Kwanza kabisa namuomba ALLAAH سبحانه وتعالى ampe pepo ya Firdaws Al marhum Sheikh Nassor Bachu kwa hii elimu yenye manufaa alioicha kwa huyu kijana, Napia ALLAAH سبحانه وتعالى amlinde huyu kijana na amuhifadhi dhidi ya maadui na ampe mwisho mwema yeye na sisi, kiukweli masufi wametuharibia sana dini na wamepotezea babu zetu na wazazi wetu linauma sana hili jambo kwa mwenye akili lakini, hii ni vita nzito ameitangaza mtoto wa bachu na baadhi ya masheikh ila chakunishangaza jambo hili halizungumzwi sana na baadhi ya masheikh wanaojinasibisha na Sunna na matokeo yake tunaona namna wanavuoambatana nao hawa watu sijui kielimu hili jambo limekaaje
Maashaa Allaah, haya ndio ambayo Waislamu wanapaswa kufahamishwa, kuhusu uchafu wa masufi na mashekhe zao wenye fahamuza mbovu tena fahamu zao za ovyo kweli yani, na malengo maovu.
Sh. Muhammad sisi hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea dua kwa faida tunayopata. Wasichojua ni kwamba sisi tulikuwa huko kwenye usufi baada ya haqq kubainika tukaacha majafafa.
Muhammad bachu upo sawa na upo sahihi. Lkn punguza hasira, fanya kama unatuelimisha sote sio yussuf diwani. Kuna darsa yako ya swala za usiku, umeifundisha vizuri na kwa hekma sana. Allah akulipe kila la kher
Mtu mwenye Nia ya kupata ilimu safi wallah amfate huyu sheikh Muhammad bachu, kwasababu mfano wa mambo ya upande wapili an (waikristo) had kupotea yalianza hivi Kwa baadhi ya walimu kuwapoteza waislam had kufikia vizaz vyao vilivofata ndo kuanza kuabud asiekuwa Allah, Mim nampenda Mtume saana na nazifata Sunna zake lakn baadhi ya mambo wanayoyazusha watu akil yangu haiwez fata. Jazzakallah kheir sheikh Muhammad bachu
والله لقد أنصحت وبلغت النصيحة Wallahi sidhani kama hyu Jahil Yusuf Diwani atapata la kujitetea juuu ya haqqi hii uloiongeya Sheikh Muhammad. Allah akuhifadhi kutoka na kila balaaa na akupe thabat ya imani
Assalaam aleikum warahmatullah wabarakaatuh ustadh Muhammad Bhachu naomba tafsiri ya shirki kwa ahlu sunna na tafsir ya shirki kwa masufi nadhani hawajui tafsiri yake
Assalaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh,jamn sheikh wetu nyote twawapenda sana na twawategemea katka hii dini yetu kutuelimsha lakn kna kitu mm nashanga kiasi mtaniwia radhi ikiwa ntakua nmewakwaza lakn mbna kla siku iwe ni kugombana masheikh kwa masheikh Nasi jamn wengi wetu hatujasoma dini vilivyo na twatarajia nyie mtufundshe ssa kma kla siku mada niza kugombana huyu amepatia hyu hajapatia mwataka sisi tumfuate yupi Mm naona kwa mtazamo wangu yafaa hizi vtu mfanye discussion baina ya nyie kwa nyie masheikh ili mkija hapa ukumbini muwe tayr mmejadili huko kando na kupata jibu sahihi mkija hapa iwe ni kutufunza tuu Ili hata wasiokua waislam wasione nyie mwachanganya watu na dini..... samahani sana kma ntakua nmemkwaza mtu ila nahisi hata kulia nkiona masheikh kla kikucha wazozana 😢
Ooohhh kumbe shekhe wenu ufahamu wake ni mkubwa sana mpaka atoa darasa za uongo ili Afurahishe watu tuuu na kuonekana anajua sana. Kumbe ni Upumbavu ukiwa na itikadi ya kisufi. Sasa sijui na wewe ni mmoja wao au sio........??????
