RUSHWA YA WACHAWI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Wengi huamini rushwa hufanyika sehemu zenye huduma muhimu za kijamii ambazo humfanya mtu apate huduma haraka. Lakini nina imani watu walikuwa hawajui kuna rushwa nyingine inayopelekea mtu kufa au kuteseka kutokana wachawi waliomroga humpa mganga wakijua ana uwezo wa kumponesha mtu wao.

Комментарии • 179

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 Год назад +4

    Jamani anko j 😊 ivi usha lamba asali halafu ukapewa chai haina sukari. tumetoka kwa X halafu rushw.....😮

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq Год назад +25

    Hata mm nimewah leo jaman naomben like zenu wapendwa na anko Jay chukaa maua yako f 💐 🎉🎉❤❤❤

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi Год назад +4

    Yani wamemuandama kweli uchawi wanafanya wao alafu wanamsingizia mtoto khaa yapo haya tunayaona mitaani mwetu mungu atamsaidia nauyu nae mjomba anaakili kweli 🇴🇲🇴🇲🇴🇲♥️♥️🌹

  • @KemmyPrince-m6h
    @KemmyPrince-m6h Год назад +6

    Wa mwishoo like zangu😅 Jamaniiiii😂

  • @linetkhavugwi209
    @linetkhavugwi209 Год назад +2

    Anko leta Lisa ama nikuroge pia mimi😅😅😅

  • @bukuratanchande4588
    @bukuratanchande4588 Год назад +2

    Wnatesa sana hawa wachawi

  • @salamakassimu9789
    @salamakassimu9789 Год назад +7

    Much love from uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬asalaam aleikum ahsante sana kaka nijifunza mengi kutokana na story zakoo

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +7

    Ankooooo hii simulizi umetuliza sana akili umeisimulia kwa umakini sana na utulivu wa hali juu sana,niseme asante kwa mda wako uliyotumia kutusimulia niwashukru sana mungu azidi kuwabariki ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa Год назад +3

    Ankojay asant sana kwa hisimlizi ni kweli uchawi upo pokea maua🎉🎉🎉🎉

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 Год назад +3

    Safi san Ankojay kwa simulizi zuri❤❤❤😮😮😮😢

  • @IdrisaNurudin
    @IdrisaNurudin Год назад +4

    Nakubali Sana bro

  • @victoriaedfonss727
    @victoriaedfonss727 Год назад +3

    Nimewah 😂like zenu jaman ,♥️♥️ank jay kaz nzur San tumeanz mwaka na kaz za motooo,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @victorwesamba2520
    @victorwesamba2520 Год назад +4

    Wow nimewahi was kwanza🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en Год назад +3

    Sawa Kaka nakuelewa sana asante

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 Год назад +10

    Wow kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much ❤

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Год назад +2

    Ngoma nzito 🔥🔥🔥👌👌😢😢 daaa kuna uchawi kweli shukran Anko Jay

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 Год назад +5

    Wàwoo ankojay nice story

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 Год назад +2

    Lisaaaaaaa part 6 tafadhal

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj Год назад +3

    Wow kazi nzuri sana anko ❤❤❤

  • @PatricalBeti
    @PatricalBeti Год назад +5

    Hivi ndio vitu sasa Anko Jay 🎉🎉🎉🎉yako napenda sana vitu kama hizi maana hua naskia sikua tu 💪💪💪💪

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 Год назад +2

    Kazi nzuri sana ankoJay watching from Tanzania 🇹🇿❤❤❤

  • @zawadtwahirusuleyman1392
    @zawadtwahirusuleyman1392 Год назад +9

    Wa kwanz kwenye rushwa ya uchawi❤❤❤❤😂

  • @christinekanza5394
    @christinekanza5394 Год назад +4

    Wow ankojay nice job ❤️ ❤🇰🇪🇰🇪

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 Год назад +4

    Angalau leo tumesikia sauti ya ancojay ahsante

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc Год назад +2

    Ahsante sama anko kwa kazi safi alafu mwendelezo wa Lissa na hamu nao mnoo ili tuone Alvin akimsaidia lissa kushinda vita

