Muhammad Bachu||MANENO MABAYA YA QASSIM MAFUTA NA ABDALLAH HUMEID

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 456

  • @MohammedMohammed-y8c
    @MohammedMohammed-y8c 27 дней назад

    Tunaomba mufanye daawa zenye tija kwa Umma wa Muhammad (صلى الله عليه وسلم) na km hamuwezi tulieni kimya. Kumbukeni mnawapotezea na kujipotezea muda na mtaenda kuulizwa kwa hilo. Allah atuhidi sote. Amin.

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 2 года назад +4

    Naseeha kutoka moyoni. Ndugu yangu. Wewe MaashaaAllah ni barobaro mwenye energy na mahaba ya diini. Ni vizuri zaidi kutumia hii energy kwa njiya za kheri, njiya za kusaidia watu wajuwe dini yawo. Wengi wetu hatujuwi hata kutawadhi vizuri. Si sawa kujifanya kama judge. Judge ni Mungu pekee. Leo Sisi waislamu tuna shida mbali mbali. Si vizuri kumaliza energy zetu kutukanana. Mola akuhifadhi. Mola akuzidishie elimu yenye baraka. Mola atupe akhlaaq kama za mtumme wetu. صلى الله عليه وسلم

  • @muhammadkhamis8500
    @muhammadkhamis8500 2 года назад +3

    AHSANT JAZZAKALLAHU KHEYR SHEIKH MUHAMMAD BACHU AMA KWA HAKIKA UMEBAINISHA HAKI NA BATIL WAZI WAZI NA KILAKITU KINAELEWEKA. WALE WALIO MPIGA RADDI DR.ISLAM NI WAZI KWAMBA DR.ISLAM HAYUPO KWENYE MRENGO WAO LKN ALIPOKOSEA MWENZAO ABDALLAH HUMEID AKASEMA MANENO YA KUFRU YALE...NA PAKA LEO KINA KASSIM MAFUTA WAMENYAMAZA KIMYA KISA NI MWENZAO.ALLAH AWAONGOZE WAO NA SISI SOTE.AMIIN.

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 9 месяцев назад +1

    jazakallah kher Sheikh.
    Wallahi najifunza kwako na nimefaidika Sana tena Sanaaa.❤❤❤

  • @Is-hakaAbass
    @Is-hakaAbass Год назад +1

    Allah amuongoze, Shekhe wetu Qassim mafuta na Muhammad mafuta pamoja na mashekhe wetu wa kisalafy

  • @salehjuma3926
    @salehjuma3926 2 года назад +9

    Shekh muhammad umetupitisha vizur allah akujalie hekma katka umri wko wa daawaa

  • @rahimmbezi9936
    @rahimmbezi9936 7 месяцев назад

    Maa Sha Allah... Tunamuomba Allaah akuhifadh Sheikh wetu... Akuzidishie Ilmu na Hikma, Barakallahu Fiyk wa Jazaakallahu Khayrah

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 2 года назад +1

    Mashallah.shekh.wetu.mohammedi.nasoro.bachuu

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 года назад +2

    Mqshaallah mwenyezi mungu akuongoze zaidi nazaidi naakukinge nakilashari juuyako sheikh wetu kipenzi

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 2 года назад +3

    Wallah thumma wallah unanisikitisha sannna nikikuona unaupumbavu kma huu Ila ALLAH akuongoze INSHAALLAH

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official Год назад +1

      We vepeee

    • @HusseinHassan-p7g
      @HusseinHassan-p7g 5 месяцев назад

      Upumbavu wake nini apo unaona tatizo ulilokuwanalo ww nawenzio anachozungumza apo akuna ubaya wowote lakini ww unaona ubaya uwoni nia mzuri aliyokuwanayo uwoni shari iliyokuwepo kwasasa?