Hii haiwezi Isha sheikh sababu ndio Dini mtu akikosea arekebishwe na kukosea mwanadamu n kawaida shda tu ni pale aliekosea akakumbushwa hpa sivyo usawa ni huu akabishana
Wewe taar umepanga MATOKEO yako cc tunataka elimu na dalili ya hiyo elimu...... Wewe acha ujinga pambanunwa kipi kizurna kipi kibaya hapa tunaelimishwa..
lakini jua ukweli na uongo haviwezi kuwa pamoja! katika ya makundi mawili mmoja liko sawa moja haliko sawa! lakini kilicho bora kufuata kitabu na sunah
Me mara nyingi nacoment kua huyu mtoto hata kama mdogo hamumuwezi kimaarifa mpeni heshma yake kina diwan mumechokonoa jambo jipya na atawanyoosha wapumbavo masufi
Mm kwa upande wangu sioni sioni sahihi kwa namna ya pande zote mbili jinsi wanavyojibizana kwa dhihaka na kupigana vijembe jambo ambalo sio katika sunna ni vyema mashekh zetu mkakaa wote chini na mkafahamishana mm cjawahi kumuona Dr Islam akifanya hivi kwa sababu hutumia hekma kubwa Sana katika kufikisha na wapo Dr Jamil na wengine hawafanyi haya
Mimi nnatabia moja ndugu zangu Naweza nikamfikiria mtu au nikatamani nikamuone Wallahi yule mtu akatokea siku hile au siku ya pili naamimi hili liko kwakila mtu Jee Kama nitajishuhulisha na Mtume SAW muda wangu wote Mimi naamini Allah anaweza kuniruzuku kumuona kwanjia ambayo anaijua mwenyewe Msibishe Ndugu zangu
Mtu akishakufa hata baba yako au mama yako ukiwa wasema waweza kumuona akiwa kafa na wakat yupo kwa Allah jua shetan anakuchezea maana alokwisha toka ulimwenguni huwezi kumuona macho kwa uso au live hata iweje kama wewe ambavyo huwezi ukawa dunian ukaonwa na watu walioko akhera.
Kwa ninavyowajua masufi wasithubutu kufanya munaqasha wanakwenda kuadhirika mchana kweupe.......uongo unewatawala sana na hiii imesababishwa na kujiweka karibu na mashia ambao kwao uongo ni nguzo yao kuuu.... Allah subhana atuongoze sote amin
Masufi walinichekesha sana 😂😂😂😂😂😂 Mmmh yani sheikh hadi anapiga pendu 😂😂😂😂😂 astaghfirullah🤲 Wallaah sheikh zetu mko na kibarua kigumu sana. Lini mtawautoa huu ugonjwa wa masufi. Allaah atawapa quwwah amin na Qiyaama haitosimama hadi khurafiyyun warudi kwa manhaj sahihi kwanzia wao hadi makafiri amin 🤲🤲🤲 Tunawaombea sana
من راني في المنام فسيراني يقظة ولا يتمثل الشيطان بي حديث متفق عليه. Amesema mtume SAW "atakae kuniona kwenye ndoto basi ataniona wazi wazi, sababu sheitwani hawezi kujifananisha kwangu" Kama tutatafsiri hii Hadeeth kuwa mtume alimaanisha ataonekana siku ya kiama itakua ni makosa kwa sababu ya nukta mbili muhimu 1- Siku ya kiama watu wote watamuona mtume kwa dalili ya hadeeth ya "shafaa" watu wataenda kwa mtume SAW kutaka awashufaie na watamuona. Kama mtume alimaanisha wale waliemuota ndio watakao muona siku ya kiyama ina maana watu wengi wale hawakupata bahati ya kumuona Mtume SAW kwenye ndoto hawatomuona siku ya kiama? 2- Mtume ametumia nenoفسيراني يقظة na hakutumia neno فسيراني يوم القيامة
Nakumbuka Katika Hukmu Ya Talaka Tatu ni Moja na Talaka Tatu ni Tatu Hata Sayyidna Omar alikuwa tafauti na mtume.... Je Hapa Ni kuwa tafauti au kuwepo rai mpya ya Hukmu Fulani Kutokana na dhama Fulani....? Kama sipo Sahihi Allah anisamehe
Nyie ndo kama wale wafuasi wa Zumarid hamuambiliki!!! yaan alivofafanua kwa dalili na hujaelwa ebwana muombe sana Mungu akuonyeshe haki.. Uyo diwani kaongea nin zaid ya kuwazushia wanazuon.