  • @nemamwachepha1545
    @nemamwachepha1545 Год назад +3

    Hongera sana anko jay pamoja na alie andaa simulizi hii

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 Год назад +3

    Karibu Uncle jay

  • @Jasmeni-ns9dg
    @Jasmeni-ns9dg Год назад +5

    Mashaallah leo wa kwanza leki zenu jomon time oman 🇴🇲

  • @paulalove1223
    @paulalove1223 Год назад +3

    Wa kwanza oyoooo😊

  • @NanahBrown
    @NanahBrown Год назад +5

    Waooo voice peeendwa hewan❤,ilawajemeni Kwan hzo cm zenu mnawekaga kengele au ankoj anawabipugi😂😂 mn duh haya Leo tuko pamoja

  • @EzekielGabriel-n3m
    @EzekielGabriel-n3m Год назад +8

    Vwooooooo wakwanza Leo maua Yang jmn duh!

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Год назад +6

    Yan leo wa 1 jameni like Zen ❤ Ankojay ahsante Acha ni 🪑🎧 tuinjoi

  • @khadijashabani6167
    @khadijashabani6167 Год назад +3

    Jamn Sijachelewa na me

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph Год назад +5

    Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii tamu,bado tuko pamoya.

  • @nabeelnassir-pj1me
    @nabeelnassir-pj1me Год назад +4

    Halafu anko jay unazingua

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Год назад +4

    Ata uziweke usiku..anko tuko nawewe mbampa to mbampa❤❤❤.we love for free

  • @MadinaRashid-v5n
    @MadinaRashid-v5n Год назад +2

    Lissa tunaomba anko j jaman

  • @Shadia544
    @Shadia544 Год назад +9

    Humu ndani kila kitu wakwanza na sisi je? 😂😂ngoja tusikilize ili tujuwe hiyo RUSHWA YA WACHAWI🔥🔥✌️✌️

    • @zahraseif3330
      @zahraseif3330 Год назад

      HHahah kuona hilo neno uchawi tu me nitaskiliza kesho😂

    • @amimaawazi6643
      @amimaawazi6643 Год назад

      Ata mimi kesho ​@@zahraseif3330

    • @Shadia544
      @Shadia544 Год назад

      @@zahraseif3330 ata miee pia nasikiliza kesho kipenzi usiku siwezi halafu chumba cha peke yangu 🤣🤣🤣🤣

    • @zahraseif3330
      @zahraseif3330 Год назад

      @@Shadia544 😆😆😆 tuwe pole mpenz😊

    • @hdhjdh775
      @hdhjdh775 Год назад

      😂😂😂😂

  • @fransiscafransisca3883
    @fransiscafransisca3883 Год назад +3

    Anko asantee Ila plz tuletee Lisa part 5

  • @UmmyDaudi
    @UmmyDaudi Год назад +14

    Mimi wakwanza ❤mwenyezi Mungu akupe maisha marefu anko jay

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn Год назад +3

    Ubarikiwe uncle leo nakesha popo

  • @AshadDiwan
    @AshadDiwan Год назад +3

    Ankoo pambeee❤❤❤

  • @PendoPatrick-q9m
    @PendoPatrick-q9m Год назад +4

    Hatimae leo wa kwanza😅😅

  • @khadijashabani6167
    @khadijashabani6167 Год назад +3

    Wallah hii story inanihusu me jmn

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg Год назад +6

    Uchawi una rushwa pia😂😂😂

  • @EdwardDismass
    @EdwardDismass Год назад +3

    Na Mimi reo jamn

  • @Rahema123
    @Rahema123 Год назад +5

    Mmmh 😳 nilijua nimewai duh kumbe watu wanalala you tube😂 aya mliowai chukueni maua yen🎉🎉🎉