  • @LuqmanAndrew-nu9rx
    @LuqmanAndrew-nu9rx 4 месяца назад

    Leo nmekuelewa Bachu Allah akulipe kheri na akuepushie Kila la sharri

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 2 года назад +7

    Jifunze kutulia katika mada moja sheikh
    Naona maneno mengi sanaaaaaaa, mara historia, mara fiqhi, mara hadithi, mara Qur'an, yaani kimsingi hueleweki unachosomesha hasa ni kipi na kwa ushahidi upi

    • @abubakarihussen8852
      @abubakarihussen8852 2 года назад +2

      Abu jamala we ndo haueleweki ila alicho ongea watu wameelewa

    • @abubakarihussen8852
      @abubakarihussen8852 2 года назад +1

      Au nawe niwatu wa vikundi

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 2 года назад

      @@abubakarihussen8852 Haya sawa kama watu mwameelewa, labda mimi sio mtu ndiomaana sijaelewa

    • @abubakarihussen8852
      @abubakarihussen8852 2 года назад +1

      Abu jamala sio kwamba we sio mtu nimemanisha hivi huenda hukuelewa mada yake haswah alikua anamanisha nn katika jamii sawa mana kusikiza sio kuelewa unaweza sikiliza lkn usielewe mana halis upande wangu na wengine ninavyo ona sms zao naona tumeelewa mana halisi ya kuhus sarafi na makundi makundi yaliyopo kwenye dini kwa ss sawa ndugu ila sio kua ww sio mtu kama ulivyo sema ww

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 2 года назад +2

      @@abubakarihussen8852 Anhaaaa sawa, nikweli mimi sijamuelewa pamoja na kuwa nimemsikiliza, maana hatulii na jambo moja, kwahiyo ni ngumu kupata hasa kile kilichokuwa kinazungumzwa, na hasa watu wenye uwelewa mdogo kama kina sie.

  • @shabanimdimu2747
    @shabanimdimu2747 2 года назад +4

    Shekhe umemzungumzia shkh Aboud rogo rahimahullaah , tunampenda sana na daawa zake tunazipenda sana ta mpaka mpaka qiama tutazpenda

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 Год назад +1

      Sijaelewa amemzungumzia kwa heri au kwa shari manake kasema fitina za abdu rogwa kidogo niache kumsikiliza manake dawa za abdu rogwa zilikuwa si mchezo na waliomuua ni watu wa suna allah amrehemu shehe wetu abdu rogwa

    • @amirmape6474
      @amirmape6474 6 месяцев назад

      Masalafi wa mchongo wana chuki na shekhe abud rogo

  • @AshrafFauzaan-rh8gb
    @AshrafFauzaan-rh8gb Год назад

    Allah aku hifadhi na aku zidishie ilmu na taq'wa

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 2 года назад +1

    Barahiyani c nnd mmoja ktka vijoho wenzio

  • @UncleRojas
    @UncleRojas 7 месяцев назад

    ALLAH akuongoze shekh bachu

  • @أبوإسحاق-م9ظ
    @أبوإسحاق-م9ظ 2 года назад +2

    Muhammad bachu uwe na adabu uache kujionaona..
    Huna adabu..

  • @achooda4078
    @achooda4078 2 года назад +1

    Sheghe Mohammad uko sawa Allah akuwafikishe katika kila kheri inshaallah.

  • @abdul-azeezmagram4973
    @abdul-azeezmagram4973 2 года назад +7

    Wallah sheikh Mohammad imefika wakati mashekhe sasa imekuwa km wanaimba taarab mtu anasubiri sheikh flan akosee wamkosoe kwenye media sio sawa mashekh tafuteni mpango mzuri wakukosoana sio kilakitu kwenye media munatueka wakati mgumu sisi wanafunzi wenu au waislam kwa jumla

    • @fatmamuhammad7642
      @fatmamuhammad7642 2 года назад +1

      My thoughts exactly. Wamekua mina maulidi sijui na bhalo. Msiba mkubwa

    • @khalidhaji8570
      @khalidhaji8570 2 года назад +1

      Msiba mkubwa.