@@hanifatanzania7258 nanyie pia mumuogope Mungu unajua zambi ya kuwazushia wanazuoni?? Warith wa mitume kuwazushia uongo unajua zambi zake?? Mbon hujaend kumshaur uyo diwani sijui mwenyekit amuogope Allah kwa kuwazushia wanazuoni wakubwa tena .
Mbona Mashekh mnasuguana nyinyi kwa nyinyi sisi tusiojua mnatuweka katika fungu gani. Na kwanini msikae chini kwa pamoja na kuelimishana? Hapa uislamu mnautia doa kwa hali ya namna hii
Mimi nashindwa kukusikilizeni maana sioni cha kusikiliza nikafaidika ikiwa shekh anamponda shekh mwenziwe kisa dhehebu huo ni ujinga. Kaeni chini muelimishe jamii kwa ujumla na sio kuzozana kwenye mitandao huo ni ulimbukeni wa elimu mnajishushia hadhi na heshima
Nyie wote ni masheik' ubwabwa siwaelewi hata mnachopeana mipasho ni nini najikuta namaliza MB zangu bila ya faida yoyote kumuona mtume au kutomuona alafu!I acheni kupumbaza watu hizi ni nyakati nyingine sna.
Huyu Diwan anasikitisha sana kwa elimu yake ndogo sana na anamuona kama sheikh Ibni Taymiya yupo kama sheikh wake wa Kisufi na hao anaowataja ni watu wa ilmu wanaoheshimika kwa watu wa hedithi na watuwa dini kwaujumla kwa ilmu sahihi na uchamungu wao
Sheikh Muhammad bachu mungu akujazi kheiri kwa ufafanuzi wako barakalahu fik
Mashaallah sheikh Muhammad Bachu.... Allah akueke mbali na kijicho!!
Kwanza kabisa namuomba ALLAAH سبحانه وتعالى ampe pepo ya Firdaws Al marhum Sheikh Nassor Bachu kwa hii elimu yenye manufaa alioicha kwa huyu kijana, Napia ALLAAH سبحانه وتعالى amlinde huyu kijana na amuhifadhi dhidi ya maadui na ampe mwisho mwema yeye na sisi, kiukweli masufi wametuharibia sana dini na wamepotezea babu zetu na wazazi wetu linauma sana hili jambo kwa mwenye akili lakini, hii ni vita nzito ameitangaza mtoto wa bachu na baadhi ya masheikh ila chakunishangaza jambo hili halizungumzwi sana na baadhi ya masheikh wanaojinasibisha na Sunna na matokeo yake tunaona namna wanavuoambatana nao hawa watu sijui kielimu hili jambo limekaaje
Jazakallah fiq.. Mimi ni mkubwa Kwa umri Ila wewe ndio mwalimu wangu.. Allah akuhifadh
Ndgu yangu kipenzi sema *jazaaka Llaahu khayran*, siyo jazaakallaah fiq, wallaahu a'alam
Maashaa Allaah, haya ndio ambayo Waislamu wanapaswa kufahamishwa, kuhusu uchafu wa masufi na mashekhe zao wenye fahamuza mbovu tena fahamu zao za ovyo kweli yani, na malengo maovu.
صح
Mashaallah
Masha Allah Sheikh wetu, Mwenyezi MUNGU akulinde akupe siha na akujaalie kila la kheri IN SHA ALLAH
Mashaallah shekh mungu akutie nguv daw yko tangu nianze kuskiliza kwa sas nimeacha usufi nilikuwa mjinga sana niliacha haki haki salafi ni njia sahihi
Allah azid kutupa hidaya ya kuona haqqi
Allah akuongoze ww na mm ktk kuiona haqqi na kuifuata al akhy!
Sh. Muhammad sisi hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea dua kwa faida tunayopata. Wasichojua ni kwamba sisi tulikuwa huko kwenye usufi baada ya haqq kubainika tukaacha majafafa.