  • @Zuhrasaidi-sb8ps
    @Zuhrasaidi-sb8ps Год назад +4

    Kuhusu wachaw kupewa rushwa naamini jmn hasa kwamitihan nliopitia wachawi mungu anawaona

  • @sabrinarashid7990
    @sabrinarashid7990 Год назад +3

    Mmungu akupe umri mrefu inshalah uncle jay

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 Год назад +4

    Wa qwanza leo 😂😂😂😂

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c Год назад +1

    Plz Fanya hivyo part 2

  • @marynaomi
    @marynaomi Год назад +5

    Wakwanza leo😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Год назад +7

    Mama mkubwa analalamika mwanae haolewi wakati amemfunga yy hata mjomba kamfungia kurudi ulaya jamani uchawi huu yani unaroga nahakuna faida mana kungekuwa nafaida wangejenga magorofa

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 Год назад +3

    Dah kila mahali ni rushwa tu isipokuwa mbinguni😊😊😊

  • @periswairimu2545
    @periswairimu2545 Год назад +3

    Dunia dah familia ni wachawi aki Wacha nibaki na maisha yangu

  • @MbwigaWaR
    @MbwigaWaR 9 месяцев назад

    Simulizi nzuri anko j nakubali sana kaka 😮😊

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 11 месяцев назад

    Haya nimeyapitia ila nashukuru Mungu amenilinda mpaka sasa hii simulizi imenilenga mno😢😢😢😢😢

  • @sarahhumphrey-jp6nh
    @sarahhumphrey-jp6nh Год назад +4

    Ila we anko jay umepigaje apo mbona unataka utuuwe lisa umempeleka wap me leo siku nzima nimekosa had raha kila mda RUclips its pain plzz

  • @BINTIHAMISI-c9p
    @BINTIHAMISI-c9p Год назад +5

    Aaaah jaman Kwan nyie mnao Wahi daily hua mwapewa taarifa ndipo anko apost ama vipi 😂😂😂

  • @mwanamisiabdalla5551
    @mwanamisiabdalla5551 Год назад +12

    Wow thanks anko j❤from 🇰🇪🇰🇪 nipen like zenu jamnii😢😢

  • @MariamJoel-f6x
    @MariamJoel-f6x Год назад +6

    Nimewah

  • @EuniceEunice-d4o
    @EuniceEunice-d4o Год назад +5

    Lisa please anko j❤❤❤❤

  • @DanielJohn-rc3bd
    @DanielJohn-rc3bd 7 месяцев назад

    Hii simulizi ni nzuri sema inasehemu kubwa nje ya maada husika

  • @paulalove1223
    @paulalove1223 Год назад +5

    Nilikua najiandaa kulala kwa huzuni kidogo nikupgie anko vp Leo umetusahau😂

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 Год назад +4

    Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️

  • @stellahrobert5
    @stellahrobert5 Год назад +3

    Jamani tuko pamoja

  • @ghanimajongo7817
    @ghanimajongo7817 Год назад +3

    Tunataka Lisa stori ya uchawi hatutak

  • @JaydenKariuki
    @JaydenKariuki Год назад +5

    Izi nimezingonja sanaa anko j simulizi za mapenzi umeeka sanaa kuliko hizi jaribu ku mix

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 Год назад +6

    Waa watu wako mbele tayari

  • @yvonewere4012
    @yvonewere4012 Год назад +1

    Asante sana kwa kazi nzuri, am listening 🎧 from kenya,, ila samahani naweza pata number ya msichana tafadhali??