  • @shariffahmad7880
    @shariffahmad7880 Год назад +1

    wewe ustadhi umri wako mdoo sana usijiingize kwenye laana ikawa umepotea sana mswalie sana mtume kisha muombe allah akupe njia sahihi kwa baraka ya sheikh muhammad nassor ambaye jina lake kama lako
    allah atakuhifadhi inshaallah

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 Год назад +1

    Wewe mwenyewe tunahisi unavuta bangi. Tunapima maneno yako ni bangi bangi. Hiyo ndio da'waa gani Kwa Waislam!!!! Subhaanallah!!!!

  • @aishaalizubeir7964
    @aishaalizubeir7964 2 года назад +2

    Allah akuhifadhi kaka yetu..sheikh wetu allah akupe taufiq ww na masheikh wngn.amiin

  • @abubakarykivo7366
    @abubakarykivo7366 9 месяцев назад

    Sheh bachu ALLAH akuweke inshaaallah

  • @OfficialAbdulrashedalhilaly
    @OfficialAbdulrashedalhilaly 2 года назад +1

    ASEMA UKWELI KILA NINVYO ZIDI KUMSIKIZA HUYU BWANA NAELEWA MASHALLAH
    UJITIE TUH HUNA AKILI RABDA AU UWE NA TAASUB LAKINI MUHAMMAD BACHO KASEMA UKWELI WALLAHI

  • @abuutamiimattanzaaniy8676
    @abuutamiimattanzaaniy8676 2 года назад +2

    لا هلك من هلك إلا بحب الرياسة "hakuangamia aliyeangamia, isipokuwa (ameangamia) kwa KUPENDA KUWA JUU (KUPENDA UKUBWA)
    ibn Bachu kiti ulichokalia kimekuzidi, waache wanaostahili wakae

  • @khalfanibona3120
    @khalfanibona3120 Год назад

    Tumekuelewa sana ALLAH AKULINDE na kila SHALI

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +6

    Maashallah Allah akutimizie hazimayako mpendane na msameeaane mnatuyumbisha sisi tusiejua Namuomba Allah awakutanishe mashehe woote mumalize tofauti zenu lnshaallah 🤲

  • @muktazimbuyu6569
    @muktazimbuyu6569 2 года назад

    Shekh Mohammad Allah akuhifafhi,,umezungumza ukweli tupu

  • @ericksaid5327
    @ericksaid5327 Год назад +1

    Allah akulinde hakupe maisha marefu ameen

  • @Dr.SheikhIBRAHIMSAID
    @Dr.SheikhIBRAHIMSAID 11 месяцев назад

    Dr. Khamis Imam ni mwanafunzi wangu...😨 Subhana Allah twamombea Mungu Hidaya..

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 года назад +1

    Wallah sheikh Mohammed bachu mungu akubariki hili Jambo la abdallah humeid liliniudhi nilikosa Raha siku mzima niliposikia na nilipo comment wakaja wafuasi wake Fulani ati hatuna elimu jamani hivi mwenye elimu hua hivi kweli mm nilimtoa thamani kabisa kuanzia hio siku subhana llah munggu awape uongofu masheikh msikizane

    • @IbraahimSkochi
      @IbraahimSkochi 6 месяцев назад

      Usiongee usioyajua utaja ulizwa cku ya qyama

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 года назад +1

    Mashalla sheikh naomba nijue utaratibu wa darasa zko msikiti wa masingin nije inshallah

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 года назад +1

    Hali hiyo masheikh mtatuchanyanya na kutuvuruga ht sisi mahamuma ambao ALLAH akutujalia na kuwa na Elimu

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 года назад

      Hawa sio masheikh ni mabangi tu Hawa masheikh haswa waliokuwa wachamungu hawalumbani hata kwa bahati mbaya

    • @jumakumala1337
      @jumakumala1337 2 года назад +2

      @@maryamalli9090 lkn hatushangaa kwa haya mn Rassullullaih aliyatabiri yt hya akisema nyakati za ulimwengu kuelekea kuisha dalili hizi zitatokea , Mashee kugombana , Dini kuonekana mapya , inchi kwa inchi kupigana , watoto wa zinaa kukithiri , watu kula riba sn na kadhali , la msingi nikusimama tu ktk SUNNA na QUR'ANI tu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 года назад +7