Hivi ndivyo anavyotakiwa kua mtu mwenye akili timam.
Maashaa Allaah Baaraka Allaahu fiik
Maashaa Allah
Asante shekhe na kupenda kwa ajili ya Allah akuhifadhi na atujaalie sisi tunaokusikiliza na Hao watu wa bidaa waelewe na warudi njia iliyonyooka
Muhammad bachu upo sawa na upo sahihi. Lkn punguza hasira, fanya kama unatuelimisha sote sio yussuf diwani.
Kuna darsa yako ya swala za usiku, umeifundisha vizuri na kwa hekma sana. Allah akulipe kila la kher
Mtu mwenye Nia ya kupata ilimu safi wallah amfate huyu sheikh Muhammad bachu, kwasababu mfano wa mambo ya upande wapili an (waikristo) had kupotea yalianza hivi Kwa baadhi ya walimu kuwapoteza waislam had kufikia vizaz vyao vilivofata ndo kuanza kuabud asiekuwa Allah,
Mim nampenda Mtume saana na nazifata Sunna zake lakn baadhi ya mambo wanayoyazusha watu akil yangu haiwez fata. Jazzakallah kheir sheikh Muhammad bachu
ALLAH akubariki.
bwana muuza dawa za ngvu za kiume sikiliza vizuri hizo kauli
Ahsantum sheikh wetu, tunakuelewa vizur sana 💯
Mungu awaongoze mazindiq kama alivyotuongoza sis ahlussunnah wajamaa
والله لقد أنصحت وبلغت النصيحة
Wallahi sidhani kama hyu Jahil Yusuf Diwani atapata la kujitetea juuu ya haqqi hii uloiongeya Sheikh Muhammad. Allah akuhifadhi kutoka na kila balaaa na akupe thabat ya imani
Nyinyi niwajinga zaid shekh yusufu Diwani nimwamba kielimu wew humuwezi utaishia kumtukana tu utabaki na ujinga wako usipo muelewa sheikh yusufu diwani
أسأل الله لمدة شهر على الأقل ليقول لهذا الأستاذ أن يعلمني التوحيد ، أنوي ذلك.
Barakh Allah fikh,nimasikitiko sana kwa walimu wenye kupotesha uma
جزاك الله خير ا حفظك الله
Mohammed bachu Allah akusaidie hawa hawajasoma niwashee wa michongo tu ya Hela wataka kukupotezea mda wako
Yussuf diwani amche ALLAH tuna jua sana kuna watu wanamtuma ila akumbuke mauti na aandae majibu kwa ALLAH
Subhanallah,kumbe ndio maana wengi wao wapo kama mazuzu, يا مقلب القلوب ثبت قلوبنا على دينك.
😘😄😄😄🍉
Mungu Akuhifadhi na Akulinde sheikh uendelee kutupa vitu
Kwa Hali hii masufi Allah awaongoze na waliofariki Allah awasamehe
ALLAH sw akuhifadhi mwalimu wetu
mashallah mungu akulinde shekh
Masha Allah ! Shukrani sana kwa darsa Sheikh. Piga hivyo hivyo
Maashaallah baarakallah mungu akujaze kheri akupe umri mrefu na akupe mwisho mwema shekh
Shukran sana sheikh letu mimi naona hawa munakasha ni bure hamna watu elmu yao ndogo mtasumbuana
Mashallah shekh wetu mungu atuongeze sote na atupe misimamo ya sunna
MaashaAllah tunakupenda kwa kupambania dini ya haki Allah akulinde kwa rehma zake
Jazakallahu khayran
Assalaam aleikum warahmatullah wabarakaatuh
ustadh Muhammad Bhachu naomba tafsiri ya shirki kwa ahlu sunna
na tafsir ya shirki kwa masufi
nadhani hawajui tafsiri yake
بارك الله فيك
Masuufi ni summu ya umma huu katika ahlu sunna wal-jama'a
Tauhid na Sunna 👍🤝
Hiyo ndiyo tasnia ya Ahlul-Bidaa wal-hawaa.
Tunakuomba Shkh wetu uendelee kuyaweka hadharani maigizo yao.
