SIMULIZI YA KWELI- MISS BELLA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025
  • Wanasema mapenzi na kazi ni ngumu sana kukaa pamoja, Bella ni binti ambaye anafanya kazi kwenye kampuni flani hivi kwa muda wa zaidi ya miaka mitatu, boss aliona anafaa kumpa cheo kwa kutokana na kuwa kazi kwa muda mrefu, lakini Bella anakuja kutambua kuwa mwanaume anaemchukia sana ambaye alikutananae huko mtaani tu na hawajuani, ndo anakuja kupewa cheo hicho, jambo ambalo lilifanya Bella kuvuruga mambo ya kazi na mahusiano yake kwa ujumla.
    Changamoto alizokumbananazo mpaka leo hii ananyoosha mikono..
    Kama umependa simulizi zangu usisahau ku subscribe katika channel yangu kwa simulizi zitakazo kukuburudisha, kuelimisha. Pia Tembbelea kurasa zangu za mitandao kajamii
    INSTAGRAM: / lucaslumbasi_tz
    FACEBOOK: / mrlumbasi
    TIKTOK: / lucaslumbasi

Комментарии • 148

  • @JaydMoses-y2k
    @JaydMoses-y2k 11 месяцев назад +7

    Simulizi nzur San mungu akubaliki kaka

  • @ANKOZUBERI881
    @ANKOZUBERI881 Год назад +16

    Sekizzo apa nimekuwa wa KWANZA KU view wacha niinjoyi na kitu kitamuu cha Miss #BELLA

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +9

    Zidi kubarikiwa sana kaka yetu Lucas Lumbasi ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ElizabethIsaya-io2bn
    @ElizabethIsaya-io2bn Год назад +8

    Good job ❣️❣️❣️

  • @ingabirewinnie7038
    @ingabirewinnie7038 11 месяцев назад +5

    Nakupenda sana ❤❤❤

  • @SaadaSuleman-mq7xo
    @SaadaSuleman-mq7xo Год назад +5

    Mashaallah unasaut tam weye mkaka nakupenda bule❤❤❤❤ simuliz nzur sana

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 11 месяцев назад +3

    Thanks bro for nice simulizi much ❤❤❤ from 🇰🇪 but in Tokyo ❤❤❤

  • @SalomeSelasini-xy9py
    @SalomeSelasini-xy9py Год назад +6

    Simulizi nzuri sana

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 Год назад +9

    Wow simulizi tamu Sana nimefurahi ❤

  • @omanss268
    @omanss268 Год назад +10

    Wow 🎉🎉🎉🎉

  • @متجرجهاد-ذ3ث
    @متجرجهاد-ذ3ث Год назад +5

    Simuliz nzuri sana lumbas nimependa sana upendo Wa kwel upo haijaliwhi mtu Yuko aje Na Wala anaishije ukimpenda Basi hakuna wakuwatenganisha asante sana broo

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani Год назад +7

    Mashallah ka rukasi tabarak Allah tuone miss bella ananini

  • @YvetteSIBOMANA-ce2hz
    @YvetteSIBOMANA-ce2hz 11 месяцев назад +4

    Wow🎉🎉🎉

  • @everlynesafari1527
    @everlynesafari1527 Год назад +8

    Wasaba leopard ayoooo 😂😂😂😂❤❤tuendelee 😊

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p Месяц назад

    Simuliz nzuri asante❤❤❤🎉

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +5

    Wow,❤❤❤🥀🥀🥀💐💐💐🪴🪴🪴🌹🌹🌹ni kazuri sana

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 Год назад +7

    ❤❤❤❤ Lucas kwa simulizi nzuri mashalla

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu Год назад +5

    Waaah LUCAS LUMBAS asante kwa smlz tamu yenye mafunzo na shukra pia,,,,ila icho kisolo cha mwisho wa smlz ni kimenigusa mnoooo👌👌

  • @TabithaFaustine-tl3gn
    @TabithaFaustine-tl3gn 11 месяцев назад +5

    🎉🎉❤ waooooo

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 Год назад +7

    Daah simulizi tamu sana hongera kaka Lumbasi❤️

  • @LetisiaWilliammanyama
    @LetisiaWilliammanyama Год назад +8

    Nimewah leo 💝💖💞💕💗

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc Год назад +5

    oooooyaaaaa kaka Lucas unatisha mnoo🔥🔥🔥🔥

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 Год назад +6

    Shukuruni Sana Lucas lumbasi pendo la mungu hutoka moyoni si lasima. Ee jamani jamani mtu kujiuwa shatani yuko kazini kuakikisha watu wa mungu wa siishe

  • @Ivyagua
    @Ivyagua Год назад +8

    Wao ❤❤❤❤❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +3

    Wakati wa hasira haifai kufanya maamuzi ya muhimu kuhusu maisha,vinginevyo utajuta maisha yako yote

  • @EsterRobert-s1b
    @EsterRobert-s1b 11 месяцев назад +4

    Nzuri sana

  • @claudiahkinara4053
    @claudiahkinara4053 Год назад +4

    Natamani nipate penzi kama hiyo dahh,sad story but amazing UpTo heaven, always true love cannot die in Jesus name 🙏

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 Год назад +3

    Wow lnaitwa true love ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
    Asante lucas

  • @AmosWilson-b2j
    @AmosWilson-b2j Год назад +2

    Daaaaaa nzuri❤❤❤

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 Год назад +6

    Very stor so much ❤❤

  • @victoriangasa
    @victoriangasa Год назад +9

    Waooooh kaka lucas ❤❤🎉🎉

  • @AviaMahenge
    @AviaMahenge Год назад +7

    dah!!!