    Dahh kwa kweli shekh muhammad bwana unaonekana unasoma sana saiv ni mjuz wa mambo
    Mungu atakuhifadh inshaaalah

  • @skozamsai2654
    @skozamsai2654 2 года назад +7

    Sasa hivi dini inafanyika youtube sana kwa kuwa mwapata pesa kuliko kwenda vijijini kuwalingania watu waingie kwenye dini ya haqi. Allah atuongoze inshallah

    • @salmyhussein6255
      @salmyhussein6255 3 месяца назад

      RUclips kunaelimisha watu kuliko kwenda huko, kwa sababu ambaye Yuko kijijini ataelimika na ambao wako mjini pia wanaelimika

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 2 года назад +5

    ALLAH akuhifadhi na akuzidishie ilmu na akubariki

  • @HamdaniMmbaga
    @HamdaniMmbaga 5 месяцев назад

    Masha Allah nimekuelewa vizuri sa na sheikh

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 года назад

    Mwenyezi mungu atakunusuru na kilashari yaarab

  • @Kapunyu
    @Kapunyu 2 года назад +1

    Asalamu aleikum Sheikh mimi naona kwa maoni yangu binafsi japo mimi sio shekh lakini naona haya mambo ya ubishano wa mashekhe wetu mwishowe yataleta mfarakano na hata kufikia mambo ya visasi au kutumiana ugomvi wa kivutana,wazo langu ni kwamba inhekuwa ubora kuwe na maelezo ya fatwah kutoka dar al ifta iliyoundwa huko saudi arabia iwe ndio marja3iya ya mambo mengi yanayoleta ubishi huku kwetu,nina hakika itasaidia sana.
    Wa Jazaak Allah Kheir.

  • @upangaalasharyy1807
    @upangaalasharyy1807 2 года назад +1

    Mashaallah m/mungu akujaalie uwe mrithi wa marhoom shekh Nassor Bacho Rahimahullah

  • @abdallasaid9348
    @abdallasaid9348 2 года назад +2

    Umaarufu utaupata Muhammad bachu...

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 года назад +1

    Hakuna mwanadamu ambaye hakosei. Wanadamu tuheshimiane na tujiepusheni kutukana Waislamu kwa kuwa Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ametufahamisha kwamba ni ufasiki. Na Allah ndiye anayejua zaidi.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 года назад +9

    BACHU UNATABIA YA KUJICHANGA SANA,
    ABDALLAH HUMEID YUPO SAHIHI
    SHIDA ILM YAKO KTKT JERH WATAADIL IPO KUSHOTO!!
    ACHA KUWATETEA WATU WA BID'A!
    ETI MAULIDI BID'A NDOGO!!UNAJIDANGANYA,,
    RUDI DARASANI!!

  • @abdulazizshadau2595
    @abdulazizshadau2595 2 года назад

    Mashallah sheikh ila usiseme ni watu wazuri huwo ndiyo ubaya wao wanapenda ugomvi sanaaa na ubishi nakujitukuza sanaaa hilo ndilo tatizo Lao

  • @saidmohammed2830
    @saidmohammed2830 2 года назад +2

    ليس الإنسان إن حرست مسليما حلق الإنسان عداوة أحرار mungu akuhifadhi shekh Mohammed bachu

  • @zaharahassan7873
    @zaharahassan7873 2 года назад +4

    Na wewe pia uache upuuzi
    Ilo neno wachana nalo ujadidaujadida wachana nao Wallah humfikii Qasim mafuta kiilimu ww Hata Robo

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 2 года назад

      Hatujaja kushindana elimu,m/mungu ndie anaemjua nani yuko juu kielimu lakini kinachotakia kua haki iwe juu kuliko mapenzi ya mtu.

    • @saidikhamis9747
      @saidikhamis9747 Год назад

      Zahara wewee.

