SIMULIZI MPYA - SURA YA MTU, ROHO YA SHETANI - SIMULIZI YA KUSISIMUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 208

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Год назад +25

    Nimechewa jana nilikuwa mgonjwa kukosa simulizi kama unainjoi kama mimi like hapa tujuane wapenda simulizi za ANKOJAY🌹🌹

  • @Syviahalex
    @Syviahalex Год назад +6

    Sura ya mtu roho ya shetani, waaah eeeh kunani huku kwa Sura ya mtu roho ya shetani let hear what happen and learn some lessons, thanks you anko much love❤❤❤

  • @stellahrobert5
    @stellahrobert5 Год назад +4

    Ako j asante kwa simulizi nzuri zenye mafundisho

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Год назад +23

    Hakuna mganga ulimwengu mzima tusidanganyane jamani 😢mganga pekee ni mungu muumba wa mbingu na ardhi 🙏

  • @RosyAshy
    @RosyAshy Год назад +4

    Ndo nawasili. Sijachelewa nawasikiliza kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sophiebanga9533
    @sophiebanga9533 Год назад +3

    Simulizi nzuri saana asante kwa muandishi na anko j

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 11 месяцев назад +1

    Asante sana Ankojay ❤❤

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 Год назад +2

    Una mtoa Ndugu yako kijijini kusaidia maisha,Leo amekuwa nyoka ktk ndoa yako,Watu km hawa Mungu awalanii Kwa Rohoo zao mbaya

  • @alinaaa-e2s
    @alinaaa-e2s Год назад +5

    Asante anko jay and ally mbetu kwa kazi zenu❤❤ nimependa sana

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Год назад +4

    Nimekuwa wa tisa 😂😂..Ahsante Anko jay kwa kigongo kipya..hello mtunzi wetu mahiri ALLY MBETU BILA KUMSAHAU MR.ANKO JAY MSIMULIAJI WETU MAARUFU ..HAYA MAUWA NI KWAAJILI YENU 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      😊😊😊😊 Ahsante sana

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Год назад +6

    Sijachelewa sanaaa nipeni maua yangu 😂 much love to mr anko jay ❤❤❤❤❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      😊😊 ❤ Ahsante sana

    • @TinaMacha
      @TinaMacha Год назад +1

      🌹🌹🌹🌹🌹🌹⚘️⚘️

  • @safiyaAhmed-r8f
    @safiyaAhmed-r8f Год назад +3

    ❤🎉😅😊😂🎉❤asante anko jay na ally mbetu😅😮🎉😂❤😊

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад +1

      Ahsaante sana 😊

  • @bettywayera8501
    @bettywayera8501 Год назад

    Ule mganga wa kwanza nimempa hongera sanaa,,ankoj simuliz nzuri ,,nasikiliza nikiwa napika super hapa Nairobi Kenya..

  • @ZainabuMagome
    @ZainabuMagome Год назад +1

    Mwendelezo please Ankojay ❤

  • @bukuratanchande4588
    @bukuratanchande4588 Год назад +1

    Allan ninusuru na roho hii 🙇🙇

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +3

    Asante sana anko Jay congratulations 👏👏👏 atutakosa sehemu ya pili tunaisubiri sana kwa hamu, Big love my wetu kipenzi tunakependa sana kwa kazi nzuri ❤❤❤🎉🎉🎉🎉am appreciate all and all

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    Asate sana ako Jay ubalikiwe sana

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani Год назад +1

    Mashallah anko Jay Allah akubariki kwakutupa mautamu wewe ni anko na nusu maana tupo mbali atuongei hata kiswahili ninaboleka nikisikiliza simulizi za kwako nakuwa na tumaini piya naona kama nipo nyumbani shukran jazira tabarak Allah

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 Год назад +2

    Mpanda ubaya huvuna mabaya. Shukran Mr jay for amazing story ❤❤❤

  • @sukainamusa4651
    @sukainamusa4651 Год назад

    ankjay asante kwa smz za mafunzo natunatakiwa kua makini sana kwa watu wanaojifanya kua marafiki zetu kumbe wanatupoteza

