USIJARIBU KUMTONGOZA HUYU MWANAMKE - SIMULIZI YA KWELI YENYE KUSISIMUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 245

  • @Nuru8700
    @Nuru8700 Год назад +23

    Kwakweli hii sio simulizi ni kisa chenye ukweli kabisa asante anko jay na muandishi kwani haya ni maisha ya watu tunayo ishi❤❤❤

  • @AishaHussein-w5c
    @AishaHussein-w5c 2 месяца назад +1

    Ndio anko jay tunajifunza kwa simulizi hii japo maisha yetu ya kila siku ndiyo maana najua ni vigumu kutoka nje ya hali hiyo kwa sababu ya familia za wachawi kutumia uchawi kupata utajiri lakini wanalipa maisha yao mwisho na pia unapoamua kukuacha unakuwa na sisi kila wakati Tunalazimishwa kuolewa na wazee na wanapeana Tesika Sana Asante Sana anko jay simulizi nizuri Sana yenye mafunzo migi asente ally mbetu ❤❤🎉

  • @getrayakoyi9185
    @getrayakoyi9185 Год назад +3

    Ndugu zangu tuombeane Kila wakati atujui ya kesho huyu Binti Jehova amurehemu Kwa kweli ni ngumu na inauma sana pole sana Binti pokea amani Kwa jina la yesu kristo usikate Tama songa mbele Kwa Imani mungu alikujua tangia tumboni mwa mama Yako🙏🥀🌹❤️🙏🕊️

  • @StellaMalando
    @StellaMalando 6 месяцев назад +3

    Duuuh pole sana jamn hapo nimejifuza kitu ktk hii simulizi

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 10 месяцев назад +2

    Daah pole sana tuangaliehe na wanaume wakuolewa nao sio sili ,🙏

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 Год назад +3

    Pole Sana Dada shatani Hana huruma kabisa na mafanigio ya mtu lakini mungu ni mwema siku zote shatani ni muwaji baba wa uongo.

  • @fransiscafransisca3883
    @fransiscafransisca3883 Год назад +5

    Hiii wapenzi wa anko jay simulizi ❤❤❤🎉🎉nawapenda pamoja sana

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Год назад +9

    Nimechelewa tena daah kwa kweli ANKOJAY tunajifunza mengi sana mungu hawabariki woote APEWE MAUA YAKE ALLY MBETU🌹🌹🌹

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 Год назад +8

    Bac Leo nimechelewa kidogo Ila naombeni like zenu tafadhali 😂😂😂

  • @johnkuma6867
    @johnkuma6867 Год назад +1

    Anko Jay asanti sana kwa hii simulizi ya leo. Inahuzunisha na pia ina mafundisho makubwa kumbe unaweza ukao au ukaolewa na mtu wa nuksi. Inaogopesha🇰🇪

  • @NasraJuly
    @NasraJuly Год назад +2

    Anko j mungu akupe maisha marefu yenye aman na furaha❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +3

    Asante sana anko Jay zidi kubarikiwa sana Jabali wetu King 👑,umenikumbusha hilo neno mume wetu nilikuwa nalipenda kukometi hadi nikasutwa na baby love,na Alex ❤❤❤❤🎉🎉 congratulations 👏👏👍 my dear good job tunaisubiri kigongo kingine mungu atujalie uzima daima twakupenda sana

  • @sumeiyamaddy95
    @sumeiyamaddy95 Год назад +2

    Haya mambo yapo kwel mungu atustiri mtihani wallah pole sana

  • @violetmulya
    @violetmulya Год назад +15

    Since I have arrived late, let me just send love to everyone here, feel loved ❤❤ ankojay and all story writer's we really appreciate your love 🙏🙏🙏❤️❤️❤️ because we have learned so many things through the story you bring each and every day and we are still learning more, thanks so much may almighty God bless the work of your hands ❤️

  • @MaSI-p5o
    @MaSI-p5o 3 месяца назад

    Mungu akuahalie heri na safari nzuri ya maisha amina

  • @patriciakyalo3454
    @patriciakyalo3454 Год назад +2

    Ever late 47 what a wonderful day God has granted us wana ankol jay simulizi na pia Mungu akubariki anko jay na ally betu

    • @Syviahalex
      @Syviahalex Год назад

      Usijali dia

    • @patriciakyalo3454
      @patriciakyalo3454 Год назад

      Dear huwa nahisi vibaya nikichelewa 😃😃🥺

    • @Syviahalex
      @Syviahalex Год назад

      Tuko wengi, pia mm huwa nachelewa, samtimes

    • @patriciakyalo3454
      @patriciakyalo3454 Год назад

      insha'Allah dear bora tupate funzo kwa kila simulizi

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 Год назад +4

    Teem anko j simulizi 😊🇴🇲🇴🇲🇴🇲tujuwane

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f Год назад

    😊😊😊 usema kibuyu uka nikumbusha babaangu asema wajuwa vile vibuyu vya waganga huwa wakausha majongoo watia na makaa kisha mtu yuwapewa anywe nikacheka sana mungu amrehemu babaangu thanks anko j

