Pole Sana Dada shatani ndiyo Hapendi watu watu rafiki yako yeye halikuwa hanakuhuwa hanakupoteasa. Hilihusione mungu twashukuru mungu wa ibrahim na isaka na yakobo wa huruma
Pole sana mamy ila uliataka mwenyewe uliachwa na mumeo unakuja kumfanyia wivu wifi yako huna hata haya mpaka unamtoa mimba kweli si watoto wanaozaliwa na kaka yako ni ndugu zako .......asante anko Jay kwa simulizi tamu yenye mafunzo
Kuna kusamehewa kungine sikwa kujiamini.kumbuka uliwafanyia waja wa mungu ,sasa basi ngoja hukum yako .aNakila mtu ataubeba mziho wake hapo ndi utajua hujui maana uliwmchezwa nikiunbe imara subirs haishindi khudra
Ally mbetu unatupa stories zako kuwa na utulivu mkubwa big up🎉🎉, ila tunaomba utumalizie Ile story ya jini mahaba bado haujaimaliza tunaomba mwisho inakuwaje
Huo ndomshahara waroho mbaya mm ningekuwa wfi yangu yani ningekusamehee naukae mbali na maisha yangu siwezi kaa na ibilisi mm hadi umezaa ukiwa chixi kalime huko sasa naule wanao funzo kwamawifi wale mnaoachika halafu mnaenda kusumbua kakazenu wivuu tuu bs simlale namakakazenu washezinyie 😂wenyetabia kama hixo.ila shukuru kaka yako alikuwa Mpole mm mwezio nilifukuzwaa mchana na mimba yamwezi bila sababu tena ma wifi kama hao hawakuwa na huruma na mm katika ndoa omba Mungu mamamkwe awe upande wako hapo huyo bn atapoa mm mwezenu nilipata mamamkwe ako upande wakijana mbona nilikoma na ndokipindi nimemzika mama mzazi yani omba hii iwe tuu nisimulizi lkn isiwe kweli mana mm nilipitia hayaa..wenye ndoa mkaze kamba kwahao mawifi ndo sumu kweli.mm mpaka mdaa huu Niko single najivunia kupewa zawadi zangu mm nalea tuu burudani maisha yanaendelea nikiwa nafuraha na wanangu.wenye ndoa kazi njema single pambaneni watoto wenu waweimara namaisha
Hii iko vizuri tayari NIMEREKEBISHA yale makosa yaliyojitokeza kwenye ile simulizi ya kwanza, 🙏 Im Sorry
Thanks for the consern, much love
Usijal my brother kawaida
Ok mana nilikuwa nimevutiwa mana nilikuwa nasikiliza maraghafla ikapotea asante kwa malekenisho
Asante sana Anko J Mungu akuzidishie baraka kwenye utaftaji wako ❤❤❤
Thank you❤
Leo wa 1 jameni naomba like Zen ♥️ wangu nimewai kabisa Ankojay ahsante acha ni 🪑🎧
Huyu Yasina si rafiki mzuri kabisa
Kwel kabisa wangekufatuu
Asante anko jay nimejifunza wivu na roho mbaya ni uchawi mkubwa sana
Nime kuwa wa24 like at tano tu 🌺🌺🌺 vile nawapenda nyie mtakao like hii comment 🎉
Anko Jay unanikosha mie ❤️ nakupenda sanaaaaaa ❤️❤️😘
Una roho mbaya Sanaa mpk unatisha jaman ubaya gan huo hata huruma huna Kwa mema unayofanyiwa
NUMBER 1
Ukimpa xhetani nafasi kweli anayavuruga haswa. Jamani tujifunze kumcha mungu xnte ankojy kwakutuelimixha ubarikiwe xna,
Imenifunza sana hii ..