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn Год назад +1

    Wamwisho Asante sn uncle mungu awajaze her

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 Год назад +1

    Nimeelimika kwa hii smuliz kiviangu , shukran

  • @SalomeSimon-m4b
    @SalomeSimon-m4b 9 месяцев назад

    Jamani anko jay niwe muwazi nakupenda sana na hyo sauti Yako aweeeee...inanikosha sanaa nashwindwa kujizuia

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 Год назад +1

    Anko J simulizi ya leo kali shukra naisubiri kwa hamu shukra❤❤❤

  • @sabinamasangwa293
    @sabinamasangwa293 Год назад

    Good job anko jay thank you so much kwa simulizi nzuri

  • @GraceMunisi
    @GraceMunisi 8 дней назад +1

    Badala awe bze kutafuta mtoto yupo bze kuloga 😢😢😢😢duh

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov Год назад +1

    Mmmh ...😂Anko j asante jani nilisubiri utuletee be my love😊😊😊 ukatuzimia tuu

  • @patriciakyalo3454
    @patriciakyalo3454 Год назад +5

    Been 26th day 😂 to listen to to this wonderful title of the ankol jay simulizi

  • @IreneJulius-jr3eb
    @IreneJulius-jr3eb 8 месяцев назад +1

    Tuwe na hofu ya mungu

  • @EsherMacha
    @EsherMacha Год назад +8

    Wakwanz🎉🎉🎉

    • @mushimonica5912
      @mushimonica5912 Год назад

      Hongera🎉

    • @wilkisteradhiambo3072
      @wilkisteradhiambo3072 Год назад

      Good for you dear natamani kuwa kwanza ila kazi daaahhh 😂

    • @EsherMacha
      @EsherMacha Год назад

      ​@@wilkisteradhiambo3072😂😂 tanteee

    • @EsherMacha
      @EsherMacha Год назад

      ​@@mushimonica5912tantee🎉🎉

    • @LissaBosh
      @LissaBosh 4 месяца назад

      QQ😊​@@mushimonica5912

  • @EsterKomba-m3u
    @EsterKomba-m3u Год назад

    Asante anko tupe basi hyo BE MY LOVE

  • @haleemahhamisi2534
    @haleemahhamisi2534 Год назад +2

    Tutegeemee mungu n tuwe n subra Kwa Kila jambo 😢😢eti mganga handsome kma anko j nayo kweli 😂😂❤❤🎉🎉🎉 mubarikiwe japo imeniuzunisha😢😢

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      😂😂😂😂😂

  • @hawasaid2670
    @hawasaid2670 Год назад +1

    Pole sana my love 😭😭😭😭😭

  • @NdihokubwayoBrigitte-e3c
    @NdihokubwayoBrigitte-e3c Год назад

    Good bless you

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 Год назад +1

    Asanteeee sana anko jay maana 🙌🙌 Jana nilipata homa sanaa nilikuwa nachungulia kila mda ili nijue kama umetuma nyingne lakini wapi😅😅😅 hatimae Leo umetukumbuka japo tunausubiriiiiiii sehem ya tatu ya Be my love 🥰🥰🥰🥰

  • @lucyjohn1342
    @lucyjohn1342 Год назад +1

    Asante 🔥

  • @FadhilMohamed-d5i
    @FadhilMohamed-d5i Год назад

    Kweli Ankojay hii story ahhhhhh acha banana hongera kwa Kaz nzuri

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua Год назад +1

    Jamani Leo nipo top tena

  • @mildredalivitsa1186
    @mildredalivitsa1186 Год назад +1

    Whaaah pole wifi,anko jay hii simulizi Ina mafunzo Sana Kha 💕👏🙏 nimeipenda Sana from Kenya 🤝 waiting for part 2 and3

