SIMULIZI YA KUSISIMUA - KAFARA YA NDUGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 205

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 8 месяцев назад +20

    Kazi nzuri kaka,listening from Kenya(Eldoret),much love.

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 8 месяцев назад +12

    Asante anko jey nimewahi Leo 🎉🎉🎉🎉 🎧🎧🎧🎧🪑🎧🪑🎧

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 8 месяцев назад +12

    listening 🎧 from kenya

  • @twinse2392
    @twinse2392 8 месяцев назад +9

    kiukwer unatupatia sana naamini uneweza kuteka hisia zetu kweri wee ni msimuliaji sauti imetulia simnzili nzuri sana karibia zote kikweri simlizi zako nzuli sana

  • @naomibonareri3618
    @naomibonareri3618 8 месяцев назад +12

    Naogopanga simulizi kama izi. Lakini Acha nijikaze much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤

  • @usterbae
    @usterbae 8 месяцев назад +21

    Kazi nzuri sana ankojay i really appreciate your effort may God bless you🙏

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 8 месяцев назад +11

    Asante sana anko jay kwa simulizi nzuri tuna jifunza mengi kutoka kwa simulizi zako mashabiki naomba like zenu🙏

  • @alyerungaantoinnet7851
    @alyerungaantoinnet7851 8 месяцев назад +6

    Wow na mimi poa leo❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉 🇨🇩🇺🇸

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 8 месяцев назад +8

    Watatu Leo thanks ankojay 🥰🥰

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 8 месяцев назад +6

    Wow mzigo mpyaa huuuo salute 🫡 ankojay jaman 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kwa kutuburudisha na kutuelimisha tunaakupenda sana

  • @NdyamukamaEdmund
    @NdyamukamaEdmund 8 месяцев назад +3

    anko j nakupenda sana asante kwa kutupa simulizi nzuri na za kipekee

  • @MatuaminiNgloriya-qm9jp
    @MatuaminiNgloriya-qm9jp 8 месяцев назад +10

    Jamani alhamdullah Niko muwakwanza leo🎉

  • @SalomeAyubu-d8p
    @SalomeAyubu-d8p 8 месяцев назад +15

    Imeikubali xn hii simuliz

  • @lisazainabu3626
    @lisazainabu3626 8 месяцев назад +26

    Wakwanza nipeni like zangu 🎉🎉🎉

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 8 месяцев назад +21

    Wakwnza lke zngu tusikikize iyo kafra ya ndugu

  • @AishaHussein-w5c
    @AishaHussein-w5c 2 месяца назад +1

    Asante Sana anko jay simulizi nizuri Sana king wa sauti 👑👑👑❤❤

  • @EpimackChami-g2f
    @EpimackChami-g2f 8 месяцев назад +43

    Kma una mpend anko jay gonga like

  • @Beathasimon
    @Beathasimon 8 месяцев назад +5

    Nyie iki chuma kizuri em tusikilize then tutor like Kwa anko j wetu 🎉🎉❤❤

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 8 месяцев назад +14

    Yan sijachelea bado Acha ni 🪑🎧 KAFALA YA NDUGU 🙏

    • @johnlema8107
      @johnlema8107 8 месяцев назад +1

      Vc,,, ,,,
      Bm vv,,,,,, ,,vvvn x ,
      N

    • @aishaoman7738
      @aishaoman7738 8 месяцев назад

      LllL0lpp​@@johnlema8107

    • @SusanNeema-re3hr
      @SusanNeema-re3hr 8 месяцев назад

      ​@@johnlema8107 ww unaandika lunga gani mana hata sielewi kwkweli😂😂😂....ila ankojay kiboko sana ubarikiwe anko❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😊

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 8 месяцев назад +5

    Shukurn 🙏 Ankojay wetu 🙏

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 8 месяцев назад +8

    Hatimae ancojay leo katukumbuka we love you ❤❤❤

  • @CharlesOwino-nm9nx
    @CharlesOwino-nm9nx 8 месяцев назад +5

    Kweli Duniani kuma mambo.... Kua uyaone

  • @MitreMenea
    @MitreMenea 8 месяцев назад +11

    Wakwaza leo jamani😊

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 8 месяцев назад +3

    Asanteeee Anko jay ❤️

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 8 месяцев назад +8

    Aiseee hii ya kafara icwe ya kutisha maana ctalala uck 😢😢😢 mie ....Ankojay mungu akubariki xn