  • @dhuhasaid-d2x
    @dhuhasaid-d2x Год назад +7

    Haya sas kijana mwenye sauti yake town ❤❤mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 Год назад +8

    wow ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @DottoMine-zq2yf
    @DottoMine-zq2yf Год назад +4

    🎉❤wooow

  • @ElaineAkimana
    @ElaineAkimana Год назад +4

    Mbona kali saaana yaniii🥰😆😆😆😆

  • @IreneFuraha-y6z
    @IreneFuraha-y6z Год назад +5

    Nice simuliz anko

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi Год назад +4

    Simulizi tamu kweli Ahasante sana anko Lucas ❤❤ kwasimulizi zuli

  • @divinahonduso9591
    @divinahonduso9591 8 месяцев назад +1

    I love you, I love you Bella, mapenzi wewe❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SuzanaRobert-l4q
    @SuzanaRobert-l4q 5 месяцев назад +1

    Nice🎉

  • @hasinangina5405
    @hasinangina5405 Год назад +6

    Wow it's amazing 😂😂😂😂

  • @NahiratyMachela
    @NahiratyMachela Год назад +3

    Nimecheka sana uyo mtu mbaya hahahaha 😂😅😅 dah nimejua kucheka leo luka unachekesha sana

  • @WivineSekembwe
    @WivineSekembwe Год назад +3

    ❤❤❤❤❤❤nakubali sana kaka mungu akulinde

  • @RahmaRashidi-c2i
    @RahmaRashidi-c2i 11 месяцев назад +3

    Nice❤❤❤❤❤

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 Год назад +8

    Ni mzuli sana simulizi hiii

  • @RHODAHWAMBUA-k7i
    @RHODAHWAMBUA-k7i Год назад +9

    Mmmh cmuliz tamu haki wanaume kama Logan ni wengi sana ila akumbuke ipo cku atalipa Kwa allah

  • @AginessMgina
    @AginessMgina Год назад +5

    Nimeipenda sanaaa asante sanaaa❤❤

  • @zainabjordan5659
    @zainabjordan5659 Год назад +8

    Thanks ❤👍

  • @JennyBenny-qh8xm
    @JennyBenny-qh8xm 11 месяцев назад +4

    Sweet love 😘😘

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Год назад +8

    Shukran kaka Lucas kwa burudani swafy nime enjoy Sana na kujifunza ❤❤🎉🎉

  • @fridamweni5681
    @fridamweni5681 Год назад +15

    Wooow ❤❤

  • @HalimaAli-e8z
    @HalimaAli-e8z Год назад +4

    Kweli penzi la kweli halipotei😊aki nimelia hadi nikafurah simulizi tam san

  • @Eshamwata_Christine
    @Eshamwata_Christine Год назад +8

    Lumbasi wetu❤🎉🎉🎉

  • @HayratDst
    @HayratDst Год назад +4

    Tamu sana jamani duuuh ❤❤❤

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 Год назад +3

    Asante sana kwa story tamu ❤❤❤

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 Год назад +7

    Nice

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua Год назад +8

    Kumi na mbili leo

  • @EsterRobert-s1b
    @EsterRobert-s1b 11 месяцев назад +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilifika sangap getini 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Reyla255
    @Reyla255 Год назад +14

    True love never die😢❤

  • @Lottiebella
    @Lottiebella Год назад +6

    Lmaooo not my name being Bella too🤣

  • @dianadeogratius4036
    @dianadeogratius4036 Год назад +7

    Eti jamn ana sura mbayaa cjui getini nilifka sangapi nimecheka mpka kufa

  • @ZabibuHassan-ci5vz
    @ZabibuHassan-ci5vz Год назад +9

    Kwanza kabsaa shukran za thati zikufikie kaka lucas kwa burudan hili la miss bella aisee nmeinjoy sana hasa hapo mwisho nimejikuta nikiimba na kelele na furaa kama mm ndo miss bella 😊ila dunian hakukos changamoto ndugu kikubwa uvumilivu kwan mvumilivu hula mbivu😊😊😊😊

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART Год назад +4

    Oops nimepitwa jomon ,lakini sijachelewa sana ❤❤❤❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +3

    Daa,kweli mapenzi ni mbio za uelekeo mmoja,kila mtu anaangali kisogo cha mwenzie bila kuuona uso wa mwenzie