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 Год назад +1

    Ankooooo jay ni mmoja tu asante sn one love

  • @estherimbotsi7553
    @estherimbotsi7553 Год назад +6

    much love❤❤❤❤❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪

    • @atusajilemahenge2328
      @atusajilemahenge2328 Год назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sana sana anko jei🎉

  • @mkasiseif4587
    @mkasiseif4587 Год назад +1

    Nyie kuwahi raha🤗

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +1

    Khaaaa!roho mbaya ni mzigo kwa mwenye nayo

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Год назад +5

    Ama kweli binadamu ni viumbe vyaajabu sanaa badala ahangaike kuoata mtoto baada ya ndoa kumshinda yeye anahangaika kumuangamiza wifiyake very sad😢😢😢😢😢

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      Yaaaaani ni balaa 😢

  • @Syviahalex
    @Syviahalex Год назад +3

    Unatuletea sehemu ya pili ya be my love tuna ngoja kwa hamu❤

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 Год назад

    Asante sana ankojey

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od Год назад

    Asante pole

  • @rehemahassan486
    @rehemahassan486 Год назад +1

    Thanks sana jana nilikuwa mgonjwa lkn leo nimepoa kiasi

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 Год назад

    Asante kwa simulizi nzuri

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z Год назад

    ❤❤ always number one Anko jay Sasa nahi hela kindogo ya salon ndio kila dakika kwa wanganga ndooo kuna watu wapo na moyo mgumu but Anko jay the story is very nice one barikiwa sana ❤❤❤

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 Год назад

    Thank you Anko Jay

  • @FabiOmari
    @FabiOmari Год назад +1

    Nime enjoy ❤ lakina vp kuhusu be my love

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад +1

      Inatoka Leo saa Nne Asubuhi

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 Год назад +2

    😂😂😂😂Asina kiboko cyo kwa kuwajua waganga hvyo khaa! Hongera mwandishi na msimuliaji 🙏🙏🙏

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      😂😂😂😂 Asina ni balaaa

  • @MamuPesa
    @MamuPesa Год назад +6

    Anko j tunalizie na hiyo simulizi ya be my love

  • @violetmulya
    @violetmulya Год назад

    Top twenty leo❤❤❤❤❤

  • @sumeiyamaddy95
    @sumeiyamaddy95 Год назад

    Mtihani wallah

  • @NadiahLucas
    @NadiahLucas Месяц назад

    Mmmh jaman inakwaza sna ndugu Hawa

  • @janinemuhawe7890
    @janinemuhawe7890 Год назад +2

    Jamani jamani 😭😭😭😭😭😭😭

  • @DorryNasonNdule
    @DorryNasonNdule Год назад +1

    Part two please

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz Год назад

    Namba four 🎉🎉

  • @Fatima-s1v8s
    @Fatima-s1v8s Год назад +1

    Jamani anko be my love anko Brize mashaghara wa Qatari tujuane

  • @zawadtwahirusuleyman1392
    @zawadtwahirusuleyman1392 Год назад +1

    Duh mawifi jaman

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Год назад +2

    Yan ukweli huu nakuwa wa6 naomba link zenu ❤ AnkoJay ahsante Acha ni 🪑🎧 nijifuze

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Год назад +2

    Hasina mchawi sana

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      Saaaana 😂😂😂😂

  • @NawMi121-lj8cf
    @NawMi121-lj8cf Год назад +1

    Ankoj waendeleaje mafua we❤❤ you

  • @salmasasha
    @salmasasha Год назад

    Nmetia kambi kwa kuchelewa ila sawa tu nmefika😂😂❤❤❤

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Год назад

    Mbona pat two lnajirudia pat one

  • @tusifuesther4833
    @tusifuesther4833 Год назад

    Asante sanaa

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Год назад +1

    Waaah the title is so scaring..ata bila ya kuskiza tunatarajia mabaya.anyway thanks..