Hakikisha uambiwalo, kabla uamini. Ndio ilimu ni msingi wa kwanza kwa maisha ya binadamu.
ما شاء الله بارك الله فيك يا شيخ اخوك في الله من ممباسا كينيا
كيف حال شيخنا الجليل دكتور محمد إسلام؟
Mashallaah allaah akulipe shekhe
Ivi nikweli akhy kwamba hakuna dililiyoyote juu ya vigawanyovya tauhid kama anavodai yusuf diwani?
@@RamadhaniShembillu dalil ipo Waz sema ushabik ktk dn ndo unawapoteza
Assalaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh,jamn sheikh wetu nyote twawapenda sana na twawategemea katka hii dini yetu kutuelimsha lakn kna kitu mm nashanga kiasi mtaniwia radhi ikiwa ntakua nmewakwaza lakn mbna kla siku iwe ni kugombana masheikh kwa masheikh
Nasi jamn wengi wetu hatujasoma dini vilivyo na twatarajia nyie mtufundshe ssa kma kla siku mada niza kugombana huyu amepatia hyu hajapatia mwataka sisi tumfuate yupi
Mm naona kwa mtazamo wangu yafaa hizi vtu mfanye discussion baina ya nyie kwa nyie masheikh ili mkija hapa ukumbini muwe tayr mmejadili huko kando na kupata jibu sahihi mkija hapa iwe ni kutufunza tuu
Ili hata wasiokua waislam wasione nyie mwachanganya watu na dini..... samahani sana kma ntakua nmemkwaza mtu ila nahisi hata kulia nkiona masheikh kla kikucha wazozana 😢
Mash Allah mash Allah mash Allah safi sana Muhammad bachu mwalimu wangu
Shukran wajazaakaallhu khayra.
Yusuf diwani amezoea movie za kibongo Kina kingwendu 😂😂😂
Maashaa Allah
Masha Allah
ربنا يسعدك و يحفظك من كل شر
Wazushu hawawezi kumuona mtume swalallahu aleyhi wasalam
JazakaLLAHU Kheri
Wamepotea hawa masufi maskini na hawajui , Allah awaongoze
Linalo kusumbua shekhe nililelile tatizo lenu sugu ufahamu mbovu kaa darasani ufahamishwe hujamuelewa imamu shaaraan
Ooohhh kumbe shekhe wenu ufahamu wake ni mkubwa sana mpaka atoa darasa za uongo ili Afurahishe watu tuuu na kuonekana anajua sana.
Kumbe ni Upumbavu ukiwa na itikadi ya kisufi.
Sasa sijui na wewe ni mmoja wao au sio........??????
ويا يوسف ديوان اني لا اكول انك جاهلت ولاكن اقول باب توبة مفتوحة وناس ينظرونك اتق الله مادم انت الان حي
hilo hawezi kujaribu na sio kwamba hajui anajua vizuri tu kua Hakki ipo wap
Shekh Diwani mche Allah
KWANN HAWA MASHEIKH WETU WASIKAE MEZA MOJA WAKAMALIZA TOFAUTI ZAO MAANA HAILETI PICHA NZURI KWASABUBU SISI WAISLAMU SOTE NJIA YETU NI MOJA
Hii haiwezi Isha sheikh sababu ndio Dini mtu akikosea arekebishwe na kukosea mwanadamu n kawaida shda tu ni pale aliekosea akakumbushwa hpa sivyo usawa ni huu akabishana
Hao masheikh wa bid3ah hawaezi kukaa chini Sababu wanajua uongo waliouzusha katika dini utawaletea aibu
Kweli mm naumia kuona kla siku wanazozana na dini ya Mungu kaeni mjadili mkija hadharan muwe mshamalza mkija hapa mtufunzee plz twawaombaa
DAA MTIHANI HUU MASHEIKH WA SASA
Meza moja sio tatzo tatzo nikuafqiana
Haq na baatwil hv kaipamoja
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakaatuh,
Kauli hii ya imamu mbona imeshafafanuliwa na imam bayhaqiy
Allah atuongoze waja wake
استقم كما امرت شيخنا .ويا صوف يوسف دوان اتق الله
الحمد لله الذي جعل فينا من يعرف الحق من الباطل بعد البيان الصحيح الواضح المقنع
Wazidi kuonesha upumbavu na ujinga wako katika ilimu bora unyamaze
Ww ndo unyamaze
Wewe taar umepanga MATOKEO yako cc tunataka elimu na dalili ya hiyo elimu...... Wewe acha ujinga pambanunwa kipi kizurna kipi kibaya hapa tunaelimishwa..
bahati mbaya hii sio sehemu ya mipasho
Subhaanallah .