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Год назад +75

    Hi wapendwa?leo wa 1 naomba link zenu ❤ ata 10 Yan ahsante AnkoJay Acha ni 🪑🎧 nii join

    • @japhetaverin-ou9rp
      @japhetaverin-ou9rp Год назад +5

      Hongera🎉❤

    • @girukwishakaclaudine5374
      @girukwishakaclaudine5374 Год назад +4

      Ankojay Mungu wetu wambi akuzidie kipaji chako zaidi pamoja na Ally mbetu ❤

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu Год назад +2

      Aamin Shukran za dhati ziwafikie ntoye team Anko J,,,,,ongera sana Ali Mbeto Mungu azdi kukupa furaha na uzma

    • @SalhaSule
      @SalhaSule Год назад

      ​@@girukwishakaclaudine5374Q

    • @IreneMwenda-nl2hu
      @IreneMwenda-nl2hu Год назад +3

      Kiukweli mijitu mizima ila akili zakitto badala msikilize stort then mtoe maoni kamanzur mbaya au imekufundisha nn ila mpobize wakwanz mm wanyoko mnatukela san kuwen bhn sasa itakuwa aina haj yamaoni

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Год назад +2

    DR.AMBE NA ANKOJAY .HAMJAMBO 😊 LEO NIMECHELEWA ILA HAPAJAHARIBIKA JAMBO .WACHA NIENJOY MIE

  • @nashaldy1804
    @nashaldy1804 Год назад

    Duh! Hini risto nlikuwa nikiipita kila nikiiona kumbe nzuri hvi.thnx anko j

  • @brillianodhiambo
    @brillianodhiambo Год назад +1

    Listing from Kenya but sielewi nano "EDA" naomba maana ya eda tafadhali...the story is so sad..Shukrani sana Uncle Jay kwa simulizi

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg Год назад

      Kwa mujibu wa dini ya kiislamu unapofiwa na mume wako kuna likizo unafaa kukaa kwa mda.wa miezi3 na siku 10 bila kujishughulisha na jambo lolote la ki mahusiano including makeups baada ya hapo kuna maombi utafanyika then unakuwa free na maisha yako

  • @elizabethmuhati8758
    @elizabethmuhati8758 7 месяцев назад

    Pole bint Mungu akusaidie tafuta maombi ya nguvu.

  • @violetmulya
    @violetmulya Год назад +3

    Duh, watoto wa watu hua wanayapitia mengi kwa kweli, ila tuamini tw mungu yupo wachawi sio wazee

  • @ColethaMwenda-qd1ck
    @ColethaMwenda-qd1ck Год назад +4

    Sijachelewa jamn naomben like na mm😂😂😂😂

  • @Jasminehamisi29
    @Jasminehamisi29 3 месяца назад

    😢😢😢😢inaumiza sana dunia hii kuna watu wabaya sana jaman unakuta wanakufa au udumu😢😢

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 Год назад

    Ankojay na tumu yako hongera mm sitaki ukemweza. Ali mbetu shikamoo na mpendwa Sana shaka ww umezidi noma na nusu jamani shikamoo baba nawapenda mnooooooo

  • @LindaRobson-qn1br
    @LindaRobson-qn1br Год назад

    Jaman kwa Anko tunainjoi duuuh Asant Anko tunakupend kun mda nawaz bila we ingekuwaj man kun mda upo boad ila kwa ank unajukut unainjoi tuuuuu💝💝💝💝💝

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 Год назад +4

    Thank you Anko Jay God bless for everyday lessons 🥰🥰🥰🥰😍😍😍

  • @khadijaali9861
    @khadijaali9861 Год назад +2

    Pole dadangu .mungu akuzidishie uvumilivu

  • @MercylyneLwindi
    @MercylyneLwindi Год назад +2

    Nimefurahia mungu haachi walio wake

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od Год назад

    Sawa Asante natamani simulizi zote usimulie wewe nakuelewa mno Ila wengine mmmmh

  • @Nasra-t7k
    @Nasra-t7k 4 месяца назад +2

    haya mamb yapo mimi mwezenu naolewa mwaka sifik nachika bila sababu za msing nishafikisha doa 4 had sasa nnahof yakuolewa tena kila siku naachwa mm😢