  • @irenewilfred7767
    @irenewilfred7767 Год назад +6

    Unasauti nzr jmn uwii

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 Год назад +10

    Longane hakua mjinga Eva kwakutumia upendo wake alie penda Longani njoo akasababisha wewe upate ajali.❤❤❤❤

  • @AlineNizigiyimana-wq2qc
    @AlineNizigiyimana-wq2qc Год назад +7

    Asante kwasimulizi nzuri sana ila jamani tunakataa viporo tunahitaji ×jamani mbona kimya😂😂

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 11 месяцев назад +2

    Asante @lucasi lumbasi

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 2 месяца назад +1

    Pezi lakweli halifi

  • @joselynekwizera3758
    @joselynekwizera3758 Год назад +9

    Simulizi sa kichawi na za majini hapana, na pendant za mwandishi Lisa Mwalla.

  • @mwanaidiissuja
    @mwanaidiissuja 9 месяцев назад +3

    Et huyohuyo nyan ndo mpenz wang nmempenda na unyani wake 😂😂

  • @JoharJuma-xo3fh
    @JoharJuma-xo3fh Год назад +3

    We unapenda kunyanduliwa du Kila mtu una mpenda duuu

  • @divinahonduso9591
    @divinahonduso9591 8 месяцев назад +1

    Jamani jamani jamani mapenzi aka user oo1

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +8

    Watu wenye fedha wanaamini kuwa fedha zao ni kila kitu,huwa akili zao hazifanyi kazi,fedha ndiyo mungu wao,hawana hofu ya Mungu

    • @salmazwallo5920
      @salmazwallo5920 2 месяца назад

      Kwa kweli yaani cjui yupojee maana yy do chanzo cha yote hayo😢😢

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i Год назад +8

    yani uyu miss bella ni penda penda ana msimamo yn unawezaje kumuona mtu mara moja tuu na ukampenda akuna upendo km wa bella jamani 😅😅😅

  • @rechokizumbe7314
    @rechokizumbe7314 Год назад +6

    Hii dunia mapenz ukiyazidisha tu lazima uwe mnyama tu

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 Год назад +8

    Nimekuwa kumi bora wacha tuone miss bella mm

  • @esterIsabel-y4e
    @esterIsabel-y4e Год назад +4

    We me ndo nimewah

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 Год назад +7

    Mbona BELLA haueleweki

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 Год назад +6

    🎉🎉🎉❤

  • @QueenElizabethmamy
    @QueenElizabethmamy Год назад +3

    Uyu kaka ananitia nyege kwa sauti yake 😮😂

  • @GajoFuture
    @GajoFuture Год назад +7

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MsafiriMoza-uu9gd
    @MsafiriMoza-uu9gd Год назад +6

    ❤ ❤

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 Год назад +9

    Thanks Lucas be blessed for your good work ❤❤❤🎉🎉

  • @ZainabuMchomvu-e7j
    @ZainabuMchomvu-e7j 3 месяца назад +1

    Kaka simulizi nzuri sana

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 Год назад +7

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mamalumumba
    @mamalumumba Год назад +6

    Natamani iendele

  • @jawahirkahinmadar1459
    @jawahirkahinmadar1459 Год назад +13

    Kweli akili namoyo vina kazi kubwa katika maisha tutumie vizuri pia hatari nyingine ni hisia ina haribu maisha ya wengi 😢😢😢😢

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty Год назад +5

    Duuh atr nanusu kitu kumoyo hasa

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 Год назад +7

    Lukasi hii simuliziyako Leo imetuboo

    • @anunalamin6472
      @anunalamin6472 Год назад +1

      Nzuri mwaya kisipokufaa ww wenzio chawafaa😂😂

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 Год назад +7

    Maskiin miss bella 😢😢😢

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc Год назад +5

    msimamo kama huu wa bella na kujiaminia unachokihitaji na kukikubali lazima kiwe chako tuu kwani moyo ukipenda hakuna wakuupokonya unachokihitaji

  • @RashidaHamad-o2g
    @RashidaHamad-o2g Год назад +6

    🌹💞❤️❤️

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 Год назад +3

    Tamu 😍😍😍😍thank you Lucas

  • @pascalinaerasto9501
    @pascalinaerasto9501 Год назад +8

    Wa 13

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 Год назад +7

    ❤❤❤❤❤❤

  • @mwanamksisoppah9325
    @mwanamksisoppah9325 Год назад +11

    Dhoo mapenzi ya lazima kisa Tajiri kher nibaki maskini

  • @SakinawalyokaMamafuxokin-dq4vo
    @SakinawalyokaMamafuxokin-dq4vo Год назад +5

    Ilove kendrik

  • @Keith-n7p
    @Keith-n7p Год назад +3

    🎉🎉🎉🎉ni mzuli sana

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Год назад +3

    Ninge wauliza kipindi anaenda kuoa sinilikuwepo!?