NDOA YANGU NA SHETANI - SIMULIZI MPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 309

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 7 месяцев назад +7

    Yan Acha ni 🪑🎧🤭😂🤣 NDOA ya shetani
    Kwakweli AnkoJay ahsante Mungu wetu wambinguni azindi kukupa hafya jema t❤

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 7 месяцев назад +9

    Thanks ankojay mungu akubarik sana🎉🎉🎉 vp Mr mapesa ule mzigo wa SIN utatuletea lin 😊😊

  • @FaithPeter-j4w
    @FaithPeter-j4w 7 месяцев назад +10

    💃💃💃💃🎉🎉🎉🎉chukueni maua kutoka kwangu

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 7 месяцев назад +8

    Ukiolewa na shetani ni matatizo ,,ila sasa utajuaje umempata shetani cz anaweza kuja kwa umbo la binadamu 😢eeh mungu tuonyeshe njia iliyo sahihi kwetu,,Ahsante Anko jay ubarikiwe sana bila kumsahau mwandishi wetu ,DOCTOR AMBE

  • @DamariJohn
    @DamariJohn 7 месяцев назад +57

    Haya shetani tena haya sasa mkuje 😂😂😂 wale mnaodet na shetani team gulf naomben like zenu🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 7 месяцев назад +2

      Team fulus tupo

    • @NadzuwaGofwa
      @NadzuwaGofwa 7 месяцев назад +1

      Tuko 💞💞💘💘💝💖

    • @neemamwachepha213
      @neemamwachepha213 7 месяцев назад +1

      ​@@FatumaRamadan.Mwalimteam Riyal

    • @DamariJohn
      @DamariJohn 7 месяцев назад

      @@neemamwachepha213 hapana chezea Rial we pigeni kazi wapendwa tuwe na subra

    • @DamariJohn
      @DamariJohn 7 месяцев назад +3

      @@FatumaRamadan.Mwalim Tupo dear sisi wa mwisho kulala wakwanza kuamka Allah atuongoze tuwe na subra🤲🤲

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 7 месяцев назад +4

    Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.

  • @HrdaKahimbi
    @HrdaKahimbi 6 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉hongeleni kwa simulizi za kutufundisha

  • @Fatima-s1v8s
    @Fatima-s1v8s 7 месяцев назад +8

    Asante sana anko j nilimis hii voice jamani ngoja nisikilize kwanza

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph 7 месяцев назад +7

    Hope ankoo umzima wa afia,Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 7 месяцев назад +3

    Ahsante bwana anko Jay simulizi nawewe mtunzi❤❤❤❤❤

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 7 месяцев назад +24

    Kama ndiyo kwanza unaangalia usipite bila kuachia like ili tuende sawa..... In Allah we trust tumuamin mwenyezi mungu Kwa Kila jambo maana bila yeye hakuna chochote. Amiin

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 7 месяцев назад +17

    Nipeni maua yangu kabala sijaenda mbali wakwanza mim leo😊

  • @victorwesamba2520
    @victorwesamba2520 7 месяцев назад +7

    💃💃💃💃was kwanza 🎉

  • @JulianaYusto
    @JulianaYusto 7 месяцев назад +6

    Ankjy uishi milele man kazi zako Zaid yatamdilia❤❤❤❤❤

  • @Jasmeni-ns9dg
    @Jasmeni-ns9dg 7 месяцев назад +17

    Leo natoa like kwa kila mwenye comment yake😂

  • @SaidSaleh-q5r
    @SaidSaleh-q5r 7 месяцев назад +12

    Wa kwanza leo

  • @KhadijaKassim-k8d
    @KhadijaKassim-k8d 7 месяцев назад +3

    Asante sana ankojay Allah akulipe ❤❤

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 7 месяцев назад +6

    Mimechewa lakini nimefika naomba like zenu jamani nawapenda sana wasikilizaji wà ankojay one love ❤❤❤