Hasina mchawi tena gwiji subhanallah kikulacho ki nguoni mwako😢😢
Daah kweli mwisho wa umbaya ni aibu asante anko jay one ❤❤❤
Big up sana 😊😊
Ahsante kw kuchubuurudisha
Jamn anko j nakupenda kupita maelezo unasauti nzur Sana
Asante kaka simulizi inamafunzo
ALLY MBETU apewe maua yakee🌹🌹kwa kweli hizi simulizi zinatufunza mengi kwa kweli🥰🥰
Mmmhhh alhamdulilahi tumshukur Allah jmn
Anko uko poa sana kwa simulizi tunashudia❤❤❤❤❤
Nia mbaya haifani palipo na nia nzur mungu tulinde waja wako
Usijali Ankojay bila samahani❤❤
Pole Sana Dada shatani ndiyo Hapendi watu watu rafiki yako yeye halikuwa hanakuhuwa hanakupoteasa. Hilihusione mungu twashukuru mungu wa ibrahim na isaka na yakobo wa huruma
Nasikiya wogq jamani kwa mtu uciwamunyama asina mugeukiye Mungu
Anko bado tunasubiri jini mahaba hatuja sahau😂 maupendo kwako❤❤❤
Kweli kabisa we are all waiting for JINI MAHABA
Right anko jay nangoja sana jini mahaba
Asanti sana Ankoje,tangu nianze kusikiriza video zangu.sija wahi sikiza awo kutazama.film yoyote. Thaks a lot❤❤❤❤ankoje.
Pole sana suwea
Kweli kabisa Anko Malaya yana mwicho wake Asante sana kwa simulizi mzuri Ina mafunzo much ❤❤❤❤ kwa pamoja sana
Mimi naskiza hizi za kitambo❤❤❤
Pole sasa dada na Asant kaka na wivi kwa kusamee mbarikiwe
Mengi nimejifusa apa❤❤
Dr Mbetu asante sana ❤❤❤
Hongera ALLY MBETU Storr ni 🔥
Urafiki mwingine ni kama mti wa mpapai, haufai kwa kuni wala mbao
Twashukru sana we❤❤❤ you Ankoj God bless you
Jamani mwisho wa ubaya aibu anko Jay tabarak Allah
jamani wivu ni uchawi tosha khaa mungu niepushie mbali iyo loho
Duuh yasina si mtu mzuri kabisa 😢😢😢
Anko na mwala, Anko na mbetu hiyo timu hatari Sana simulizi zao ni moto sana
Pole sana mamy ila uliataka mwenyewe uliachwa na mumeo unakuja kumfanyia wivu wifi yako huna hata haya mpaka unamtoa mimba kweli si watoto wanaozaliwa na kaka yako ni ndugu zako .......asante anko Jay kwa simulizi tamu yenye mafunzo
Ooh! Imerudi!
Yeah nimeifanyia marekebisho.. sahizi iko poa
@@ankojay_ safi sn
😂😂😂 Asina ana mjaza mwnzake mshike lile paraa lake
Dawa yanwoto nimwoto❤❤❤❤
Aamina Yarabbi pole sana dada kwa mikasa Subhana-Llah Mola atunusuru kwa yote.
Mmmh🔥🔥🔥
Jamani Ali na Anko suweya Atadoooo🤔🤔🤔yaani naenjoyhapa🇰🇪
Asante my uncle jy
❤❤❤❤❤❤ daaah
Mwishowa ubaya ni ayibu
Awa ma binti awachoki? Nendeni kutafuta hela sio kuroga 🖤🖤🖤
Anko kama anko J shukran❤❤❤
Nimewai kidogo Leo jamn maana Ankojay asante sana jmn
Mumbi Wa Naivasha Ndani Ndani likes watu wangu
Huyu Binti mshenzi ningelikuwepo kuweka vibao bila kukoma alaaaaa, Mbetu Thank you Anko nashukuru pia❤❤
Nice 👍
Anko j penda Sana ww simulizi Ni 🔥
Shukran saana ankoj wakazi nzuri🙏
Thank you AnkoJay simulizi tamu sana🥰🥰🥰🥰😍😍😍😍
Nmeipenda Sana uchiz umempa na watt 😂😂😂2lza komwe ulee wanao Sasa.