Pole kwa kukosa akili ya upambanuzi wa mambo mpaka imefika hatua ya kumtukana anae kuonyesha njia upite.
Pole sana
Pole sana
Pole sana
Waislamu wa kweli ni wale wanaotafuta njia ya kuwaunganisha waislamu na sio jitihada za kuwagawa
lakini jua ukweli na uongo haviwezi kuwa pamoja! katika ya makundi mawili mmoja liko sawa moja haliko sawa! lakini kilicho bora kufuata kitabu na sunah
Hawagawi bali anawapa ukweli watu wanaopotosha umma
Jazaakallahu khairan
Mashaah baralau fika
ماشاءالله
Abuu Sakakina siku nyingi sio coment zako, umepotelea wapi ndugu yangu?
@@omarally6819 nipo mwalimu wangu vipi Hali lkn
Hawa ni wasanii wamezoea kucheza movie kwaiy na dini wanaipeleka vile km wanacheza movie wanyooshe mrithi wa bachu
Me mara nyingi nacoment kua huyu mtoto hata kama mdogo hamumuwezi kimaarifa mpeni heshma yake kina diwan mumechokonoa jambo jipya na atawanyoosha wapumbavo masufi
Umesema kweli akhy baaraka Allaahu fiik
Kinachowasumbua hawa jamaa ni kwamba Bachoo ni kijana mdogo na katokana na Bachoo na Bachoo alikua adui yao mkubwa watu wa bidaa.
Mm kwa upande wangu sioni sioni sahihi kwa namna ya pande zote mbili jinsi wanavyojibizana kwa dhihaka na kupigana vijembe jambo ambalo sio katika sunna ni vyema mashekh zetu mkakaa wote chini na mkafahamishana mm cjawahi kumuona Dr Islam akifanya hivi kwa sababu hutumia hekma kubwa Sana katika kufikisha na wapo Dr Jamil na wengine hawafanyi haya
Waislamu tusipotoshwe na madhehebu mnaweza mkanijibu Mtume alikuwa dhehebu gani
Alikuwa hana hayo mambo ya madhehebu.
@@ikabako2454 haya mambo tumeletewa ili tugombane wenyewe kwa wenyewe
@@alzawahirabdallah2299 kweli lakini lazima masheikh wengine kama hawa wawepo watusaidie maana hawa masufi wamezidi ujinga.
WEWE BACHU MUNGU ATAKUTENDAVIBAYA KWAHAYO UYASEMAYO WAMPIGA VITAMTUMKIASI HICHO WEWESIE WAKWANZA JAPO MIMETAWALA SAUDIA .
Unamfanya Mungu ni shemeg yako wewe nyenje!
Pumbavu zako.
Ngoja munyooshwe watovu wa nidhamu nyie vichwa vibovu
We huoni elima hpo waona vita!! Ama kweli we kipofu wa moyo
Muogopeni
Allah acheni kuropoka bila kuwana uhakika
Asalam alekum warahmatullah wabarakatu hao jamaa kuna namna husaidiwa kwa pesa njaa zawasumbua
ماشاء الله
Tulikua tunakusubiria mwamba uyu Sufi alikua anasmbua sana akili zawatu
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
Asc.Mimi niko Hargeisa,Somaliland.Mbona nyinyi MASHEKHE WA TZ mnakanyagana wenywe kw wenye.Hebu jamani suluhisheni na mkae mkijiuliza matusi nmayo tukanana.Wenzenu wanawacheka.