  • @emathumani2901
    @emathumani2901 7 месяцев назад +7

    Sijachelewaaaa anko jay

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 7 месяцев назад +11

    Me sikuchele xana nikua nawapisheni kohyo tukopamoja nipen like nami nizawad yenu wapenzi🌹🌹🌹🌹🌹🌹mubalikiwe

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 7 месяцев назад +1

    Mashaal asant sana kwasimurinzi 50❤❤

  • @Munira1044
    @Munira1044 7 месяцев назад +7

    ❤❤❤❤❤❤❤sijachelewa

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 7 месяцев назад +10

    😢😢sijawai kuelewa izo like mnapeleka wapi badara ya kutoa maoni ili mwandishi na msimuliaji wapate hamasa 😮

    • @IRENEMENGI
      @IRENEMENGI 7 месяцев назад

      Yani mimi nimejiuliza mpka basi yani

  • @Maryalphoncedr4xo5yp8b
    @Maryalphoncedr4xo5yp8b 7 месяцев назад +19

    Shetani kafaanya Nini tena ngoja tumsikilize yaliomo ndani japo nimechelewa naombeni like guys Asante anko ❤❤❤❤❤

  • @MargaretMuratha-d3u
    @MargaretMuratha-d3u 7 месяцев назад

    Amazing voice ❤❤keep up Anko jay

  • @shukururamadhan6721
    @shukururamadhan6721 7 месяцев назад +8

    team strong kadama tulike apa

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 7 месяцев назад +22

    Nimekuw wa 50 leo like zangu jmn

    • @UmayyaNkya-ze3ri
      @UmayyaNkya-ze3ri 7 месяцев назад +2

      Bola ww mie wa 200😂😂

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 7 месяцев назад +2

      @@UmayyaNkya-ze3ri watu hawalali kwenye dakka 13 ndo wa 50 sas cjuw ww dakik ngap🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Petitegift
      @Petitegift 7 месяцев назад +2

      🤣🤣🤣 sasa like zinasaidia nin Kwan ili nichukue simu elfu nikupe nazo

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 7 месяцев назад +2

      @@Petitegift me.naomba tu kma wtu wengne wanavo omb man naon wtu wanaomb tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 7 месяцев назад

      ​@UmayyaNk😊😊😊ya-ze3ri

  • @IreneFuraha-y6z
    @IreneFuraha-y6z 7 месяцев назад

    Nice simuliz anko ❤❤

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 7 месяцев назад +5

    Sijachelewa sanaaa❤ kama umemisss lisa tujuane hapa❤anko hope ukopoa bro we love u ❤❤❤❤❤❤❤Allah akufanyie wepesi kwakila jambo inshaAllah 🙏🙏🙏

    • @EagerRedRose-ee6xr
      @EagerRedRose-ee6xr 7 месяцев назад

      Jamaaniiii nime miss lisa ila kila simulizi itokayo kwa anko Jay inafurahisha❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 7 месяцев назад

      Amin

  • @AngelAgusitine
    @AngelAgusitine 7 месяцев назад +8

    Jamani mileo wakwanza

  • @zawadtwahirusuleyman1392
    @zawadtwahirusuleyman1392 7 месяцев назад +2

    Cjachelewa sana ❤❤❤

  • @NeemaLugoye
    @NeemaLugoye 7 месяцев назад +1

    Safi sanaa, Ank jay. Ila pia Alli mbetu kujitahid kuleta kazi nzuri Mungu azidi kuwabariki

  • @HrdaKahimbi
    @HrdaKahimbi 6 месяцев назад

    Smlizi imebeba mafundisho makubwa sana Asante anko jey

  • @DyanaDyana-v4d
    @DyanaDyana-v4d 7 месяцев назад +2

    Asante sana Anko j 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 7 месяцев назад +13

    ❤❤❤❤❤ shetani tena???