Wa 20😂😂😂 nimekua nimeingoja kwahamu hii asante mr anko jay mob love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Twaenjoy dear
Leo ndio nimeamini watu wengi hawasikilizi simulizi mpaka mwisho wao ni kucomment tuu,
Mm nimechanganyikiwa..mbona tena nikama nishaisikiliza..???.😂
😂😂
Simulizi tamu ya kujifunza❤❤❤❤
Tuko pamoja anko j ❤❤❤
Tupo❤❤❤❤
Wewe ulikua kiboko aisee😢😢😢😢
Mama kiota kiboko😂😂😂😂 mlim bipu acha awapigie Sasa 😂😂
Mwisho Wa ubaya Ni aibu unamwonea wivu kakako wee dada wewe paka unapata watoto ukiwa kichaa pole lkn pia acha ubaya
Thank youuuuuuu so much 💞❤❤🎉🎉we love you more than you anko Jay
ankojay kwa kweli wewe ni kiboko aisée 😂😂 mwanaume umoja umebadilicha sauti utafikiri ni watu kumi 😂 weni noma 😂
Hawa waliotoa msamaha nawastaajabia sana, na ktk mbingu wanayo nafasi yao,hongera zao nyingi
Kwa kwel
Akili za kushikiwa hizi zinachekesha Sana
Simuliz za ali mbet huwa zinatufunz San kuish na watu vzr tuache mabya pia Asant Anko j
Asante sana ankojay ♥️♥️♥️♥️🤣
Asante anko j na Ally mberu kwa simulizi nzuri yenye mafunzo
Basi mm nilikuwa naangalia hii part 2 mara ghafla siioni nikashangaa imekuaje au cmu yngu ndio inazingua kumbe ni kwako ww anko jay😂😂😂😂 much love ❤❤❤
Mmmmh...aki leo am the last one 😊twende nalo😊
Anko jay tunakupenda sana simulizi zako zinatufunza mengi
Asante sana 🎉
Dawayamoto nm
Dah
Amiin anko jay
Asnts anko jsna mkasa mzr na unafunza jamii
😢😢😢😢
Duuuuuuu.......
Makubwa hao anko jay
Gd work
Thank you so much ☺️
Kuna kusamehewa kungine sikwa kujiamini.kumbuka uliwafanyia waja wa mungu ,sasa basi ngoja hukum yako .aNakila mtu ataubeba mziho wake hapo ndi utajua hujui maana uliwmchezwa nikiunbe imara subirs haishindi khudra
Marafiki wabaya jamani haikuwa wewe kipenzi pole ila tunachunga sana maelekezo ya marafiki
Asante ank j
Nihatari anko j hasina hatari jamn anauzunisha
🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️
❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😢😢❤❤
Ally mbetu unatupa stories zako kuwa na utulivu mkubwa big up🎉🎉, ila tunaomba utumalizie Ile story ya jini mahaba bado haujaimaliza tunaomba mwisho inakuwaje
shukran anko
Woow imerudi😂
Heee dunia inamambi
🎉🎉❤❤
Huo ndomshahara waroho mbaya mm ningekuwa wfi yangu yani ningekusamehee naukae mbali na maisha yangu siwezi kaa na ibilisi mm hadi umezaa ukiwa chixi kalime huko sasa naule wanao funzo kwamawifi wale mnaoachika halafu mnaenda kusumbua kakazenu wivuu tuu bs simlale namakakazenu washezinyie 😂wenyetabia kama hixo.ila shukuru kaka yako alikuwa Mpole mm mwezio nilifukuzwaa mchana na mimba yamwezi bila sababu tena ma wifi kama hao hawakuwa na huruma na mm katika ndoa omba Mungu mamamkwe awe upande wako hapo huyo bn atapoa mm mwezenu nilipata mamamkwe ako upande wakijana mbona nilikoma na ndokipindi nimemzika mama mzazi yani omba hii iwe tuu nisimulizi lkn isiwe kweli mana mm nilipitia hayaa..wenye ndoa mkaze kamba kwahao mawifi ndo sumu kweli.mm mpaka mdaa huu Niko single najivunia kupewa zawadi zangu mm nalea tuu burudani maisha yanaendelea nikiwa nafuraha na wanangu.wenye ndoa kazi njema single pambaneni watoto wenu waweimara namaisha
Ok anko, lets see what will happen
vipi be my love waiweka leo
Amazing story ❤❤❤❤
@anko j katika simulizi zote hìi imenisisimua na kunifunza