  • @samiraomar8743
    @samiraomar8743 2 года назад +1

    Kuwa na subra sheikh wetu Wal uskubal kuxhindwa mung akupe nguv na uvumiliv kwn ata mtume wetu alipata vikwazo vingi

  • @jumamohamed5229
    @jumamohamed5229 2 года назад

    Asnt sana al akh ujumbe umefika ALLAH akujaalie upunguze misimamo na uongee hakki kma hivo

  • @lutasitafasi9627
    @lutasitafasi9627 2 года назад +1

    Kaka Bachu.. hhh.
    Allaah akusaidie.. na akuongoze.

  • @omarishaq6183
    @omarishaq6183 2 года назад +1

    Sheikh Ahmad Muhammad Msallam wa kenya alifariki mwaka 2020 mwezi wa tisa..Allah amrahamu

  • @mwasemajuma7171
    @mwasemajuma7171 2 года назад

    Allah akuongoze katika njia ya sawasawa, ufuate sunna ya sawasawa sio hiyo ya kina Barahiani

    • @mkude
      @mkude Год назад

      ALLAH AMLINDE NA AMPE UMRI MREFU SHEIKH SALIM BARAHIYAN

  • @muhyidinalinoor6249
    @muhyidinalinoor6249 Год назад +1

    KAA NA ADABU NA UHESHIMU MAULAMAA.......

  • @RashadMurshidMussa
    @RashadMurshidMussa Год назад +1

    Allah akuhifadhi sheikh

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 2 года назад +1

    Maa shaa Allah Shukran Wajazaukum llahu khayra

  • @ahmedshkeli85
    @ahmedshkeli85 2 года назад +1

    Umezungumza vizur Allah akuhifadhi

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 2 года назад +2

    Nimekupenda kwa ajili ya ALLAH AKHIYL KARIM..ALLAH AKUAFIKISHE KTK NIA & ADHIMA YAKO☝🏻

  • @MohamedHassan-xp5uw
    @MohamedHassan-xp5uw 2 года назад +1

    Kijana mwanafunzi Muhammad bachu zidisha kutafuta elimu…bado sana

  • @mtotowalindichinga4418
    @mtotowalindichinga4418 2 года назад

    Nakukubali shekhe Ila umeniboa kusema fitina ya aboud logo aboud logo.akuwa fitina yupo.katika haki kabisa

  • @alfajahussein9074
    @alfajahussein9074 2 года назад +1

    Shekh kwamaneno yako ya Imani mashaallh

  • @leilaomar252
    @leilaomar252 2 года назад

    Allah akuhifadhi akuzidishie ilmu akukinge na viumbe waovu wanaokudhania maovu,akufikishe katika malengo ya kheri na kuthibitishe pamoja na wema Aamin

  • @saidali5964
    @saidali5964 2 года назад +1

    Mimi namshuru Allah kikao Cha kufikiria masher wanavo lumbana nimuhimu kuelewana dini yetu haitaki farka masher mwapoteya na Moto unawasubir badilikeni

  • @AbdallahSimba-x5f
    @AbdallahSimba-x5f Год назад

    Hizi tofauti zetu zitatuchelewesha sana hiyo mafuta mwenyewe unaemtaja kasoma tamta karibu masheikh wote was kisunna wamesoma kwa Hawa masheikh Hawa Hawa wa dufu

  • @alimasoudali8273
    @alimasoudali8273 2 года назад +1

    Maashallah sh.muhammad naomba unielekeze hiyo hadithi iko ktk kitabu gani ktk hivi vidogo ninashida nayo

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 2 года назад +16

    My dear brother. You are young, enthusiastic and energetic MaashaaAllah. You love your deen. Please let us use our talent and resources to what will benefit us and benefit fellow Muslims and mankind. Life is too short. Please don’t loose manners towards fellow Muslims. Try to do what is beneficial. May Allah guide you and me and all humanity

    • @omarahmad7561
      @omarahmad7561 2 года назад

      Oiuii

    • @omarahmad7561
      @omarahmad7561 2 года назад

      I'm I getting this email

    • @artanahm3389
      @artanahm3389 2 года назад

      Its a delicate balance if all ahlu sunnah sheikhs are the polite ones that dont answer back on the evils of ahlu bidah, how will the mass know? we need his style to balance the bulk of our ulama's. Someone has to answer back with enthusiasm. I dont see any problem. Allahu yaalam

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 Год назад

      You are very right brother. This young man is wasting time in arguments and accusations against Muslims. What he is saying here in the internet has nothing to with Islam. May he tries to boast himself Infront us through media.

