Wah..jamani muungane, msutuumize sisi subhanallah. I love both sheikhs. They are both strong in their own way. They should sit together to guide us. Humeid nilikuwa nadhani nimYemeni hata kiswahili hakijui.... Very dissaponted in him. I listen to suratul Maryam daily by Abdallah Humeid. He has to come back from this. Sheikh Yusuf simwimbaji. He reaches some people who need to be reached... Kama ni mazoezi, kama ni sadaka, kama ni vijana wa mtaa... Common guy.. mwatuuwa na mwatutengenisha bure. Simameni pamoja. We need our leaders united.
Twamjuwa vzr Sheikh Yuusuf Abdi ....elewa vzr alichokikusudia....hufai hata kuitwa sheikh....Nadhan ww ndio mwimbaji na mropokaji!!...kama ww ni miongoni mwa eti wasomi,basi umma uko hatarini😢😢😢
ALHAMDULILLAH KWA NEEMA YA UISLAM, ILA MASALAFI MNGEKUWA NA NAFASI YA KUCHAGUA WANAOBAKI KTK UISLAM NA WANAOTOKA, MNGETUPOKONYA NA UISLAM WENYEWE ILI MBAKIE NINYI PEKEE.
Kwa hakika hakuna mwanadamu ambae ni mkamilifu: hata wewe uliueposti hii voice una mapungufu, pia namimi ninayo mengi sana, lakini jaribu kutumia kile ulichojaliwa katika hiyo elimu kwa namna ivyostahiki,, unawakosea waislamu wenzio: PIA YAPO MAMBO YA MSINGI YA KUELEZEA NA SIYO KUWASEMA WATU MNAKERA: PIA MNAUHARIBU UISLAMU... sisi tunasoma kwenu sasa nini tuakisoma kutokakwenu?
Allah SA atupe hidaya badili tuwatie ndugi zetu katika dini ya uislamu sisi twapijilizana wahabi mara sufi mara pamba twagawanywa na sisi twafuata. Kwa nini tupigane mitandaoni?
Hajakosea kabisa yaani .waislamu tumelalaaa .NA HII NI KW SABABU YA NYIE MUNAOJIITA SALAF KUPINGA JIHAD .MNALAZA AKILI ZA WAISLAMU. MTUME HAKUWA ZUZU BHANA! QUR AN ILIFUATWA ,SUNNA ZILIFUATWA NA MAENDELEO YALITAFUTWA. HAJAKOSEA KABISA HUYO MNAYEMSEMA MUIMBAJI.
Wewe Abdallah Humeid huna akili hata kidogo, nadhani kuanzia wewe mpaka mwalimu wako ni wajinga sana na elimu yenu haina manufaa hata kidogo, yaani baada ya kuwalingania waovu waache unaanza kuwagawanya watu kwenye umoja wao. Hivi kuna aya au hadithi inayosema tufarakane? Na kama haipo wewe unafata kitabu gani na hadithi gani. Nyingi mnao jiita masalafi ni wapumbavu sana .
Ndonjia ya kukosoa hio aliyoifanya mtume Muhammad s.a.w. nyie ndosababu ya dini ya Allah kudharauliwa na makafiri. Yan mnaelim hamjaelimika mmezidi kuwa wajinga
Huyuu Abdallah humeid ni mlevi nyinyi hamujui tu ,maana sifa ya walevii kwanza hupenda sifaa kisha huponda wengine 😂😂😂 yaani huyu ni mlevi kabisaa . anaongeaa pumbaa tupuu
Wah..jamani muungane, msutuumize sisi subhanallah. I love both sheikhs. They are both strong in their own way. They should sit together to guide us. Humeid nilikuwa nadhani nimYemeni hata kiswahili hakijui.... Very dissaponted in him. I listen to suratul Maryam daily by Abdallah Humeid. He has to come back from this. Sheikh Yusuf simwimbaji. He reaches some people who need to be reached... Kama ni mazoezi, kama ni sadaka, kama ni vijana wa mtaa... Common guy.. mwatuuwa na mwatutengenisha bure. Simameni pamoja. We need our leaders united.
Haki lazima ibanishwe. Yusuf Abdi ni muimbaji anae sifu makafiri
Wallah siku ya Qiama kuna kazi kubwa sana
Twamjuwa vzr Sheikh Yuusuf Abdi ....elewa vzr alichokikusudia....hufai hata kuitwa sheikh....Nadhan ww ndio mwimbaji na mropokaji!!...kama ww ni miongoni mwa eti wasomi,basi umma uko hatarini😢😢😢
Manhaj aalaf no haqq
Mnatabia mbaya sana alafu mnafata mikumbo ya masheikh wenu
Shekh acha husda shekhe yusuf yuko vizur humfikii kwa lolote
Alhamdulillah sasa watu wameanza kuona hili kundi la kiwahabi salafiya wachwara ni project za America kuuharibia uislamu jina
Allah anaweza kytuondosha soote na alete viumbe wapya
ALHAMDULILLAH KWA NEEMA YA UISLAM, ILA MASALAFI MNGEKUWA NA NAFASI YA KUCHAGUA WANAOBAKI KTK UISLAM NA WANAOTOKA, MNGETUPOKONYA NA UISLAM WENYEWE ILI MBAKIE NINYI PEKEE.