  • @sarahhagai8191
    @sarahhagai8191 Год назад +5

    ❤❤❤ much love 😊

  • @paulalove1223
    @paulalove1223 Год назад +6

    Uchawi usiku anko 🥺 na nalala mwenyew kama panga

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 Год назад

      ʸᵒᵘ ⁿᵒᵗ ᵃ ˡᵒⁿᵉ ˢᵃᵐᵉ here😢

  • @Ummy-m7l
    @Ummy-m7l Год назад +7

    Wakwanzaaaaa

    • @Ummy-m7l
      @Ummy-m7l Год назад +1

      Like zenu wapendwa niko kumsikiliza uncle J

    • @Ummy-m7l
      @Ummy-m7l Год назад

      Sasambona kilamtu wakwanza?? Hakuna wa pili wala wa3 uncle J sema ukweli nani wa kwanzaa hehe ee 😆

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 Год назад +5

    Asatee anko j vp binti lisa jaman sehem ya 5

  • @TumuhamzaHamza
    @TumuhamzaHamza Год назад +3

    Japo nmçhlwa ila nko nanyi bambam

  • @StanlyFulgensi-pm6dk
    @StanlyFulgensi-pm6dk 4 месяца назад

    kaka unatisha Sana👍👍👍👍👍🎁

  • @naumimamaa
    @naumimamaa Год назад +6

    Wakwanza leo

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Год назад +5

    Wachawi Ooo

  • @aminakhamis5078
    @aminakhamis5078 Год назад +3

    Umekusudiya tusi lale kwa amani anko unajuwa kabisa hatuwez kosa simliz zako wachaw usiku usiku huu 🤣🤣🤣🙈

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc Год назад +1

    Kumbe hivu ndivyo waganga hufanya ili mru aishie mateso,niheri kumtegemea MUNGU kwa yote kwani amtegemeae MUNGU hajawahi shindwa na akishindwa juwa ushindi ukaribu nae

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 Год назад +3

    Kumbe kuna rushwa huko 😂

  • @willingtonmisee4647
    @willingtonmisee4647 4 месяца назад

    Bro I love you so so so much anko Jay , nakupenda Sana Sana Sana ❤❤ am willington from Kenya

  • @LovenessLucas-r2x
    @LovenessLucas-r2x 8 месяцев назад

    Mimi napenda Sana simulizi zako Tena za maisha huwa najifunza mengi Sana be blessed anko j alfu ujue nakupenda ❤️❤️

  • @khadijashabani6167
    @khadijashabani6167 Год назад +3

    Nimeyapitia me jamn 😭😭

  • @mahhautd6957
    @mahhautd6957 Год назад +4

    Napataje simulizi zako anko j naomba maelezo

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 Год назад +2

    Asante San ❤❤❤🎉🎉

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc Год назад +3

    Khaaak inamaanna kuwa hata wachawi huwa wanatabia ya kiru kidogo ama toa chai weeeeh kweli nikubaya ila acha niisikilize nijue niwapi kwema basii

  • @CharlesShamsa
    @CharlesShamsa Год назад +4

    Jaman hii simliz inaniusu mm kabsa

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Год назад +6

    Ni Mungu mwenyewe kwenye hi dunia 😢

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Год назад +31

    Wakwanzaaaaa nipeni likes jamanii anko chukua maua yako hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Год назад +4

    Anko Jay mlete binti Lisa

  • @ConfusedCroquet-cb5xi
    @ConfusedCroquet-cb5xi Год назад +4

    Nimerudi na mie

  • @EliasMwakanyamale-ru9zt
    @EliasMwakanyamale-ru9zt Год назад +10

    Wakwanza apa

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Год назад +2

    From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with ❤❤❤❤

  • @MariamuKilindo
    @MariamuKilindo Год назад +4

    Lissa ankojay part 5

  • @WemaSimon-wk4os
    @WemaSimon-wk4os 7 месяцев назад

    Ushauri wa mamako ni mzuri,ukute anawajua nduguze kuwa ni wanga ila alishindwa kukufafanulia!

  • @mariam-yw3nn
    @mariam-yw3nn Год назад +3

    Anko jay Lissa

  • @IradukundaCharlene-u6c
    @IradukundaCharlene-u6c Год назад +2

    Nami napenda simlizi za kichawi mana za mapenzi zimetuchosha

  • @StonetownViewinn
    @StonetownViewinn Год назад +2

    Mbn unasema ww mschana na wkt sauti Yako ni ya kiume

  • @KeneJofrey
    @KeneJofrey Год назад +3

    Binti lisa lini