    • @AliShatter
      @AliShatter 6 месяцев назад

      N ibils🎉🎉

  • @FatmaHaji-u9k
    @FatmaHaji-u9k 7 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ anko zawadi yako iyo pokea

  • @MitreMenea
    @MitreMenea 7 месяцев назад

    Hiii nao ni noma napenda sana 🇹🇿 wanaume wako Sawa

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 7 месяцев назад +2

    Me nilijuw ya kichawi kumbe c yakuchawi anko tuletee vtu vya kutisha tisha kdog ila kaz nzr huna kaz mbay❤❤❤

    • @IRENEMENGI
      @IRENEMENGI 7 месяцев назад +1

      😂😂😂😂 mimi mwenyewe nimemic vya kutisha😅😅

  • @happyeekavishe1925
    @happyeekavishe1925 7 месяцев назад +3

    Nimewai jamani leo❤

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 7 месяцев назад

    Listening 🎧🎧 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Asante sana Ankojay ♥️♥️♥️♥️ twakupenda Bure

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 месяцев назад +6

    Wow ♥️♥️♥️🌿🌿🌿🥀🥀🥀🎋🎋🎋🌹🌹🌹🥗🥗🥗🌾🌾🌾🙏

  • @ivymuna553
    @ivymuna553 7 месяцев назад +13

    Nimechelewa na nimefika naombeni like zenu ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa 7 месяцев назад

    Asante kwa kazi yako nziri na kupenda bure tu💘💘💘💞💞💞❣️❣️💝

  • @Petitegift
    @Petitegift 7 месяцев назад +12

    WIUUUUUUUUU NAPENDAG ZA KUTISH MIM ☺️

    • @MelisaSelena
      @MelisaSelena 7 месяцев назад

      Kuwa makini nazo

    • @Petitegift
      @Petitegift 7 месяцев назад

      @@MelisaSelenaZina Mazara Au?

    • @Petitegift
      @Petitegift 7 месяцев назад

      @@MelisaSelenaebuh nielez kwa upana zaidi maan usha anza kunitia wasi wasi vile 😅

    • @MelisaSelena
      @MelisaSelena 7 месяцев назад

      Zinakufanya uwe unaogopa

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 месяцев назад +3

    Uhuru wa bila mipaka ni wendawazimu😂😂😂😂😂

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 7 месяцев назад +2

    Duuuh jaman 😢😢 mnalalag macho wenzang maan xo kwa kuwah hivy mko poah vipenz vya anko Jay

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 7 месяцев назад

    Anko hii simulizi Safi kabisa l like it Asante sana baba ❤❤❤❤❤flowers for Ally

  • @BethMdoe
    @BethMdoe 7 месяцев назад +1

    Wow nimewai kdg leo❤

  • @JaydenKariuki
    @JaydenKariuki 7 месяцев назад

    Asanti sanaa anko j raha sanaa kuskilizq iyo simulizi

  • @NatashaHope-ot1cw
    @NatashaHope-ot1cw 7 месяцев назад

    Asante sana kwa this love storie

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 7 месяцев назад

    Nice story be blessed anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @KarengaYvette
    @KarengaYvette 7 месяцев назад +6

    Wa kwanza jamani naomba like zanu

  • @JetitahPatricia
    @JetitahPatricia 7 месяцев назад +1

    Asante ankol jay kwa hii simulizi ya leo tumebadilsha ladha ya chakula ..,.....mpe Ally mbetu salami zangu na umkumbushe tuna subiri Jini mahaba part 2

    • @honestema
      @honestema 7 месяцев назад +1

      Mpaka tunasahau kwa kweli

  • @IreneBiganio
    @IreneBiganio 7 месяцев назад

    Very interesting story ❤

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 duuuuuuuh shetanitena makubwa haya wenye na bdoll wasikizi shetani mm mwenzenu bdol nikasi kupata