  • @hawrashabani2102
    @hawrashabani2102 Год назад +1

    Wow thank you inko je napenda sana simulizi zako shukrani

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 Год назад +1

    Asante anko Jay kwa simulizi nzuri

  • @mariammsemakweli7904
    @mariammsemakweli7904 Год назад +1

    Anko jay simulizi mzuri kweli mbwana ujafa ujaumbika asante sana ❤❤❤❤

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Год назад

    He pole da Mariam Asante Anko j na Ally mbetu lna mafunzo pia nzuri

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Год назад +2

    Asante sanaa ankojay kwa simulizi hii bomba kweli kweli kweli 🔥🔥♥️🔥😂

  • @olyoly9992
    @olyoly9992 Год назад

    Waah hii simliz ni nzito sana duu kweli uchawi upo asante anko jay kwa hii simliz

  • @tenaaaten8470
    @tenaaaten8470 Год назад

    I'm lessening from Kenya ❤❤ good story

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 Год назад +2

    Ankol jay mungu akubariki sana...kila jambo lina mwisho wake simulizi nzuri sana imenifunza sana ❤❤❤

  • @isabellachizi4346
    @isabellachizi4346 Год назад +2

    Let but I can't stop listening you anko j❤❤❤❤❤

  • @RehemaJuma-xl2xx
    @RehemaJuma-xl2xx Год назад +1

    Leo nimewahi asante anko jay mwenyezi mungu awajalie umri mrefu

  • @zainabjordan5659
    @zainabjordan5659 Год назад +3

    A sad story 💔 but we learn a lot, God bless you

  • @FathelaFy-hj4jn
    @FathelaFy-hj4jn Год назад

    Asante..ilakuna.kituhuwa.napenda.sana.kufanyia.kazi.kamandoto.nazifatilia.sana.ayipaswi.kuzizalawu

    • @PetyAssenga
      @PetyAssenga 4 месяца назад

      Kwani izo nukta za kz gan kwani ujui kutenga maneno☹️🤔

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 Год назад +1

    Thank you Anko J pole da😊

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 Год назад

    Aiseeee nimechelewa xn but tuko pamoja ankoj ❤❤😊

  • @SidBrand
    @SidBrand Год назад

    Nice story much love from rock city buzuruga ❤❤❤

  • @everlynmbondo-yh1rm
    @everlynmbondo-yh1rm Год назад

    Safi sana anko J

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 9 месяцев назад

    Jamani ni nzuri sana japo inaumiza sana😭😭😭😭

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c Год назад +1

    Nimependa simulizi jamani Ako nakupenda sana lve story❤❤❤

  • @sahhgdsag4949
    @sahhgdsag4949 Год назад +1

    ❤❤❤ safi saaana qnko tunakifuza pia

  • @jeffykuria2853
    @jeffykuria2853 Год назад

    Nimejifunza kitu hapa asante

  • @MargretMumbi-o8b
    @MargretMumbi-o8b Год назад +1

    Nice job bro🎉🎉🎉1

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 Год назад +6

    Yani wapenda kuchelewa siku hizi my booo😢😢😢

  • @GiftyTarimo-zb1ez
    @GiftyTarimo-zb1ez 9 месяцев назад

    Anko j unajua kuximulia vizur xana bro hongera xana

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 Год назад

    Anko jay mwenyewe, golden voice 🥰🥰🥰

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 Год назад

    Asante dr Amber

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Год назад

    😢😢😢Inahuzunish na inafundisha pia.! Asnte Anko Jay 👌🎉🎉

  • @issanuru9552
    @issanuru9552 Год назад +1

    Twende kazi anko jay❤❤❤🎉

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 Год назад

    Shukran san

  • @fatmamasoud1398
    @fatmamasoud1398 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤ Asante anko jey

  • @nasramgula8870
    @nasramgula8870 Год назад

    Nakupenda sanaaaaaa Anko Jay jmnii maana unajua kunisisimua n stry zako

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn Год назад +1

    Mungu awabariki sn

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 Год назад

    Lol binaadamu wabaya kweli tusimuamini mtu yoyote katika hii dunia watu kazi yao kumshirikia MUNGU tu...Anko J shukra pamoja na mtuzi wako ❤❤❤

  • @alinaaa-e2s
    @alinaaa-e2s Год назад

    Asante kaka anko jay pamoja na Ali mbetu kwa simuliz nzur ingawa niwamwisho lakin Sina hofu

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 Год назад

    Kheee my zangu jamani munajua Kuwai Kongole Anko Jay mau yako kwa sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Год назад