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 2 года назад +1

    Sheikh Mohammed niko pamoja na wewe,Suluhu ni jambo analolipenda Allah,ikiwa Lina Radhi za Allah,kuna mambo ya heri nilikuwa nataka nikufuate tuyazungumze,sijui nitakuonea wapi?,Barakallahu feek,Amin

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 Год назад

    جزاك الله خير

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 года назад +1

    Allah akuhifadh kwa jitihad zako
    Mohammad Bachu
    Ww n shekh kijana pambana na usawa Hakkı!
    Allah hamlet 3alim ila kwa makusudıo maalum

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 2 года назад

    Shekh.upo.vizuri

  • @uptop0018
    @uptop0018 2 года назад +4

    Watu hawapendi Salaf na ndo haqq ndo njia yako ya kuingia peponi Allah atujaalie tukuwe masalaf alathar Ameen ya rabb my brother fil islam my advice for you is to stick with sunnah and people of sunnah Allah akuongoze wewe ndugu Muhammad bachu na wenzako Allah awaongoze kwenye haqq

    • @abubakarmgaza9270
      @abubakarmgaza9270 2 года назад

      ustadh Allah na mtume wake wanakutaka kuwa muislamu sio salaf acheni makundi na kujiona bora kuliko wengine hivi mnajua mnachokifanya ni ubaguzi ambao mtume alituhusia sana juu yake na kuupiga vita??

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 Год назад

    Naam mwendo wa kupigana madongo,
    Allah atuongoze ktk hakki

  • @ummuhjuma7595
    @ummuhjuma7595 Год назад

    Jamani kujigamba haifai na kusema mwenzio Kando n kubaya Zaid,yafaa mpambane wenyewe Wala msitangaze online,haifai

  • @mwinshehenassib4853
    @mwinshehenassib4853 2 года назад +3

    Hivi mtume s.a.w alikua kundi lipi na sisi tumfuate.?
    Assalam alayqum

  • @abuuhandhalah4954
    @abuuhandhalah4954 2 года назад

    Allah akuzidishie hirsa na atufanyie weoesi

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 2 года назад

    Mhmmm ALLAH akuonyeshe Haji maana kwkwel UENDAKO c kuzur

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 2 года назад +1

    Asiyeshirikiano nao hawamtaki sasa kama wao wako na haqq kwanin usishirikiane nao wakutake....Allaahul mustaanu.....

  • @khamisalimohamad8308
    @khamisalimohamad8308 Год назад

    aibu iyo kama imefikia apo ila inshaallah Allah awajalie umoja.

  • @zuenabakari8484
    @zuenabakari8484 2 года назад +1

    Katangazeni dini vijijini kusikokua na muamko wa dini kuliko kupigana vijembe mitandaoni maana nyie mashekhe wote mnaotukanana mitandaoni ni kwasababu haki na batili mnazijua laakin kama kuna watu vijijini haki haijawafikia vipi nyie mnaoijua haki na batili kazi ni kutukanana tu angalieni saana juu ya hilo lnshaa Allah

  • @salimmuhsin9907
    @salimmuhsin9907 Год назад

    She muhammad mm naomba namba yako nijifunze kutoka kwako

  • @abynduwimana1767
    @abynduwimana1767 Год назад

    Naaama kila lakheri akhe

  • @mohamedkudura8114
    @mohamedkudura8114 2 года назад +3

    Hicho nikibri cha ELIMU,huwezi kusema hakuna mtu MWENYE ELIMU zaidi yako.

  • @أبوإسحاق-م9ظ
    @أبوإسحاق-م9ظ 2 года назад +1

    Sjaona katika haya maneno isipokuwa kibri uwe na adabu wewe Muhammad Bachu..