  • @SuuJaphary
    @SuuJaphary 7 месяцев назад +7

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @alyerungaantoinnet7851
    @alyerungaantoinnet7851 7 месяцев назад

    Wow ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉from 🇨🇩🇨🇩🇺🇸🇺🇸

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 7 месяцев назад

    Ally mbetu ninawasi wasi sana nawewe maana hizi story zako zinauhalisia sana, yaan unanitisha it feels like really

  • @violethezekiel251
    @violethezekiel251 7 месяцев назад

    Tupo pamoja Anko.J, barikiwa

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 7 месяцев назад

    Asante anko jey naona mambo. Mazuri tumeamka na kitu kipya 🎉🎉🎉🎧🎧🎧🪑🪑🪑

  • @Bettyhaule
    @Bettyhaule 7 месяцев назад +8

    Wa 15 naombeni like hata 5

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 7 месяцев назад

    Asante sana Ankojay ❤❤❤

  • @makayistevenmusso1520
    @makayistevenmusso1520 7 месяцев назад

    Mi ndo wa mwisho 😂😂😂❤❤❤ANKO jey sehem ya2 twausumbili please tafadhali anko

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 6 месяцев назад +1

      Wamwisho ni mimi ila nikama imerudiwa

  • @hawrashabani2102
    @hawrashabani2102 7 месяцев назад

    Inko jei mapesa kumbe upo huku shukrani mtunzi wa simulizi Ali betu

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 7 месяцев назад +6

    Acha nisilize too but hizi zashetani sio zangu 😢😢😢😢

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 7 месяцев назад

    Daaah kama naiona vile picha yasheyani iblisi aliyetipwa juu ya nchi anavyofanana zaidi na tabia za wanadamu Kwa kujovuna kwao juu ya Uzma na mali zao na uzao wao wakimsahau hata aliyewaumba poleni sana maana kilio na kussga meno kinakuja❤❤ you Ankoj

  • @mariam-yw3nn
    @mariam-yw3nn 7 месяцев назад +3

    Jamani nimewahi like 6 kwa anko jay

  • @Petitegift
    @Petitegift 7 месяцев назад +2

    NILIZAN INATISH KUMBE INASISIMUA ANIWAYS ASANTE ❤️

  • @javandaudi5553
    @javandaudi5553 7 месяцев назад +1

    Kumbe ni sauti ya anko j😊😊wacha nisikilize

  • @MajiburaAllyAllymajibura
    @MajiburaAllyAllymajibura 7 месяцев назад +3

    Hii stori jay ushawahi kutusimulia kitambo kidogo

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 6 месяцев назад

    Very stor so much ❤❤

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 7 месяцев назад

    Mambo bambam ancojay wetu ❤❤❤❤

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 7 месяцев назад

    Thanks Ankojay 🙏

  • @aliyhassan6715
    @aliyhassan6715 7 месяцев назад +7

    Sijachelewa sn

  • @Mupawarda-gj9qo
    @Mupawarda-gj9qo 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤ tamu

  • @SikituSiri
    @SikituSiri 7 месяцев назад

    Ep 2 jamani ❤❤❤❤

  • @piusnyamari7726
    @piusnyamari7726 5 месяцев назад

    It is very interested

  • @Joycetatu
    @Joycetatu 7 месяцев назад +2

    Nmekesha kusubiri Lisa 😂😂😂😂

    • @ghanimamohammed5305
      @ghanimamohammed5305 7 месяцев назад +1

      Oh pole.... Nilipoona kuna post nilifurahi ila nakuta ndoa 😔nimeshuka moyo Sana

    • @Joycetatu
      @Joycetatu 7 месяцев назад

      @@ghanimamohammed5305 😀😀😀kama mm nakwambia

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 7 месяцев назад +1

      🤣🤣🤣

  • @EuniceEunice-d4o
    @EuniceEunice-d4o 7 месяцев назад +9

    Wacha tusikie

  • @Reemysidimaojo
    @Reemysidimaojo 7 месяцев назад

    Anko jay u make me cry really 😢😢😢

  • @janethdaud201
    @janethdaud201 7 месяцев назад

    Anko asante❤

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 7 месяцев назад +1

    Njoo huk kuna kitu kipya shetani tena kafanyj ngoja tuone yaliyomo jmn au kama sara wa binti lisa❤❤🎉🎉huy sheten😢😢😂