Wambie wasuudia khabari hizi sio shekh yusuf abdi na wafanya makosa kumita mwimbaji kwaajili yakutowa nashidi kwa sauti mzuri hawo wanasoma qurani kwasauti mzuri tuwaite waimbaji fanya hishima nadini wacha hassad na shekh yusuf abdi
Walevi suufi
Tangu lini mwimbaji akaenda fanya daghwa
Nyie kama wanaume mumfate mumkosoe akiwepo
Sijui nisemebola ambaye hajasoma maana mnashindwa kukaa kuelekezana mnaponda
Kwa hakika hakuna mwanadamu ambae ni mkamilifu: hata wewe uliueposti hii voice una mapungufu, pia namimi ninayo mengi sana, lakini jaribu kutumia kile ulichojaliwa katika hiyo elimu kwa namna ivyostahiki,, unawakosea waislamu wenzio: PIA YAPO MAMBO YA MSINGI YA KUELEZEA NA SIYO KUWASEMA WATU MNAKERA: PIA MNAUHARIBU UISLAMU... sisi tunasoma kwenu sasa nini tuakisoma kutokakwenu?
Banae hii ni dini sio utawala anae kosea ambiwe saidna abubakar aliambiwa na alitaka kuambiwa atakae kosea hambiwee
Masheikh wa kikweli hawatoani makosa mitandaoni. Na sioni kosa hapo
Na mashekhe wa kweli hawa wasimangi waislamu wenzio na kuwasifu makafiri,
Huna elimu ndomana huoni kosa
Yan sufi huyo ni mjinga wa mwisho anaetegemea watu kua bila wao hatuishi mbwa yeye hafikirii vizuri anahisi allaah hawezi kuumba watu wengine ni nani
Kawaida ya ilmu chache nikuboboka mwacheni aboboke
Mambo mengine siyakupost darsa hii ya kawaida tu huyu mtu hakukosea
Chuki tu zimeenezwa
Wataka kupostiwe nini Sasa, wewe hujui ndomana huoni kosa
Allah SA atupe hidaya badili tuwatie ndugi zetu katika dini ya uislamu sisi twapijilizana wahabi mara sufi mara pamba twagawanywa na sisi twafuata. Kwa nini tupigane mitandaoni?
Hajakosea kabisa yaani .waislamu tumelalaaa .NA HII NI KW SABABU YA NYIE MUNAOJIITA SALAF KUPINGA JIHAD .MNALAZA AKILI ZA WAISLAMU.
MTUME HAKUWA ZUZU BHANA! QUR AN ILIFUATWA ,SUNNA ZILIFUATWA NA MAENDELEO YALITAFUTWA.
HAJAKOSEA KABISA HUYO MNAYEMSEMA MUIMBAJI.
ENDELEENI KULINDA UFALME KWA MSAADA WA MAREKANI NA MAYAHUDI TU MAENDELEO MMESHIKIWA NA MAKAFIRI
Kama mwimbaji mbona mwamtilia manani,zindukeni jamaa sio kila saa twakosoana tuu😢
huyu ana HASAD
Natamani hawa wapuuzi vyombo vya dola viwazime mdomo
Siku zote mtu wahaki lazima achukiwe
Siyo maneno machafu bali huo ndio ukweli,yaani hata dawa twategemea kwao.
huyu mbwa hafai hata kusikilizwa mshenzi huyu
Mbwa nani
@@dawatul-salafi129 humjui mbwa alozungumza happyekwa kejeri na kuadharau wenzake? na kuabandika vifuniko wenzake kwa dharau?
Huyu humeid ndio tunamuita mbwa haswa mbwa koko
Huyu humeid haweza raddi ata mtu akinya mavi yake chooni 😂😂
Mbona hivi jamani kama huna lakusema afadhali ujiunge na anushud uwe munshid kuliko kujitolea maneno hayana kitwa wala maguu
Acha kuongea ujinga wewe
Waha jamaa wanakula ndumu?
Wewe Abdallah Humeid huna akili hata kidogo, nadhani kuanzia wewe mpaka mwalimu wako ni wajinga sana na elimu yenu haina manufaa hata kidogo, yaani baada ya kuwalingania waovu waache unaanza kuwagawanya watu kwenye umoja wao. Hivi kuna aya au hadithi inayosema tufarakane? Na kama haipo wewe unafata kitabu gani na hadithi gani. Nyingi mnao jiita masalafi ni wapumbavu sana .
Hapa hapana sabbu ya kuradd na ww bwanamkubwa alimradi tu. Hizi ni chuki binafsi
huyu anaye tukan waatu ni shetani au unweza kumuita mbwekaji huyu ssawa na mbwa sijengine ni hasadi muto wajahanam ndo mashukiyo yako
Ndonjia ya kukosoa hio aliyoifanya mtume Muhammad s.a.w. nyie ndosababu ya dini ya Allah kudharauliwa na makafiri. Yan mnaelim hamjaelimika mmezidi kuwa wajinga
Huyuu Abdallah humeid ni mlevi nyinyi hamujui tu ,maana sifa ya walevii kwanza hupenda sifaa kisha huponda wengine 😂😂😂 yaani huyu ni mlevi kabisaa . anaongeaa pumbaa tupuu
Kila panapo makosa lzma pakosolewe ndo ulivyo uislam sio kunyamza kimya ndugu
Uwongoo huwoo sio uislamu munaoufanya nyinyi Bali hizo ni njia za walevii wapuuuzi nyie
Uwachafue waislamu wenzako alafu useme ndio uislamu! Munataka kumdanganya nani ? Nyinyi ni walevi tu
Hata mtume swalalah aleyh wasalama aliitwa mjinga
sio mlevi tu bali jibwa mwitu, ni mshenzi mbwa hili halifai