    Asante anko jay hujawahi kosea

  • @JaredAywayo
    @JaredAywayo Год назад

    Haya mambo ni ya kweli kabisa, tumewahi kuyashuudia

  • @MizaHaji-cd1zl
    @MizaHaji-cd1zl 3 месяца назад

    Poleee sana ila hizi ndoa jmny daah😢😢

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 Год назад

    😊😊atimaye Leo nimewai no 1 asante Ally mbetu na ankojay

  • @MarimGodifrey
    @MarimGodifrey 5 месяцев назад

    Pole sana

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    Ndah kweli mtihani pole sana mariam na asate sana ako Jay

  • @ireenramsey951
    @ireenramsey951 2 месяца назад

    Napendaga simulizi za hivi anko jay anasimulia vizuri kabisa sipendagi kusikiliza zilizoandikwa Binti sijuh nani napenda zilizoandikwa vichwa vya habari ili nijue kabisa ndani ya simulizi Kuna nini

  • @JamilaHango
    @JamilaHango 7 месяцев назад

    Nais kugusa life yangu😢😢

  • @FaridaRajab-ce7ed
    @FaridaRajab-ce7ed Год назад +2

    jamani nizuri sana japo inaumiza sana😢😢😢😢😢

  • @jokhajj
    @jokhajj Год назад

    Acha tuinjoy😊😊

  • @SumaOmary
    @SumaOmary 2 месяца назад

    Dah aiseeh 😢😢😢

  • @FatmahIbrahimu
    @FatmahIbrahimu Год назад

    Wa kwanzaaaaaa mauwa yangu🎉🎉🎉🎉

  • @salmasasha
    @salmasasha Год назад

    Asante anko jay❤❤❤

  • @haleemahhamisi2534
    @haleemahhamisi2534 Год назад

    😂😂 mmbo yametaradadi ❤❤❤acha nijiliwaze n sauti tamu y Anko j 🎉🎉🇸🇦🇸🇦🪑🎧🔥🔥

  • @maggiesadock
    @maggiesadock Год назад +2

    Duniani kuna mengi kweli 😢❤

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Год назад +1

    SAUTI YA ANKO JAY CHANGANYA NA SAUTI YA MAFUA............. ACHA NINYAMAZE NISIKILIZE😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      😂😂😂😂😂 ukorofi huo

    • @zuenahz5514
      @zuenahz5514 Год назад

      @@ankojay_ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lkn huo ukorofi una ukweli ndani yake

    • @zaynabbahatisamwel-tv6sn
      @zaynabbahatisamwel-tv6sn Год назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @suzanachambo4206
    @suzanachambo4206 Год назад

    Nimecheewa mmmmm❤❤❤

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 Год назад +1

    Amazing story ❤❤❤

  • @JulesIshimwe-dz6ps
    @JulesIshimwe-dz6ps Год назад

    Inasikitisha sana!!!!

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 Год назад

    Hiii imeenda asante sn anko wetu

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 Год назад +2

    Mwanzo wa matamshi Yako Anko Jey Asante upo sahibi, let's enjoy the story ndio nirudi tena❤

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 Год назад

    Nimewahi❤❤❤😂😂😂ahsante anko Jay wewe

  • @ShafiiNjinju
    @ShafiiNjinju 2 месяца назад

    Duuuuh siopoa

  • @FadhilMohamed-d5i
    @FadhilMohamed-d5i Год назад

    Jamani Ankojay watupa kitu roho inapenda yaani big up broo I salute you and your work is amazing. Ali mbetu kongole kwa simulizi hizi za mafunzo na kuvulia kofia kwa uandishi wako mahiri

  • @jacintahsulubu5602
    @jacintahsulubu5602 Год назад

    ❤❤❤❤❤ wow n tam

  • @hamisashabani7884
    @hamisashabani7884 Год назад

    Daaaaaaa kama mm yariyo nikuta inauma sana

  • @vinchystyles1675
    @vinchystyles1675 8 месяцев назад +2

    39:28 hahah et islael mtoa roho za wanaume!

  • @CeciliaChuwa-q2k
    @CeciliaChuwa-q2k Год назад

    J❤❤❤jamni nimewahi nipe kopa

  • @jamilarimo5546
    @jamilarimo5546 Год назад +1

    Nimewahi leo

  • @MatugaMzumbwe
    @MatugaMzumbwe Год назад +1

    Imeni sisimu sana 😱

  • @Kanezamartine5884
    @Kanezamartine5884 Год назад

    Wawooooo 🎉🎉🎉🎉

  • @رزيكيحسن
    @رزيكيحسن Год назад

    Nime wahi leo❤❤

  • @AishaNestor
    @AishaNestor 9 месяцев назад

    Yimeni sisimua jamniiiiiiiiiiiii 😢😢😢