    • @tamashamagoma2941
      @tamashamagoma2941 2 года назад

      Kasema baya lipi Tena? Tuache chuki zisizo na maana

    • @أبوإسحاق-م9ظ
      @أبوإسحاق-م9ظ 2 года назад

      @@tamashamagoma2941 wwe inaonesha hujamsikiliza lakini ukimsikiza utajua hata adabu za kufunzwa nyumbani tu hana... Na hii njia anayopita WaAllah hafiki popote huyo labda kuzidisha fitna...

  • @AbdullahHussein-p7t
    @AbdullahHussein-p7t Год назад

    Usimwingile ustadh mafuta sisi niwanafunzi wake fanya hishima nayeye

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 2 года назад +3

    Kwan kusoma kwa mtu wa sunna nndo kuwa mtu wa sunna , wew baba yako (Nassor bachu) alikuwa ni mtu wa sunna na wew umechukuwa elimu kutoka kwake lkn wew maskini c katika mtu wa sunna

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 года назад

    Allah akulipe heri kuwambia ukweli hawo masalafiya jadih

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 2 года назад

    Minadhani tatizo Lenu Mawahabi ni uwelewa tu? Baasi ,,, mengine mko vizuri,, ttz lens ni kwenye mafhum

  • @AthumanJuma-hg2cl
    @AthumanJuma-hg2cl Год назад

    MUNGU MKUBWA akurind

  • @RashadMurshidMussa
    @RashadMurshidMussa Год назад

    Hao wanapenda umaarufu, nawachukia sana mie... Wamekosa habari ya mjini.. wananikera...

  • @feisalfarsy6562
    @feisalfarsy6562 2 года назад +3

    Gonga nondo sheikh mashallah

  • @abdallasaid9348
    @abdallasaid9348 2 года назад +3

    Huyu mwalimu kweli au Muhuni tuu.
    Umemsikia akisema... (EBOO!! NDIO HAMUJUI APO)...akiwambia apo mtihani huu.

    • @yusuphwm
      @yusuphwm 2 года назад

      Acha jazba kijana😂, asa hapo kuna kosa gani

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 2 года назад

      @@yusuphwm tulieni nyinyi mahzibi uyu dogo ajierewi mara aenda uku mara aende uku.weye tafuta ukubwa

    • @yusuphwm
      @yusuphwm 2 года назад

      @@khaalidcheo5383 hizo zote ni chuki za kuona kijana mdg amewazid kiilm, na isitoshe hakuna watu wenye dharau na kujiona kwamba wameshafika peponi kama nyie masalaf jadidah kumbe ni upuuzi tu😆🚮🚮🚮, muogopeni Allah na wacheni kuwadharau waislamu wenzenu... Wacha kwanza kijana awape ilm ya adabu maana mumekosa adabu ninyi, Kaz kukufurisha waislamu wenzenu 🚮🚮🚮😏

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 2 года назад

      @@yusuphwm katika watu wanae chekesha basi ni wewe eti kijana anaerimu 🤣🤣🤣 sasa elimu ipi iyo yakulopoka asiyo yajuwa.uyu anaerimu kwa weye ulie mjinga.lakini kwa masarafi twamuona mjinga ata mimi niliekua na elimu ndogo kabisa bado namuona kati ya wajinga mana anamakosa mengi yazaili yamemzunguka na tunayaona.bimana nimjinga kabisa

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 2 года назад

      @@yusuphwm uyo atafuta ukubwa eti akae nao wazungumze wazungumze nini sasa.ye aona dini kama siasa vile.

  • @mruppercut7985
    @mruppercut7985 2 года назад +1

    Umeanza kuchanganya mwalimu wangu mwanzon nilikuwa nakukubali ila Sasa unanipa mashaka. Unafikra za KIKHAWAARIJI halafu nishakuona unatafuta kuonekana akhy fanya daawa acha zogo..

    • @annurmohamedi9824
      @annurmohamedi9824 2 года назад

      Khawaariji ni nani?? Qassim kaleta fitna kubwa sana kwa waislam?