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 8 месяцев назад +2

      Bra iwe ya kutisha ndo itakuw nzr ckuiz hatuletei za kutisha

    • @agnesagnes5288
      @agnesagnes5288 8 месяцев назад +1

      @@Babyfaty-m3y mchana itakua bora but uck weeee cn m2 karibu nami mie 🤣🤣🤣🤣

    • @ashakache
      @ashakache 8 месяцев назад

      ​@@Babyfaty-m3y😂😂😂

    • @SusanNeema-re3hr
      @SusanNeema-re3hr 8 месяцев назад +2

      Mwambie mwezawako akupe kubato utalala vizuri si eti...agnes😂😂 kubato la joto ❤🎉🎉🎉🎉

    • @agnesagnes5288
      @agnesagnes5288 8 месяцев назад

      @@SusanNeema-re3hr aaaa wapi mi cn m2 bana Niko single 🤣🤣🤣 aliniaaja juu ya ubusy wa simulizi za Ankoj 🤣🤣binti Lisa ikiiza nitamlejesha 2

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 8 месяцев назад +5

    Kazi nzuri Anko 😅asante sana🎉🎉🎉

  • @shazimna
    @shazimna 8 месяцев назад +17

    laik zenu jaman

  • @BinchaBacar
    @BinchaBacar 2 месяца назад

    Obrigada, asante simulizi nzuli sana 🇲🇿❤ gostei

  • @PendoMsofe-d8t
    @PendoMsofe-d8t 3 месяца назад

    🎉🎉 Ankojay umetisha

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph 8 месяцев назад +2

    Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri, usisahau bado tuko pamoya,Ankoo much love ❤.

  • @SimonElias-z1u
    @SimonElias-z1u 2 месяца назад

    Kazinzur kk🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sheddmusic47
    @sheddmusic47 8 месяцев назад +1

    Binti lissa kusema ukweli ni nzuri sana tatizo ndefu sanaaaaaaaaa!…..

    • @stellanestory458
      @stellanestory458 8 месяцев назад +2

      Niliishia kusikiliza sehemu ya 45, siku nikiona imeisha nitasikiliza tena polepole😅😅😅

    • @sheddmusic47
      @sheddmusic47 8 месяцев назад

      We acha TU me nimechokaaa😂😢

    • @cadeaualiza
      @cadeaualiza 7 месяцев назад

      Eeee na mimi hivo hivo nimeishiya 62 tuu, nikiona mwisho njo ntitasikiliza zingine zifwatazo

  • @IRENEMENGI
    @IRENEMENGI 8 месяцев назад +16

    Khaa asee watu hamlali 😢😢 basi nipeni like ivo ivo

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 8 месяцев назад +1

    Anko jay kiukweli unastali hongera sana tangu niazekuckiliza simulizi zako nimejifuza mengi sana🎉🎉

  • @saudamwakunemwa3856
    @saudamwakunemwa3856 8 месяцев назад +8

    Wamwisho kila siku bt na mm nipeni like😮

  • @JohanithaAsimwe-tl3ox
    @JohanithaAsimwe-tl3ox 24 дня назад

    Simulizi zako nizur San ankojey ❤❤❤❤❤❤❤

  • @sheddmusic47
    @sheddmusic47 8 месяцев назад +2

    Hii stori noma sana nimeipenda sana

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 8 месяцев назад +8

    Jamani na mm nipo voo nasoma tu commet hakika leo umetuletea cha kulalia🤗

  • @AhlamAlly-rt7hl
    @AhlamAlly-rt7hl 8 месяцев назад +9

    Watatu mwenyewe

  • @nelly-r6v
    @nelly-r6v 3 месяца назад

    Asante ankojay kwa story tamu❤❤❤

  • @ignatiussewe9742
    @ignatiussewe9742 8 месяцев назад +6

    Anko sante mzee baba

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 8 месяцев назад +11

    ᴷᵃᶠᵃʳᵃ ᵗᵉⁿᵃ😮😮😮

  • @patriciakyalo3454
    @patriciakyalo3454 8 месяцев назад +13

    Bona haina sauti 😢

  • @NurahMummy
    @NurahMummy 8 месяцев назад

    Eeeh munguu wetu....Ally mbetu mwamba hii simulizi ina mafunzo jaman...Senkyu #Anko jay❤