Shekh muhammadi bachu itaq allah
Kivipi soma uijue hakki sio kwa ushabik
allah akupe taufiki ktk daawa hii ya haki
Mimi nnatabia moja ndugu zangu Naweza nikamfikiria mtu au nikatamani nikamuone Wallahi yule mtu akatokea siku hile au siku ya pili naamimi hili liko kwakila mtu Jee Kama nitajishuhulisha na Mtume SAW muda wangu wote Mimi naamini Allah anaweza kuniruzuku kumuona kwanjia ambayo anaijua mwenyewe Msibishe Ndugu zangu
Mtu akishakufa hata baba yako au mama yako ukiwa wasema waweza kumuona akiwa kafa na wakat yupo kwa Allah jua shetan anakuchezea maana alokwisha toka ulimwenguni huwezi kumuona macho kwa uso au live hata iweje kama wewe ambavyo huwezi ukawa dunian ukaonwa na watu walioko akhera.
Mashetani hayo yanakuchezea mzeee.
😂😂😂😂😂😂.
Alafu unasema anatokea kweli jichunge sana.
@@giltaemi4017 Uelewa wako nifinyu sina vyakukueleza ukaelewa
@@canoksancomprehensivelearn7182 Sidhani kama umeelewa nilichokusudia
@@alhamdulillahalhamdulillah7529
Uelewa wako mkubwa sana mpaka majini wamekuelewa ndo maana wanakufanya uone mauza uza na kusema inatokea kwel.
Subuhanallah venye wanacheza kw hio video ni maajabu eti uko ndo kumpenda mtume
hilo wanalolifanya watakupa na hoja kabisa kwamba linafaa, miongoni mwa vituko vyao
TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 BILA BIDAA NA USUFI INAWEZEKANA 😂😂
Watu wa bida'h hawana akili wallah dah Allah mtukufu aliejuu awaongoze
MWAMBA HUYO HAPO SASA NA BADO TUNAWASUBILI KWENYE MNAKASHA MTAJUTA KUA MASUFI
Hao Wataka fimbo mpaka wanyoke
Kwa ninavyowajua masufi wasithubutu kufanya munaqasha wanakwenda kuadhirika mchana kweupe.......uongo unewatawala sana na hiii imesababishwa na kujiweka karibu na mashia ambao kwao uongo ni nguzo yao kuuu.... Allah subhana atuongoze sote amin
Masufi walinichekesha sana 😂😂😂😂😂😂 Mmmh yani sheikh hadi anapiga pendu 😂😂😂😂😂 astaghfirullah🤲
Wallaah sheikh zetu mko na kibarua kigumu sana. Lini mtawautoa huu ugonjwa wa masufi. Allaah atawapa quwwah amin na Qiyaama haitosimama hadi khurafiyyun warudi kwa manhaj sahihi kwanzia wao hadi makafiri amin 🤲🤲🤲
Tunawaombea sana
من راني في المنام فسيراني يقظة ولا يتمثل الشيطان بي حديث متفق عليه. Amesema mtume SAW "atakae kuniona kwenye ndoto basi ataniona wazi wazi, sababu sheitwani hawezi kujifananisha kwangu" Kama tutatafsiri hii Hadeeth kuwa mtume alimaanisha ataonekana siku ya kiama itakua ni makosa kwa sababu ya nukta mbili muhimu
1- Siku ya kiama watu wote watamuona mtume kwa dalili ya hadeeth ya "shafaa" watu wataenda kwa mtume SAW kutaka awashufaie na watamuona. Kama mtume alimaanisha wale waliemuota ndio watakao muona siku ya kiyama ina maana watu wengi wale hawakupata bahati ya kumuona Mtume SAW kwenye ndoto hawatomuona siku ya kiama?
2- Mtume ametumia nenoفسيراني يقظة na hakutumia neno فسيراني يوم القيامة
Toweni hoja masufi sio kumzushia mtu liwati mutasimama kwenye mahakama ya Allah
Sis tulikuw kw uwahabi ila mungu akatuongoza na kutuokoa kutokamana na shirki ya kiwahabi
ربنا يبارك فيك يا اخي العزيز استاذ محمد
يوسف دوان جاهل بمعنى الكلمة ولايعرف قيمة نفسه هداه الله وأتباعه
هههههه أحسنت يا أخي الفاضل
هههههه هههههه هههههه
هههههه هههههه هههههه من
هههههه ههههههههههه إلى يوسف ديوان
Ww Mohd bachu acha kujifanya, hio kofia yako kabla ya kurikodi cujiweke vzr kabla sasa unajiweka kofia sw ili iwe vp? Tn video zako zote
Masheikh tuacheni maneno ya kukejeli na kuitana majina.