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 7 месяцев назад +4

    Wa 10 leo na mm

  • @ReginaMwenzelatifah
    @ReginaMwenzelatifah 7 месяцев назад

    Ndomaana inatubidi kujiheshimu nakunyenyekea kwa Mungu

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 7 месяцев назад

    Tuko pamoja uncle J

  • @ruthkavai3453
    @ruthkavai3453 6 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HafashimanaDorine
    @HafashimanaDorine 7 месяцев назад

    Tunasubili sehemu2🎉🎉

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 7 месяцев назад +2

    Hii story anko Jay imejirudia😮

    • @jokhajj
      @jokhajj 7 месяцев назад

      Ndio ile binti sundi kama sikosei uyu konso alikuwa anamuadithia sundi kwenye basi

    • @MwanaishaSuleiman-g7t
      @MwanaishaSuleiman-g7t 6 месяцев назад

      Umeona ndiyo hivyo

  • @EmmeMrrras
    @EmmeMrrras 7 месяцев назад

    Anko sasa kali❤❤❤❤

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 7 месяцев назад

    Haya kila mchuma janga ale mwenyewe wanaume ulokuwa nao kama utitiri hawahesabiki😂😂😂😂😂😂

  • @wardashekaoneka1676
    @wardashekaoneka1676 6 месяцев назад

    Hi simurizi mbona kam unairudia anko 😊😊

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 7 месяцев назад

    Shetani kafanya nn Tena haya Wacha tusikilize huenda tukajifinza shetani ni mtu wa aina Gani shukran kaka Ankojay ❤❤❤❤

  • @happydeo8164
    @happydeo8164 7 месяцев назад

    Nzuri san

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 7 месяцев назад

    Asante anko kwa simulizi nzuri mashabiki like ataaoja tu🎉

  • @rebeccazagabe
    @rebeccazagabe 7 месяцев назад +1

    ankojay asante kwaku tuletea kitu kipya atimae leo nime wai 😂

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 7 месяцев назад

    Wuuueeh shetani tena!!!! Haya pia mm naomba likes❤❤❤

  • @Aminaibrahim-d2w
    @Aminaibrahim-d2w 7 месяцев назад +1

    Jamani nani anaskia kama navoskia hyi simulizi nikama yabinti sundi alie siluliwa nadada walie kutania kwenye basi anko jay hyi simulizi Inafanana kabsa majina 2 Ila kilakitu nikwenye simulizi ya Binti sundi❤

  • @NanahBrown
    @NanahBrown 7 месяцев назад +2

    Kwa jinsi navozikariri simulizi anko hii simulizi mbn kama ushawah kutusimulia tofaut ni jina 😢but unatufariji😊c mbaya

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 7 месяцев назад +1

      Ni hivyo Anko ameirudia japo kwa jina tofauti. Hii simulizi alileta mwaka jana

    • @NanahBrown
      @NanahBrown 7 месяцев назад

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg nikajua ni Mimi peke ang ndo niloiona hivo

    • @jokhajj
      @jokhajj 7 месяцев назад +1

      Ndio dear kama sikosei ni ile binti sundi uyu dada konso alikuwa anamuadithia sundi iyi story yake kwenye bus

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 7 месяцев назад

      @@jokhajj yea ni hiyo binti sundi

  • @omanmajan9438
    @omanmajan9438 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤

  • @Eveline_2819.
    @Eveline_2819. 7 месяцев назад +1

    🙏🙏🙏