  • @nemamwachepha1545
    @nemamwachepha1545 8 месяцев назад

    Haya tupe Anko J mapesa asante sana chukua 🎉🎉🎉🎉

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 8 месяцев назад

    Mashaal asant sana 93❤❤

  • @RakaPk
    @RakaPk 8 месяцев назад

    Mh jamani maisha yana mambo mengi Asante sana anko jay wetu kwa kutujali kaka barikiwa sana ❤🎉🎉

  • @Official_ree0
    @Official_ree0 8 месяцев назад +3

    NIMEWAHI leo uwiiiih😂🙌

  • @crestian8343
    @crestian8343 8 месяцев назад

    Asantee sana nimefurahishwa na maswali ya masala nimecheka bt niya huzuni sana tuombe sana

  • @EuniceEunice-d4o
    @EuniceEunice-d4o 8 месяцев назад +3

    Kafara tena😢😢

  • @ashakache
    @ashakache 8 месяцев назад +5

    Naomba like pia mm ❤❤😂

  • @nyangasa-f8p
    @nyangasa-f8p 8 месяцев назад +7

    Mimi apawakwanza jamani mua nahuruma jamaniii😢😢😢

  • @ayubonyando
    @ayubonyando 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤ Simulizi nzuri sana Aisee

  • @abdalaRashidy
    @abdalaRashidy Месяц назад +1

    Dunian kunameng San nayanatisha san

  • @GfddGgft-kq9ym
    @GfddGgft-kq9ym 5 месяцев назад

    Very goooood

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 8 месяцев назад

    Shukran Ankojay kwa simulizi nzuri sana zenye mafunzo zinatuelimisha sana❤❤❤❤

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 8 месяцев назад

    Amazing voice ❤❤❤❤

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 8 месяцев назад

    Ahsante bwana anko Jay simulizi

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 8 месяцев назад +2

    Wale wenye wamesisimka na kichwa hiki cha simulizi tujuane hapa😢 asante anko wetu Mungu akufanyie wepesi kwakila jambo inshaAllah ❤❤🙏

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn 8 месяцев назад

    Love you uncle ❤️ 💙 🎉

  • @Martha-uu9mb
    @Martha-uu9mb 8 месяцев назад

    Loo!! Hii simulizi ni tamu kweli anko ❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @JuliethAndrew-zj1ss
    @JuliethAndrew-zj1ss 8 месяцев назад +6

    🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @JulianaYusto
    @JulianaYusto 8 месяцев назад +7

  • @sofiwind630
    @sofiwind630 8 месяцев назад

    The voice 😍 👌 duu

  • @MercyNabwile-si5wu
    @MercyNabwile-si5wu 8 месяцев назад

    Wow good Anko Jay❤❤❤❤

  • @HawaMilanzi-o8l
    @HawaMilanzi-o8l 8 месяцев назад

    Minapendaga sana sauti yako ukiongea kama edi

  • @HidayaHamis
    @HidayaHamis 8 месяцев назад

    Tumuombe mungu atupe mioyo yakutosheka nna atujalie mwisho mwema

  • @AshaShomary-o4g
    @AshaShomary-o4g 5 месяцев назад

    Hongera sana anko jay nafurahia sana simulizi zako, ukweli mm ni shabiki yako mzuri wa simuliz za kutisha

  • @AmalMwinyi
    @AmalMwinyi 8 месяцев назад

    Oooh ally mbetu hakika story zake zinanisisimua sana

  • @bettywayera8501
    @bettywayera8501 8 месяцев назад

    Masalu ni mjinga ange enda Church ,ankoj simuliz ni ya kusisimua sana.