Nakumbuka Katika Hukmu Ya Talaka Tatu ni Moja na Talaka Tatu ni Tatu Hata Sayyidna Omar alikuwa tafauti na mtume.... Je Hapa Ni kuwa tafauti au kuwepo rai mpya ya Hukmu Fulani Kutokana na dhama Fulani....? Kama sipo Sahihi Allah anisamehe
Bachu hanatafauti na Abuu Jahali alimpinga Mtume
Masufi kazi yao kuuza dawa za nguvu za kiume na kula michango ya miskiti
😂😂😂😂😂😂😂😂
Yusufu Diwani, mbona unauhakika na unachokifundisha. Unajihamihamitu unauhakika ndiyomaana unajisitu utalekebiswa ndiyomaana unatoa mikwala mingii. Allah akuongoze njia iliyo sawa. Naatujaalie mwisho mwema🤲
Nyie ndo kama wale wafuasi wa Zumarid hamuambiliki!!! yaan alivofafanua kwa dalili na hujaelwa ebwana muombe sana Mungu akuonyeshe haki..
Uyo diwani kaongea nin zaid ya kuwazushia wanazuon.
@@imamuhamisi4421 naiyazu billah. Intakillah
@@hanifatanzania7258 nanyie pia mumuogope Mungu unajua zambi ya kuwazushia wanazuoni?? Warith wa mitume kuwazushia uongo unajua zambi zake?? Mbon hujaend kumshaur uyo diwani sijui mwenyekit amuogope Allah kwa kuwazushia wanazuoni wakubwa tena .
@Hanifa Tanzania pole sana, tumekuelewa.
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. shekhe je nikweli kwamba hakuna ushahidi au dalili yoyote juu ya vigawanyo vya tauhid kama anavyodai yusufu diwani?
Mbona Mashekh mnasuguana nyinyi kwa nyinyi sisi tusiojua mnatuweka katika fungu gani. Na kwanini msikae chini kwa pamoja na kuelimishana? Hapa uislamu mnautia doa kwa hali ya namna hii
Mulio macho tupate witri kwanza, tutarejea badae
ngoja nisikilize ile waliomzuria Sheikh Abdulqadir Jailan kwamba alijigeuza mdudu akaingia kwenye jicho la mtu
Hata mimi nataka kuwa sahaba😅😅😅
Mimi nashindwa kukusikilizeni maana sioni cha kusikiliza nikafaidika ikiwa shekh anamponda shekh mwenziwe kisa dhehebu huo ni ujinga. Kaeni chini muelimishe jamii kwa ujumla na sio kuzozana kwenye mitandao huo ni ulimbukeni wa elimu mnajishushia hadhi na heshima
Nyie wote ni masheik' ubwabwa siwaelewi hata mnachopeana mipasho ni nini najikuta namaliza MB zangu bila ya faida yoyote kumuona mtume au kutomuona alafu!I acheni kupumbaza watu hizi ni nyakati nyingine sna.
Uwe na adabu na bando lako la mkopo. Sikiliza ujifunze kichwa panzi 😡
Aaaah wwe shekheee achaa uongooo
Huyu Diwan anasikitisha sana kwa elimu yake ndogo sana na anamuona kama sheikh Ibni Taymiya yupo kama sheikh wake wa Kisufi na hao anaowataja ni watu wa ilmu wanaoheshimika kwa watu wa hedithi na watuwa dini kwaujumla kwa ilmu sahihi na uchamungu wao
Sifikirii kama inamaanisha hivyo ila ni tafasiri mbovu tu, ekeni debate Kwa hoja zenu kama kina Skh Mazinge na Wakristo
Sababu wote wawili ni wanafunzi waenda kutwalii kisha waja hadharani
Waruka ruka hao sjui wana majini😂😂😂🤣