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      😊 simulizi ni tamu

  • @jokhajj
    @jokhajj Год назад +2

    Anko jay Be my love please tunaisubir kwahamu 😢

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад +1

      Leo leo Inakuja

    • @jokhajj
      @jokhajj Год назад

      Asante anko jay nimeiona hunaga kazi mbovu mungu azidi kukulinda 🎉😊

  • @happydeo3754
    @happydeo3754 Год назад

    Sehee ya pili vipi

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c Год назад

    Niko ngangari sehemu ya part 2 ako❤❤❤

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 Год назад +1

    Kwa kwel

  • @Yusra728
    @Yusra728 4 месяца назад

    Duh! Kuna watu wana roho mbaya kwakweli, mbona mawifi zetu tutawaogopa kwakweli😢

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela Месяц назад

    Malipo yapo hapa hapa duniani ankojay wewe nakupenda bure

  • @kanzasolange-vb4no
    @kanzasolange-vb4no Год назад

    Tnk u😊

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +1

    Hapa duniani jamani kuna watu wenye roho mbaya kupita maelezo, tunaambiwa kikulacho ki kinguoni mwako ,akuchekeae ndio adui yako,mhhh ama kweli huyu dada ni shetani kweli kweli.

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 Год назад

    Jitihada haishindi kudra za mungu

  • @LindaRobson-qn1br
    @LindaRobson-qn1br Год назад

    Anko leo umeua mmh asant

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c Год назад

    Nawasikiza sana Niko Kenya jamani akojay

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 Год назад +1

    Nimeogopa hiisimulizi

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      Ni Tamu sana isikilize

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani Год назад +1

    Ali Mbetu anatisha ana baya

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 Год назад

    Dah inaonyesha inamateso sana ...ola mawiii jamani sijui kwa nini hua hawawapendi wake wa kaka.zao...haya twende kazi anko jay

  • @millicentochieng161
    @millicentochieng161 Год назад

    Mm mm hayo mambo ya ugangaa balaa

  • @erickambale2175
    @erickambale2175 Год назад

    Wapi sehemu ya pili

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад

    Gauni ndani nje,kila kiatu kivyake wuwiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @LonahKeziah
    @LonahKeziah Год назад

    Hayeee kuna yepi😂😂😂

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 Год назад

    Mganga kaboresha mazingira😂😂😂

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 8 месяцев назад

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Datou-xx6dg
    @Datou-xx6dg Год назад

    Waala

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 Год назад

    Duniaa hii 😢😢adaa kweli

  • @aishahassan-cl2zf
    @aishahassan-cl2zf Год назад

    Kwasasa Ankoo jay ndo dalasa langu mahna ndo mwalimu wangu))

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Год назад +1

    Hakuna mganga ulimwengu mzima tusidanganyane jamani😢😂 mganga pekee ni mungu muumba wa mbingu na ardhi 🙏🙏🙏

  • @kaneza932
    @kaneza932 Год назад

    Inatiya uzunikweri😢😢😢😢

  • @BinchaBacar
    @BinchaBacar 23 дня назад

    👍🔥🇲🇿

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od Год назад

    Waislamu wakipata shida wanakimbilia Kwa waganga Ila mkrito anakimbilia maombi Sawa Asante

  • @MaSI-p5o
    @MaSI-p5o 4 месяца назад

    Na ninyi watz mbona wwngine mnaroho za kinyama msijuwe ya kwamba unapo fanya baya kwa mwwnzi,ujuwe baya halisahau liliko toka lazima litarudi kwa kutumia njia ile lilimo tokea hebu muheshimuni mungu ba basi.

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Год назад +2

    🙏🙏🙏👍♥️♥️

  • @beatriceonsongo9915
    @beatriceonsongo9915 Год назад +3

    ❤❤❤ 🇰🇪

  • @alexbayingana7879
    @alexbayingana7879 Год назад

    Wanawake husahahu kua wifi wewe na na yule wifi kwa mwingine nikijisahahu tu ndo maisha ukifanya ubaya kumbuka ufi mpka nawewe umetendewa kama ulivyotenda.