    • @mruppercut7985
      @mruppercut7985 2 года назад

      @@annurmohamedi9824 fitna yake ni kusema ukwel aliwah kuongopa wap? Ikiwemo kutanabaisha ata ubaya wa Hawa makhawaarij.. kosa lake ni kusema ikiyo kweli ndio mnasema kaleta fitna. Veep hao wanatangaza ukhawaarij wazwaz?

  • @idrissashabani-gx2vb
    @idrissashabani-gx2vb Год назад +1

    Shekhe mm nakupenda kwaajili ya Allah

  • @ahmedshkeli85
    @ahmedshkeli85 2 года назад +3

    Shekh anapopita ni kueka Sawa baadhi ya maeneo sijaona kama ana zungumza vibaya. ILa ukiingiza chuki kama huta huskilza kwa lengo la kufahamu utaona ni maneno mabaya .
    Allah akulipe kher na akuhifadhi na kila baya la siri na dhahiri.

  • @ahmedhusseinshnoor1210
    @ahmedhusseinshnoor1210 2 года назад

    unaweza kutaja mwanachuoni mmoja alisema dhambi zingine ni mbaya zaidi kuliko Biddah ???

  • @ahmedjuma2674
    @ahmedjuma2674 2 года назад +1

    Na we we hukusudii kheri hata moja kwan barahiyan humjui kuwa alidai ribu kwa asimia 7%

  • @rajabusaidi9343
    @rajabusaidi9343 2 года назад +11

    Mbn katika maimamu wa nne walitofautiana lakin hawajafanya kama wanavyofanya mashekh zetu tatizo nn

    • @swalehjamal4867
      @swalehjamal4867 Год назад +1

      Tatizo tunazua mambo ambayo hayapo katika dini ndio unaona mitihani ya kujibizana hayaishi

    • @maalimjaffar5563
      @maalimjaffar5563 Год назад

      Ttzo ni hawa masheikh wapya,mabaleghe.

    • @amerwelder7786
      @amerwelder7786 Год назад

      Mashekh wa saiv wanajuwa sana na wachamungu sana

    • @asalafiyahhussein7767
      @asalafiyahhussein7767 Год назад

      Hao ma imam wanne tofauti zao hazikuwa katika bidaaah ,usieke sheria katika dini ya Allah ni uzushi

  • @ibrahimabdi3559
    @ibrahimabdi3559 2 года назад +1

    Maashalah, may Allah grant your father highest, heaven.....please endeleya kufundisha umma mambo ya dini, na inshaalah Allah will grant you the highest honor, na mungu akulinde.

  • @saidwawa5158
    @saidwawa5158 2 года назад +1

    Una majungu sana sana

  • @mulasaid2959
    @mulasaid2959 2 года назад

    sheikh hatutaki mada kuzipandia pandia toa mada na hoja zitakazo gonga nyoyo za waislamu na wasio waislamu

  • @saidhaji1858
    @saidhaji1858 2 года назад +1

    Kijana antafta umaarufu kwa kasi moja mbaya sana. Ila utamponza sannaaa.. Coz Hajielewi.
    Na mwisho wake utakja kuutetea had Usufi. Anaanza kdgkdg t..

  • @abbdulqadirelajmy3391
    @abbdulqadirelajmy3391 2 года назад

    TATIZO NIKWAMBA NYINYI MNAOJIONA WASOMI WAKISUNNAH NYOOTE MNACHOTAFUTA NI UMAARUFU WALA NDANI YAKE HAMNA DINI ,MAANA FATWA ZENU MNACHUKUA KWA MASHEKH WALA C,KTKA QUR,AN NA SUNNAH ,NA MTAKUFA NA UJINGA WENU WALA HAMTOSIKILIZANA KWA SABABU LENGO LENU C,DINI , HAKUNA MUISLAM ATAEFUATA UISLAM WA QUR,AN NA SUNNAH KISHA USIKUBALIANE NA WAISLAM WENZAKO, UO MNAOUHUBIRI NYINYI NI UYAHUDI ,HAMNA TOFAUTI NA MAKAFIRI WENGINE ,MMEJIFICHA TU KTKA KUVULI CHA UISLAM HAMNA ZAIDI YA ILO,