  • @Oumaymahmm
    @Oumaymahmm 8 месяцев назад

    Anko Jay naomba chagua zawadi ambayo unayo itaka nku zawadie kwa kazi ❤❤❤yako iyo ya tafsir

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 8 месяцев назад +5

    Yaani nimekeraka na huyu masalu 😊😊 yaani unajua kabisa unaingia Kwenye shida lakini hujali Kisha wafanyiwa vitu vikibwa kushinda wedzake sasa hapo kamsaidia mamake ama ndo kumzidishia matatizo

  • @AishaNanzua
    @AishaNanzua 8 месяцев назад

    Napenda simulizi za hivi mm ❤❤❤❤

  • @NuruAbdullah-h7g
    @NuruAbdullah-h7g 8 месяцев назад

    Alhamdullah kwa wazaz wang kulidhia khali zao😢😢😢😢😢

  • @aliionlinetv8397
    @aliionlinetv8397 8 месяцев назад

    Ni aina ya simulizi ninazozielewa❤ big up kwako mkuu

  • @mummyrukaya6666
    @mummyrukaya6666 7 месяцев назад

    Anko jay wenyewe❤❤

  • @FrancoMlelwa
    @FrancoMlelwa 3 дня назад

    Haya ndio maisha.🙏

  • @MafuruMajige
    @MafuruMajige 4 месяца назад

    Dada pole xana kwa magumu uliyopitia

  • @Purity-u7n
    @Purity-u7n 4 месяца назад

    Nice ❤

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 8 месяцев назад

    Yan nachelewa Kila siku watu wanalala RUclips daaah 🪑🎧 kafara ya ndungu Kwa kweli inauma😢😢

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 8 месяцев назад +4

    ❤❤❤

  • @riziki321majutonimjukuudha9
    @riziki321majutonimjukuudha9 8 месяцев назад

    Kweli aok jy maisha ya siku hizi wegi wategemea Sana hayo mambo kwakutaka utajiri

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 8 месяцев назад

    Very stor so much ❤❤

  • @twinse2392
    @twinse2392 8 месяцев назад

    waooo nzuri sana

  • @Yusra728
    @Yusra728 4 месяца назад

    Duh! Kweli Duniani kuna mambo

  • @HaptyBae
    @HaptyBae 8 месяцев назад

    Sawa ankojay😂

  • @DortheaMaria-ti5er
    @DortheaMaria-ti5er 8 месяцев назад

    I’m so sorry for our brothers for having all the problems of his father I can’t forgive my father a cruel parent for doing this to end his children oh my god you are the one who knows everything you yourself are in the corner yes I know everything Jesus Christ my father is cruel to us he has a very bad desire he has a bad attitude 😢😢

  • @SwahibaMawazo
    @SwahibaMawazo 8 месяцев назад

    Ank jy nakupenda bule kak angu unasaut nzur saan daah

  • @JuliethAndrew-zj1ss
    @JuliethAndrew-zj1ss 8 месяцев назад +8

    Wakwanza

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 8 месяцев назад

    Kukupendatu anko jay ndio kitu najuaga🇴🇲🇴🇲

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 8 месяцев назад +1

    Akojay mapesa wewe mm nitazidi kulalamika😂😂 Lisa part 58plzzzz hii simulizi tamu na hii unatisha sana😭😭

  • @LilianMpangamila
    @LilianMpangamila 6 месяцев назад

    Asante anko J

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela 3 месяца назад +1

    Kma kweli duniani kua utaone yafirauni heri kulala najaa kuliko utajiri wa kinafiki😢😢 na nilijua tuu mtaninya likes 😢

  • @cleopatrafedrick
    @cleopatrafedrick 8 месяцев назад

    napenda sana simulizi zako anko jey

  • @JasminRobert-qd8cl
    @JasminRobert-qd8cl 6 месяцев назад

    Swadaktakita..kaka..

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 8 месяцев назад

    Hongera anko J 🪑🎧

  • @GfddGgft-kq9ym
    @GfddGgft-kq9ym 5 месяцев назад

    Job.nzur bila d mbili huwez ukaelew hy simuliz

    • @GfddGgft-kq9ym
      @GfddGgft-kq9ym 5 месяцев назад

      Jamn mkuyn sehem gan mm mwenyew nipo maeneo ya mkyn mbn huy monika simuone duuh

  • @JaneSanga-b5n
    @JaneSanga-b5n 8 месяцев назад

    Jamn nimewah wah 😅😅😅😅

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 8 месяцев назад

    Nipo anko baba sijapitwa 😂😂❤❤❤

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 7 месяцев назад

    🔥🔥🔥👌