapo sheikh Muhammad bacho
Nikasoma pia kitabu Cha sheikh Muhammad naswir diin kinaitwa
السلفية حقيقتها وسماتها
Na vingine zaidi nataka nistafid kama ukweli utakuepo Mimi nitachukua maamuzi mana napenda haqqi ndo mana nataka nijue Kwann Abuu Muawiya katolewa kwenye usalafi kakhalif nin
Yaani siku izi hata kusoma dini tu imekuwa shida jamani hizo nguvu za mabishano wangewekeza kwenye kuieneza dini ya Allah ata ningeona ni wa maana yaani wanaacha kuwaongelea akina shekhe sule wenyekusema kufunga majini ni sawa wanakaa wakibishana wao kwawao 😏😏😏
@@mwanaidiconstantine mbona hayo ya kina sule Muhammad nasoro bacho kayaongelea zaidi ya mara4 hukuona? Na je Kwan si alikua anamradi pia huyo sule na vile vile ni dini pia iyo anasomesha hata hapo alipo saivi anasomesha pia
@@ABUUBAAZNYUNGU Kama wasipojibu bas hawana hoja na Muhammad bacho nae kasema Ivi sio lazma ajibiwe na sheikh kasim mafuta hata akijibuwa na kijana wa sheikh kasim Kwa niaba ya sheikh kasim mwenyewe yeye Hana shida lakin waweke wazi hivyo vigezo vya kumuita Abuu Muawiya kua ni hizbi watoe dalili
Hebu tuliyeni mutajuwa anajuwa au kituko dawa yake iko ukingoni ataifunga youtube yake
Amna lolote majadida habar yenu kwisha mpo katika ghuru na si dini shekhe kasoma maneno ya wanazuoni hapo walotaja hizb jadida mje mkanushe kivitabu so kimajungu dini mmeingeuza uwanja wa mpira mnampa kadi nyekundu mumtakae na bado hiki chuma kinawanyosha kweli mpo katika zana tuuh! Mnachojuwa nyie matusi na kufukuza watu katika sunnah salafi swalehe hawakuwa hivyo tafuteni pa kujificha😂😂😂😂
Mwenda wazimu kalie vaa viatu shoto kulia
Huyu bachu ni mpumbavu sanaa. Ni lini sheikh Abul Fadhil alimuita Abu Muawiyah kuwa ni hizbi
@@said-99442 mbona watukana tena akhy
Huo ndo usalafi wewee ni hizbi
Na ww lini ulimsikia abuu fadhwili akisema sheikh Hassan Awadh mtu wa sunna. Ila abuu hashim hukumsikia.
Ww mwiisilam
@@ShabanHassan-td3lx kwani ilikuwa ni lazima abul fadhl aseme ni mtu wa sunnah?,,,mahizbiy ndipo hamna hoja
Simba wa Allah
ugonjwa wa moyo umejaa humu ndani kuanzia muongeaji mpaka waf asi wake